Hapa nakumbuka nikiwa mdogo wa Miaka minne saivi nimekua mkubwa naelewa maana yake mapenzi na doo, Nasikiliza hapa 2024❤️👊👊
@moneymane108210 ай бұрын
😂😂apo hali vipi?
@berryxmsanii10 ай бұрын
@@moneymane1082 mambo freshi 💔
@JudyLee-hf9cy8 ай бұрын
🤣🤣🤣😅😅😅
@berryxmsanii8 ай бұрын
@@moneymane1082Hali jinsi unavyo ina mapenzi na pesa😂😂
@berryxmsanii8 ай бұрын
@@JudyLee-hf9cyhaki sisi😂😂
@lynahasiko6454Күн бұрын
2025 bado ngoma inatesa....dudu baya much love from kenya❤ gonga like twende tukisonga.
@youngmoney50937 ай бұрын
Oya ni mwezi wa sita 2024 naomba like hapa❤
@jennydamba765525 күн бұрын
❤
@josesombo186 Жыл бұрын
Haya ndio yalikuwa madude ya fujo. Mob love from Kenya 2023
@mbokomboko597411 ай бұрын
2024 motooo kma bado unaskilizia gonga like tuende pamoja
@PurityMakena-q7j10 ай бұрын
And where are these people?
@hamisinngoa42519 ай бұрын
wasanii wazamani ndio walikua kusema ila wasanii wakisasa burerekabisa❤❤🎉🎉😢😢
@petersmith6959 ай бұрын
Hii ilikuwa noma
@paulondiyogi21898 ай бұрын
Naipenda sana
@chrisoneilniyungeko8398 ай бұрын
We sikupatia iyo like?😄tukopamoja bana nayisikiliza sasa hivi😄
@stephenmaina559910 ай бұрын
LOVE FROM KENYA 2024 STILL ROCKING❤❤
@chezarygeorge26664 жыл бұрын
mambaaaaa, konki, konki, konki mastaaaaa, Tororo boy much rispect
@kellyyaman30692 жыл бұрын
2022 still one of the best jam in kenya 🇰🇪
@alumaisundaydraiko21292 жыл бұрын
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@justuswangila76042 жыл бұрын
This song waah waja tu 😁 those days Old is Gold enyewe 🙏
@rebeccamwose Жыл бұрын
2023 best Coco jam in Kenya 😋🌠
@niyofrancis13 ай бұрын
Yessir
@obbymweucy44246 ай бұрын
Beat za mika mwamba hazidanganyiii.....🔥🔥🔥
@richie_Jk4 жыл бұрын
2020 lakin bado tunalisongesha kuzikumbuka nyimbo tulizokua nazo onelove weka like yako twende pamoja
@petromarasi48584 жыл бұрын
Ukweli bongo flavor za zamani ni nzuri sana hata haiwezi kuchuja kamwe
@jerushanyawera49643 жыл бұрын
💪Hao ndo walikua originally musicians,wengine wanaiga. I love you konki🇰🇪
@kimilasayi262611 ай бұрын
kali sana
@elmiabdirahman79442 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 product never gets old You can feel the instrument 🎸 The Base
@menalikechildren88368 ай бұрын
Coz beats zilisukwa na maproducer wenye vipaji na uwezo
@ashachitemo78163 жыл бұрын
Kama bado unanipenda hii ngoma achia like
@philipmakemba21545 жыл бұрын
Kama umeangalia hii ngoma 2019 gonga like apa chini dudu baya
@byaruhangastephen4137 Жыл бұрын
Back here for the Nolstagia 1 May 2023 those old days on East Africa Television One love From Uganda 🇺🇬 ❤
@vincentonyango98014 жыл бұрын
In 2004 it became a national anthem here in Kenya,stl a big tune in 2020
@RomanusTv6 жыл бұрын
KONKI KONKI KONKI MASTAA .. OIL CHAFU MAMBAA
@ramadhanurassa24106 жыл бұрын
Romanus Tv konk konk konk master oil chafu
@RomanusTv6 жыл бұрын
@@ramadhanurassa2410 Nomaa
@ramadhanurassa24106 жыл бұрын
waambie ma konk wote Wagonge like hapa
@leonardmrope95286 жыл бұрын
😁😁😁kazi kazi
@dmctv65376 жыл бұрын
Konki konki konki master oil chafuuuuu
@fredrickowino3 Жыл бұрын
Ni 2023 lakini bado nausikiliza huu wimbo dah much love from kenya
@marthabrigz33414 жыл бұрын
Those old golden days,when every song was a hit,still jamming from Kenya🇰🇪
@Youngreefa Жыл бұрын
every song was a hit.
@marcelndaye224 жыл бұрын
Mpaka ivi ngoma ni nzuri kabisa kali sana Tokea Drc 🇨🇩 😍
@dieumechikard8345 Жыл бұрын
My brother ngoma hilivuma mwaka gani? From drcongo 🇨🇩
@mohamednoti14012 жыл бұрын
Nakumbuka hii ngoma mwaka 2004 ilikuwa balaa zito🙌🙌
@DEGESTAR6 жыл бұрын
Gonga like kama bado waitazama iyi ngoma ya Konki konk konki master..oil chafu😀😀😀 NOV 4/ 2018
@dmctv65376 жыл бұрын
saaahii tu
@zuwenayahya67675 жыл бұрын
😂😂
@jerushanyawera49643 жыл бұрын
Actually l was listening it right now,thumbing up me🇰🇪
@edwinsigei854816 күн бұрын
Mapenzi asiependa doo. Mwananke mchamungu aliejisitiri na kulelewa vizuri. Ila na wazazi au na Dunia yenyewe. Nakupenda sana baby
@markvellykarisa Жыл бұрын
Fantastic...Job poa napenda kazi zako Dudu..
@naimasaid77634 жыл бұрын
Hiki kitu hakichuji 🙌🙌🙌 kachuja yy mwenyewe tu
@amosjames11033 жыл бұрын
Wanangu wa mboka manyema enzi hizo ndani ya Mwana isungu acha kabisaaaaa
@IssaMgawe7 ай бұрын
Mzee enzii izo ilikua n.s.s.f gorofani kwa porojoo
@CrazyBarsnLines4 жыл бұрын
Dudu Ba , mbaya adi leo na kesho 🇰🇪🇰🇪
@reginalekuton850 Жыл бұрын
Still listening in 2023 never get old😊😊
@FarajKenya7 ай бұрын
Love from Kenya ❤… hii ni zaidi ya NYEGEZI… . . . . . . . #Yankolowski
@melvintarus86978 ай бұрын
2024 tupo ndani tukiskiza. Inshallah!!
@ibrahimmsanif44577 ай бұрын
Pamoja sana 18/5/2024
@mylekaka46308 ай бұрын
This song was a total hit dem days in kenyan clubs especially kenyan coast mombasa❤❤🇰🇪🇰🇪
@asiimwejustine74652 жыл бұрын
This was a hit during our high school days 15 years ago. Love this song though I don't understand the language.
@robertalloyce88229 жыл бұрын
Hu wimbo unanikumbusha mbali sana kuna dem nilikuwa nafukuzia halafu mfoni sina kitu
@المهلهلالحراصي5 жыл бұрын
Pole ulimpata au hukumpata tena kaka huu wimbo unatoka mm nilikuwa bado mdogo sana hata la kwanza sijaanza
@domnicmnangat24964 жыл бұрын
Tbt
@DanielAsiachi15 күн бұрын
Niliamishwa kijijini kwa sababu ya kwimba huu wimbo na mama nakunipeleka eldoret kunitupa huko ni kijina was Luanda
@louismwape74753 жыл бұрын
Congo bado ina liya iyi song🇨🇩
@b_cheune2 ай бұрын
Bado tupo 2024. Love from Uganda 🇺🇬 This jam came out when I had just joined secondary school. Very nostalgic!
@feimanjos4905 Жыл бұрын
Old is gold,used to listen back in primary
@anelkaking93425 жыл бұрын
Dudu baya.mzee noma.toa kitu kingine
@itsdjeazybaby7097 Жыл бұрын
This beat is number one to this day ❤
@Rugarabam5 жыл бұрын
kabla dudu baya ajavurugwa a kitu cha arusha,.....namskiliza leo 2019, rudi kazn dudu baya acha kiki za oil chafu.....
@mjm98067 жыл бұрын
Nani anaangalia hii 2017 😂. mi old is gold kwa kweli
@YOLA.7 жыл бұрын
Mj M meeeee
@daimavlog7 жыл бұрын
Mj M me
@josephmtanke60227 жыл бұрын
me, old iz gold
@ZIGUAGIANT7 жыл бұрын
2018 😂
@mercyernest64506 жыл бұрын
Sanasana
@officialmrtop10185 жыл бұрын
Hahahha duuh wew ulikuwaga noma sana unanikumbush mbali sana
@ichukagaum97326 жыл бұрын
KONKI KONKI KONKI. .MASTER KUMBE NDIO HUYU😃😃enzi hzo nipo darasa la 4
@suleimanmohamedramadhan33705 жыл бұрын
2003/2004,kweli imenikumbusha mbali
@daimunmiyongas14864 жыл бұрын
Uyu jamaa alikuwaga noma
@mathewmwangangi6092 Жыл бұрын
One of the best songs of all times
@gabrielkabato99095 ай бұрын
Ngoma tamuu sana hii
@oberdkyando46166 жыл бұрын
Hii ngoma inanikumbusha mbali na all days naiona Mpya kwang konki konki konki Master..
