No video

MPINA AJILIPUA - "KUNA SHIDA KWENYE WIZARA YA FEDHA"

  Рет қаралды 57,240

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

MPINA AJILIPUA - "KUNA SHIDA KWENYE WIZARA YA FEDHA"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 118
@noelimafwele602
@noelimafwele602 Жыл бұрын
bravoooo Mpina sema bila kuogopa kwa Maslahi ya Taifa
@yusufumbwene5669
@yusufumbwene5669 Жыл бұрын
Mpina yupo vizuri ,,,,,,,!!!!!
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania Жыл бұрын
Hilo ngwanda alilopiga mheshimiwa mpina limekaa sana ki-harakati
@thabit5532
@thabit5532 Жыл бұрын
Kuweni makini mpina. Yuko sawa
@iddimbwambo5954
@iddimbwambo5954 Жыл бұрын
Sema!semaa mpinaa!!!
@hazjay4671
@hazjay4671 Жыл бұрын
#Mpina...
@ms123ru
@ms123ru Жыл бұрын
Bravo mhe. Mpina
@iamnormal8648
@iamnormal8648 Жыл бұрын
Mh. Mpina amevaa kombati ya CHADEMA.
@mchwikesenior4221
@mchwikesenior4221 Жыл бұрын
Huyu jamaa anafaa kuwa Rais mwaka 2025
@Munyama675
@Munyama675 Жыл бұрын
Rais wa Manzese labda
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Жыл бұрын
Wewe kila msukuma anayechangia vizuri anafaa kuwa rais,kutakuwa na marais wangapi?
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Kweli atakuwa Rais
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 Жыл бұрын
Mwigulu nchemba huwa anachuki binafsi na mpina that why ana mchukia,but mpina yupo sahihi
@effarymponzi145
@effarymponzi145 Жыл бұрын
Mama aone mawaziri wake wanachofanya Mpina kasema bilion 360 Waziri anamkandamiza kwa uongo et mpina kasema tirion 360 Hawa mawazir wapo kuuwa nch ama kujenga nch? Maana hawaeleweki hata kidogo
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 3 ай бұрын
Huyu ni kamanda
@johnmayala6114
@johnmayala6114 Жыл бұрын
Mwigulu Ni Muhuni Huyo
@ibel4lf
@ibel4lf Жыл бұрын
Mpina umenikoshaaa
@thobiasshikome1993
@thobiasshikome1993 Жыл бұрын
Mpina ujumbe wako tumeuona umeshauri serikal
@lovenessmohamedy6329
@lovenessmohamedy6329 Жыл бұрын
Mpina ujengewe sanamu
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Endeleeni kutembeza kapu kwenye nchi za Wazungu na kutumia fedha za umma kwenye Royal Tour. Rais na serikali yake hamko makini kwenye matumizi wa mali za Watanzania. Fedha za umma zimepotea na zinapotea chini ya waziri wa Fedha
@barackhussein312
@barackhussein312 Жыл бұрын
He is going to be another Shibuda
@FreeGod368
@FreeGod368 Жыл бұрын
HUYU HATA WAKIMUUA NI MBINGUNI
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
😂😂😂🙌🙌🙌
@piusrafael3709
@piusrafael3709 Жыл бұрын
Mwigulu ametuchezea sana watanzani tuwe makini
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 8 ай бұрын
Ya maana muda umeisha. Ya kishenzi hamsemi muda umeisha
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Mwigulu chemba wizara imemshinda atumbuliwe
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo Жыл бұрын
Bunge la wahuni hilo,ukiongea upuuzi watagonga meza mpk viganja viwaume ila mtu akiongea point utamsikia spika au m/kit anasema dakika zimeisha au utasikia taarifa yaan ni bunge dhaifu haijawah kutokea
@esausichula7516
@esausichula7516 Жыл бұрын
Alisema bilioni na sio tilioni
@esausichula7516
@esausichula7516 Жыл бұрын
Bilioni 322
@fundimwandambo4506
@fundimwandambo4506 Жыл бұрын
Hivi ni kwanini sisi tunaendelea kuwa masikini?DUNIA inatafuta gas,gas tunayo,DUNIA inatafuta mafuta mafuta tunayo,dunia inatafuta kumuona mjusi mkubwa,Yuko kule wamemuweka,wanatengeneza Hela,sisi tunabaki na kukopa,kwanini tusi kazanie mafuta na gesi tukaachana na huu umasikini au kuna wenzetu Wana undugu na huu umasikini?
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
CCM KILA SAA WANALIA NJAAA.NJAAA. OGOPA SANA WATU WA NAMNA HIYO TUMEKUWA TAIFA LA OMBA OMBA . Tumekalia Madini bado tuna omba omba . NI AIBU KWA TAIFA NA AFRIKA NZIMA.
