MPENZI WA SHILOLE ATOA YA MOYONI -"SIENDESHWI NA MANENO YA MITANDAONI, SIOGOPI KUSALITIWA"

  Рет қаралды 10,109

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Shishi ni bola uwolewe.kuliko kuzini zinitu. Unapatazambi mwisho lini na hujui binaadam kifochako nakifo kinakuja ghafra. Mtu unabiashala zako kwanini uburuswetu ebu.jisimamie angalia anaekupendakweli na hakuna mwingine ni yule atakaekubadilisha. Urudi kwamuumba wako ufate.sheria za diniyako huyondiye mumewakweli. Intakilaah shishi❤❤
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 3 ай бұрын
Huyu ni mkubwa sio sawa na kinauchebe😂
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 3 ай бұрын
Kumbe hata siyo mdogo ni mtu mzima mwenzie hata kama wamepishana siyo mbali sana
@braggadachu1723
@braggadachu1723 3 ай бұрын
Kila mtu kijana atamla shish😂nasubr zamu yangu
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz 3 ай бұрын
Hapo hamna dini
@NadsmaaliAli
@NadsmaaliAli 3 ай бұрын
Nilaana hiyo ya mziwanda😂😂😂
@getrudamatoto5277
@getrudamatoto5277 3 ай бұрын
​@@NadsmaaliAli😂😂
@teedullah5708
@teedullah5708 3 ай бұрын
Ooh kwaiyo jipange
@rehemalugoma5638
@rehemalugoma5638 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@meryamreally2768
@meryamreally2768 3 ай бұрын
Aaaah 😭😭
@Keyjop
@Keyjop 3 ай бұрын
He's trying to be gentle 🔥🔥 shishikapatikana😂
@Veni584
@Veni584 3 ай бұрын
Duh!
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 3 ай бұрын
Afu asiite Shishi aite Dada au shangazi
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 3 ай бұрын
Huyu kibenteni wa shilole anajua kupangua maswali utadhani mwanasiasa
@braggadachu1723
@braggadachu1723 3 ай бұрын
Ni swala la mda tu
@julianapeason6254
@julianapeason6254 3 ай бұрын
Ataachwa tu kwani yeye ni nani? time will tell
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 ай бұрын
Shishi waburuze wapange foleni ,wapo wengine nyuma ukimchoka huyo tupa kule
@aminajuma1156
@aminajuma1156 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 3 ай бұрын
😂😂
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 ай бұрын
Mchuneni huyo sio ukitoka hapo auna kitu
@EmmyFesto
@EmmyFesto 3 ай бұрын
hapo hakuna Mume kuna katapeli kanacho mjua mungu
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 3 ай бұрын
😂
@EvaWaziri
@EvaWaziri 3 ай бұрын
Omy umemuuliza maswali manzuri
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 2 ай бұрын
Wacha wee Zuwena
@rehemayona2223
@rehemayona2223 3 ай бұрын
Kwan ww kaka hujaona watoto wazuli na wadogo to Ila hapo kuna kitu umekifata ww😂😂😂
@NadsmaaliAli
@NadsmaaliAli 3 ай бұрын
Wataachana tu kutakuja kibeteni chengine wewe soma gazeti ukiona ulihelewi soma jengine
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi 3 ай бұрын
Hakuna mtume alie salitiwa acha akili za nguruwe.Unajitahidi kuongea kiufasaha lakini wapi mpaka ukaamua kuwazingizia mitume.
@alphamenson3784
@alphamenson3784 3 ай бұрын
Man amemanisha sio mahusiano ya kimapenzi tu
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 3 ай бұрын
Mkiachana uje uulizwe Tena na wewe sio MR Bali Mrs kwasababu ni kibentee yaani umeolewa na huna say
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН