TUZO ZA TFF 2024 | Aziz Ki Mchezaji Bora wa NBC Premier League, Hamisa Mobeto gumzo

  Рет қаралды 138,894

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 ni Stephane Aziz Ki wa Yanga…… Cheki alivyopokea tuzo yake na kila kitu walichozungumza akiwa na Hamisa Mobeto baada ya kupigwa ‘surprise’ ya Dubai.
Ni hafla ya tuzo za TFF kwenye ukumbi wa The Dome, Dar es Salaam LIVE #AzamSports1HD
#TFFAwards2024 #TuzoZaTFF #TFFAwards #Tuzo #AzamMedia #SuperDome

Пікірлер: 177
@ManjaHisani
@ManjaHisani Ай бұрын
Ningeshangaa sana mchezaji mkubwa kaifanyiya yanga makubwa msimu mzima kisha afananishwe na fei hata mzeee saidi anamuwogopa anakwambiya lile jitu si lamchezo
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
😂😂Karia anapiga makofi ya kinafiki na tumbo lake utadhani amebeba pesa za TFF zote tumboni alitamani Feisali awe mchezaji bora😂😂🙌
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Huku aumia 😂😂😂ndio bc tena
@gracechesco2600
@gracechesco2600 Ай бұрын
😅😂😅😂😅😅 mbavu zangu
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Ай бұрын
Hizo ni hisia zako
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
@@bbclondonulimwenguwasoka6126 Tuonyeshe hisia zako wewe sasa mimi nishaonyesha hisia zangu au zako umezificha takoni?kama zipo kichwani lazima uzionyeshe usipozionyesha wewe mtumwa Mimi siwezi kufa na hisia zangu wakati naona ujinga wa Karia wazi wazi pekeka uchawa wako mbele uko😡😡
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-np4om6hz4m
@user-np4om6hz4m Ай бұрын
Hongereni wachezaji wa yanga naviongozi wote kwa kupata tuzo mashabiki tunajivunia ni fahari kwa timu yetu❤❤❤
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Ila kuwa Makini AZIZI KII dada zetu wa bongo wapo kikazi zaidi kuliko upendo kwaiyo kuwa muangalifu sana tunaitaji furaha yako iendelee ili Wananchi tupate furaha uwanjani chonde chonde MVP🙏🙌
@user-tk5ig4wt1o
@user-tk5ig4wt1o Ай бұрын
Kafat her hamis noma
@julianamwalongo6047
@julianamwalongo6047 Ай бұрын
@@user-tk5ig4wt1o si mumpe basi hizo pesa Kumbe mnajua
@user-iu3cu2fp9g
@user-iu3cu2fp9g Ай бұрын
Hofu yangu ni kwamba familia ya Aziz ki wanapoona hii kitu wanapata picha gani bila Shaka hapa Mobeto alitakiwa kujifanya kama haelewi kinachoendelea angesimama kama best friend au kama shabiki wa Aziz wa karibu lkn siyo kujisogeza karibu na kusema maneno yale kutoa machoz Kwa Aziz ki kunaaahiria mambo mawili 1 hakupenda Jambo Hilo la yeye kwenda Dubai aulizwe anakwenda na Mobeto 2 analia Kwa sababu Mobeto kaweka waz kuwa atakwenda na Aziz ki ili Hali anajua Aziz ana familia Hilo lilikuwa ni suala la kumuachia yeye binafsi anajua Nani ataenda naye huko Dubai
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 Ай бұрын
Acha Umbea na Ushakunaku.🙏🙏🙏
@adamsonmwaisumo6791
@adamsonmwaisumo6791 Ай бұрын
I! Anakuuma mpuzi wewe
@emmanuelmnyonzi6143
@emmanuelmnyonzi6143 Ай бұрын
Basi nenda nae ili ukaenjoy nae dubai
@wildlife5730
@wildlife5730 Ай бұрын
Tuliza komwe unajuaje kama hamisa hajulikani kwao
@florianhenry7198
@florianhenry7198 Ай бұрын
@@user-iu3cu2fp9g WATANZANIA Kwa umbea tu ..... Wanadhalilishana had stagini
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham Ай бұрын
Azizi key hie my young bro, congratulations for all,but please be careful with our sisters,ar not really in love but they just looking for what's you have,
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
That outfit is LIT, Aziz! Thank you for all you did last season! We pray for you and your loved ones all the best this coming season,ts our hopes that you will do even better this coming new season,2024/2025 ! May Allah protect you on and off the pitch! Mungu akubariki sana 💚💛💚💛.
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 Ай бұрын
Aziz Ki alistahili kubeba tuzo zote tatu.Hongera sana
@theheroesmusic4398
@theheroesmusic4398 Ай бұрын
Hongera sana TFF mmetenda haki 🤝. Kwenye Soccer hakunaga mambo ya uzalendo mana kilakitu kinaonekane wazi, wengine watachukia kwa sababu ya ushabiki tu ila kwenye mioyo yayo,mikono juu. From PA USA 🇺🇸
@AliamryBakar
@AliamryBakar Ай бұрын
Najikuta nikimwaga machozi 😢 uku nikizid kumuomba mungu azsimamie ndoto zangu
@Mkk-qm3jx
@Mkk-qm3jx Ай бұрын
Acheni wivuuuu 🤣👏👏👏 azz Ni mwanaume bhna, wanaumeee!!!!💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿🔥🔥🔥
@PeridaMwagala
@PeridaMwagala Ай бұрын
Proud of you Aziz👋
@user-jk3qx3dt6c
@user-jk3qx3dt6c Ай бұрын
Kwa kweli huyo ni Ki wa pekee, amebeba tuzo 3 na demu juu, haijawahi tokea!!!!!
@SalumuKiteja
@SalumuKiteja Ай бұрын
😢hakika hamisa umetishaaaa
@DottoSaguda
@DottoSaguda Ай бұрын
Titafuten Hera talent is important in any section on this world
@Smilebamiri
@Smilebamiri Ай бұрын
Top quality 👌 no doubt 🎉
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u Ай бұрын
Ukweli. Usiogichika. Uyo. Karia. Ameuumia. Sanna
@hassanmwadini42
@hassanmwadini42 Ай бұрын
Kwan ana ondok lin
@florianhenry7198
@florianhenry7198 Ай бұрын
Amisa kwan ana wanaume wangapi??? Yule aliye mnunulia range Dubai imeisha wapi??? Au amisa Kuna kitu Akiko sawa maeneo mbona anakimbiwa Kila mtu.... Atakuwa ana kipengere
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw Ай бұрын
hongera mobeto hongera ki
@EdinaSamwel
@EdinaSamwel Ай бұрын
Hongera Azizi mafunguo
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 Ай бұрын
Hasipokuwa makini atapotea soon. Kama wanapendana waoane
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw Ай бұрын
Nilikuwa natafuta comment kama hii🎉🎉🎉...waoane bas kama wanapendana
@julianamwalongo6047
@julianamwalongo6047 Ай бұрын
Kuoana siku hizi ni ajira 😂😂😂😂😂😂
@GermanyGavanna
@GermanyGavanna Ай бұрын
Hapo bado anachukua na tuzo ya mchezaji mwenye nidhamu
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw Ай бұрын
hongera aziz ki hongera karia umekuwa kiongozi wa mpira
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt Ай бұрын
Yessssss Hakka Ni Amestaili
@salimamoshi619
@salimamoshi619 Ай бұрын
Hongera Hamisa kwa uko very professional
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Aucho mnampiga Zengwe hahahaaaa!
@RashidAhmad-op9yi
@RashidAhmad-op9yi Ай бұрын
Makolo mnateseka sana hapo.tengenezeni timu yenu mfike hapa
@RichardMwankina-b7n
@RichardMwankina-b7n 12 күн бұрын
Nice so much
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Ай бұрын
Aah weka Yanga mbali na watoto. Wamedeserve kila kitu mwaka jana
@YohanaMichael-q4g
@YohanaMichael-q4g Ай бұрын
😂😂😂😂😂.uliyesema hamisa mobeto. Anatia aibu kanywe soda . Halafu ulipe mwenyewe 😂😂😂😂🙌🙌🙌
@henrystanley4077
@henrystanley4077 Ай бұрын
Nchi ina zengwe hii yani wameacha kuingizwa akina pacome..aucho na zengeli...et mohammed Hussein..matampi mmmmh
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Ай бұрын
Mashallah 🥰
@levislwamba5695
@levislwamba5695 Ай бұрын
Yaani ningewashanga TFF kama huyu mwamba angekosa izo tunzo, anastaili kwa kila kitu
@bnztechnologies2676
@bnztechnologies2676 Ай бұрын
hamisa unatia aibu lakini dahhhh
@dol-pnintz2503
@dol-pnintz2503 Ай бұрын
Mwacheni hamisa kapedwa watanzania acheni maneno mrembo bwana acheni ale banana Azk oyeeeeee mmependeza
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Dada zetu mh!
@NeemiaMdegela-om9fm
@NeemiaMdegela-om9fm Ай бұрын
Mimi ningekuwa was mwisho kuamini kama Feisal salum angeweza kuwa mchezaji bira was ligi wakati hana nudhamu wala subira.amewafunga watu wakubwa midomo baada ya kufunga penati Kule zenji amejisahaulisha.mtoto mkaidi hafaidi mpaka cku ya IDD. Pole Feisal na mashabiki wako.
@jumannemnyau9877
@jumannemnyau9877 Ай бұрын
Hata mimi ningeshangaa Fei angepata awadi mchezaji bora wakati alionyesha utovu wa nidhamu kuwafunga midomo viogozi,na wadau wa yanga alipofuga penat. wa y
@jumannemnyau9877
@jumannemnyau9877 Ай бұрын
Fei bado sa na kumlingannisha na Aziz kwa uchezaji bora wa mpira nchini.NBC ligi
@edwardkishiwa3296
@edwardkishiwa3296 Ай бұрын
Pole faisal na wafuasi wako waliokuchangia hela ya kwenda Cas,
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian Ай бұрын
Watanzania bwana unaulizwa kiswahili unajibu kingereza
@Charlzlomo
@Charlzlomo Ай бұрын
Hii ndio inampa Feisal changomoto afanye vizuri zaidi asaidie timu yake ligi ya ndani na kimataifa
@MICHAELWAMBURA-pe1to
@MICHAELWAMBURA-pe1to Ай бұрын
Feisal ni mchezaji mzuri ila tatizo mlomo
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc Ай бұрын
Tff bhn Mtu anagombania mchezaji Bora wakati kwenye nafasi Yake hayupo Yani goalkeeper Bora ni matampi lakini wanamuweka Diara wa mini sasa
@fredanthony740
@fredanthony740 Ай бұрын
Atatuharibia mchezaji wetu. Pesa nyingi imetumika hapo 😢😢
@AlecheConradNinje
@AlecheConradNinje Ай бұрын
Hamisa kuoga aaaaaaah.... 😅😅😅😅😅
@user-gz2sr2xf9w
@user-gz2sr2xf9w Ай бұрын
Hamisa jmn 😂 huyu uchi umechakaa😅
@user-hb2nn6ud2d
@user-hb2nn6ud2d Ай бұрын
Wap kelele za feitoto😂😂😂😂
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er Ай бұрын
Kitumbua cha huyu dada sina uhakika kama kina sukari yakutosha waliowengi wanakula hawakimalizi why?😂😂😂😂😂
@RichadiMatias
@RichadiMatias Ай бұрын
Hamsa mobbeto Malaya tu Hana lolote
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Ай бұрын
Sisi wananchi kiungo bora ni AUCHO nyie huko mtajijuaaa
@mapigoalan
@mapigoalan Ай бұрын
Master Ki
@swabialli8542
@swabialli8542 Ай бұрын
Hao watangazaji mbona wapi kienyeji sana .ina maana hawajui kingereza. Wakumbuke kuna wachezaji wakigeni hapo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Hamisa hakika unajiamini🎉🎉🎉
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Nice couple!!
@RazakciAbdulRazakciAbdul
@RazakciAbdulRazakciAbdul Ай бұрын
Mwenyeroh yakike kama wwe huwez kufurahia lakn kwann waachen wat wamependana San ukja skia mm nadanga n mkeo usilie bal udumishe Zaid maan we hupend mapenz y wat neemesha kwak nyambafu haram
@jumabonge8577
@jumabonge8577 Ай бұрын
hamisa malaya tu uyo
@MohamedMahamudu
@MohamedMahamudu Ай бұрын
Utakuta hamisa anamwambia Aziz ki we ni handsome mmmmmm tutafute hela
@kwejimisobi4491
@kwejimisobi4491 Ай бұрын
😂😂
@najmakinya8779
@najmakinya8779 Ай бұрын
😂😂😂😂👈
@user-nw7qg5um5n
@user-nw7qg5um5n Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@user-wl3sv2xn9e
@user-wl3sv2xn9e Ай бұрын
Ma Binti wa bongo shame on you, ukimwangalia reaction za Aziz ni kama hapendezwi na kufatwa fatwa na mobeto but mobeto yy anaji pendekeza yaan anajilazimishia saaana kwa Aziz kick zingine hazifai Aziz namuona reaction zake anashndwa kumwambia tu unaboa
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Ай бұрын
Yaani ni ukweli mtupu Mobeto anajilazimisha dhahili haibu kwake Mobeto
@SaidiAdamu-z4g
@SaidiAdamu-z4g Ай бұрын
Nice sana
@KhamisKaju
@KhamisKaju Ай бұрын
Nataman xna mwakan iweyanga
@SAVINPONSIAN
@SAVINPONSIAN Ай бұрын
Mobeto ni kuangaika tu kwenye stage
@SalmaShilla-c1t
@SalmaShilla-c1t Ай бұрын
Kumbe wapenz kwel bna
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z Ай бұрын
Hamisa malaya tu uyo
@user-yn4di1lj7f
@user-yn4di1lj7f Ай бұрын
@@user-gc3ec9wx6z halafu rahisi anavyoonesha nazichanga tuu
@RazakciAbdulRazakciAbdul
@RazakciAbdulRazakciAbdul Ай бұрын
Malaya n wwe ambaye amebaka mtoto mdog lakn hao n wat wazma wanajielewa Kam angekua Aziz ki yye n mtoto asge mkubalia lakni nashanga wat wanakua wanafk kpitiliza Hle sk nikikkta unamchepko ulisha wah kuwasmbua wat
@VascoJovenary
@VascoJovenary Ай бұрын
We mwache acharuke na madem wa bongo ki
@robertkisasa1346
@robertkisasa1346 Ай бұрын
Haya aziz ki safar ya dubai siku 4 hiyo madada wa bongo kama nawaona😂😂😂😂😂kina mabetto wema
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j Ай бұрын
Huyo ndio Hamisa Bwana😂
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 Ай бұрын
Kwa hiyo Hamisa inekuwaje hapo jukwaanj? Amekuja kufanydje hapo jukwaanj ?😊
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw Ай бұрын
😂😂😂😂 kupiga picha
@RazakciAbdulRazakciAbdul
@RazakciAbdulRazakciAbdul Ай бұрын
Hatuna sabab ykuongea yote hayo kuhusu mapenz but ss tubak n ushabki ñ kutazam hay n ya wat wamependanao makenge naona mna tamn mngekua nyie embu achen upuuz
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 Ай бұрын
Exactly hivi wale wachezaji wenye wake zao wanawazungumziaje?? Unajua Kuna watu wana kisokolokwinyo mpaka kero
@mbatemgingamwita5944
@mbatemgingamwita5944 Ай бұрын
Umewambia ukweli hao wivu wawaacheni waone
@DanifordRashid
@DanifordRashid Ай бұрын
Nyie uswahilin mnaoana na mnaenda Coco ila Aziz ki namwenzake wanadanga achen uswahili kenge kaingia mjn ngja afundshwe huy n mobeto 😅
@henrystanley4077
@henrystanley4077 Ай бұрын
Ila nmependa Sana Rais wa TFF Wallace Karia amechangamka sana yani
@user-yn4di1lj7f
@user-yn4di1lj7f Ай бұрын
Mobeto anavyo onesha rahisi kweli yani ngoja nizichange😅😅😅😅😅
@Charlzlomo
@Charlzlomo Ай бұрын
Simba mbona mchezaji wa yanga akipewa tunzo inatuuma why?
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
😂😂😂ushajulikana uko wapi mdau tuko pamoja lazima waumie sababu roho zao za korosho wakati sisi Huwa tunawapa pongezi wanapokuwa namsimu mzuri wao wanaumia sana😂😂🙌
@user-gy3wo2ez4d
@user-gy3wo2ez4d Ай бұрын
Mama ako ajanuna
@jumamgeni6403
@jumamgeni6403 Ай бұрын
Ubaya ubwera
@emmanuelmalimi1849
@emmanuelmalimi1849 Ай бұрын
Azam huduma kwa wateja leo mbn haipatikani tuna shida
@user-yn4di1lj7f
@user-yn4di1lj7f Ай бұрын
Mchezaji bora fei toto bhaana uyo ki ni mfungaji bora kusamini wachezaji wanje tuu fei apewe haki yake wacheni ubaguri 😮😮😮😮😮
@AllyMaganga-cd8qm
@AllyMaganga-cd8qm Ай бұрын
Unaumwa ww
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Ubora wa fei upi? Kula ugali na sukari?? Acheni kulinganisha fei na Ki
@user-yn4di1lj7f
@user-yn4di1lj7f Ай бұрын
@@nicodemuswidambe5132 ugali na sukar ndo nn kwani mnyamwezi mm nyinyi wanyamwezi ndo mle ugali na ubora wafei huoni au unafirwann weee
@JonsonJames-tc1tq
@JonsonJames-tc1tq Ай бұрын
ubaguzi gani wewe kweli haujui mpira fei mwenyewe kapewa tuzo ambayo hakustahiri ile ya crdb federation alitakiwa apewe mzize.
@EmmaPonera
@EmmaPonera Ай бұрын
Unaumia ukiwa wapi
@IssaAbdallahIssa-ex7bl
@IssaAbdallahIssa-ex7bl Ай бұрын
Javi la wageni
@user-br7fz4zd5x
@user-br7fz4zd5x Ай бұрын
Malaya mkbwa azzi usiende nae nenda na mama yako mdangaji huyo anatakumaliza mpaka kipaji wee haya
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Ай бұрын
Acha wivu ingekua niwewe zari limekudondokea je😂muache apge hela
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Ай бұрын
Feysal cc watanzania tunatambuwa umuhimu wk ww onyesha uwezo worry out ucjal
@OscarGregorymosha
@OscarGregorymosha Ай бұрын
Tatizo ni nidham tuu fei ni mchezaji mzuri sana ajitahidi kupunguza jeuri
@alfredndau9195
@alfredndau9195 Ай бұрын
Ni kweli aicee Feisal ni mwamba ni mchezaji mzuri sana.ila kipengele cha nidhamu kinamwangusha sana afanyie kazi issue ya nidhamu atakaa fresh tu.Nakumbuka kule Amani stadium alikimbia kupokea nishani ya mshindi wa pili pia sina uhakika kama jana alikuwepo..Pia akumbuke mpira ni fea plei! A good player anyway!
@assumedprivacy3940
@assumedprivacy3940 Ай бұрын
4 nights in Dubai wanataka wamrubuni aende Al Nasr
@RithaMsuya
@RithaMsuya Ай бұрын
Hamis umtunze azz wetu 😂😂😂😂😂
@BINRESSA
@BINRESSA Ай бұрын
Karia tumbo kama tank vile
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Ай бұрын
Hamisa utatuhalibia mchezaji wetu mbona hana furaha akiwa na wewe muache ajimwae mwae alone bana aahh
@subirajohn728
@subirajohn728 Ай бұрын
Kweli kabisa Yani amang'ang'ania mwisho atambemenda mchezaji wetu!
@subirajohn728
@subirajohn728 Ай бұрын
Hongera Aziz🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 Ай бұрын
Kiwango kikishuka tu,thamani yako yote Azizi nayo itashuka,kisha vyote vitabaki kuwa ni historia tu maana sisi wanachama,wapenz na mashabiki wa timu hatunaga uvumilivu kiwango cha mchezaj kikishuka
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Hilo ni jambo la kawaida duniani! Hata wewe ukiwa na ela zikiisha hata ndugu zako watakukimbia! Hata kwenye mpira vivyo hivyo! Wewe cha kufanya ni kufurahia mpira wake uje usimulie vjukuu,ndo maana ya historia! Just be positive! Wote tumezaliwa watoto na tunazeeka! MAKE UR OWN HISTORY! HE IS MAKINGI HIS!
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 Ай бұрын
hakuna anaebaki kweny hali moja kama nguv zakiume mzee nae anahistoriayake
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
@@eidallyeidally5093 unajua kuna watu wameumbwa kuwaza negatively maisha yao yote! Sijui kuna mchezaji gani anaweza kuniambia duniani kadri umri unavyokwenda kiwango hakishuki ?! Sijui kaanza kuangalia mpira juzi,i dunno!