@joharmaulid59105 жыл бұрын
Wwe dudu kumbuka ulipotoka,,,hahaaaaaaa saiv unajiit qonk master noma sana
@Mainestify11 жыл бұрын
Can we all agree on one thing-we all came here this is a fuckin' beautiful song! I remember listening to this in high school! Muck love,peace and light from Nairobi, Kenya!
@henrynzimbi18853 жыл бұрын
8 years ago!!
@kevinereng13413 жыл бұрын
Wait tell me more about those years.like mlikua na smart phone? Ama wewe ulikua coolkid?😂😂
@abdulldebruyne761 Жыл бұрын
Bro love its 10 years ago
@dakaneaden10 ай бұрын
Woooooiiiiii 10yrs 😢
@rehemahamisi99715 жыл бұрын
Mwambaaa enzi izo akuna vichupa zilikuwa ova saiz lkn walikuwa wanapendeza kinyamaaaaa
@zumbeshauri81146 жыл бұрын
watu wakazi bado naamini mziki wa zamani unaishi nabado wapo vizuri dudu baya necha profesa sugu dah watu wakazi
@surujajwie47683 жыл бұрын
nilikuwa kitoto from Tz Oman
@hajjkassim19825 жыл бұрын
Big up for mika mwamba still a legendary producer
@ericksangajr71735 жыл бұрын
Director alitisha sana japo zilikuwa enzi za mwalimu watchinf again today 29/9/19
@moseskiiru41676 жыл бұрын
The track was huge in Kenya back then
@News254Kenya4 жыл бұрын
Coz aliimba kikenya using slangs like manzi, dem, shore, doo, etc.
Hiii ngoma nilikua naidance yorkhouse na f2 kenya walai when life then was simple
@glamvio14 жыл бұрын
LOL! cheza baby "tetemente" tingisha baby " nauweza" i like it!
@Rugarabam5 жыл бұрын
hapoooo..... chumita..2:39..konkiiii ulimbaaa
@peterkyalo9455 жыл бұрын
...takes mi down memory lane,growing up at Mnarani,kilifi way back 2003 it was the the biggest hit,,,makuti club
@davidmlandi83295 жыл бұрын
Peter Kyalo it was fire then bro
@salhamrisho81382 жыл бұрын
Nimekuja hapa baada ya kuona maujiano ya Sandra kwa bona kama umekuja hapa baada yakuona ma ujiano ya bonatv tujuane hapa 💃💃💃 tar 18/4/2022 goma bado la moto mashaa allah ♥
@latiffah87712 жыл бұрын
Mim pia 😂😂
@zuberimkuba36746 жыл бұрын
Konki konki konki master oil chafu mamba kama unamkubali weka like hapa twende sawa
@minzahmihayo6744 жыл бұрын
Nakupendasana hatawasemenini
@moudykindole37254 жыл бұрын
Mambaaaaaaa
@priscamaige16126 жыл бұрын
Ni Nani anapoangalia lazima asome koment like apa
@mathayojoseph47336 жыл бұрын
Umejuaje mrembo
@ommympare87106 жыл бұрын
Ulijuaje
@jumaomari21746 жыл бұрын
mh
@limbumboyi12336 жыл бұрын
Prisca lazima usome coment
@malamafyisamkanda53626 жыл бұрын
Ngoma kali kama ulivyo wewe
@rosemary38164 жыл бұрын
Wewe msukuma uliua Enzi izo duh ni shidaa
@wanjara0013 жыл бұрын
When I got my first girl friend, this was the anthem, thanks to radio free Africa,and Rip "fredua"
@nataliapurity930 Жыл бұрын
My first boyfriend used to sing this song to me❤️
@omarysalim68762 жыл бұрын
Mungu akulaze mahari pema peponi rafiki yangu brenda ulikuwa ukiupenda sana huu wimbo
@paschalsafari97478 ай бұрын
Daah hii nyimbo ni kali kinoma ..dudu baya uko wapi mzee baba rudi industries mkuu...wewe ni nomaa....
@reginawitacha79216 жыл бұрын
Konki konki konki master dadeki nakuja mtwara kwa ajili yako bro
@bonniekapelo3083 Жыл бұрын
Listening to this song in 2023 ,stars born in 2095 know that this hit made my childhood lit.i died long-time ago
@BarakaJames-s1w7 ай бұрын
Dhaa ngoma Kali Sana hiii dhaa nakumbaka mbali Sana Mr dudu baya nikiwa shinyaga Mgodin kipid kile dhaa
@ernestndauka93015 жыл бұрын
2019 still watching!!! Hii song ze Dudu ata ungepiga remix au video mpya lingenoga kinyama!!!