Npo bampa to bampa team safi ,,,,mko sawa sana nyie watu,,,, Allah awaongoze zaid y iv kwny kaz zenu mbele
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
Amen
@YounomaneАй бұрын
Iyimoya mume zinguwa yani ariyeiediti miayusho🎉🎉$
@AmenaMm-r5t7 ай бұрын
Saf san mlip tup hatuwachi mkon at sikumoj mm nitahiyar nikos mkat asubuh ila niwek bando kwa ajil yen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@ZUMBAVEVO7 ай бұрын
Shukrani sana
@Zeldaommy9 ай бұрын
Namkubali kaka mbwela Yuko vizuri Hana Kona kona😂😂😂❤❤❤🎉🎉
@mbwelamedia34699 ай бұрын
weee Kumbe chuma juu ya chuma
@aishaomar22879 ай бұрын
Mlingoti chuma bendera chuma...naona mnatufuturisha na daku kabisa❤
@hghh60569 ай бұрын
Aki sumba umechemsha store nzuuuri lk ukawa unaitilaf kidogo but ww nimnomaa nakukubali mm hongera saana ❤❤🎉🎉
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
Asante
@AliiSafari-e3q9 ай бұрын
Namkubali hii Iko poa
@LoolKing-z5z7 ай бұрын
Mbwela mimi nakupenda na niko serious ila wewe ndio skuelew, nafuatilia sanaa muvie zako much love from kenya
@MWANAKOMBONGANGAKARISA6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂tuma mshenga akapeleke barua ya posa kwao na hapo ndipo atakuelewa maan hyu mbwelq nkam hajui umekufa umeoza kwake 😂😂😂😂😂😂 jamn pole xan ila nmkushauri mie😂😂😂😂😂
@LoolKing-z5z6 ай бұрын
Swahibaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 Ahsante kwa ushauri wako but Kenya na Tanzania ni mbli ila kusema kweli nampenda sanaa mbwela niko tyr hata kua nyumba ndogo nimeridhika kbsaaa 🤣🤣🤣🤣
@bakamecomedian9 ай бұрын
Zumba nime wahi kutoka burundi 🇧🇮 Léo Niko wa1
@aishaomar22879 ай бұрын
Hans kaibiwa hadi sindano😂😂😂 aah,nyie bana! Mmeweza🎉🎉🎉 marekebisho kdgo tu kwenye sauti inavyojirudia
@MWANAKOMBONGANGAKARISA6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@mesamesa36989 ай бұрын
Ameyatimba😂
@KagegaAbdlah6 ай бұрын
Safi Sana
@miriamdavis38939 ай бұрын
Hamjalipa mchanganya sauti
@faizhassan50299 ай бұрын
Sauti zinajirudia
@kenogola33929 ай бұрын
Believe kajitakya mwenyewe,,,,, aliambiwa na mbwela akajiona anajua ,,,,kama yesu ndo alikuwa anapita mtu mgonjwa hadi uyo ndo amwite .......unapata wapi nguvu za kuamini mwanamke kama mm najiamini 98%
@MWANAKOMBONGANGAKARISA6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂na 2%umeachia jamn ungkuchkua zote tu ak
@singledimpozempire8 ай бұрын
Umeuwa mzee ❤
@ZUMBAVEVO8 ай бұрын
Pamoja sana
@ummyhussein45739 ай бұрын
Nawakubal xn
@NzeyimanaHawa-mm2sh9 ай бұрын
Ukosaw kaka mbwela ukosaw nakanzi natokey burund
@samiasalum96909 ай бұрын
Bna hii movie inakera sauti zinajirudia
@mabuga_og9 ай бұрын
🔥🔥🔥
@faizhassan50299 ай бұрын
Zumba kitu kikali ila confirm kwanza kabla hujaipost
@Zeldaommy9 ай бұрын
Kaka zumba mm Huwa sipendi unafiki ukinipenda nipende ukini chukia nichikie tu hii movie ni nzuri sana bt inasauti mbili mbili shida ni nn 😢😢😢
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
Mm jaman huku naaangali si zioni hizo sauti mbili mbili embu nambie kwenye scene gani sauti inajirudia
@Zeldaommy9 ай бұрын
@@ZUMBAVEVO kwa nzia hapo kwenye mamako anakuita Hans kuendelea
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
@@Zeldaommy ok sawa ngoja nipaangalie
@saidahmed96889 ай бұрын
good movie
@BentahOrao8 ай бұрын
Upuzi huo,,,, mbona sauti zajirudia
@OmarKadidi8 ай бұрын
Movie zuri sana lkn saut mbili mbili hebu rekebeshen saut
@jdwuodMuhuru9 ай бұрын
@Zumba, kazi nzuri ila angalieni sound editing.
@NzeyimanaHawa-mm2sh9 ай бұрын
Yoo kube nikaka zumba ukosaw nawew
@helinasubila9879 ай бұрын
Sasa bona hukuagalia kwasa kabula upost
@sammaine98_9 ай бұрын
Zumba editor kazingua script zinaenda mbele na kurud nyumba sound jau kwa apa umechemka ishushe tu
@nassibmasanja45129 ай бұрын
Muwe mnatizama kwanza ndio mnapandisha sauti inajiludia mpaka movie inakosa mvuto
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
Sawa tutalifanyia kazi
@YucraKanyesu2 ай бұрын
❤❤
@ebangulawabisama99749 ай бұрын
Bro jitahidini kuteneza sauti mbona hivyo lakini
@UwizeyimanaThankia9 ай бұрын
Maneno yanarudiya rudiysa'na
@phanicemulongo70989 ай бұрын
Mbona hizo saudi zinanichanganya mimi
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
Kivipi
@SheikaYussuf4 ай бұрын
KILICHOMKUTA BILIV NDO KILICHONIKUTA MIMI YAANI MMENILENGA KBS MMENITONESHA KIDONDA WALLAH
@ZUMBAVEVO4 ай бұрын
Pole kaka
@SheikaYussuf4 ай бұрын
@@ZUMBAVEVO mie mdada sio kaka
@SheikaYussuf4 ай бұрын
@@ZUMBAVEVO ahsante bro
@BintmohamedNasiri9 ай бұрын
Nn mbaya zumba mbona sauti zinajirudia hadi movies inatuchanganya
@esterkimalio88469 ай бұрын
Mbona sauti zinajirudia jamani
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
Sehemu gani
@aishaomar22879 ай бұрын
@@ZUMBAVEVOhio sehemu hans anaelezewa na mamake kua ametoka kupigiwa simu na serikali ya mtaa
@aishaomar22879 ай бұрын
Kuanzia apo kuendelea sauti zimejirudia
@MaryamNurru9 ай бұрын
mbona sauti zina jirudia rudia
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
Sehemu gani hiyo sauti inajirudia je ni sauti watu au soundtrack