@japhethkiria9808
@japhethkiria9808 Жыл бұрын
Mpina kuwa makini watakupoteza mzee serekali ya wahuni tupu hiyoo pamoja na huyo mama yao
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
acha uoga wewe
@rosekamau315
@rosekamau315 Жыл бұрын
Mama alisema atakopa sana hahahahahahaha Tanzania yang Kuna siku itawekwa juu ya mawe kama gari la marehem Babu yang
@veraniinnocent7624
@veraniinnocent7624 Жыл бұрын
😂
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 Жыл бұрын
Tunakukumbuka hayati JPM sasa ni madili tu na kwenda mbele
@abasishabani1151
@abasishabani1151 Жыл бұрын
Ila msukuma ni msukuma tuuuuh sikiliza lafudhi
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 Жыл бұрын
Katiba Itunusuru.Mpina anasema ukweli.watupe sababu ya kufanya mahamuzi nje na maamuzi ya bunge kwa nchi.
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 Жыл бұрын
Kwahiyo waziri a fedha na wenzie wanajiamulia tu wakakope kiasi gani?basi hao ndio wamiliki wa hii nchi..cos kuna siku wataamua kuiuza nchi
@yusufumbwene5669
@yusufumbwene5669 Жыл бұрын
Mpina amegusa katakata ya umeme duuu
@jutomateka7937
@jutomateka7937 Жыл бұрын
Kilaza ww
@joojombi2341
@joojombi2341 Жыл бұрын
Mbna huleti alojibiwa huyo jamaa????
@mathiasshirima4520
@mathiasshirima4520 Жыл бұрын
Hivi kwani watu kama mpina hawonekani? Au ndio huo uganga.
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
mwambieni maana anajitangaza ni mchumi anawasaidia vipi taifa na wanaichi
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 Жыл бұрын
Mpina mbona trilioni 29 kwa miaka 5 ya Magufuli hatukukusikia unasema chochote zaidi ya kwenda kupima samaki bungeni
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
unaweza kumcompare utendaji kazi wa magufuli na samia?
@barakaamani8657
@barakaamani8657 Жыл бұрын
0
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 Жыл бұрын
Kama mikopo ni himilivu mama samia kopa. Kopa malizia miladi fedha italudi tu tukiuza Umeme,kopa wekeza kwenye kilimo.marekani yenyewe inamaden mala elf kuliko tanzania.
@giuseppemanaos75
@giuseppemanaos75 Жыл бұрын
Haiko ivyo brother...
@shinemakenzi8101
@shinemakenzi8101 Жыл бұрын
Kumbe na wewe bichwa hilo ni hamnazo hujuwi kuwa deni la taifa likikuwa inakuwa shida kwa raia hapo ulipo kula kulala ndiyo maana unajilopokea tu
@saidamiry-ig5wu
@saidamiry-ig5wu Жыл бұрын
Magufuli
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Raisi na serikali yake mmejipanga vipi kusaidia wazee watoto na villama kwenye huu mfumuko wa bei????
@isaacphilemon5599
@isaacphilemon5599 Жыл бұрын
Wanaweza wakachukulia poa ulichoongea lakini binafsi nimekuelewa,umeme unakatakata kama vile bado kiangazi(umeme bado kero maeneo mengi). Kupaa kwa deni la taifa tuliangalie kwa umakini(tutakuja kutafuta wa kulaumu muda si mrefu)
@jutomateka7937
@jutomateka7937 Жыл бұрын
Ujinga mtupu ukiongea kweli unaonekana muhuni hii nchi wajinga wengi sana
@dassustephen731
@dassustephen731 Жыл бұрын
Safi Sana Mpina Una PhD ya akili na siyo zike PhD za kuzawadiwa
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo Жыл бұрын
Yaan huyo mwigu siku akiwa rais wallah tutakiona cha mtema kuni sidhan km ni mtu mwenye huruma
@khalfaniutaly1303
@khalfaniutaly1303 Жыл бұрын
Nongwa itakusaidia nn
@hassanisultani2434
@hassanisultani2434 Жыл бұрын
Wewe unajuwa nongwa kwaiyo wezi wasitafutwe wanaokula Hera za wananchi wewe vipi
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
Narudia kusema msifikiri haya yoote haya sikiki rais wetu anakwenda step by step watanzania raisi wetu mama samia yupo makini na tunamuamin wlhakika wapigaji na baadhi ya viongoz wababaifu mama atawashughulikia.
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Rais amekumbatia au anafumbia macho huu uuzo ulioko NDANI YA CCM UFISADI.RUSHWA NA UGANDAMIZAJI WA WATANZANIA WALIO WENGI. Hakuna huduma nchini bila rushwa hii inatokanana na kuwa na viongozi wasio wazalendo Raisi aonyeshe kwa vitendo ni kwa jinsi gani anapiga rushwa vita
@leobardmgetta1738
@leobardmgetta1738 Жыл бұрын
Sio kwamba najaribu kubeza mchango wa mheshimiwa mbunge, na sio kwamba najaribu kutetea kinachofanywa na serikali kwa sasa ila tu najaribu kujiuliza huyu mbunge aliwahi kuhoji haya 2020 na 2021? Achilia mbali 2019, maana kipindi chote hapo serikali ilikuwa na matumizi yasiyoidhinishwa na bunge. Huenda alikuwa kwenye baraza na asingepata nafasi ya kusema hadharani. Napenda kumpongeza mbunge kwa kuisimamia serikali kikamilifu na pia namtia moyo aendelee.
@lovenessmohamedy6329
@lovenessmohamedy6329 Жыл бұрын
Sawa ila serikali iliyopita kazi iliyofanyika inaonekana
@leobardmgetta1738
@leobardmgetta1738 Жыл бұрын
@@lovenessmohamedy6329 Katika hilo wala sina ubishi hata kidogo, kila mmoja ni shahidi kuwa kazi ilifanyika. Lakini ninachozungumzia hapa ni kuhusu kufuatwa na kuzingatiwa kwa utaratibu wa matumizi nje ya bajeti. Iwe iwavyo makosa hafai kuhalalishwa.
@emmanuelkusare5653
@emmanuelkusare5653 Жыл бұрын
Ila Kuna mambo hayakupaswa kusubiri ndio maana yalifanyika maamuzi nje ya bajeti na tuliyaona,mfano mdogo Kwa sasa tunawalipa wakandarasi fedha ya ziada kwa ajili ya fidia ya kuwachelesha huoni kaka kwa sasa tunaumia sana
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 Жыл бұрын
Huo ndo ujinga wenyewe Sasa Kwa Nini usijadili matiki we unarudi mambo ya nyuma kwani ni lazima awe mpina Kwa nn usiwe wewe
@leobardmgetta1738
@leobardmgetta1738 Жыл бұрын
@@hassanimngetege2904 Ujinga upi tena? Mie nadhani ujinga ni kuwasema wengine ni wajinga. Soma vizuri utapata mantiki
@hindisaid2413
@hindisaid2413 Жыл бұрын
Alisema neno yameongezeka madeni tokea2020 wakati msukuma mwenziwe alikua Raisi lakini hakusema. Ila sasa anathema kuna shida wizara ya fedha...
@emmanuelkusare5653
@emmanuelkusare5653 Жыл бұрын
Anaongea fact acha kulinganisha ukabila na points za msingi huyu mbunge anatekeleza wajibu wake,anayoyasema hukuwa unayafahamu kabla
@owenmutale8686
@owenmutale8686 Жыл бұрын
Akili zako changa kunywa maji ukalale huna unalojua kwanza umekuja na hoja za ukabila utakuwa mchawi
@petermulugu8234
@petermulugu8234 Жыл бұрын
Kuna watu wengine bado wana mawazo mafinyu wanawaza ukabila ukanda na udini vitu visivyo na afya kwa nchi yetu!
@anthonymosha282
@anthonymosha282 Жыл бұрын
Eeeeeee eeeeeee 🤣🤣😂🤣😹😹
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
Mpina wewe nan ajui kuwa wewe ni sukuma niniiiiiii
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Жыл бұрын
Badala usikilize anachosema upo kwenye ukabilaa
@czmediaconsultant5640
@czmediaconsultant5640 Жыл бұрын
Nchi hii kama huyu anasema usukuma badala ya kusikiliza anachozungumza
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
@@czmediaconsultant5640 Nisikilize nini awa jamaa ni magumashi kwanza uyu mpina mzee baba mwenyewe alimwambia akushnda ubunge aligudua
@mabugamussa2860
@mabugamussa2860 Жыл бұрын
Ndyo ni sukuma gang hzo hoja unazionaje ?
@benmbughi4955
@benmbughi4955 Жыл бұрын
Kama wanaakili bas tuwaheshimu,,syo mambo ya gang hapa
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go Жыл бұрын
Mpina kabaki peke yake wahuni wote kimya
@barakaamani8657
@barakaamani8657 Жыл бұрын
0
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Mpina ameanza kupigia kampeni Sukuma Gang. Inajulikana.
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Wewe una shida
@czmediaconsultant5640
@czmediaconsultant5640 Жыл бұрын
Wewe ni kati ya watanzania wapumbavu,Tanzania hakuna Sukuma Gang, kuna watu wenye akili kutoka kanda ya ziwa
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
@@czmediaconsultant5640 Mmesha julikana. Na kila anae coment ni miongoni mwa Sukuma Gang. Nina fanya hivo ili mjitokeze mjulikane.
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 Жыл бұрын
Acha ukuma wewe ,kwa hiyo watu kuongea jambo n sukuma,we utakua shoga sio bure
@shinemakenzi8101
@shinemakenzi8101 Жыл бұрын
@@mansooralaisri5200 shida siyo sukuma gang kama unavyojilopokea ukweli ukanda wetu ndiko kunakotokea viongozi wadilifu na wazalendo huko kwingine wizi mtupu usitake mambo mengi tuongee mtufunge
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 41 МЛН
The Story Book : Kijana Mrithi wa Osma Bin Laden / Ibrahim Al Asiri
39:05
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 718 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН