KISUGU AWALILIA WANASIMBA KULIPA DENI LA CAF|TUSIWABEBESHE MZIGO VIONGOZI|HESA HIZI HAPA KUIPATA 96M

  Рет қаралды 10,251

wispoti tv

wispoti tv

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@EstaTito-b6h
@EstaTito-b6h 13 күн бұрын
TUMEKUBALI KULIPA TUNAIPENDA TIMU YETU SANA SIMBA NGUVU MOJA❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 13 күн бұрын
Kisugu umeongea 🔥🔥🔥🔥
@InnocentDalmatian-hs5uu
@InnocentDalmatian-hs5uu 13 күн бұрын
Sio kuchangia tu, napia kuomba msamaha kwenye uongozi wa CAF kuonyesha hali ya unyenyekevu kwenye uongozi
@JuliusMbikilwa
@JuliusMbikilwa 13 күн бұрын
Katika viumbe ninaowachukia hapa duniani ni wadudu Kunguni, Chuki zenye kiwango hicho Kiko pia Kwa mtu anayeitwa ALLI KAMWE.
@JuliusMbikilwa
@JuliusMbikilwa 13 күн бұрын
Tupeni utaratibu tuchange lakini hatuwezi kukubsli dharau za kipumbavu za waarabu wazilete mpaka Tanzania,na wajue siku nyingine wakithubutu kufanya dharau zao hatutawaacha Bure lazima kipigo wakipate,DHARAU ZAO ZIISHIE KIPINDI CHA UTAWALA WA KIKOLONI TU,wanafikiri hatuna kumbukumbu?
@charlesnzenga4681
@charlesnzenga4681 12 күн бұрын
Watoe A/c no. Tupo tayari na pili tuandae utaratibu wa wanasimba kuandika barua ya kuomba msamaha caf na kwamba Jambo hili halitajirudia. Walituponza wahuni wale na walijua kutukera kwao lzm tutareact.
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo 10 күн бұрын
Naomba mashabiki wa Simba Kila mtu awe mlinzi wa mwenzie
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 13 күн бұрын
Tupo tayari kuichangia timu yetu, wekeni nos tuanze kuchanga. Simba nguvu moja, ubaya ubwela.
@sadikingonyani8124
@sadikingonyani8124 13 күн бұрын
Jamani SEIF Yuko wapi?
@danielnshela9339
@danielnshela9339 13 күн бұрын
Hawa wameamua kututoa mchezoni tu lakin mm naomba twende tu tukajae nje ya uwanja kuishangilia timu yetu na wachezaji wetu watajua t kuwa tupo nje
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 13 күн бұрын
Kisugu nakuungamkono viongozi watupenamba yakulipia natusiwape kikomo wanachamachakulipa wenyeuwezozaidi alipe tupenimwongozo tulipe simba nguvu moja
@ArfredGilbert
@ArfredGilbert 13 күн бұрын
Yanga haendi lobo nipo pale 😂😂😂
@JustineMchopa
@JustineMchopa 13 күн бұрын
Kama kulipa tunahitajika tujikusanye uwanjani siku maalum ili tujipangie kutoka pesa. Wawepo watu wa benki na TRA kiasi kitakachopatikana kitangazwe ili ifanyike michakato mbalimbali na itakayobaki tuwape wachezaji kwa kazi mzuri waliyoifanya. Ni mawazo yangu tu.
@MordAlly-ng8jj
@MordAlly-ng8jj 13 күн бұрын
Tupo tayari kulipa hili deni tunahitaji haraka sana , viongozi watupe utaratibu kufanya hili
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 13 күн бұрын
Kweli wanasimba inabidi waichangie simba kwenye hio faini viongozi wakae wapange watoe Account no ya club wanasimba wachangie sio kupiga makelele na kulaumu elewenu wanasimba maadui zenu wananguvu kila sehemu wanatafuta sehemu mjikwae wapate sababu
@AndersoniMwame
@AndersoniMwame 13 күн бұрын
Yaaan bado hamjasema wachaw wakubwa nyie kisugu wambie wazee wakujiongezea nguvu hao Kwan masindano yao piah wamesahau
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 13 күн бұрын
Kisugu anataka kuwaibia msikubali wito wake
@OmaryMwiru-s1f
@OmaryMwiru-s1f 12 күн бұрын
Hili halikuhusu mwamba
@FatumaIbrahim-u5k
@FatumaIbrahim-u5k 13 күн бұрын
Tupo tayari kulipa tupeni akaunti tu au utaratibu MZURI wekeni tutoe.
@ArfredGilbert
@ArfredGilbert 13 күн бұрын
Tunalipa tu watuandarie utalatibu tuwaonyeshe chula sisi ni watu gani tunawaomba Uwongozi wa simba utupatie utalatibu tulipe hilo deni
@thabitmgeni8775
@thabitmgeni8775 13 күн бұрын
KWA NINI UTARATIBU ULE WA MWANZO MPAKA TUKAJENGA UKUTA KWA NINI CEO WETU AWEKE MKEKA TUJENGE UWANJA
@CatheOmaly
@CatheOmaly 13 күн бұрын
Tutakufa natim yetu
@AbdulAbdallah-dj1ey
@AbdulAbdallah-dj1ey 13 күн бұрын
Tuna omba viongozi wa simba. watoe namba za kuchangia hii adhabu washabiki wa simba wote tuchangie
@JuliusMbikilwa
@JuliusMbikilwa 13 күн бұрын
Hakuna cha tuzo ni kipigo tu wakome
@thabitmgeni8775
@thabitmgeni8775 13 күн бұрын
KISUGU UPO SAHIHI TUTALIPA NA SISI MASHABIKI TUPO TUTALIPA WAWEKE UTARATIBU TUPO TUPO
@ZuuKijangwa-g9w
@ZuuKijangwa-g9w 13 күн бұрын
Kisugu 🎉🎉🎉 tupo tayar kuisaidia timu yetu
@NaomiMwashinanga
@NaomiMwashinanga 13 күн бұрын
Alaf we unafaidika nann au umasikin ndo unakutesa
@MagesajohnNyamonge
@MagesajohnNyamonge 12 күн бұрын
Tuchangie tulipe faini Kama wewe Ni simba
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 13 күн бұрын
Hiyo adhabu ni ndogo ilitakiwa mfungiwe mechi 5 na faini ya mia tano kuku nyieee!!!
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.