Kwa sasa hv msanii ambae anakuja na mwenye kitu mkonon ambae kwa mm namuonea mbali bas maestro wa bongo movie Omar mbwela mtunz na muigizaj bora wa muda wote mungu hakuweke kaka wapo watakaokuj kuamin kweny hiki nlicho kiona mm kwako hapo baadae big up brother from another mother god bless you
@RizikiZiki9 ай бұрын
Isha Allah
@Lastybonyshoka10 ай бұрын
Safi sana kaka mkubwa mbwela
@HalimaMabruk9 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah umependeza sana kkngu
@Zeldaommy10 ай бұрын
Shehe Omar umefanya jambo nzuri sana kutukumbusha kwa huu mwezi wa ramadhani mungu akubariki akupe umri mrefu uzidi kutukumbusha inshallah ❤❤❤🎉🎉🎉
@RizikiZiki9 ай бұрын
Alahuma amini Allah atakabali duwa
@zenakioga65679 ай бұрын
Maashaallah hakuna kinachoshindikana mbele yà Allah mung atujaalie mwisho mwema amiin
@Kuyu-f2k10 ай бұрын
Asante ustadh mbwela,,, mashaallah umependeza
@husseinbakromar58659 ай бұрын
safi sana kaka mbwele usiishe hapa endelea kuilimisha jamii na isiwe ikiisha ramadhan tunaudi kule kule jaribu kila unapo rusha tamthilia katika tatu basi ziwe mbili za kukumbusha itakua bora zaidi kwa ALLAH akabia yako ya kesho aheera kuliko ya dunia al duniya matau hurur
@منيكينيا-و9ي8 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah mbwele umeweza ,,,,walah hakun dini ya haki km uislm❤❤❤
Aki imependeza ❤❤❤ unastahil kupewa mauwa yako bwela 🌹🌹🌹🌹 like jamani anaye mkubali bwela kama anaweza ❤❤ much love from kenya 🇰🇪
@MariamAli-l8x10 ай бұрын
Mashallah kaka mbwela umependeza ramadhan Kareem
@halemasuliman-js8ug9 ай бұрын
Mbwela umependeza sana mashaallah
@dinabilemanga17039 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka 🎉🎉🎉🎉 umependeza sana nahilo vazi Marshall
@سعدياقوت-ت2خ2 ай бұрын
Mbwela hiki kitu kizito sana na ni mazingatio kweli kabisa keep it up bro uko fiti
@mildredzainab1703 ай бұрын
❤❤❤ kazi safi kabisa
@aishaomar22879 ай бұрын
Mashallah TabarakaRahman ❤❤❤...kazi safi sauti pia naona imerekebika
@SwafaaMohamed-e2d2 ай бұрын
Mbwela mashaallah nakushukuru kwa kutuletea kitu safi❤❤❤❤❤❤
@AmenaMm-r5t9 ай бұрын
Mashaallah kakambwela umependezaje mung akubarik san kk
@FatumaMwavyema-sv8ro10 ай бұрын
Big brother mbwela ogera sana🔥🔥🔥
@HusseinNuru-zd3bf7 ай бұрын
Safisana kaka bwela hongera za thati
@ubahamisi4318 ай бұрын
Masha allah kazi nzuri
@Amina-q7i10 ай бұрын
Kazi nzuri xn omy mbwela tuko pamoko
@rehema-lg5cl9 ай бұрын
Mbwela napenda move zako ni ndefu vizuri na nzuri na haziishi ladha❤
@Mwanajuma-ro9sl10 ай бұрын
Mbwela umependeza na hilo vazi mashallah
@RizikiZiki9 ай бұрын
Mpaka nimemusahau mwenziyo ❤
@RizikiZiki9 ай бұрын
Hodi kwa kaka mkubwa mbwela ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@Awoshy9 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah Mbwela kazi nzuri 👏👏🙌niliikosa hii kipindi cha Ramadhani ....ila mbona kama hawa vijana nimewaelewa sana 🙌😍 fanya nao basi kitu kingine🙏
@minnahjuma-uo3cm8 ай бұрын
Kabisa vijana wapo vzur..hasa majaro jmn🥳
@MwanakuuBegeАй бұрын
Mashallah movie nzuri sana
@Sofiashabani7809 ай бұрын
Mbwela jaribu kueka hata mbili ama tatu ndefu sana sisi wenye tuko na kazi za waarabu mda nimchache sana kumpumzika
@ElizaMideko10 ай бұрын
Kazi imenyooka kakaangu safi sana ❤
@AliBakar-n1j2 ай бұрын
Saf sana
@AminaHassane-t5g7 ай бұрын
Mashallah mawaidha mazuri sana niko Mozambique 🇲🇿 Cabo Delgado montepuez
@SalumuMohamed74510 ай бұрын
Nakubali san brooo❤🎉❤🎉❤
@zeinabuAchiengOkara9 ай бұрын
Mashallah nimejifunza mengi shehe kushika dini ni kitu ya maana sana
@ishladyishlady78979 ай бұрын
Masha allah mbwela umependeza sana ❤❤❤ ramadhani kareem insha allah kwetu sote🙏🙏🙏
@rehema-lg5cl9 ай бұрын
Mashaallah ila jaribu kuongeza mwangaza mna inagiza hadi mchana
@mesamesa36989 ай бұрын
Big kaka nakukubali sana
@zenathfeleb34229 ай бұрын
Ramadhan Mubarack brothers and Sisters Masha Allah Keep it up Guys Thanks for the Great Reminder We Appreciate a lots May Allah Bless you... Much Love from South Africa
@ThumuMohaa7 ай бұрын
Much love from Kenya Omar.
@GadafiNachindundu10 ай бұрын
KAZI mzuri but hao vijana wanafeli sana
@samyabahatialhiani4019 ай бұрын
Mbwera naitaji ndowa yamimi na weye ila sitaki mkeweza 🇧🇮
@samuelkimomo23369 ай бұрын
Bwero unafanya vizuri
@Shakila-pq2gv9 ай бұрын
Kaka mbwela safari hii umechagua mke chibonge😂😂
@OmarKadidi9 ай бұрын
Mashalla ❤❤
@salmah990810 ай бұрын
Kaz iko pw
@LordKIngGang10 ай бұрын
Nakubali broo
@BatuliSuleiman-zh8lf10 ай бұрын
umepeza sanà mbwela
@KloveOGOG10 ай бұрын
Kazi Kama kazi nikazi Tena kazi kalisana 2
@fatumakushonda42779 ай бұрын
Kweli pole pole tu mtu hubadilika
@HalimaMabruk9 ай бұрын
Umesema hapo mai
@saidahmed96889 ай бұрын
good movie
@margaretnamubi45657 ай бұрын
😢mafundisho poa sana
@AhmedChitema10 ай бұрын
Nice
@LatyonceChichi27 күн бұрын
Ila mbwela chukua mauwa yako Kila secta unaweza ❤
@samuelkimomo23369 ай бұрын
Mbwela unafanya kazi zuli
@Seifnassour8 ай бұрын
Ata inavyotamkwa hajui
@WahidaAme2 ай бұрын
Bwela unakuja lini Zanzibar nimekumis
@shamsiyasalim68669 ай бұрын
Wewe majalo sema ukweli kuwa umehongana umenunulia msichana chakula wewe umeongopewa majalo ni muongo wacha unafiki wako hujapotaza hela ukwe utajulikana Tu!