AHMED ALLY ATOA UTARATIBU WA MASHABIKI KUCHANGIA MILIONI 100 ADHABU YA CAF/"MAKOSA NI YETU SOTE"

  Рет қаралды 4,074

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 2 сағат бұрын
Wanasimba 🦁🦁🦁🦁 twendeni tukalipe lakini ukihakikisha na MAMA na BABA yako umewatumia mara mbili ya huo mchango wa CAF
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 4 сағат бұрын
Wanasimba tuwe tunaxhikana na mikono jamani Naombeni namimi mnixhike mkono niezeke 2 pagala langu ❣️🙏🤚
@MikidadiAbdu-s6o
@MikidadiAbdu-s6o 28 минут бұрын
Duh kuna hela ilichangishwa ya kujenga uwanja mara baada ya babra kuzuiliwa kuingia na watoto uwanjani ilienda wapi ile
@ramadhanimanga9078
@ramadhanimanga9078 38 минут бұрын
Wanasimba tusiwasikilize watu wa upande wa upinzani ambao wanatushawishi na kikatisha tamaa tusichangie, ukifiatilia uharibifu wa viti na fujo ni mipango iliyokusudiwa kuiharibia Simba heshima iliyoijenga caf
@mtalimaaloyce7860
@mtalimaaloyce7860 Сағат бұрын
Nawakumbusha tu viongozi wetu, Kua hizo namba mlizo zitaja mnazifuatilia vzr mana pia wezi wapo. Kupitia hizo hizo namba zenu so kuweni makini
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 56 минут бұрын
Hili timu kila siku nasemaga ni genge la wahuni hii sio timu😆😆😆
@alitante4279
@alitante4279 2 сағат бұрын
Semaji rudia hio mix by yas 😂 nimeipenda
@theodorasimbae7308
@theodorasimbae7308 39 минут бұрын
Nitumie hiyo namba
@florasele193
@florasele193 Сағат бұрын
Simba ya bakuli
@Six-k4b
@Six-k4b Сағат бұрын
Simba nguvu moja
@charles-lc4pp
@charles-lc4pp 2 сағат бұрын
SEMAJILETU TUMEKUSIKIA,NA TUMEKUELEWA TUNACHANGA SIMBA NGUVU MOJA
@ismailngulingar2133
@ismailngulingar2133 2 сағат бұрын
Watu wa simba walipofikia Imani ya mtu kutoa TV yake nje itakuwa ngumu sana wanaweza kuivunja kwa matokeo yoyote Yale maana mtu akishazoea kuharibu vitu akili yake itakuwa ni kuharibu tu Wacha waende bar au waangalie majumbani mwao
@thomaswamburasautvipaummeo7556
@thomaswamburasautvipaummeo7556 Сағат бұрын
hahahahaha 😅😂😂😂😂😂😂 bado hujasema na hela za uwaja zilieda wap
@MirajiSoud
@MirajiSoud 2 сағат бұрын
Kwani timu inapopata pesa kwenye mashindano mbali mbali na viingilio viongozi Wana wagaiya hiyo Hela na wapenxi wao kama hapana basi walipe wenyewe viongozi wasikwepe Majukumu yao
@saidbakari7998
@saidbakari7998 2 сағат бұрын
We nae utopolo tu kwaiyo mashabik wanavyojichangisha pesa kuwapa kina azizi k tuiiteje
@ambrosemwinuka-dc9hn
@ambrosemwinuka-dc9hn Сағат бұрын
Punju umelazimishwa kutoa? Acha udwanzi Fanya yako.
