No video

MPIGA DEBE ANAYEMILIKI SHULE YA SEKONDARI MBEYA

  Рет қаралды 185,110

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 418
@abubakarijuma971
@abubakarijuma971 5 жыл бұрын
Yeah,,,kuwa mvumilivu,kujituma,hekima , nidhamu pamoja na maarifa ndo misingi halisi ya kufanikiwa , hakuna sababu ya kukata tamaa kwani hujui mungu amekupangia kitu gan chakukufanya ufanikiwe🙏🙏🙏
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 жыл бұрын
Amen kubwa sanaa kaka yangu
@fofomohammed6253
@fofomohammed6253 5 жыл бұрын
Kabisa
@user-ms7wv6cd9g
@user-ms7wv6cd9g 5 жыл бұрын
jaman nina shida namillad ayo ninashida anisaidie kwamwenye namba anisaidiekikubwa nihabari kutoka katika shule zamsingi nasec singida nikilenga moja yashule hizo kibaon primary nakindai secondary wanawatuma watoto pesa uchumi hauruhusu nakero yangu kubwa niwatoto kuwa shule kutoka 12 asubuh paka 12 jion nimuda gani watajisomea hawapewi break yakwenda nyumban kula changamoto kubwa nipesa familia nyingi maskin jina langu mwanaisha juma mande +968 71154190 napatikana WhatsApp naimo
@honorykwahhay4364
@honorykwahhay4364 5 жыл бұрын
Amina
@mamahance9049
@mamahance9049 5 жыл бұрын
Njia ya muongo ni fupi ,Na Mungu hajawahi kumuacha salama mtu mnafiki, Malipo ni hapa hapa duniani Hukum kwa Baba yetu Mbinguni
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
Mama Hance Atabakia hivyo hivyo watu wanatumia Akili sio michambo
@eliaminimramba6358
@eliaminimramba6358 2 жыл бұрын
Jackson umeelewa Mama Hence alimaanisha Nini kwa Mmiliki wa shule?
@musasimba3689
@musasimba3689 5 жыл бұрын
Kama wenimpambanaji gonga like
@irenezephania5438
@irenezephania5438 5 жыл бұрын
Huhuhu kabla cja o...cjaoa,nilikuwa cjaza.. .cjazaaa lkn ya Mungu ni me ni mengiii huhuu yechuyechuu
@nuryaksuda647
@nuryaksuda647 5 жыл бұрын
Hahahaa😁
@ahmedhajji1210
@ahmedhajji1210 5 жыл бұрын
kwa aliemuelewa mzee wa kuungaunga km vile nimemaliiii ...nimemaliza...kuomba nafaaaa nafasi.....gonga like
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
😂😂
@nottyally9187
@nottyally9187 5 жыл бұрын
Huku na kule kule nn
@rodgersletema1758
@rodgersletema1758 5 жыл бұрын
Jamaaa anashindwa kuelezea anachanganya mafile aseme tyu ametumia njia mbadala kupata pesa
@julianacharles5720
@julianacharles5720 5 жыл бұрын
😀😀😀
@felixmsigwa9332
@felixmsigwa9332 5 жыл бұрын
Hakuna njia mbadala nampata vizuri
@baswiruabdallah965
@baswiruabdallah965 5 жыл бұрын
@@felixmsigwa9332 hakun njia mbadal nampat vzur haujmckia
@aishahayata6131
@aishahayata6131 5 жыл бұрын
Dah watu mnamachale ulijuaje aisee eti mungu si asuman mungu amemuumbua
@aishahayata6131
@aishahayata6131 5 жыл бұрын
@@felixmsigwa9332 mbona ulimtetea usimkanie mtu jamani
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
Huyu kamaa ndio anashikiliwa na polisi kwa kumnunua mtoto kwa sh.mil5 na kumtoa kafara.
@jamesmwakijale3366
@jamesmwakijale3366 5 жыл бұрын
Mazingira sio mazu.... sio mazuri.nikaona sio shi... sio shida .watoto watatu wakoa ila... wako ilasi.ya mungu ni me... ni mengi.nikaamini kua naweza kujee... naweza kujenga.haitos.... haitoshi. Sana brooo nimekuelewa
@henrykishiwa6755
@henrykishiwa6755 5 жыл бұрын
Nimependa sana mikato yake ya maneno mfano SINA MTO!!!, SINA MTOTO, NILINUNUA GA!!!!!!, NILINUNUA GALI, WATOTO WANGU WAKO ILA!!!!, ILASI, MUDA ULIKUWA HAUJAFIKA YAAANI WAKA, WAKATI!!!.
@maligisadotto8631
@maligisadotto8631 5 жыл бұрын
Ilikuwa imefifi.... imefifia, mazingira sio mazu... sio mazuri. Lakini ya Mungu ni me..... ya Mungu ni Mengi. Nikaamua kuje... kujenga. Nikaona kama vile haito... haitoshi. Jamaa mmoja akaniuzi.... akaniuzia. 😂😂😂😂
@majaliwamsigwa1570
@majaliwamsigwa1570 5 жыл бұрын
Henry Kishiwa Akanyakuwa poo!!!,pochi.ikani bidi nirudi kijiwe!! Kijiweni
@awenanassor3169
@awenanassor3169 5 жыл бұрын
Duh nzuri nmeipenda
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
😂😂
@ummyakezuwena654
@ummyakezuwena654 5 жыл бұрын
Henry Kishiwa haaahaaahaa ndo ukamuone lumande sasa siri zimefichuka
@miriam5735
@miriam5735 5 жыл бұрын
Huyu ndo alinunua mtt akamuua ili aendeleze biashara yake kama unaamini pesa za mbeya ni uchawi tu gonga like tujuane humu
@pendopendo3008
@pendopendo3008 5 жыл бұрын
Miriam hamed anatuzungu tu muwaji yani ukiona mtu amefanikiwa amefany mambo meng san haiza mabya au mzur usitaman chamtu huyu c ndo alimnunua mtot milioni5 afu wakamkat kisingino mmmmh
@miriam5735
@miriam5735 5 жыл бұрын
Pendo Pendo ndiyo
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 жыл бұрын
nimempenda huyu kaka watt watatu kasomesha shule ya kulipia na anapiga debe unakuta mwengine mtt mmoja anashindwa kumsomesha mtt akapata elimu bora pia ongera sana kwa wazo la kujenga shule na kutokata tamaa
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 жыл бұрын
Watu wako Baba tunaangamia Kwa kukosa maarifa .tupe uelewa baba tusizidi kuangamia amen
@hamdanal-habsy745
@hamdanal-habsy745 5 жыл бұрын
wew fara wew unaanzaje kumfananixha mwenyez mungu na Athuman laana tullah
@hindumfaume4457
@hindumfaume4457 5 жыл бұрын
hata haya haoni kamnunua mtoto kwa milion 5 ili mganga amtengenezee awe tajir mwenyez mungu anakuona wew hebu katubu kwanza kwanin kila kitu mpaka muue jaman
@zawadymwazy338
@zawadymwazy338 5 жыл бұрын
Mbalizi xixhangai watumia xana hela za midawa
@catherineshirima3906
@catherineshirima3906 5 жыл бұрын
Leo umejulikana muuwaji mkubwa mtoto Rozi hakwachi ngo shetan
@barakanyambele4673
@barakanyambele4673 5 жыл бұрын
Akatubu wakati ananyea debe, acha akapambane na mkono wa sheria
@mcisunga3822
@mcisunga3822 5 жыл бұрын
Hii story ni taa ni tamu tunaomba mwende mwendelezo😊😊 hongera sana kaka nimejifunza kitu
@wecnotz4263
@wecnotz4263 5 жыл бұрын
Ufungaji unalipa na kingne kwenye maisha iliuweze kufanikiwa usiwe mtu wa kukata tamaa pambana bila kujali mtaxamo wa watu wanakuchukuliaje
@lushilemmanuel768
@lushilemmanuel768 5 жыл бұрын
Kama na ww unamalizia maneno kama namali..... Namaliza, nilikuwa mzito shule.... Shuleni na nikaomba nafa.... Nafasi gonga like
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Mwendelezo tafadhali Millard Ayo🙏
@christopherrobert1948
@christopherrobert1948 5 жыл бұрын
Pesa za masharti aziwezi kukuweka smart bwaanah😁
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 жыл бұрын
Hom sweet hom mbaliz mbeyaaaa.... Soon nakujaaaaa... Pamojaaa millard
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Hongera kaka mwenyezi Mungu azidi kukupa zaidi na zaidi wewe songa mbele hakuna kuangalia nyuma.
@mkiryastanslaus4992
@mkiryastanslaus4992 22 күн бұрын
Basi sawa,ye si mkurugenzi wangekaa ofisini sasa sio nje
@maidafrancis45
@maidafrancis45 5 жыл бұрын
Hongera Sana mpambanaji mwenzangu
@brayani6834
@brayani6834 5 жыл бұрын
Blessing
@rehemajumamlinde9418
@rehemajumamlinde9418 5 жыл бұрын
Stori nimeiele nimeielewa. Jamaa anawe anawezaaa 😀😀😀😀
@SamsungSamsung-sg7vn
@SamsungSamsung-sg7vn 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@denismarine9994
@denismarine9994 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Hongera kaka shujaa mpambanaji vijana tujitume huu ni mfano kwa vijana wenye malengo
@mamahustru
@mamahustru 5 жыл бұрын
Huyu mzee baba anatakiwa ajumuike na Clouds kwenye darasa la fursa 2019. Ili awatie moyo watu wengine hata wasiojua kusoma na kuandika.
@erodiasmallya406
@erodiasmallya406 5 жыл бұрын
Moyosafi Hilo darasa la fursa wakati anashikiliwa na polisi kwa mauaji ya mtt. Anakazana kujenga shule wakati watoto wa wenzake anawafanya makafara.
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 5 жыл бұрын
Amekamatwa sasa kwa kumnunua mtoto kwa ml 5 na kumtoa kafara na ushahidi upo polisi ameua mtoto na kumtoa kiganja cha mkono na mguu.
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 5 жыл бұрын
anandagu
@joycekalago532
@joycekalago532 2 жыл бұрын
@@davidcurtis8556 au ndio ile habari nilisikia ya mtoto wa kike aliuliwa jamani! Hana maana kunne kama muuaji
@greatmangii
@greatmangii 5 жыл бұрын
Kweli huyu NI mpiga Dee! Debe na amemiliki shuu! Shule na kamuiga chauu chaula Basi saa sawa Hongera saa Sana Ni marufuku kukata taa tamaa
@emmanueljohn6765
@emmanueljohn6765 5 жыл бұрын
Exavery Joseph basii po poa
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 5 жыл бұрын
Ahahahahaaaaaaaa
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 5 жыл бұрын
Alaf acha mi niche nichekee maana story ni nzu ni nzuriiiiii
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
Watu wa utube mnacheke mnachekesha😁😂😂🤣😃😄😄
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 жыл бұрын
Dah aiseeeeeee...nachekaaa tu
@robertebambo4202
@robertebambo4202 5 жыл бұрын
Mshenzi ww sifa za bure kumbe muuaji kwa kweli unastahili kunyongwa si ajabu damu za watu sasa zinakuumbua mafia ww
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 жыл бұрын
Dah yaaaani nachekaaaa mpaka machozii... Kabla sijaoa mdogo waaaa... Nikapambanaaaa we nikapaaaaa... Yqmungu ni meeeee.... Nikaaminii kama naweza kujeeeee... Niliomba kwa mama mmoja akaniuziiiiii..... Zashidaaaa saaaaaaa..... Dah... Gonga like
@joycemartine651
@joycemartine651 5 жыл бұрын
Mungu sio asumani umekamatwa🤣🤣
@happymushi8197
@happymushi8197 5 жыл бұрын
Huu ushuhuda unahamasisha watu lkn mmepoteza muda mwanzoni kwa kutuonesha mambo yasiyotujenga. Asante ayo.
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 жыл бұрын
Mmmmmhu nawewe mtangazaji ni boya kweli sasa unatuonyesha stendi kwa muda mrefu unafikiri sie tunasafiri ama? We tuletee taarifa .Kiukweli mimi nikimuona mtu amefanikiwa hapi na mimi inanitia hamasa ya kupambana zaidi ni kwanini mwenzangu afanikiwe mimi nishindwe? Kikubwa usikate tamaa , kikubwa ni kupambana hadi kieleweke ipo ck namimi nitakuwa tajiri maadamu nina mikono yangu na miguu yangu.Hongera kaka kwa juhudi zako .
@maligisadotto8631
@maligisadotto8631 5 жыл бұрын
Safi sana kumbe hata mimi ninaweza kujenga shule. Nilikuwa na mawazo hayo lakini nilikuwa nimekata tamaa kidogo sasa nimepata nguvu mpya namwomba Mungu anisaidie nijenge sio shule ya sekondari tu bali kuanzia shule ya chekechea hadi chuo kikuu.
@myambaallan4523
@myambaallan4523 5 жыл бұрын
umenibusuti lazma nitimize doto yangu ya kumiliki hospital kubwa itakayo hudumia wa Tanzania mungu tusaidie wenye malengo yetu kutimiza
@HASASON
@HASASON 5 жыл бұрын
Yaani we ulietengeneza video huna akili, zaidi ya dakika 6 inaonesha irrelevant things sasa ulishindwa nini kuonesha hicho kipande cha stand kwa seconds 30? Unaonesha sehemu ya kipumbavu kwa muda mrefu unaacha kuonesha vitu vya maana, hujui hata kuedit video pumbavu
@simsotv2261
@simsotv2261 5 жыл бұрын
Stand ya mbalizi hiyo mzeya
@kebo2155
@kebo2155 4 жыл бұрын
Wako wengi hao.. wanakimbilia kazi za watu..
@mligombuma2287
@mligombuma2287 5 жыл бұрын
Mungu anakuona hataaaa ajifukie kwenye shimo...... Tuwe na hofu ya mungu
@richardshirima2373
@richardshirima2373 5 жыл бұрын
Huyu anafanana sana na jamaa mmoja wa Rombo huku Tarakea naye ana shule mbili now anaitwa Kipochi... Historia ya maisha bhana ni ngumu jamaa zangu, kukata tamaa ni dhambi mbaya kabisa Mungu Mwenyezi mwenyewe ashasema.. Tupambane mwanzo mwisho..
@christophermsekena616
@christophermsekena616 5 жыл бұрын
Huyu jamaa si ndiyo anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto kishirikina
@happinessodilinah5163
@happinessodilinah5163 5 жыл бұрын
Christopher Msekena ndio yeye
@kennedymaster2000
@kennedymaster2000 Ай бұрын
Hiyo shule cjaona hata mwanafunzi akipita. Hafu nnatuonyesha sehemu moja tu ya shule ucheni usenge
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 жыл бұрын
Kamanda wa polisi kasema walionana na aliyemuuzia mtoto miaka 20 iliyopita tena walikutana kwa mganga ebu fikiria miaka yote hyo kaua wangapi?!?!
@happinessodilinah5163
@happinessodilinah5163 5 жыл бұрын
jaman😭😭
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Ni wengi jamani ila kagundulika moja za mwizi40 ndoarubaini yake
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 жыл бұрын
Amemuua mwanae kwa kuamini imani za kishirikina tayari amekamatwa na jeshi la police
@daimavlog
@daimavlog 5 жыл бұрын
Charles Emmanuel kaua mtoto wa mtu mwingine. Basi hizo debe itakuwa masharti ya mganga
@mohamediyusuph4290
@mohamediyusuph4290 5 жыл бұрын
Daaah yaani ukimtazama huwezi kuamini kabisa!!!!kumbe ni muuaji.
@breackychangwe8781
@breackychangwe8781 5 жыл бұрын
Ile Hiace nilinunua ya Zamaa...nikaiuza kama vyuma chakaa ..Hatariii sana brooo
@thevein2596
@thevein2596 5 жыл бұрын
Breacky Changwe 😂😀😂😂
@fatmachambotanzania9379
@fatmachambotanzania9379 5 жыл бұрын
Hongera kwake Mwenywz Mungu ambarik sana
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Hizo ndo habari za kutuletea kwani hatujutii mb zetu😂
@rarirover44
@rarirover44 5 жыл бұрын
Radhia Salum kweli kabisa yani
@awenanassor3169
@awenanassor3169 5 жыл бұрын
Hadi ni imependa hauwezi MB zako
@daimavlog
@daimavlog 5 жыл бұрын
Radhia Salum umesikia kuwa kaua mtoto kwa ajili ya kafara
@babaanisha2104
@babaanisha2104 5 жыл бұрын
nimeanza na nguruwe kama watano Mara mtaji ukakua nikawa na nguruwe sabini niongeza na mbuz kumbe vigaja vya binadamu
@queenshomba8412
@queenshomba8412 5 жыл бұрын
Hongera ssna Mungu akupe maisha marefu
@angelntandu4648
@angelntandu4648 5 жыл бұрын
Safi sana mpabanaji dah!kwa hiyo mmeamua mfaidi kwanza kumfuatilia bila kujua?
@aishahayata6131
@aishahayata6131 5 жыл бұрын
Pesa za kichawi na majini ndomana amevaa kma mchunga ngombe utajiri wa ndagu
@tranchescoanthony2509
@tranchescoanthony2509 2 жыл бұрын
Thibitisha
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 5 жыл бұрын
Mashalobalo acheni kufolow madem,, pigeni kazi umli unakikomo iposiku unao wategemea wata potea utapa shida sana..,,
@daimavlog
@daimavlog 5 жыл бұрын
Mashart ya mganga. Ee Mungu ikumbuke Tanzania
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 5 жыл бұрын
Anakesi yama uwaji kwa ushilikina angalia Mbeya yetu utajionea kila kitu kusu uyo mtu mpiga debe awezi miliki shule
@sweetngailoubuyu6611
@sweetngailoubuyu6611 5 жыл бұрын
Usiukumu usije ukahukumiwa ndugu ajuaye ukweli ni Mungu pekee funga tu mdomo chini ya jua kuna mengi usiyo yajua mpenda pia ukweli na uongo avijawahi kukaa pamoja kaa angalia serikali inachunguza na ukweli utaupata tu kwa serikali hii khaki hipo tu hakuna kitakschopinda ndugu usuda sio nzuri
@henrybill5509
@henrybill5509 6 ай бұрын
Uyu. Jamaa alifungwaa kwa kesi ya mauwaji ya mtoto.
@husnatawete7071
@husnatawete7071 5 жыл бұрын
Hongera sana sana kwa kweli ni karamaa izooo
@hamdanal-habsy745
@hamdanal-habsy745 5 жыл бұрын
😁😂😂😂😂😂 huyo jamaa konk konk konk maxter
@manxuleemikui3809
@manxuleemikui3809 5 жыл бұрын
Mafanikio ni hatua tusikate tamaa
@barick
@barick 5 жыл бұрын
Mpiga debe mwenzangu. Ipo siku millard ayo nitakuita
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 жыл бұрын
😃😃😃
@oleiei434
@oleiei434 5 жыл бұрын
Una bahati sana mzee. Uliponea chupuchupu kuvalishwa tairi na kuchomwa moto.
@rutakihama7599
@rutakihama7599 5 жыл бұрын
Daaaaah Safi sana
@breackychangwe8781
@breackychangwe8781 5 жыл бұрын
Mwaka Wa mwisho anamalii..
@chancemtitu1852
@chancemtitu1852 5 жыл бұрын
sana ngane Master
@AK-ho2lb
@AK-ho2lb 5 жыл бұрын
Ukiona mbongo anafanya kazi za ajabu halafu ana Hela zakutosha tu kama huyu jamaa ujue ni hela za msukule .maisha gani haya badala ya kumtanguliza mungu unafuata nyayo za shetani
@user-uo7us8gg8t
@user-uo7us8gg8t 6 ай бұрын
Mchawi uyo
@chakupewaonlinetv7045
@chakupewaonlinetv7045 5 жыл бұрын
Nakubar
@vivianrichard9096
@vivianrichard9096 5 жыл бұрын
Huyu jamaa kumbe ndio amefanya mauaji ya mtoto wa miaka 6 ili apate utajiri Unyongwe tu
@emmybenny4862
@emmybenny4862 5 жыл бұрын
Ioooooooo Looooooooooo
@madamloveness7274
@madamloveness7274 5 жыл бұрын
Huyu ndio aliyemshawishi baba wa mtoto wa miaka 6 ,wakamnyonga na kumkata viungo kwa milioni 5 nakuchukia mwehu wewe shule ilikuwa haikutoshi
@shakiraduh6355
@shakiraduh6355 5 жыл бұрын
Ntafteni namm niwape story .nmeanzia kuendesha pkpk nasasa naendesha fuso lamcha namm nimdada....0759816077 mje mnioji.....
@awenanassor3169
@awenanassor3169 5 жыл бұрын
Khataar
@profbagile5323
@profbagile5323 5 жыл бұрын
Wakutafte asee
@salmaoman6347
@salmaoman6347 5 жыл бұрын
😁
@yoramnorbert8026
@yoramnorbert8026 5 жыл бұрын
we jitafute mwenyewe
@mussamillenium2934
@mussamillenium2934 5 жыл бұрын
Shakira
@kenethkisoma4636
@kenethkisoma4636 3 жыл бұрын
Ametisha
@akelymsigwa6431
@akelymsigwa6431 5 жыл бұрын
vizur sana mjombo kwa kupambana mfano mzr kwa jamii
@kibundapesamadimba6352
@kibundapesamadimba6352 5 жыл бұрын
safi sana inawezekana ukitia nia tu
@nizahnyembe7866
@nizahnyembe7866 5 жыл бұрын
Nakuona David
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 жыл бұрын
Napenda mtu anayetumia akili nanguvu zake kujiikomboa kimaisha
@aminimambea1289
@aminimambea1289 5 жыл бұрын
Nawapata sana hawa jamaa yupo na mbabe rasta
@frolandunfuru2187
@frolandunfuru2187 5 жыл бұрын
Akapige debe na.jela. Nako atajenga chuo
@claudyngonyani1521
@claudyngonyani1521 5 жыл бұрын
Bg up mpambanaji sana
@helenamwaipopo967
@helenamwaipopo967 5 жыл бұрын
Mmmmh hela za kishetani izo oooh malipo ni apaapa duniani aendelee ivoivo
@manumaelectricalworks1850
@manumaelectricalworks1850 5 жыл бұрын
Nimependa sana historia yake,halafu ni mtu wa kufanya vitu vingi bila kukata tamaa.
@hillaryaugustine7141
@hillaryaugustine7141 5 жыл бұрын
Msaidie jamaa kuitikiaa,,😁😁
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 5 жыл бұрын
Hhahahahaha
@mwanaidhussen1325
@mwanaidhussen1325 5 жыл бұрын
😂😂😂
@costantinemaduda167
@costantinemaduda167 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@rajabmlau1668
@rajabmlau1668 5 жыл бұрын
We msenge sana.unauwa wtt wa watu kwa ajil ya utajiri
@robillioncomedian9916
@robillioncomedian9916 5 жыл бұрын
Mwanangu we ninooò naomba millardayo umalizie
@neyshao2492
@neyshao2492 5 жыл бұрын
Well done bro
@saidyusuph4129
@saidyusuph4129 5 жыл бұрын
Pamoja ngane, big up
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Yaani ya MUNGU ni mengi hata anavyojieleza husomeki umefika mwisho uongo wako yaani kweli unatoa watu ROHO
@awamyabbas7266
@awamyabbas7266 5 жыл бұрын
Daaah mzee anapenda mikato sa, sana huyu
@fridamwantandi8921
@fridamwantandi8921 5 жыл бұрын
Kumbe ulimuua mwanao tayari ushabambwa ndugu hata mafile unajichanganya mwenyewe upatikanaji wako wa hela huelezei vizurii nenda katumikie tu kifungo cha maisha fyuuuuuu
@michaelbigvai1199
@michaelbigvai1199 5 жыл бұрын
Hizi kazi hamjui tu zina ela kichizi kama unajitambua, sema wengu wao ni walevi na akili zao haziwazi mbele
@confidencetv1126
@confidencetv1126 5 жыл бұрын
Hustles hustles #blackexellence
@levinabyamungu8453
@levinabyamungu8453 5 жыл бұрын
Hongera Sana.
