Ningekuwa mimi ningemwambia nipe hela ya kutolea mimba baada ya kutuma ningempiga chini maana ningekuwa nimeshajua kama hana malengo na mimi
@pendoyohana239914 күн бұрын
😂😂😂kama ni hela mm sna asa wakaz gan huyo mtu hela hana mimba akatae huyo sio wakoo mwaya polee
@eggysulle79886 күн бұрын
Uyo bwana anamambo meng n hampend haswaa, mpenz wako akujib vile looh!
@NahlaRashed12 күн бұрын
Kaaah jamniiii mnavomshambulia kuhusu slippers sometimes ni fashion 😂😂😂
@drisakamwakitalima193715 күн бұрын
Umetoa wapi ,ni ya nani,miezi mingapi ..mwamba mnyamwezi sana 😂😂😂
@JohanesJunnior-cp9ho14 күн бұрын
Inaonekana demu ana mimba kweli
@SuzyGodwin14 күн бұрын
Hy Asante Asante,anaenda kulogwa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@NeyratZubeiry15 күн бұрын
Mmmh mwajuma ndala ndefu ...😅😅mh izo slipers
@AkissaBecky14 күн бұрын
😂😂😂😂
@pillyramadhani372615 күн бұрын
Ela ya kutoa ipo ya kulea amna😂 single mom again 😢
@faridaomali339115 күн бұрын
Anaoneka kweli anamimba nandonama amepata namshituko Sana ila pole sanadada
@AngelaMsukwa15 күн бұрын
Kwanza huyo mwanaume anamahusiano mengine kwa huyu dada anapita tu
@doricesanga103515 күн бұрын
Jmn watu una macho 😂😂😂😂😂
@sulleRuth13 күн бұрын
Huyo dada ni omba omba na hatapata mwanaume sahihiiii wadada tujifunze
@ZeyanaKhamismashaka14 күн бұрын
Abduli asa ni mwnaume 😂😂😂😂😂
@eggysulle79886 күн бұрын
😂😂😂😂uyo sie😂😂
@ibrahimmwamyinga596815 күн бұрын
Nomaaaa sana Zompah Tishaaaa
@NahimanaAisatah13 күн бұрын
Ila kwanin hatupendi kuambia ukweli sio kwamba mwamba hatak mtoto mazingira magumu nibora alivyo mwambia ukweli kuliko wale anakwambia ntalea anaingia mitini unaamgaika mwanzo mwisho 😂😂😂
@cleophasmkungu6237 күн бұрын
Mbona kapaniki sana, au ana mimba kweli
@msevenrobert736515 күн бұрын
Nakubali
@halimashaban385814 күн бұрын
Wanaume bhan yaan kakojolea mwenyew leo hataki duh hatar
@user-wh5zz5dk2g15 күн бұрын
Kama unataka hela mim sina
@AngelaMsukwa15 күн бұрын
Jamani mm staki mahusiano duuuh bora nizae na mwanaume tu kilamtu aishi kivyake
@WaridiLugano15 күн бұрын
Jmn daa inaumaga hiyo
@BeatriceDismas15 күн бұрын
Hivi na nyiee mmeon slippers alizovaa n kubwa kuliko mguu
@SanjerSaimon15 күн бұрын
Mapenz 😂😢
@MariaMagele12 күн бұрын
Ushafukuza mteja
@NeemaMdachi15 күн бұрын
nilikuwa cjaona kiat cha rafik angu ni hatari kipo na lifti nyuma😀 ila mnakataaga mimba mkiona mtt mnaanza kujichekesha eti kipind kile ckuamin shenz kabsa
@AkissaBecky14 күн бұрын
Kumbe naweye umeona😅😅😅😅
@NeemaMdachi14 күн бұрын
@@AkissaBecky ndiyo😀
@user-bx9zr6ji8w15 күн бұрын
😂
@user-vl6hd4lb6s14 күн бұрын
Yule Dada aliye achaga viatu Yuko wap
@theeaglefilmproduction456714 күн бұрын
Wiki ijayo namletaa mcjal
@HasnaSawaid14 күн бұрын
🤣🤣
@JosephatMassae15 күн бұрын
Kidada chenyewe ni mwajuma ndala ndefu hakijui la mhazini wala mgonga kengele yaan ndo kameshafall in love eti!! Stupid !! Kutumika pasipo malengo sio shida zake!!