MASHABIKI WA SIMBA WALA TUSIJALI WALA TUSIGOMBANE TUIOMBEE TIMU YA SIMBA
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo2 күн бұрын
Simba ni club ya 6 Africa siyo ya 7
@RasuliIssahRasulilssag3 күн бұрын
Kuna WACHAMBUZI na mbuzi sasa hao ni mbuzi
@essaumapunda57662 күн бұрын
Kisugu una akili na hekima za busara
@Mandalasimba3 күн бұрын
Safi sana bloooo
@Liamtribalchief3 күн бұрын
Kisugu kama kisugu😂😂😂😂
@TomasiklistophaMwinuka2 күн бұрын
Kisugu unaongea kwahisia pole
@AnnoyedDove-oo3kkКүн бұрын
Taaluma siku hizi haifuatwi mtu kujua kuongea tu yuko redioni
@AkramIbrahim-m6xКүн бұрын
Naomba Kumuuliza Kwani Hy Kisugu Yy Kama Nani Hapo Simba Yy Anajifanya Simba Kama Timu Ya Ukoo Wao Maana Yy Ndio Kimbelembele Kama Ushuzi
@thomasphilip7258Күн бұрын
Kwani we ni nani mpka uhoji hivyo?
@angellomarcel5677Күн бұрын
Ina HU..?
@angellomarcel5677Күн бұрын
@@thomasphilip7258 achana naye anawashwa
@HabibuMalima12 сағат бұрын
Ni mwanachama na shabiki maana yake ni team yake
@AbdonLukungu-r4f3 күн бұрын
Kichwa tenga akili hauna.
@januarysungura81193 күн бұрын
Weka zako tuzikague
@HussenJaffar-l9g2 күн бұрын
We unazo
@anithawidambe75433 күн бұрын
AOMBE RADHI CHASAMBIKWA I AMEKOSEA NINI?MASHABIKI WA SIMBA TUUNGANE KWA PAMOJA TUACHANE NAO HAO WANATAKA KUTUVURUGA SIMBA. TUWE MAKINI SANA MASHABIKI WA SIMBA
@AffectionateChess-mh5cz2 күн бұрын
mm siku izi hata siwafuatilii kabisa wasafi Bali wanamuziki wao tu lkn sio kweny kipindi chao cha michezo yani wale pia hawatupendi
@ramadhaniharuna544123 сағат бұрын
Nina miezi mitano, Nimewapotezea kabisaaa.
@amiboytz-z6u3 күн бұрын
Msimu mmoja slogani 2 we uogopii twende kwao wanaangaika2
@ZainulJuma3 күн бұрын
Hawa wachambuzi siku moja tutawafuata hukohuko kama za mama zao machoko
@harounmaarufu32412 күн бұрын
Mimi wasafi nilishaacha kuisikiliza
@charlesmhagama4860Күн бұрын
...hata mimi niliacha kuwafuatilia siku nyingi sana
@joackimumalya71383 күн бұрын
Wachane mbwa wale
@mrrockboy95083 күн бұрын
Nimechi 4 tu bado mjabweka kudadeki KAMDOMO🤫 😂😂😂😂
@endymwinyi19703 күн бұрын
Wasafi
@mitinjemaziku3 күн бұрын
Unabweka sana mbwa wetu 😂😂😂😂
@ElyrehemaMartin2 күн бұрын
Acha kututoa kwenye njia
@swamadujumanne795Күн бұрын
Waandishi mnawauliza watu wasiojua mpira mpaka anafikia hatua yakuwatukana wachambuzi tatizo wamezoea kusifiwa tu
@HabibuMalima12 сағат бұрын
We yanga ngoja dawa ikuingie
@AkramIbrahim-m6x12 сағат бұрын
Ktk Mashabiki Wa Simba Sijamuona Shabiki Mjinga Mpumbavu Hajielewi Hajitambui Hajifahami Kama Kisugu Kuna Simba Wengine Wapo Km Yy Wana Msapot
@anithawidambe75433 күн бұрын
HIYO CHANEL INACHAMBUA KIMAPENZI YA TIMU CY KIMPIRA HZ CHANEL ZINAUCHO GANISHI SANA KITUKIDOGO WANAKIKUZA HADI KINA KUWA KERO