@AlbertNgailo-l5k
@AlbertNgailo-l5k 3 сағат бұрын
Ahamed kilainapochezwa mechi ya simba tiketi tumeni namba kama ya leo tununue wamikoani hatakama hatutaingia kwentemechi
@ismailngulingar2133
@ismailngulingar2133 2 сағат бұрын
Msizunguruke sana kosa mmefanya wote kwahiyo wewe semaji ndio uliowatuma kun'goa viti na kupiga wageni? Acha mambo ya siasa semeni viongozi tunaomba wanachama na mashabiki mtuchangie club inaukata acheni siasa weka bakuli tuchangie
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 2 сағат бұрын
TIMU MASIKINI, VIONGOZI HAWANA PESA YA KULIPA FAINI YA UJINGA WA MASHABIKI WAO, KISHA MNAJIITA TIMU KUBWA,,, NA MLIVYO WAHUNI HATA HAMUAMINIANI BATA WACHAFU NINYI... HAYA TOENI PESA ZA UPUMBAVU WENU NA NDIYO MKOMEEEEE KUFANYA UJINGA UJINGA
@DullhFeyy
@DullhFeyy Сағат бұрын
Kwani wewe unaumia nini hayo nimawazo ya baadhi ya mashabiki wenyewe wamelpeleka kwenye uongozi nawao wamekubali mawazo waliopewa huo nikama umoja na mshikamano nanimfano wakuigwa sasa wewe unaumia nanini bakia na tim yako inayo jiweza achana na simba hayo ni maombi yamashabiki wenyewe
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 Сағат бұрын
@DullhFeyy Lazima tuwaambie ukweli bhana, kila wakati ni ninyi tu mnafanya vurugu😏😏 Mnaharibu sifa njema ya taifa letu... Tanzania 🇹🇿 ni nchi ya amani, ila ninyi mnafanya upumbavu wa vurugu kila mara... Kama hamjui kucheza mpira si muache sasa 😟😟😟
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 45 минут бұрын
Kenya mda wote huwa ni vuruguvurugu sana, simba hamieni kenya mkachukue degree ya vurugu na msirudi tz kwenye ligi inayosimamia na tff.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 43 минут бұрын
Siyo inaumuza tu bali mmeleta aibu kubwa ambayo haijatokea kwenye taifa hili toka enzi hizo.
@abednego3876
@abednego3876 2 сағат бұрын
Hapo Mo hakosi milioni 100 ya kula na cabinet yake. 😅
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 сағат бұрын
We ni utopolo
@GwamakaAmosi
@GwamakaAmosi Сағат бұрын
Bakuri leteni huku mlipiwe
@fadhilifadhili1353
@fadhilifadhili1353 Сағат бұрын
BAKULIIIII MDOMO MWIINGI SASA MMEHAMIA KWENYE BAKULI
@MohammedHimba
@MohammedHimba 2 сағат бұрын
Mawazo hayo mnayatoa viongozi unataka kukwepa majukumu ni mafala tu ndiyo watalipa
@gabrielmwambogo3891
@gabrielmwambogo3891 Сағат бұрын
kwan waliong'oa viti ni viongoz kwel ww ni ng'ombe
@fadhilifadhili1353
@fadhilifadhili1353 Сағат бұрын
Muongo muhindi kasema mtalipia wenyewe ujinga wenu bakuli hilo
@GwamakaAmosi
@GwamakaAmosi Сағат бұрын
Matapeli sana haya
@SebastianSabatho
@SebastianSabatho 2 сағат бұрын
Utaratibu wa kulipa faini ya CAF.😂😂😂😂
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 2 сағат бұрын
Njaaa kubwa hioo simba
@scopy0428
@scopy0428 28 минут бұрын
Mudi katema Bungo 🤣🤣🤣🤣
@KingFood-v6t
@KingFood-v6t 2 сағат бұрын
😂😂😂 bakuli limeanza mapemaaaa
@saidbakari7998
@saidbakari7998 2 сағат бұрын
Utopolo bhana umeelewa kinachoongelewa kwel
@djbestseries5634
@djbestseries5634 3 сағат бұрын
Mo kagoma kulipa😂😂😂
@kilagane183
@kilagane183 3 минут бұрын
😅😅😅
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 сағат бұрын
Pia msirudie
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 2 сағат бұрын
Bakuliiiiii hiloooooooo
@abednego3876
@abednego3876 2 сағат бұрын
Timu la wasenge.
@AyubuAudax
@AyubuAudax 2 сағат бұрын
Hatuchangi ngoo, nyie Cndomunapokea Bahasha
@FatumaIbrahim-u5k
@FatumaIbrahim-u5k 3 сағат бұрын
Tupe utaratibu semaji
@GwamakaAmosi
@GwamakaAmosi Сағат бұрын
Fujo tu mambululu nyie
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka 3 сағат бұрын
Kalipeni fain wajinga nyie
@costantinemabusi-k2z
@costantinemabusi-k2z 4 сағат бұрын
Ujinga kabisa😅😅😅 yaan vadala ya kukemea vitendo hivyo
@AbrahamMohamed-o4q
@AbrahamMohamed-o4q 3 сағат бұрын
Choko we tulia cc tunachanga
@hapsasharia1512
@hapsasharia1512 3 сағат бұрын
unaumia ukiwa wp mzee 😂😂
@FatumaIbrahim-u5k
@FatumaIbrahim-u5k 3 сағат бұрын
Peleka upumbavu wako kwani unelazimishwa kuchanga
@AyubuAudax
@AyubuAudax 2 сағат бұрын
Hatuchangi ngoo, nyie Cndomunapokea Bàhasa
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Lissu azungumzia uongozi ndani ya CHADEMA
11:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 7 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН