MPINA 'AMCHANA' MWIGULU MAKAVU "KUNA NJAMA YAKUIBIA SERIKALI, WAZIRI FEDHA ATUAMBIE"

  Рет қаралды 20,640

Uhondo TV

Ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 50
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Ila wasukuma wanajitoaga sana wakipata uongozi MUNGU akusaidie mpina wewe Makonda mnajitoa sana kwa kweli!!
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
Bila shaka
@obedpeter6874
@obedpeter6874 Ай бұрын
Hongera mpina,uyu mwamba ndio kanifanya nirudi kusikiliza ili bunge
@peterkerenge9207
@peterkerenge9207 Ай бұрын
Napendaga sana mpina akiruka na mwigulu😊 nahisi hawa jamaa ni washikaji au watakuja kuwa wana sana😅
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 Ай бұрын
Siuoni ubaya wa Mpina Mawaziri wanajinoa kwa ajili ya Mpina hongera sana
@KagirwaMbaraka
@KagirwaMbaraka Ай бұрын
Mpina ukosawasawa
@KagirwaMbaraka
@KagirwaMbaraka Ай бұрын
Mwiguru baada yakuOngerea vitu vyamaana aongerea madeleva waselikalI
@twahamaulid
@twahamaulid Ай бұрын
Mh. Mpina ni mfano wa Wabunge ambao sio wavivu kufikili na ndio maana amekuwa ni mtu wa Data na tafiti katika uwasilishaji wa hoja zake bungeni. Nampenda sana mwana CCM huyu.
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 Ай бұрын
Luhaga Mpina uishi milele nakuelewa saaana.❤Piga kazi utalipwa taji lako Mbinguni.
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 Ай бұрын
Ni kweli Tz iko kwenye list mbaya Duniani ya kifedha haiaminiki
@jamesmethusela1148
@jamesmethusela1148 Ай бұрын
Huyu jamaa ni smart sana sema basi tu hii nchi ukisema ukweli unapigwa vita sana na viongozi wa juu.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 Ай бұрын
Big up bro , mpina,
@SaidOmary-fd3bj
@SaidOmary-fd3bj Ай бұрын
NAFIKIRIA KAMA KUNGELIKUWA NA MGOMBEA BINAFSI BASI HILI BUNGE LINGECHIMBIKA ( MPINA ANAJILIPUA)
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Mbunge boraaaaaa kuwahi kutokea eee MUNGU BABA mlinde wasimuuwe
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 Ай бұрын
Kwa kiasi kikubwa michango mingi ya Mh. Mpina inalenga kuinusuru serikali ya Chama chake. Tatizo kubwa wenzake wa CCM hawamuelewi Kabisa. NABII HAKUBALIKI KWAO.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Umeona were!!!
@philemonnestory4239
@philemonnestory4239 Ай бұрын
Mpina nakukubali sana
@raymondsonje1469
@raymondsonje1469 Ай бұрын
Mungu baba mlinde dhid ya waovu na watu wabaya
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 Ай бұрын
Mzalendo ❤
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 Ай бұрын
Mpambanaji safi sana!
@dassustephen731
@dassustephen731 Ай бұрын
Huyu Jamaa Mpina NI mfuatiliaji WA mambo.Kwa kifupi Jamaa ana akili zinafanya kazi Sana.Kumjibu Mpina lazima waziri awe amejipanga kweli kweli,vinginevyo ataishia kumjibu "NI mganga WA kienyeji" which is quite a nonsensical response
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc Ай бұрын
Mbunge Bora mpina
@macklinabenedicto4627
@macklinabenedicto4627 Ай бұрын
Na mchukia sana mwigulu MUNGU anisamehe kwa hili
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga Ай бұрын
Mhe.mpina hata kama watakubeza mm naamini safar uliyoianzisha itafk tu ingawa sio lahisi
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Mpina huwa anatetea wananchi wanyonge simpendi samia kigulu na njia KAZI kuuza bandari zetu
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 Ай бұрын
mpina ni mbunge kichwa sanaaa anaakili nyingi ni msomi anauchungu Kama magu na taifa wengine hao mi sijawaelewa
@tumainiaroni7980
@tumainiaroni7980 Ай бұрын
Mpina songs mbele kwamaono yako
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 Ай бұрын
Mungu akusimamie
@rehemakayuga7051
@rehemakayuga7051 Ай бұрын
Ipo Siku itafika Mpina Ataonekana Kile Anachokisema Kipo Sahihi
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y Ай бұрын
Maswali yapo, majibu hatuyaoni
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Ай бұрын
Mpina mmoja Ni CCM nzima asee,,jitu Lina hoja,,Akil,,maarifa,,,
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Ай бұрын
Waziri wa fedha hafai,hafai kabsa ndo magazine wa kwanza!..kaz yake kuxhuna watu wa chini lkn mapapa anawaacha!
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 Ай бұрын
Huyu ana kitu asikilizwe. Kanifanya nikumbuke nchi hii ina bunge
@robertedward1992
@robertedward1992 Ай бұрын
Huyo na kishimba wako powa.
@HusseiniHassani
@HusseiniHassani Ай бұрын
Huyu jamaa mbona anafanana sana na HAKIKA RUBEN mpaka sauti
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Ай бұрын
Mpina yupo mbele miaka 30 weng hawamuelew
@sss3s867
@sss3s867 Ай бұрын
hoja sahihi kabisa. da ger kwa pesa na usalama wa nchi. ndio hivyo msma snesems kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano Ай бұрын
Mpina unapambana kweli lakini upade uliopo simzuri
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 Ай бұрын
Watu kama hao wasijitoe ccm na wako wengi ebu wajitokeze wote,na wasihame chama wakihama chama watabezwa na itatafsiriwa kwamba wanaichukia ccm,
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
Sure​@@barakalukeha6184
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 Ай бұрын
🙏🙏
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Ай бұрын
Mwigulu hafai ndo mpigaji wa kwanza!..ajiuzulu hafai!..kaz ni kuumiza watu wa chini lkn wale mapapa anawaacha waendelee kula!.
@gelardbalalu9119
@gelardbalalu9119 Ай бұрын
Au tuandamane tuende bungeni tuwaambie kabisa mpina aludi bungeni
@paulmteki8196
@paulmteki8196 Ай бұрын
Spika kunambo kama wananchi tunahumia kuona Mambo mawaziri wanatetea jambo badaye linaonekana ni laukweli spika bunge lako linakuwa la hovyo
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Ай бұрын
Mwiguru ni mwizi mno
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Ай бұрын
Waziri wa fedha kazi yake ni kuongeza kodi za hovyo eti wa kulima wawe na machine ya ifd
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
Sure, hii nchi imejiingira kweny mifumo ya tehama mibovu na ya kifisaidi haijawahi tokea. Uku utumishi kuna PEPMIS ni uongo mtupuu, haina maana yoyote zaiid ya kutesa watumishi..mtandao mbovu, mfumo mzito, yani tunanunua mifumo kwa gharama za fedha za watanzania halafu zinageuka kuwa chanzo cha upigaji na upotevu wa muda
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 19 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 9 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН