MJUE LUHAGA MPINA ALIYEGEUKA MSUMARI wa MOTO kwa SERIKALI - MAGUFULI AKAMTEUA AKAACHWA SOLEMBA...

  Рет қаралды 88,603

Global TV  Online

Global TV Online

7 ай бұрын

MJUE LUHAGA MPINA ALIYEGEUKA MSUMARI wa MOTO kwa SERIKALI - MAGUFULI AKAMTEUA AKAACHWA SOLEMBA...
Katika Bunge lililomalizika hivi karibuni ambalo lilipata fursa ya kujadili kuhusu madudu ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Mbunge wa Jimbo la Kisesa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Joelson Mpina alikuwa mkali mno akitaka hatua kadha wa kadha zichukuliwa na wale wote wanahusika katika ubadhirifu, ufisadi na wizi wa fedha na mali za umma.
Mpina alikwenda mbali zaidi akimtaka Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa wafunguliwe mashataka ya uhujumu uchumi akidai wamefanya ubadhirifu katika mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), roti ya tatu na nne.
\
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 146
@globaltv_online
@globaltv_online 7 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@selemsigala4771
@selemsigala4771 7 ай бұрын
Mzalendo na datazake hazina mashaka Mungu aendelee kukulinda Shujaa wetu👏
@chadogsichela3528
@chadogsichela3528 2 ай бұрын
Mpina mungu akubariki sana kwakuse ukweli mtupu ujumbe umefika 👍
@juliusmhelo
@juliusmhelo 25 күн бұрын
Kama tungekuwa na wa bunge 10 tu, kama wewe nchi yetu inge enda mbali sana, Mungu akulinde kila wakati
@ignasmwamwenda3154
@ignasmwamwenda3154 7 ай бұрын
Mzalendo na mpenda haki unatufaa sana, Mungu akulinde.
@onesmomalifedha4709
@onesmomalifedha4709 7 ай бұрын
Kwanini useme anahoji kwakuwa amekosa uwaziri.Hayo niyako sisi tunamtambua kama mzalendo na mpigania ukweli
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 7 ай бұрын
yasni haw watu wanaiba halafu wanatuletea hoja dhaifu at ameachwa washenzi sana
@alphadreammedia
@alphadreammedia 7 ай бұрын
Mchonganishi huyu
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 7 ай бұрын
@@alphadreammedia Mchonganishi Wa Nini?Kwa Nini Watanzania Hamtaki Ukweli?Mtakuta Makao Yenu Kule Mbinguni.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 7 ай бұрын
Ndio ni kweli kwa kuwa kakosa uwaziri, unaona kabisa kuwa hata kama hoja zake zina tija lakini zimejaa hasira na chuki, mbona alipokuwa waziri lugha yake ilikuwatofauti na sasa? Wana siasa joho Lao ni kigeugeu, akipata uwaziri leo atabadilika kama kinyonga.
@fedealfred5385
@fedealfred5385 6 ай бұрын
​@@sskondopoleani9616 huyo hajawah kuzingua na kama Kuna sehem alizingua alipokuwa wazir bas ni sheria zetu ziliitaj ivoo😂😂
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 7 ай бұрын
Ndiye tegemeo kwa sasa
@francismlembwa2733
@francismlembwa2733 7 ай бұрын
Kiongozi mzr ni yule anayesema ukweli dhidi ya waovu
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 2 ай бұрын
Huyu mwamba amechagua njia ngumu sana kisiasa anahitaji maombi. Viongozi kama hawa ni wachache sana
@abuuidrissa9540
@abuuidrissa9540 21 күн бұрын
Kweli
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 7 ай бұрын
Napenda sana huyu mpina
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 7 ай бұрын
Mungu akulinde ruaga mpina usiwe kigeu geu kama msukuma ni mfanya biashara katika siasa
@tolatinofaustine
@tolatinofaustine 7 ай бұрын
Yuko vizuri hana uchawa
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 2 ай бұрын
Mungu akubariki mpi
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 7 ай бұрын
MWANDISHI INAONESHA BADO RUDI DARASANI TENA ,UNASOMA TAARIFA KAMA CHIZI YANI MTU ASISEME UKWELI ETI ANATOKA CHAMA CHA CCM ,KWANI UKIWA CCM HUTAKIWI KUSEMA UKWELI ? WEWE NA MUHARIRI WAKO WOTE NI MADUNDUKA WATUPU HAMNA KITU KICHWA I ,
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 7 ай бұрын
Lugha Mpina ni kiongozi mzalendo na wala haonyeshi kutofurahishwa na kukosa Teuzi Kwasababu yote anayosema kuhusu Mwigulu na wakina Mbarawa ni kweli na yapo wazi. Mwigulu ni jambazi mkubwa sana wa fedha za umma, tangu siku alipoteuliwa mimi sikuwahi kuwa na imani na fedha za Umma mpaka leo na mpaka aondoke kwenye hiyo Sekta.
@reubendofu1760
@reubendofu1760 7 ай бұрын
Naungana na Nasimama na Mheshimiwa Mpina Kwa namna anavoisimamia na kutekeleza Majukumu yake ya kibunge na hii ndo Inatakiwa kbsaa endelea kutusemea wanyonge na endelea Kwa Kasi zaidi tuko pamoja na ww na tunakuombea Saana
@amanmalima940
@amanmalima940 7 күн бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@GodloveTyoe-fv8or
@GodloveTyoe-fv8or 28 күн бұрын
Ukiona kiongozi katoka kanda ya ziwa jua mmepata chuma
@malkavoice2570
@malkavoice2570 18 күн бұрын
Msukuma mmepigwa
@francisboydmwakyusa230
@francisboydmwakyusa230 7 ай бұрын
Mh. Mpina ni Mmoja Kizazi cha Mabadiriko, na ambao akili uongoza mdomo, si mdomo kuongoza akili. Labda hatuja zoea aina ya hoja zake, lkn kwann wasomi wa PHD, kumuona tatizo. Elimu itupeleke kwenye ku elimika, Tanzania isipo badirisha namna ya kutenda, hakuna maendeleo tutafikia kwani WAHUNI, WEZI NA WAHUJUMU UCHUMI Watakula ndoto za Watanzania. Mpima you have my support 100%+
@charlesrwabutaza2551
@charlesrwabutaza2551 7 ай бұрын
Mbona umetoa maelezo tofauti na kichwa cha habari,,,
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 3 ай бұрын
Ukisema ukweli nchi hii unauwawa, kama wao hao mafisadi hawatakufa, RIP JPM
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p 3 күн бұрын
Mwenyezi mungu yuko pamoja nawe
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 7 ай бұрын
Nyinyi wa bunge wala msituchanganye kabisa. Alikuwepo bashe aliikalia kooni selikali mwisho wa siku aliteuliwa mpka leo kmyaa? Sasa mpina akipewa uwazili maneno kwisha
@Jambo693
@Jambo693 7 ай бұрын
Kweli kabisa. Hawa jamaa hucharuka sana wakiwa hawajateuliwa uwaziri au nafasi yoyote ile serikalini.lakini wakitupiwa fupa kimyaaa wanan'gon'gona hawana habari tena na hao wananchi wanaojidai wanawatetea. Mtaji wa mwanasiasa ni mwananchi asiyejitambua.
@jitihadazacharia8890
@jitihadazacharia8890 7 ай бұрын
Ameamua kuukataa ubunge Ili aseme ukweli
@Bikhafija
@Bikhafija 7 ай бұрын
Lkn mpaka Sasa hivi wapo nje lkn wananchi wakawaida Ata sindano tu anafungwa
@Bikhafija
@Bikhafija 7 ай бұрын
Sabaha mpaka Sasa yupo jela hawa wenginge mbona hawachukuliwi hatua
@anosiata8242
@anosiata8242 7 ай бұрын
@@Bikhafijasabaya ameshinda kesi sasa hivi Yuko huru.
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 9 күн бұрын
Oooh allah tupe mwanga na tupe ulinzi yarabi
@user-ji1mq4sk1n
@user-ji1mq4sk1n Күн бұрын
sio kwamba CCM hakuna viongozi wazuri nipaletu ukiingia ccm lazima ung'olewe meno
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 7 ай бұрын
Mungu akulinde mpina
@MihayoMageta
@MihayoMageta 7 ай бұрын
Mpina shikilia hapo hapo, wangonge tunakutefemea msena kweli.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 ай бұрын
Mzalendo wa kweli LUHAGA MPINA MUNGU AKULINDE
@daudimabumba2887
@daudimabumba2887 7 ай бұрын
Mungu akutangulie
@ejfilm2118
@ejfilm2118 9 күн бұрын
Muda Ni mchache ongeza speed kwenye kutoa report hizi
@obadiahnkwale124
@obadiahnkwale124 7 ай бұрын
Mwamba kwel kwel,namfatilia sana
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 7 ай бұрын
Sio msumari ila ni mtendaji mzur kwa serikali Kuiushaur serikali ipasavyo unakuwa tena msumari? Mnataka kumchonganisha na serikali Nilienda korea kusin maendeleo yote yalitokana na kuchukua stern measure ikiwemo kuwanyonga na kuwafilis Leo korea is very advanced nation Lets take Action😢 Naona kuwa kiongoz.mkuu na kuchukya legacy ya magufuli kwa baadae chama.changu mupen ushirikiano ana kitu
@joelandekile3933
@joelandekile3933 2 ай бұрын
HII CHANEL IMEANZA KUKWAMA SADA HUYO BINT JAU SANA
@abdulmajidmageja6562
@abdulmajidmageja6562 7 ай бұрын
Yani nchi hii watu wakikosa unamtafutia neo pumbavu
@msafiriomary893
@msafiriomary893 7 ай бұрын
Sasa watakamatwaje wakati serikali wote wezi watakamatwa na naniiii
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 18 күн бұрын
MH:MPINA🔥🔥🔥🔥🧠🧠🧠🧠
@maulidipazi6770
@maulidipazi6770 7 ай бұрын
Hamna mwiba hapo .wote wanapika kande Moja .tatizo hamna maamuzi yanayo chukuliwa mtabwata tu mpaka basi
@aminimushi6945
@aminimushi6945 7 ай бұрын
Hakuna hatua zinazo chukuliwa,kama w😢ananchi tufanye nini?kama ni vipigo tunapigwa,Watanzania tunapigwa,watoto wetu wanapewa mkopo wa tsh 200,000/-wa elimu ya juu.hongera Mpina.
@danielkanso
@danielkanso 15 күн бұрын
Kwenye bunge la sasa Tunaye wabunge wachache tu hasa mpina ndiye mbunge pekee na mzalendo
@furahinimbise7969
@furahinimbise7969 7 ай бұрын
Huyo ndiye mpina kijana wa kamanda jpm
@EdiTulawuthwa
@EdiTulawuthwa 22 күн бұрын
Kabsa
@user-uq2gn8xr4v
@user-uq2gn8xr4v 2 ай бұрын
Mungu akulinde usirudi nyuma
@georgeamry7545
@georgeamry7545 22 күн бұрын
Ukiwa na akili nying katikati ya wajinga unaonekana tofauti mungu wetu nyupo
@malkavoice2570
@malkavoice2570 18 күн бұрын
Mpina sio mnafiki hata kdg. Huyu akipata urais watamtambua wazembe. Magu akasome kwa Mpina
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 16 күн бұрын
Honourable Mpina
@mcjackpettydady9435
@mcjackpettydady9435 7 ай бұрын
MWANDISHI UNATUKOSEA SANA UNASEMAJE KUA BAADA YA KUKOSA UWAZIRI WHY
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 15 күн бұрын
Mhesima mpina ni mzalendo wa nchi hii
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 7 ай бұрын
Tunajua amesha msaliti magufuli
@drkalokola5861
@drkalokola5861 16 күн бұрын
Msema ukweli hatakiwi
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 ай бұрын
Mpina wape ukweli japo mchungu,wakosowe tu
@stephenbasso6512
@stephenbasso6512 7 ай бұрын
Luhaga Mpina , kamanda wa ukweli wa CCM. MTANZANIA NA MZALENDO WA UKWELI . MPINA TUNAIMANI NA WEWE. KAZA MWENDO KAKA YETU
@DaviesKwiyeya
@DaviesKwiyeya 7 ай бұрын
Unafaa kua raisi wa miaka inayokuja mungu ni mwema atulinde ili tushuhudie unavyoshinda uraisi wa nchihii
@luciasteven3314
@luciasteven3314 22 күн бұрын
Ninachojua TANZANIA haina WAZARENDO😢😢 SIASA NIMCHEZO MCHAFU SANA
@abedymtore2707
@abedymtore2707 7 ай бұрын
Kwa cheo Chake Cha ubunge na katiba ilivyoo mpina pekee awez kuwafanya chochote Hao mbwaa
@user-py5wl5kp9g
@user-py5wl5kp9g 7 ай бұрын
Watanzania wengi niwakusahau shida sana tusipige kura wate tatizo Tanzania wengi niwajinga sana
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 ай бұрын
Umeona eee
@DicksonJaphet-fq7ov
@DicksonJaphet-fq7ov 15 күн бұрын
Luhaga mpina 🎉🎉🎉
@user-jl1rw6ij7j
@user-jl1rw6ij7j 13 күн бұрын
Luhanga pina
@chezariboy
@chezariboy 7 ай бұрын
Mpina uko sahihi, but jiunge na akina mbowe, lisu, heche, msigwa, ndo utafariji watu wenye uelewa. Huwezi kumlaumu mchawi wakati unakaa home kwake.
@FreeGod368
@FreeGod368 7 ай бұрын
Hili lisaut la uyu mdada sku zote linaboa af linaongea hewa
@nathanielmkuki3048
@nathanielmkuki3048 7 ай бұрын
Ni vibaya kuhoji serikali? Kama mnaona mkimpa uwaziri atanyamaza, mpeni muone kama atanyamaza.
@ntegrity277
@ntegrity277 7 ай бұрын
Uwe unaacha wao waongee
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 ай бұрын
Hawa viongozi ni wachache sana kama Sokoine Mrema hadi Magu
@SaidyNassoro-be7gj
@SaidyNassoro-be7gj 19 күн бұрын
Sawa
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 7 ай бұрын
Mpina yukosafi
@princeemac2016
@princeemac2016 15 күн бұрын
Wewe ni shujaa Mpina
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 7 ай бұрын
Anaongea ukweli sio kuficha mambo ya ma ccm
@severinimkini4116
@severinimkini4116 7 ай бұрын
Tuwe na watu Kama Mpina inchi ya TANZANIA itsnyooka.
@ClementLushino
@ClementLushino Ай бұрын
Mkweli apendwe na walarushwa, Mawaziri mzingo Nape, Mchemba, Makamba wabinafsi
@GeofreySenka
@GeofreySenka 19 күн бұрын
Huyu kama kweli
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni 2 ай бұрын
Mungu mlinde mpina
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 7 ай бұрын
Mbona mnakosa ubunifu? Mnatuletea mambo ambayo ni kiporo halafu mnategemea mfanikiwe! Acheni uvivi wa kufikiri jamanini. Mshereheshaji hata Kiswahili chenyewe hajui. Tanzania tutaendelea kupotea kwenye maendeleo na medani zake.
@williambukuku3493
@williambukuku3493 7 ай бұрын
Huyo ndo mbunge halisi,anayesimamia maslahi ya uma,sio maslahi ya viongizi.
@George-jz3jg
@George-jz3jg 7 ай бұрын
Mpina ndo mbunge pekee yake Kwa bunge hili la serikali ya mtu anayeitwa mama wengine wote ni Chawa tu wa huyo mama
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 14 күн бұрын
We Mwigulu wew unapendwa wap baba??????
@evaristjoseph8151
@evaristjoseph8151 7 ай бұрын
Ipo siku mungu atashuka kuiongoza Tanzania ipo siku tu,
@nyerere1259
@nyerere1259 7 ай бұрын
Au bas
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it 7 ай бұрын
Mwenyewe nashangaa kuona viongozi wabathiru Bado wapo mtaani wanakula Bata.
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 2 ай бұрын
Anapata ujasiri kwa kuwa anasema ukweli
@Nasibuhelemani
@Nasibuhelemani 6 күн бұрын
Saiz bunge limebaki la kupiga meza amulud tena nyie
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 ай бұрын
Wakomeshe usiwaogope Mawaziri mwizi Mkubwa Nchemba
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 7 ай бұрын
DADA WW NI MWANDISHI MJINGA WHY UNAMRISHA MANENO KUWA ANAHOJI KWAKUWA KAKOSA UTEUZI,HV NYIE WANDISHI WA BONGO MBONA MNAKUWA MACHAWA BADALA YA KUMSIFU KWA UJASIRI WA KUHOJI JUUU YA KODI ZETU WANYONGE,UNAONGEA UJINGA KUHUSU TEUZI HEBU KUWEMI DIRECT
@thobiasmasabile-cw9xo
@thobiasmasabile-cw9xo 7 ай бұрын
Huyubndio kiongozi Sasa sio wanao sema Kila siku nikusifia tu ukweli ubaki kua ukweri mpina nikiongozi bola
@paulombay6884
@paulombay6884 24 күн бұрын
Huyu ndo anafaa sasa nipo chadema lakin huyu mwamba san
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 7 ай бұрын
Siku aliteuliwa mwigulu nilisema mama amefeli kbs sasa msitefyte mchawi mwingine mwigulu na January nape mbarawa
@user-oc2ul4lk4g
@user-oc2ul4lk4g 7 ай бұрын
Huyu anafaa❤
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 2 ай бұрын
Viongozi wengi ni chawa!
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 15 күн бұрын
Kwelli mnatetea maovu mpina ni mzalendo
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 7 ай бұрын
Mzalendo wa kweli haogopi
@user-zd3ds6vt7u
@user-zd3ds6vt7u 7 ай бұрын
Hao akinamsukuma ndiyo aliyowasema makonda kuwa kwamagu walijifanya kuwa upandewake alipoondoka wakageukia kwahuyu aliyepo wshivi niwafanyabiashara kama ulivyosema anatuaibisha wasukuma hatuko hivyo hatuna tamaa,pili tunamachungu nanchi nahuruma pia
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 7 ай бұрын
Kiongozi mjasili
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 7 ай бұрын
Mh, mbunge wetu mpina endereeni hivyo hivyo MUNGU yupo na wewe na kwa sababu watanzania tunakuombea
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 7 ай бұрын
Mwiguru ni mwizi anatamaa na uraisi
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 2 ай бұрын
Umegeuka samaki walana wao kwa wao
@peterkibiriti5601
@peterkibiriti5601 2 ай бұрын
Ye mwenyewe mwizi
@AnoliasiKope
@AnoliasiKope 2 ай бұрын
mpina bba
@GeofreySenka
@GeofreySenka 19 күн бұрын
Huyu mwamba
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 7 ай бұрын
Mpina hoyeeeee
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 Ай бұрын
Mpina anatakiwa awe rais Tanzania❤
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Ай бұрын
Stupid
@yustermtega4950
@yustermtega4950 7 ай бұрын
Mpina fuata nyayo za JPM
@emmanuelmunuo7529
@emmanuelmunuo7529 Ай бұрын
Huyu ni chama gani
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Ай бұрын
Sukuma gang
@timboxlee919
@timboxlee919 7 ай бұрын
Pongezi kwako mbunge mzarendo mpina
@juliusmagunila6308
@juliusmagunila6308 7 ай бұрын
Kwanza ni fundi pili anajua
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,9 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 141 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 105 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 109 МЛН
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 46 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,9 МЛН