Hongera wapenzi wa michezo Tanzania, changamoto na dosari katika michezo ndiyo ubora wenyewe. Unaona udhaifu kwa kuwa unalinganisha ligi yetu na ligi ya nchi nyingine. Linganisha ligi ya Tanzania na Kenya kwenye viwanja tu achilia mbali hao marefa. Tuhamasishane pia tuendelee kuelimisha hao marefa mambo yatakuwa sana na safi sana
@jacobsadock35302 күн бұрын
Ligi ngumu kwa baadhi ya teams lkn ni nyepesi sn kwa baadhi ya team, rushwa imetawala,uchawi wa njenje,upangaji wa matokeo, beting kwa wachezaji na team management na MTU m1 kudhamin team zaid ya 1
@erickbiharagu8942 күн бұрын
Nikwer team zilzowekeza ndo znakua namchezo mwepes 7bu ya quality ya wachezaj
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
Sasa mwambie moh nae azamini timu nying mchukue ubingwa watu wanataka ela sio mapenzi ndo maana GSM anawapa ata viongozi wenu pesa tuwapige mara ya tano
@NeymaTarimo-uk1zw2 күн бұрын
@@SalumMusa-f5lkuna siku mtalia nipo hapa
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
@@NeymaTarimo-uk1zw tulilie nn wakati my wetu upo utatufuta machoz
@SalvatoryMtunga2 күн бұрын
Penati fc, michezo 15 penati 12 halafu makolo wanajisifia kuwa ni timu bora.Mkienda Angola mtafungwa na ile timu mbovu ya bravo.
@Kassim_Suleiman2 күн бұрын
Bahasha fc nyie mushafungwa nyumbani na ugenini mnaburuza mkia kwenye kundi lenu pia MUNA madeni fc lipeni
@ousmanesaidy83272 күн бұрын
Mikono fc
@prophetjohnmasso1862 күн бұрын
Bado mlibebwa siku ya mtani penati ya mkandaji, mlibebwa siku hiyo zingefika 13. Wachezaji wa Simba imara sana lakini kila mechi wanakamiwa sana kila mechi upatu upo mara milioni 50 mara Simba timu kubwa
@suleislim45192 күн бұрын
Sio moja kaka ile siku ya mtani zingekua 15 , hii inamaan wametupunja penalty zetu 3 cku ya mtani so jumla ya penalty zilitakiwa ziwe zaid@@prophetjohnmasso186
@ShijaKishabi-dj6nf2 күн бұрын
Hizo penalty ilipiga wewe au muone kwanza . sindano FC.fala wewe .baada ya kwenda kmc mmeanza Tena sindano
@hassanrashid-l3u2 күн бұрын
Washabiki wa Simba wananifurahishaga sana ,walikuwa wanashelehekea nyimbo nyingi ,ngoma nyingi vifijo na mayowe midundo kibao wakageuka kuwa wazaramo kipindi yanga inapitia joto kali cha ajabu sasa wanaongoza kwa pwent moja magoli washafikiwa bado kipwenti kimoja manae zenu hameni tu uwanja popote tunawafuata
@storytime12042 күн бұрын
kumbe uchezi mpira unamfata simba😅aibu kweli simba ni team kubwa
@hassanrashid-l3u2 күн бұрын
@storytime1204 tunawaambiaje mama zenu nyie kifilo kipo pale pale injinia anawajua kuanzia mkunduni kwenu mpaka mavuzini kwenu na habo Bado tunaisubili dabi tuwafunge bakuli zenu
@hassanrashid-l3u2 күн бұрын
@storytime1204 cc tunawajuwa washabiki wa Simba wengi ni wa 2022,2023 kwa hiyo hamtusumbui ndo mana mlivyokuwa mnapiga Ngoma za kizaramo tulitulia tu ASA hv mshaanza kuchacha ,msemaji wenu ni semaji lisilokuwa na bahati lilopokaji tu cc tunaangalia mafanikio na mafanikio Yana njia nyingi ukitaka kufanikiwa lazima upambane usubili uone tutakachowafanya
@philemornmutta15972 күн бұрын
Jina la dini mdomo wa shetani kwani mdomo huo unakula ubwabwa kweli?@@hassanrashid-l3u
@NeymaTarimo-uk1zw2 күн бұрын
@@hassanrashid-l3ujitahidi basi upite iyo point moja ndo uropoke
@AllyAthuman-z9b2 күн бұрын
Marefa ndio watakao pandisha ligi au kuishusha ligi waelezeni ao marefa wawe fire
@DhahiriHamisi2 күн бұрын
Wamilik wa uwanja wa kmc ndio wamekosea itakuwaje simba inatak kucheza mechi yake kmc unaenda kuchez mazoez si kama sio kutumwa ni nn
@TomasiklistophaMwinuka2 күн бұрын
Swala la kudhamin timu 80 mtu mmoja imekaeje hamuoni kama anaweza kupanga matokeo kuibeba Tim moja kati ya hizo Tim alizo zidhamini .
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
Watu wanataka pesa ww SI ulilinga Tena Bado GSM anataka kudhamini ad marefa wamvae kwenye jez zao
@AnzadiMussa2 күн бұрын
Mbona baada ya mtokeo mabaya ya yanga haukukumbuka kuulizia hilo swala la kuzamin timu nyingi, makolo hamzaminiwi na GSM ila tunawafunga.. Kubari tu Yanga timu bora🔰🔰💪💪
@EmmanuelRamso-r9t2 күн бұрын
Wewe na Timu yako Simba Mmefungwa mara 4 mfululizo, je, kufungwa kwenu kumetokana na GSM kudhamini Timu nyingi?? Au na ww Simba Kufungwa huko kumetokana na Kudhaminiwa na GSM?
@aminaomari23122 күн бұрын
Gsm hadhamini timu 8 ni propaganda tu hizo.
@JumaHUssi2 күн бұрын
Zungumzia uhalisia. Timu 80 hakuna ligi ya aina hiyo duniani. Acha mihemko ya ukolo.
@SmilingBirdwingButterfly-yq3he2 күн бұрын
Yaani kuna comment ukisoma unajua kabisa aliyeandika ni mo cola anateseka na gusa achia twende kwao tuwapelekee moto
@robertphilip3852 күн бұрын
Twende kwao
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
Nabado watasema ao moh cora
@storytime12042 күн бұрын
Imagine mo anadhamini team zilizobaki?😅yani naye anakua ana alama 6 kwa kila team 6😅😅za bure😅 yani azam ndio atakua anadidimizwa😅
@AugustinoMwanawima2 күн бұрын
Mm niseme ukweli GSM ndio inayo alibu mpira wa bongo anawezaje kuzamini timu zaidi ya sita jmn
@reginaldnyinge88022 күн бұрын
Ligi bora ni isiyo na mauzauza ya mdhamini mkuu wa timu moja kubwa kudhamini timu nyingine tisa. Huu ni uwendawazimu
@ramsomaro91302 күн бұрын
Zitaje timu tisa
@SalvatoryMtunga2 күн бұрын
Yanga amemfunga singida black star bao 1 kwa mbinde, simba imemfunga singida black star kwa shida, sasa kwa nini udhamini wa gsm usingeifanya yanga ishinde 4 au 5?.Mikolo mileki mingi akili ni ndogo sana😅😅😅😅.
@lutenganoclement93572 күн бұрын
na kocha mkafukuza
@godfreyappollinary6502 күн бұрын
Ligi mbovu sana, huwezi kufadhili tim saba alafu zisitii maagizo yako,(GSM) Anatuharinia mpila wa Tz, nafikil na sisi tutaonana msimu ujao, ubaya ubwe?
@AnzadiMussa2 күн бұрын
😂😂😂😂 mpaka museme
@ramsomaro91302 күн бұрын
Mmeanza kulalamika bado hamjasema
@remmysanga88202 күн бұрын
Hamna kitu hapo bodi ya ligi hamjafanya vyema ni Tanzania pekee inayoruhusu mdhamini mmoja adhamini timu zaidi ya Moja. Huo ni upuuzi mtupu.
@amanichaula12 күн бұрын
Umependeza sana binti wa kiafrika
@emiliuskifigo30622 күн бұрын
Mmeshanunuliwa Nyie
@josephtimothymseo12622 күн бұрын
Viongozi hawajalo maoni ya wadau hasa kilio Cha udhamini Hadi Leo haijulikani udhamini MWENZA wa GSM ulifia wapi baada ya Simba kuupinga ! TUNACHOKIONA wamerudi Kwa kupitia udhamini wa vilabu 7 awali walikwanaje ? Kiongozi legelege huzaa taasisi legelege
@HajiHaji-v9f2 күн бұрын
Tff wapigaji tu wanambeba simba
@anithawidambe75432 күн бұрын
ILA WANDISHI NI WACHOCHEZI SANA WANATAFUTIZA VINENOVINENO. WAMEKUZA JUU YA CHASAMBI ILA.MENGINE WAMEONGEZA.
@usatoenglandvegas40462 күн бұрын
😂😂😂😂 watahama Sana 😂😂😂😂
@msabahaissa620123 сағат бұрын
Mbona uwanja wa Isamuyo na Uwanja wa Kaitaba hauna majukwaa na unatumika kwanini Simba isikubaliwe kuutumia uwanja wao wa Bunju komplex?
@tilusubya30433 күн бұрын
Tuwe wakweli ubora wa ligi yetu una mashaka .Fikiria eti zipo timu ligi kuu zinacheza ili kutafutia timu zingine ushindi mfano Singida inahama uwanja kufavour Yanga .kuna viongozi wa timu wanadhamini timu zingine kweli ligi hiyo ni bora? Usawa kati ya timu mubwa na ndogo haupo mfano michezo ya timu mubwa inahairishwa sana.ziacheni zicheze sj zina vikosi vipana.angalia wenzetu Ulaya timu inacheza jhmatano mechi za kimataifa Jumamosi ligi.Rekebisheni
@leilamohamed98423 күн бұрын
Umesahau pia penalty penalty
@radhiamussa16293 күн бұрын
Umeliona yanga tu Simba hukuiona na kubebwa kwao ovyoo
@ElitumainGoodwin3 күн бұрын
Umesahau penaty
@SebaProcess3 күн бұрын
Na Simba jeeeee
@saidimakambo21123 күн бұрын
Pernaty zote halali@@ElitumainGoodwin
@absm80842 күн бұрын
Utopolo🐸🐸🐸🐸 Wameshaharibu ondekeni hayo majini fc ni balaa
@BenardSambilo-h2h3 күн бұрын
Simba na yanga zinachafua mpila wa Tanzania
@Shu-w7f2 күн бұрын
Koma Kuiweka Simba Nyoko ww namba 6 Ligi Bora Ni Kwa ajil ya Simba Yanga Ndo anaeharibu ligi
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
@@Shu-w7fchizi ww Simba nani adi hasisemwe namba sita ata kikombe Cha maji msimu wa nne uhu huna alafu Simba inaaribu kweli lig kuroga wachezaji wa timu nyingine mipenalty isio na tija migori kibao ya mipango
@josiahkombe47842 күн бұрын
@@SalumMusa-f5lhyo misimu minne kabla ya hapo nan alikua anaongoza mnajisahau eh?
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
@@josiahkombe4784 ww hacha uboga MLA Jana Leo kala nn yaani mtoto kazaliwa Leo aipende Simba kwa mafanikio ya misimu minne iliyopita we muongo nn huwezi kumzungumzia misimu minne mbele ya mtu anaenyanyua makwapa Kila kukicha vp mkipita minne mingine utajivunia nn we
@storytime12042 күн бұрын
@@SalumMusa-f5lmisimu mi3 sio mi4, chukueni hio mi4 kwanza, alafu penat mnazo kibao na magoli yenu ya mikono na offside😂😂😂mechi 3 mnafungwa refa anakataa magoli😂msifungwe😂😂mnanunua team ili zisiwafunge😂😂mwisho wa siku mnakuja kufungwa na tabora😂😂😂aibu kimataifa ndio huko alama 1😂simba alikua anaishia robo kila siku mkadhani ni rahisi?😂😂 ligi ya mabingwa si kwa machoko kama utopolo
@julaimalidadi63942 күн бұрын
Kwenda huko mnaharibu league kwa kumruhusu GSM kudhamin vilabu vingi zaid
@MpoleJuta582 күн бұрын
Sasa kwani nyingi simunaongoza ligi jaman sasa mbona mushaanza kuhalisha point moja tyu
@ramsomaro91302 күн бұрын
Kwan wao ndo wanaruhusu mtu akadhamini au ni timu yenyewe ndo inaingia mktaba hatavww unaweza kudhamini
@MalulaMgasa2 күн бұрын
Tazameni vizuri huu udhamini wa gsm una mazingira ya rushwa na kubebana hakuna kitu.
@ramsomaro91302 күн бұрын
Katazame wewe
@ezekielmlay82192 күн бұрын
Mhe hata hao wanahabari wanaoripoti kwa ubora na yeye atakuwa bora. Ubora utawafikia wote au tutanufaika wote tuipambanie brand ya tff
@MahmoudHashim-c4h2 күн бұрын
Simba musikubal mtu mmoj kuzamn mechi Zaid ya 7 uo ni ujinga wa mwish
@HasanZuberi-m8e2 күн бұрын
Tff weakeni sheria kali atakae bainika nam
@makamelila2 күн бұрын
Unazungumzia ubora wa ligi Tim kununua mechi na nyengine kuuza mechi Hadi watu wanagombana uwanjani wengine wanatakanmagolibyafijebwangine wanataka wakaze yasifike hiyo ndio ligi Bora kuwwni makini ipoklabu kubwa inaharibulgi nchi hii
@ramsomaro91302 күн бұрын
Yanga angekuwa unaporeza usingesema hayo maneno😂
@othumanambae7613 күн бұрын
Akuna ligi ngumu tazania uongo mtupu ligi ngumu kwa Bazi yavirabu zingine zinaokota pwenti kiraini tiff yaovyo akuna usimamizi wowote
@ramsomaro91302 күн бұрын
Kwan na ww si uokote izo point kama ni rahisi
@mohamedmabruki786615 сағат бұрын
Tim zipo nyingi Mwambieni MO adhamini 10 Kama mnadhani ni Rahisi😂 Duniani kote wanakaribisha wadhamini halafu wewe unae lalamikia timu yako kolo fc why inafungwa na Yanga au na yenyewe imedhaminiwa na GSM?😂
@PeterNzalawahe2 күн бұрын
TFF iangalie uwezekano wa timu zinazo shiriki mashindano ya kimataifa kusajili hadi wachezaji 15 wa kigeni.
@abbasihamidu95092 күн бұрын
hapo kwenyewe tushafeli turudi na watano hakuna kusajili makipa kama ligi Bora za wenzetu misri n.k
@hajially45272 күн бұрын
Hivi niwaulize koli nao wananunuliwa na yanga au timu mbovu tu
@Josephtibu-l9e3 күн бұрын
tatizo la kupanda kwa ligi siyo uchumi ,Kama ni uchumi mbona tuliishusha ligi ya SOUHT AFRICA🇿🇦🇿🇦??? nayakwetu ikapanda ,nauchumi wetu upo chini
@MohammedHimba2 күн бұрын
Kuhusu uwanja wa KMC imejengwa kuongeza mapato ya halmashauri ya kinondoni ili fedha ilitumika kuujenga irudi na Friday pia kwa hiyo timu yoyote inalipa kucheza mechi au mazoezi sasa ukitaka kivingine jenga kwako
@RockyMbwana2 күн бұрын
Hivi wewe km mtu wa mpira unaweza kutoa pesa ukaanglie yanga na Singida kwel au na dodom na zingin au Pamba au Cost au Namungo na zingine kibao
@erickbiharagu8942 күн бұрын
Kama unapenda mpira mzur huwez kosa
@storytime12042 күн бұрын
Ligi mbovu hii mtu mfano mo adhamini team zilizobaki? 😅yani itakua simba na yanga tu ndio mabingwa pekee maisha yote😅
@SalvatoryMtunga2 күн бұрын
Mlipokuwa mnashinda hatukusikia kelele za timu kudhaminiwa na gsm, yanga wameanza kushinda mmeanza gsm kadhamini timu nyingi. Kweli mikolokolo akili zao ni za mashaka makubwa.Mlisema mtahama ligi, mtaandamana na vizee vyenu, mnavunja viti, kweli nyie akili zenu zimo kweli?
@Fredymlelwa-ox8xc2 күн бұрын
Mwandishi mbona huulizi ubora Marefa
@emiliuskifigo30622 күн бұрын
Viwanja vibovuu badilishenii miundo mbinu kuliko hizo propaganda ligi ya sita kwa ubora wakati ni point za Simba na Yanga za Kimataifa ligi Bora Gabi Kuna gape kubwa sana kati ya Simba Yanga na Azam achenii ubabaishajii hamna ubora tafta mtu wa mwisho Misri na achezee na KenGold uone Gap
@hawamasanje95893 күн бұрын
Simba wamepitiliza kwa uchawi mpaka nje ya nchi hadi wakapewa adhabu ya kulipa madola
@ernestkamata25553 күн бұрын
Wewe huna data, unachokiongea ni kulopoka
@AlexAmbrose-y8l3 күн бұрын
anamaanisha kule south Africa kwani we umesahau Simba C walichoma moto uwanja we ingia kwenye google ANDIKA Simba yawasha moto uwanja video na picha zitakuja@@ernestkamata2555
@kudrathmohammed3 күн бұрын
Toka ligi ianze umeshaa ona simba anapigwa faini ya ushilikina, nyie mchezo wetu simba na yanga mlipigwa faini M12 za ushilikina, Juzi to pale Congo mchezo wenu tp Mazembe mlitumia ushilikina WECHEZAJI walipita nyuma ya kibendela hii inaashilia nini, kwa nini atuonagi team zinalipa nyuma ya kibendela
@kudrathmohammed3 күн бұрын
@@ernestkamata2555 Huyu yupo yupo to ajielewi sasa hivi wao washikina wa kupingukia
Nahisi njia yenu ya kupata marefa mujitafakari kajifunze hata Kenya munaleta siasa ktk waamuzi
@HasanZuberi-m8e2 күн бұрын
Tff weakening sheria kali kwawale wanao jiusisha namambo yakishilikina waswuswe dalaja la2 Waialua ukuta
@absm80842 күн бұрын
Huyu jsm jsm jsm ni machawi tena mshenzi mkubwa
@rudo_b_classic11312 күн бұрын
Kwani mo yuko wapi kudhamini Tim zingine achane manenoneno nyie hamjui mpira ivi kati ya yanga na simba ipi inapanga matokeo
@RamadhaniChande-nk3rx2 күн бұрын
Hivi jamani nchi yetu haina watu wa tathimini ya ubora wa soka letu ?kwa sababu huyu gsm ataua utamu wa ligi letu.uwezi vizamini vilabu zaid ya sita.
@ramsomaro91302 күн бұрын
Vitaje
@abdallahomaryabdallah2 күн бұрын
Kudhamini.timu.sita.huko.nikupanga.natokeo
@Esterkomba-ef7eb2 күн бұрын
Hovyoo
@daimonmwasakifwa6893 күн бұрын
Kale kamwandishi chawa kaende kakahoji tena uhalili wa simba kuhama uwanja Kama kalivyokua kanatumwa na simba kuhoji uhalali wa yanga kuhamia kmc
@KulijeNovart3 күн бұрын
Kamwandishi kachawi😂😂😂
@DoreenMlay-e8g2 күн бұрын
marefa ,marefa,marefa mkuu hasa wanaochezesha mechi za simba wanaharibu ubora wa ligi yetu maana ya usajili mzuri nini kwanini wnabeba sana mechi za hivi vilabu vikubwa, na nyie mnaona sawa 2
@melissa_garden2 күн бұрын
Unakumbuka Kayoko !???
@leonardlunguya71123 күн бұрын
Katika vitu ambavyo bodi ya ligi mmefeli ni usimamizi wa marefa,marefa wamekuwa wa hovyo sana,Sasa sijui huwa wanatumwa na waajiri wao au ni uwezo mdogo wa waamuzi au ni makusudi tu kuamua avurunde? Simamieni Hawa waamuzi wanatuharibia sana mpira
@nassormussa3 күн бұрын
Wambie hao wanahabari
@DoreenMlay-e8g2 күн бұрын
waonyeni marefa wenu kufuata kanuni za michezo timu kuna timu zinaonewa
@NeymaTarimo-uk1zw2 күн бұрын
Kama Yanga ndo timu inayoongoza kwa kuonea timu nyingine😢
@NeymaTarimo-uk1zw2 күн бұрын
Kama Yanga ndo timu inayoongoza kwa kuonea timu nyingine😢
@FredrickSutta2 күн бұрын
Hays ni mawazo ya wenye ubongo mdogo ukisoma cheka tu usiweke akilini
@DanielJuma-w7y2 күн бұрын
Bika tuhame maana hatajazoeya fujo.
@alhajichamshama56122 күн бұрын
Ratifa umeolewa?
@BenardSambilo-h2h3 күн бұрын
Viongozi wa tff kujiingiza kwenye simba na yanga hapo ndipo mnapofel kwann hamnauwezo wa kujisimamia???
@leonardlunguya71123 күн бұрын
Suala la GSM kudhamini timu Sijui 6 hamuoni kunashusha kiwango na ubora wa ligi maana mdhamini mmoja timu kubwa inapokutana na timu ndogo hamuoni Kuna kupanga matokeo?
@selemanmcharazo3 күн бұрын
Acha mawazo ya hovyo hayo Fountain, prison na Dodoma zinadhaminiwa na GSM?
@eliasludani42012 күн бұрын
@@selemanmcharazoPrison ni silent ocean (mdogo wa GSM) Dodoma mlezi ni Anthony mavunde (mwanachama hai wa utopolo)...😅😅😅😅😅
@gabrielmwambogo38912 күн бұрын
udhamini sio umiliki ila udhamini unaweza kuwa na umiliki pia
@SmilingBirdwingButterfly-yq3he2 күн бұрын
Acha uchawi wa kizamani kinachowatesa makolo ni ubora wa yanga lakini wiki hizi mbili tumefungwa hizo kelele zikaisha tumerudi kwenye ubora mmeanza kutafuta visingizio
@fredmakombe25042 күн бұрын
Wewe kwa nini usidhamini hata timu moja? Ili kuwezesha timu kuwa na fedha za uendeshaji
@innocentmwagambo92633 күн бұрын
Saii mo akaamua kudhamini team 7 za tz kuna watu wataongea sana ila saii tff wanafurahia gsm anavyo fanya
@robertphilip3852 күн бұрын
Mo hata angezamini timu 10 ataweza moto wa yanga
@HABIBHASSAN-wf5mr2 күн бұрын
SIMBA KWELI HUWA NI MBUMBUMBU AJAKOSEA RAGE NUMEMUONA HATA JULIO AKISEMA SIMBA KWENYE SOKA HUWA AWAJUI LOLOTE KABISA... MATHALANI JUZIJUZI SIMBA WALIKUWA WANAPINGA YANGA KUHAMIA KMC KWAMBA YANGA UWANJA WAO NI CHAMAZI LEO HII SIMBA NA WAO WANATAKA KUHAMA UWANJA WA KMC SASA SI KITU CHA AJABU NA UJINGA ?
@Shu-w7f2 күн бұрын
Mbumbumbu Nyie mafala Mnanunua mechi
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
Kweli sio mbumbu tu Simba akili zao zipo kwenye vijambio ukiinua mikia Yao utazikuta
@melissa_garden2 күн бұрын
Mbumbumbu ni nyie Kila mechi mnunua
@melissa_garden2 күн бұрын
@@SalumMusa-f5lsiyo nyie wenye mwiko nyuma!??
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
@@melissa_garden adi nyie tushawanunu my wetu Kila mechi kojo tu adi mtuzae
@saidsalum25462 күн бұрын
Ubora wa ligi unaharibiwa na changamoto ya waamuzi na udhamini wa taasisi moja kudhamini zaidi ya vilabu 6 ili ni tatiZo
@robertphilip3852 күн бұрын
Sasa hiyo Simba Yako mara 4 mfululizo je Simba na yenyewe inazaminiwa na GSm ? Wewe ni jinga kweli
@erickbiharagu8942 күн бұрын
Udhamn hauhuski hata kdogo, team znachochewa morali na udhamin huo ikiwemo kupata bonous na usafr wa uhakika😊
@melissa_garden2 күн бұрын
@@erickbiharagu894udhamini unahusika mdhamini mmoja hawezi dhamini timu zaidi ya Moja kwenye Ligi moja
@saidngoto7583 күн бұрын
Wekeni VAR ndio makandokando yaishe
@abbytafa3 күн бұрын
😂😂 bro alokwambia VAR suruhisho nani ?? Ukumbuki yanga na mamerodi
@saidngoto7583 күн бұрын
@abbytafa ligi iko na uozo VAR itapunguza makosa mengi sana hata kama si 100% atleast 30%
@abbytafa3 күн бұрын
@@saidngoto758 nakubaliana na ww ila tz tunampira wetu na wa kivyetu vyetu hata uweke nn waamuzi wakiamua wameamuatu ao viongozi wenyewe wanatim zao
@melissa_garden2 күн бұрын
Ata zikiwekwa wataziharibu tu na Kila mechi Zitakuwa hazifanyi kazi
@Josephtibu-l9e3 күн бұрын
TATIZO LA UTOPOLO HAWAWEZI KUXHEZA MPIRA BILA USHIRIKINA
@SebaProcess3 күн бұрын
Tumia na wewe huwezi acha
@MikidadiAbdu-s6o3 күн бұрын
Unafikil yanga hawakuwa na akili kuhama chamazi hya Simba wakatoe uchaw wao kule walio uweka ili wakautumie ule uwanja
@MikidadiAbdu-s6o3 күн бұрын
Simba ndio timu chawi Africa had kufkia hatua ya kuwasha moto uwanjani na wakalipishwa faini
@abbytafa3 күн бұрын
Ingekuwa uchawi ndo mpira bas angechukua ubingwa
@sicatz92043 күн бұрын
Ubaya ubwela
@BenardSambilo-h2h3 күн бұрын
Hakuna anayeiweza yanga kwa uchawi
@jamesmaige51893 күн бұрын
Azam fc anawaweza😅
@selemanmcharazo3 күн бұрын
Waende makolo wafuate wadogo zao
@NyasanaTv-ol4ix3 күн бұрын
ligi yetu mbovu sana na inahalibiwa na gsm saiz imebaki kuihujumu simba tu isipate matokeo haya yote bodi ya ligi ndo imekubalia yote haya pamoja Tff wote ni yanga mbona iwe tz tu haya ulaya ushaona matajili wanazamini tim zaid ya moja ligi moja acheni basi ushamba huo
@greysonkisinda73903 күн бұрын
Na hizo penalty za wizi mnazopewa ni gsm pia? 😂 😂
@simonnjovu5863 күн бұрын
Karia na Kidao ni Yanga? Unafikiri kitumia nini?@@greysonkisinda7390
@selemanmcharazo2 күн бұрын
Sio penalty TU ikiwa hawajashinda marefa wanawaongezea muda tofauti na uliopotea wakiwa wameshinda goli 1 marefa huongeza dk 3 tu
@richlord226342 күн бұрын
Inshort hairuhusiwi kudhamini zaidi ya team moja kwenye ligi moja.... Yani team nyingine zingeamua kuchachamaa na kupeleka malalamiko FIFA, GSM angefungiwa udhamini kwenye team nyingine na faini juu sembuse. Mmiliki mmoja wa team anaweza kudhamini team zaidi ya moja kwenye ligi tofauti tofauti lakin sio ligi moja, TFF wanaendesha hii ligi kishkaji sana mara nyingi hawafuati taratibu za FIFA, n vile tu FIFA hafuatilii sana hivi viligi vidogo vidogo.
@burukinyebo62942 күн бұрын
Sasa goli la penati na goli la Mkono lipi linaruhusiwa ktk Mchezo wa Mpira!??usiweke hisia za ushabiki pindi tunapojadili mustakabali mzima wa maendeleo ya soka ya Nchi hii
@TwahirMohammed-x2h2 күн бұрын
Waamuzi wenu walio wengi wanaibeba sana simba kila siku penati muekezaji gani atakae kuja kuwekeza timu ndogo ili iwe kubwa mfano hai angalia mechi dodoma jiji na simba penati ya hovyo
@melissa_garden2 күн бұрын
Mnaobebwa ni nyie mnakazania Simba😅😅😅 penalty zote za Simba ni sehemu ya mchezo
@motivation-ic3nf2 күн бұрын
Timu yangu simba na timu yenu yanga ndo watengenezaji wa hii ligi kua na mvuto ila ndio waaribifu wakubwa pia
@KhamisMjomba3 күн бұрын
Wewe.muongo
@Esterkomba-ef7eb2 күн бұрын
Hakuna bodi wajinga tu
@robertphilip3852 күн бұрын
Marefa wafuatao ndo wameibeba sana simba janeth balama na jenister rukia na Abdul Aziz wa arusha bilahao marefa simba ingekua nafasi ya 6 kwenyemsimamo wa ligi
@KANAZIBoy2 күн бұрын
Kumanyoko wewe
@NyasanaTv-ol4ix3 күн бұрын
mimi nacho ona iko siku kila mtu ataandaa ligi yake tena mimi nacho ona azam na simba waungane waandae ligi yao yenye ushindani na hilo kombe liwe na samani kubwa kiliko hili la ligi kuu tuwaone kama ligi yao itakua na mvuto sasa hujuma zimekua kibao ujinga mtupu umetawala