AZIZ KI APEWA MILLION 50/YANGA YATUA KIBABE DAR KUTOKA MAURITANIA/DUBE,PACOME,DIARRA,CHAMA,PACOME

  Рет қаралды 38,196

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@Mariejo123-g2x
@Mariejo123-g2x 13 сағат бұрын
Ametoa kwa upendo, Mungu atakurudishia zaidi ulizompa Azizi K.
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 9 сағат бұрын
ameni ameni ameni
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 13 сағат бұрын
Were very sorry for chadrack isack boka pole sana bro kwa kumpoteza mzee lakini bado ukaenda kutupambania wananchi🙏🙏🙏 We love you bro, thanks once again 👋
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 9 сағат бұрын
ameni rip bab bok pelen wanandugu MUNGU awatie nguvu nakuwapa faraja kuu ameni ameni
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke 31 минут бұрын
Allah ampe subra 🙏🙏
@halimaamini8015
@halimaamini8015 2 сағат бұрын
Ilove❤young African ❤❤❤
@MathewKaduma
@MathewKaduma 11 сағат бұрын
Hongereni makamabda wetu Jeshi la njano na kijani.
@asiasued3655
@asiasued3655 12 сағат бұрын
Hadi raha jaman hongereni Sanaa wachezaji wetu mungu awape afya njema maisha marefu
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 9 сағат бұрын
ameni ameni ameni
@MakaMbi-u5d
@MakaMbi-u5d 13 сағат бұрын
Azizi fundi jaman
@hafia.056
@hafia.056 10 сағат бұрын
Wananchi wooote wooote vipi lakini apo sugar and it's very good stuff very much all God bless our country Team Ameeen Ameeen Ameeen kwa soote dawar 😅😅😅😅😅
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 13 сағат бұрын
Miamba ya soka imetua ni mabingwa wa nchi hao💪💥.... Wale wa shirikisho wenyewe wako wapi au wamefungiwa na CAF mpaka kupokelewa na mashabiki wake😆😆😆
@hafia.056
@hafia.056 10 сағат бұрын
Wananchi wooote vipi lakini apo sugar good good good stuff sugar sugar muwaa cream maziwa chai cream n.k thank you so much kaka players and our leaders the and us one billions supporters allover the world Giant CLUB in Africans oyeee oyeee oyeee sugar sugar good
@FatahCasablanca22
@FatahCasablanca22 2 сағат бұрын
Aziz ki welcome in Wydad Casablanca
@mohamedaden8483
@mohamedaden8483 11 сағат бұрын
Mpeni na dickson job alitoa assist
@isayadotto1583
@isayadotto1583 11 сағат бұрын
Mwarabu lazima ashenyentwe tarehe 18 young Africans hatuna option zaidi mission lazima iwe complished
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 11 сағат бұрын
Hao maafande wametisha walichofanya kibaki kama ukumbusho
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 19 минут бұрын
Shida ya wachezaji wanashangiriwa lkn wanajifanya wapo busy onesheni na nyinyi ata vibe bc
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 сағат бұрын
Shirikisho ni shirikisho, champions ni level kubwa sana. Shirikisho wameshirikl timu za kuanzia namba 3 katika ligi za nchi zao, hata kolo alikuwa wa tatu katika ligi kuu ya tz.
@maujanjaonlinetv3731
@maujanjaonlinetv3731 2 сағат бұрын
Kwann wakitoka nje ya tz kwny mechi wakirudi kila mchezaji anapanda gari tofauti na si gari moja la team????
@JamesMeshack-y8
@JamesMeshack-y8 11 сағат бұрын
Club ya Yanga imezingatia kuimarisha urinzi WA wachezaji yaani mpaka Raha👊👊👊👊
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 7 сағат бұрын
Gusa achia twende robo fainali
@alfredngowi4240
@alfredngowi4240 10 сағат бұрын
Wagawane nn, haifiki hata 100k
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 11 сағат бұрын
😂😂😂😂 kumi mara sifuri ni sifuri😂😂😂
@ElitumainGoodwin
@ElitumainGoodwin 8 сағат бұрын
Sifur mara kumi
@BullahSambiga
@BullahSambiga 11 сағат бұрын
Mngewapa wagawane wote wamevuja jasho
@kolosii4351
@kolosii4351 10 сағат бұрын
Aziz atawagawia wenzake sio mchoyo
@HaruniMkwizu
@HaruniMkwizu 10 сағат бұрын
Hivi hawa utopolo juz tu wameingia hii michuano leo wanajifananisha simba hawaon hata aibu kweli
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 10 сағат бұрын
Hujitambui wew,
@AhmadAlly-x1c
@AhmadAlly-x1c 10 сағат бұрын
Wewe una kipi umefanikiwa katika mashindano ya klabu bingwa, Je una kombe lolote ulilobeba ndani ya mashindano makubwa. Kama mafanikio wote wameyapata ndani ya hayo mashindano kwa kiasi flani ,Acha ushabiki maandazi
@deokibona2835
@deokibona2835 8 сағат бұрын
Kwani Simba yupo kwenye hii michuano?
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 8 сағат бұрын
Nyie Simba au kuku na tujifananishe na nyie kwa mafanikio yap wakati Kuna timu kubwa kama raja sc alhaaly nk wamefanya makubwa nyie ni maluza hamstahili kufananishwa na timu kubwa yeyote
Assista na íntegra o Interacção Matinal 15/01/2025
Portal FM | Fala Moçambique
Рет қаралды 10 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Magoli yote 21 ya Aziz Ki NBC Premier League 2023/24
13:07
Azam TV
Рет қаралды 212 М.