@mariammatuga5470
@mariammatuga5470 Ай бұрын
Hamisa alivyoona Dubai kainuka chap, Kaz kudanga tu
@user-yd1pc8uy8x
@user-yd1pc8uy8x Ай бұрын
Hapo ni Aziz sio hamisa. Wivu....
@amanizo96
@amanizo96 Ай бұрын
😂Sema ki kuva hajui
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Ай бұрын
Havai kibongo anavaa ki kwao ki Africa magharibi
@wimranpatrick
@wimranpatrick Ай бұрын
Auchoooo bora red cad kuliko mjeluhi jirinde mwananguu
@user-tk5ig4wt1o
@user-tk5ig4wt1o Ай бұрын
Mzazi ndo kila kitu bora ungend na mama ako kam yup hai huy hamis anafat her zak zikisha na yeye kasep
@ramadhaniyugah6287
@ramadhaniyugah6287 Ай бұрын
Ila watanzania
@innocentblandina1549
@innocentblandina1549 Ай бұрын
Remain there, kiingilish gani
@mbatemgingamwita5944
@mbatemgingamwita5944 Ай бұрын
4dys+ 4nights with Mobeto
@MamaBaraka-gw9sw
@MamaBaraka-gw9sw Ай бұрын
Ooooy
@JanuaryBeatus
@JanuaryBeatus Ай бұрын
Simba.nguvu.moja
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Ай бұрын
Tumwombee Aziz afanye vizur mwaka huu pia, kwan amelamatika aisee!
@josephattarimo999
@josephattarimo999 Ай бұрын
wanaponda tu sababu ya chuki zao, hamisa ni mwanamke mwenye akili sana na anajua nini anataka na kwawakati gani
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 Ай бұрын
Fear women
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z Ай бұрын
Yan hamisa hana haya malaya uyo kila mwanaume akisikia ana pesa ana kuwa mwanaume wake
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 Ай бұрын
Niwakati wa hamisa kusataafu awachie j-nz kama mwenzie wema!
@RazakciAbdulRazakciAbdul
@RazakciAbdulRazakciAbdul Ай бұрын
Aliye mpenda karidhka wwe ushakunaku wann tulia Kam unaona vp nenda bas kamchukue wwe kenge ww
@RazakciAbdulRazakciAbdul
@RazakciAbdulRazakciAbdul Ай бұрын
Aliye mpenda karidhka wwe ushakunaku wann tulia Kam unaona vp nenda bas kamchukue wwe kenge ww
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Ай бұрын
ILA TFF 😂😂😂😂😂😂 WANA CHEKESHA KO FEISALI HAWAKUMUONA 😂😂😂
@frankemmanuel5239
@frankemmanuel5239 Ай бұрын
Takwimu
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Ай бұрын
Adabu ZIRO alikimbia Zanzibar kupokea medal😂😂😂😂
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 Ай бұрын
Mwamba Hata kwa macho Tu,, Feisal hagusi Hata kodogo
@adiliatusmathias4908
@adiliatusmathias4908 Ай бұрын
Nikwel jamaa hajapenda
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u Ай бұрын
Kuna. Vichaaa. Waliompinga. Mafunhuo
@johnmushi8739
@johnmushi8739 Ай бұрын
Mshangaz
@jseventz
@jseventz Ай бұрын
azizi ni zuga tu
@mtegemeemungusiomwanadamu6618
@mtegemeemungusiomwanadamu6618 Ай бұрын
Wahuni sio watu wazuri
@RojsHead
@RojsHead Ай бұрын
Mimi kiupande wangu naona Bora fei
@JackKanyigo
@JackKanyigo Ай бұрын
Kafanya nn?..hana kombe hata moja,kimataifa hata makundi hajaingia xaxa ni mchezaji bora kvp?au ww sio mtu wa mpira unareta mahaba kwenye soka
@issaabdi9129
@issaabdi9129 Ай бұрын
Fei kaipeleka wapi Azam. Waulize South Africa
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Kufa na roho mbaya yako
MWANANCHI DAY | Utambulisho wa Chama, Aziz Ki, na Pacoume
5:39
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 30 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 30 МЛН