@nasrathyusuph3964
@nasrathyusuph3964 2 жыл бұрын
@millardayo huyu jamaa n insperation najua watu wanamuongelea vbaya kuhusu scandle alopa ila wengi hawajui ukweli uliopo nyuma ya issue ya jamaa ipo cku watajua alaf mtajua hii dunia kuna watu hawapo kam mnavowasikia wanaomjua wanajua naongea nn watu achen kumjugde coz hamfaham ila kwa wenye ndoto kubwa mfuatilieni jamaa hamtokata tamaa🙏
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 5 жыл бұрын
Ayo tv hawana habari za kizushi nawamini
@mtaalamwamambo2099
@mtaalamwamambo2099 5 жыл бұрын
Kabsaaaaa
@mako331
@mako331 5 жыл бұрын
Fanyeni kazi vijana acheni kudanganywa na wanasiasa eti watawapa kazi, watawapa pesa kama hufanyi kazi hujitumi hakuna mtu atakaye kuletea pesa mfukoni
@kimrudiger5084
@kimrudiger5084 5 жыл бұрын
Nime download kueka kama kumbukumbu na motisha kwangu na wenzangu
@annaracheldaniel8793
@annaracheldaniel8793 5 жыл бұрын
Nimeshindwa kudownload, naomba unitumie whatsapp number +968 95676002
@kimrudiger5084
@kimrudiger5084 5 жыл бұрын
@@annaracheldaniel8793 I saved your number however I can't find you in watsap
@annaracheldaniel8793
@annaracheldaniel8793 5 жыл бұрын
@@kimrudiger5084 nipe number yako nikutafute
@Ambweneonlinetv
@Ambweneonlinetv 5 жыл бұрын
Ifute hyo video
@atroisfoundation5546
@atroisfoundation5546 5 жыл бұрын
Mbeya city stand up...nimefurahi hapo mwazoni kusikia umalila
@ifruitx2096
@ifruitx2096 5 жыл бұрын
Yaani hizi ndio habari tunatakiwa tufahamu #AyoTv# tutafutieni sana sana habari hizi za kutuhamasisha tafadhali
@ARUSHA_NAILS
@ARUSHA_NAILS 5 жыл бұрын
Mzeee ana swa.... Ana swagr sanaaaa
@donaldmwamswelo7664
@donaldmwamswelo7664 5 жыл бұрын
Nice one
@anitaabdiely1609
@anitaabdiely1609 5 жыл бұрын
Yaan nilijua ulifanikiwa kwa nguvu na juhudi zako ukimtegemea mungu, kumbe sivyo na mungu amekuumbua baba usie na uchungu yaan umemuuwa mtoto wako wa kumzaa kisa utajiri dunia hii tunaenda wapi jmn mungu atusaidie yaan kmwe ndo maana siamini utajir wa mtu
@hundamaniamania872
@hundamaniamania872 5 жыл бұрын
Haiingii akilini mpigadebe wa Tanzania amiliki Shule pumbavvvvvvv ,uchawi ushamtokea puani Muuwaji watt wa watu huyu sasa apelekwe Segerea tu wamzalishe
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 5 жыл бұрын
na kuua vip
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 5 жыл бұрын
Hamna mafanikio hapo uchawi mtupu.
@MUKHUSINI
@MUKHUSINI 5 жыл бұрын
Asante kwa habari z uhakika
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 26 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 37 МЛН
MKUU WA MKOA FEKI AKAMATWA MBEYA, ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI!
4:37
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 26 МЛН