MPINA ATAKA WAZIRI MWIGULU, MBARAWA WAKAMATWE na KUPEWA KESI ya UHUJUMU UCHUMI, AONGEA KWA HASIRA...

  Рет қаралды 33,850

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 149
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
USIKUBALI KUPITWA na BREAKING NEWS ZA GLOBAL TV. JOIN WhatsApp Group Now:chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@tinayotham9035
@tinayotham9035 Жыл бұрын
Mpina Mungu akulinde Mzalendo mwenye uchungu na nchi yako
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Жыл бұрын
Mpina mungu atamlinda kwsbb anaangaliwa jicho baya na majambaz
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu nakuinulia mikono nomba kwa unyenyekevu mkubwa KBS,wanaoihujuwmu hii nchi,nakuwafanya watanzania kupoteza imani kwa viongozi,basi allah awaangamize awateketeze wafe wote,tuseme aammina amina,mungu upokee sala na dua yangu
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
Siku zote nakuelewaga sanaaaa, Sema mbaya tu wapigaji ni wengi na wanashindwa kusapot point zako
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Жыл бұрын
Mbunge mtema madin mungu akupe ,maisha maref
@sadymchawi8853
@sadymchawi8853 Жыл бұрын
We mwamba utafika mbali sana mungu atakulinda na ss tupo na ww inshallah
@yonaphilimoni8625
@yonaphilimoni8625 Жыл бұрын
Asante sana mpina👏👏👏👏
@katondostudio652
@katondostudio652 Жыл бұрын
Weka Jina we Rais wa Tanzania🇹🇿👊
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Dah nimeumia sana sana tanzania hii anaeiua ni kikwete kwa kuiba na kulindana!!!na hapa akuna atakae kamatwa wala kuwajibishwa!!yan nchi hii tunatia aibu kwa kua na viongonzi dhaifu wezi na hao hao wanashiriki kuiba nao ,ndugu watanzania wazalendo ivi ingekua chini au apo karibu tu rwanda ingekuaje!!!na mm mwaka huu siripi kodi nitamuhonga kiongozi na mm nisiripe,hii nchi ni aibu sana sana.
@mwitamasisi2509
@mwitamasisi2509 Жыл бұрын
Ipo cku mwigulu atazilipa hizo hela za wananchi wanyonge, Mungu amlaze Raisi wangu mpendwa Dr JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
@damianmachira7535
@damianmachira7535 Жыл бұрын
Mpina simu zote Yuko vizuri,,,sema wasioelewe hawaelewi😢😢
@isaacmutegwa5881
@isaacmutegwa5881 Жыл бұрын
Inaumiza sana aisee. Very fact speech Yani unakaaaje kwa mfano ?
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Wabongo kwa kweli tunaliwa kweupe pee hivi umasikini huu utaisha lini viongozi waliowengi wamekuwa wezi kwa hapa katiba yenye kuwanyoosha viongozi ambao sio waaminifu,hizo shule wanasomea uwizi kweli mungu tulinde.
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿Ni kweli kabisa watu hawa hawana faida kwa taifa wanaiba hadi wanakela 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Kuna siku ambayo aina jina huyu mwingulu nchimba atajikuta yuko magereza awezekani mtu mmoja kwanza mtu ambaye alishawahikufukuzwa kama jambazi theni anarudishwa tena alafu hapohapo anakashifa chafu ya ujangili wizi ujambazi wa kodi zetu ana kashifa ya kumiliki mabas ya Esther yako zaidi ya 100 mtu mmoja anajimilikia mabiloni ya hela alafu watoto wa yatima wanakosa sukari awana chakula watu masikini tunachanga ili watoto yatima wApate mlo
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Sisi mpaka tunapata wakati mgumu ni kwanini mwingulu mchemba ajakamatwa mpaka sasa mwingu mchemba ninani alimpa mamlaka ya kukopa hizo fetha trilioni mmoja amekopa hizo fethar alifanyia nini mwingulu mchemba ni kwanini ata mungu asimwangamize Huyu mwingulu nchemba jambazi mkubwa ibils shetani watu wanateseka na matozo ya hovyo
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Ila kuna mwisho wa mwingulu nchema
@shakaurembo477
@shakaurembo477 Жыл бұрын
Safi sana mpina Unaonesha uzalendo Tunaitaji Viongozi wenye maono✊🏾
@rahmaalphonce7684
@rahmaalphonce7684 Жыл бұрын
@ shaka urembo, halafu ndo nn?!!!! mnasema wao wanaendelea kutumbua nchi nyie mnabaki na machungu yenu. Kuna wasemaji wazuri au hata kuzidi kabla ya Mpina?!! Halafu ilikuwaje?! Hawakufanywa kitu wahusika wahujuju uchumi, waliendelea kula nchi kwa mrija taratiiiibu, nyie mtaishia na makelele yenu. Wako watu ambao walikuwepo kwenye scendo nyingi sana kwenye bunge zilizopita wako humo bado, what are they doing?! What do you expect from them, kama cyo mama kurudishiwa ndoo kichwani, umeme kurudi kuwa hadisi ya alfu lela ulela, n extr. Am sick n tired of even listening to the bunge, uozo uleule, shida zilezile style ileile, Who cares if you die giving birth to a baby by roadside, afterall you'll die someday. It really sucks!!!
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Daa mpina we ni mzalendo wa kweli basi bhana atulipie MUNGU
@OscarLucars-yh5jj
@OscarLucars-yh5jj Жыл бұрын
Moyo wako ni mwema sana kwa taifalako ndugu moyo wakizalendo Ndugu zangu watanzania tukiendelea kulala kwenye usingizi huu na kuchukulia kila k2 ni sawa 2taendelea kugeuzwa mitaji ya wa2 wachache wanao 2nyonya nguvu zetu Sawa na kuku wanaofugwa kibandani wakingojwa kutaga ili kumnufaisha mfugaji tuache kuchukulia mambo kiwepesi ndugu zangu wa tz tupaze sauti kwa pamoja
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj Жыл бұрын
Bahati mbaya majizi hayawez kukusikiliza hata siku moja wa kwanza waziri mwenye dhamana
@yasinrashid985
@yasinrashid985 Жыл бұрын
Mpinaaa hoooyee
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
Oyeeeee
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 Жыл бұрын
@@lucyjeremia1381 hoyeeeeee matatu kwake👏👏👏
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Жыл бұрын
Sema mpina mama aangalie namna ya kukupa wizara ya nishati unafaa sana
@venancesambala512
@venancesambala512 Жыл бұрын
Hoja za muhimu kama hizi uwezi kusikia wabunge wanapiga makofi ya nguvu sana.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Wanakula wote
@FideMgonja-u6u
@FideMgonja-u6u 9 ай бұрын
Bahasha ninoma
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 Жыл бұрын
Yan Mbunge pekes alienakia mwenye kuusimamia Serikali. Well done Mpina, Yan umegusia kila eneo mpaka katiba
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Ukiona mtu kama huyu ni ccm anadai katiba mpya ujue mfumo wa nchi upo vibaya alafu mwingine anakwepa kudai katiba bilashaka ana mtindo wa ubungo
@mwitamasisi2509
@mwitamasisi2509 Жыл бұрын
Mama kweli umeshindwa kula sahani moja na hao wezi jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Mimi naona nao ndio wale wale team moja
@geey7893
@geey7893 Жыл бұрын
Mwenzao wapigaji
@marsmars5361
@marsmars5361 Жыл бұрын
Huyu mbunge ipo simu atakua raisi maana anafanya vitu kama magufuli marehemu utafika mbali sana mpina mungu amlinde Amina
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Uyu mama amezungukwa na majizi,wengine wanajifanya kuvaa tai za bendera ya Taifa kumbe ni mijizi ya umma sema Mungu anawaona ,kama uyo mbawala kapeleka panton kutengenezwa kwa Bilioni 9 c wizi uo
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Kama wamekula pesa ya Taifa hata wakinyongwa sawa tuu
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Bora Rais awe huyu tu Mungu fanya jambo nimehis uchungu sana
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Aongoze familia yenu
@ericksagara1719
@ericksagara1719 Жыл бұрын
Raisi huyu nchi imemshinda kabisa. Inauma sana, maajizi walioshangilia kifo cha JPM sasa wapo kazini na wanamuendesha Mama watavyo
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Жыл бұрын
​@@salehesalehe2967 Kuna jambo limekugusa
@wanainchitvrdc6705
@wanainchitvrdc6705 Жыл бұрын
Excellent
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Жыл бұрын
God bless you
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Daaaaaaaaa noma lazma wapigwe chini pia waende Jela na warudishe pesa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Mbunge wangu nakuaminia
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Жыл бұрын
Unakubalika sana mkuu
@mwajumakambangwa2190
@mwajumakambangwa2190 Жыл бұрын
Hawatakuelewa baba, wapigaji wengi kuliko wazalendo RIP MAGU
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Wasukuma tunajielewa ukuchanganya na kishimba ni balaa
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Majizi haya, lazima katiba mpya period.
@mwailubikamongo9774
@mwailubikamongo9774 Жыл бұрын
Mungu atasimama nawewe najuwa watataka wakuuwe
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Ndio shida iko hapo lkn nawatahadhalisha iko siku watu watachoka kuona ROHO za wazalendo zinapotea
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Facts
@EagleCrown-pb9qv
@EagleCrown-pb9qv Жыл бұрын
Mbalawa wizala hiyo haiwezi kabisaa Tanload Kuna vibaka Sana hiyo wizala inaitaji wazili mkali sio wazili mpolempole
@geey7893
@geey7893 Жыл бұрын
Amewekwa kifisadi
@geey7893
@geey7893 Жыл бұрын
Mbarawa,Masauni na Mcgengerwa hao wamewekwa purposely na Jumong wawe wanamletea mikwanja. Subiri uone kama watakuja kutoka hao
@alexmaiga5352
@alexmaiga5352 Жыл бұрын
Duuuuu nchi inapigwa hiii
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Wote wapigaji
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
Wapigaji tu hao na Samia anawalea vby
@charlesmafwimbo5588
@charlesmafwimbo5588 Жыл бұрын
Mpina fedha hizo wanazo na hazitapatikana. Kabisa
@bongo39
@bongo39 Жыл бұрын
Tatizo bunge letu liko kwa ajili ya kucheka na kupiga makofi wao hawana presha pesa zao zinaingia bila wasiwasi watakula mpaka mwisho wa dunia na hamna wa kuwachukulia hatua
@eddyjunior2881
@eddyjunior2881 Жыл бұрын
Wewe ni Mwamba na ni mzalendo ,,,lkn watu km nyie mnapigwa mawe mpaka mnapotea hewan,,,Mungu akupiganie na hao wanaonda bungeni kuuza sura na kujilimbikizia Mali kwa ajili ya matumbo yao na familia zao ,,mwisho wao utakuwa mbaya
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Mhhh leo baba ume pasua mhh mwigulu ndo upo iv seeee mtume
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 9 ай бұрын
Duu wembunge mungu akusimamie sna katika majukum yako yote nishie ivo two
@daudjohn6281
@daudjohn6281 Жыл бұрын
Shida moja mbwa wote wamekula na wanakula nyama ! Hamna mbwa wa kumkamata mbwa mwenzake.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Exactly
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Huyu ndiye mbunge tunayemuhitaji ,wabunge wengine michango yao haieleweki kazi kulala lala TU nchi itaenda vipi wafujaji wanatakiwa wanyongwe tuwe kama wachina.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Umesema ukweli mpina
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 Жыл бұрын
Sema baba wengine watasema watasema wakiwa kaburin
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 Жыл бұрын
Mpina anafaa kuwa Rais wa nchi.
@oswardkabasa8503
@oswardkabasa8503 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Jamani Tanzania ina watu zaidi ya million 60, hivi msomi ni Mwigulu Nchemba peke yake aliyesomea mambo ya fedha? Mbona wasomi wako wengi wenye shahada hizo za fedha?.. kwanini serikali yetu tukufu ina mng'ang'ania huyu huyu Mwigulu Nchemba tu kumpa wizara nyeti kama ya fedha na mtu mwenyewe ana ma Scandal kibao.. why is he still there na wizi mkubwa kama huu bado unaendelea.. kuna nini hapo?
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 Жыл бұрын
Great
@SilvesterRaphael-xb6it
@SilvesterRaphael-xb6it Жыл бұрын
Wazir wa fedha madudu ni mengi anafanya lakini inaonekana ni kipenz cha wakurugwa wa nchi hii haiwezekani kiongozi kuwa na kashifa mbaya kiasi hicho lakini bado yuko kazin kwenye ofisi za umma none sense
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 9 ай бұрын
Wasije kukukolimba😢😢😢😢
@mohamedjeizan5929
@mohamedjeizan5929 Жыл бұрын
Vitu viko wazi kabisa mambo yote yanaazia na kuishia wizara ya fedha. Waziri wa fedha awajibike Kwa madudu . Hata sijuwi mpaka Leo takukuru wanasubiri nn wasimsweke ndani
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Mbunge kaongea kwa hisia sana aisee inabidi huyu spika naye achukuliwe hatua maana anapuuza hizi hisia hapaswi kukalia kiti
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
kweli kabsa
@ayubusaidi922
@ayubusaidi922 Жыл бұрын
Hi nchi kiukweli Sasa hivi Haina kiongozi mkuu wa nchi anaele fuatiria tuna kiongozi wa ofisini na wakusema katazameni huko hatuna kiongozi Bora Ila tuna Bora kiongozi mwenyezimungu tuongoze
@raymondsaliboko8435
@raymondsaliboko8435 Жыл бұрын
Mpina nakwelewa, piga kazi
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын
Mh,mdawakoumekwishaaa kauli ya bwana Tozo
@ZeAniamalTV
@ZeAniamalTV Жыл бұрын
Duuuh mwigulu
@tinayotham9035
@tinayotham9035 Жыл бұрын
Aibu kwenu nyie wabunge ambao mnashindwa kutetea maslahi ya wapiga kura wenu.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
We unafikiri kuna mbunge yupo kwa maslahi ya mwananchi?? . Mimi sifikiri hivyo ndugu yangu..
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 Жыл бұрын
Rais 2025 mpina nimekuelewa sanaaaaa
@AloyceKiria
@AloyceKiria 9 ай бұрын
Sio uongo tunamsapot Hawa ndo wabaya
@Tanzaniayangu-g8v
@Tanzaniayangu-g8v Жыл бұрын
Huyu naibu spika kazi kuzima kipaza sauti eti muda umeisha kisa jamaa kaigusa serikali, au wanakula wote!!!, Ningepewa mamlaka mngenikoma kwa ujinga ujinga wenu mnaoufanya
@Tanzaniayangu-g8v
@Tanzaniayangu-g8v Жыл бұрын
Wabunge wengi wamo bungeni kupiga makofi kwa tumiradi twa milion 300 utasikia umetujengea vituo vya afya, mara shule ila ikifika muda wa hoja za upigaji wa matrilioni, utaona wanashika tama tu wanasubiri nani amfunge paka kengele.
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj Жыл бұрын
Wabunge mko wapi
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 Жыл бұрын
Mpiga aiposema waziri wa Fedha na wezake wangekuwa wamekamatwa wabunge wengi walicheka kuashilia hawezekani, tujitadhimini
@annakapwa5503
@annakapwa5503 Жыл бұрын
Ukweli mtupu huu
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Жыл бұрын
RIP
@bakariramadhani8644
@bakariramadhani8644 Жыл бұрын
Huo.ndio ukweli wakamatwe ni wahujumu uchumi hao
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
Nchi hii kuja kuendelea itakuwa ngumu sana,wengi wapigaji
@maryjonh311
@maryjonh311 Жыл бұрын
Mungu wangu🙆‍♂️🙆‍♂️ Watu wanapiga pesa watu wanaumwa hata ela ya kujitibu awaja jaman mmh
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 Жыл бұрын
Mpina hajawahi kufelii, wambie hao
@joramkimario9321
@joramkimario9321 Жыл бұрын
Mpini Kama chuma
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Nimekupenda sana mpina lakini Sasa mamaa atanyamanza kimya yaani mwigulu hafai kabisa kwanza alishawahi kuwaambia watanzania km nchi imetushinda tuhame nchi pia saimon sirro alisema hivyohivyo wakadai tuhamie Burundi ili tukafie huko maana Hana uchungu na mtanzania kwanini Sheria isichukue mkondo wake ondoa hao watu Hadi mkaguzi amekuambia na Bado umekaa kimya? Eeee mungu tusaidie Tanzania inaangamia na rais yupo kanyanza duh
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj Жыл бұрын
Lete majibu w.serikari
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Жыл бұрын
Serikali iwachunguze wahusika
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Жыл бұрын
Mwizi hana tofauti na Mchawi, Hawana haya wanajitoa ufahamu hatakama wasodolewe Hawatishwi na chochote. Lkn mh, Mkuu wa nchi angetoa tafsiri tu, Ni adhabu gani inawastahili hawa wapigaji.
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Жыл бұрын
Mtaan huku akiiba kuku tuu jela hapo munapiga mishindo kinoma munatutesa kila siku munakagua hakuna aliefungwa hata
@Tanzaniayangu-g8v
@Tanzaniayangu-g8v Жыл бұрын
Uongozi wa bunge mbona kama unampuuza huyu mbunge, mbona hatuoni hatua zikichukuliwa??? Maana tangu ameanza kupiga kelele anayoyaongelea na C.A.G anakuja kututhibitishia hivyohivyo ila hakuna hatua inayochukuliwa..au kama hawataki kuyatendea kazi kuanzia kwa spika, naibu wake, mawaziri husika wote wajiuzulu afu tutajua chakufanya
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Жыл бұрын
Nchi imeoza inatafunwa aseee
@paulshija7632
@paulshija7632 Жыл бұрын
Huyu mwamba mpka 2025 atakuwa amewatoa Nyongo watu 😀😀😀, anawapiga kweli kweli
@sesicasi1364
@sesicasi1364 Жыл бұрын
Haya majizi yanataka yapigiwe makofi na vigelegele. Yameiba mpaka sasa hayaoni aibu kuuzia bandari zetu zoote. Mwishoni yatatuuza na sisi wenyewe ndio maana wamasai wamechoma kadi zote za kijani.
@majaliwaadam1925
@majaliwaadam1925 Жыл бұрын
Hayati magufuli alisema tanzania nitajili akaonekana sijuinini
@majaliwaadam1925
@majaliwaadam1925 Жыл бұрын
Alafu bado mnakopa hela zamashalti yakubakana
@yohanessanga8720
@yohanessanga8720 Жыл бұрын
Nipo iringa aka twipwepele
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 Жыл бұрын
Maccm yanapasuana wenyewe
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 9 ай бұрын
Mpina ni Mwananchi wakweli bali wezi ndio wengi na huenda cheni nkubwa mno kwani kunawalio mdani nanje maana ya viongoz wakubwa walio ndani. Wezi wezi niwengi mno
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
Nadhani taarifa ya CAG mbunge anafahamu kwamba sio hukumu Bali ni hoja. Utaratibu wa taarifa ya CAG uliotumika unaleta mtafaruku usio na sababu. Upotoshaji unaojitokeza ni jambo ambalo serikali ingeacha mpaka ipitiwe na vikao vyote ikiwa ni pamoja na majibu mbele ya vikao husika .
@peternyambo1439
@peternyambo1439 Жыл бұрын
MAWAZIRI AMBAO WIZARA ZAO ZIMESABABISHA HASARA WANGEJIUZULU TU KUACHIA UCHUNGUZI ZAIDI. HIZO TRILIONI ZA MWIGULU ALIPE MWENYEWE
@revocatusvedastus8893
@revocatusvedastus8893 Жыл бұрын
wakamatwe na watoke kwenye ofisi ya uma
@anizethmushi7624
@anizethmushi7624 Жыл бұрын
Je wabunge kwenye majimbo yenu mnasimamia nini ? Fedha mnazoomba majimboni mnahakikisha zinafika na kukidhi mahitaji mliyokusudia au mnasubiri vikao vya Bunge kulalamika. Wajibikeni kwa viapo vyenu.
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
huyu mwigulu ni Kimeta wa Taifa hili
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Dabganya toto,zile mahakama za mafisadi kuna wangapi huko?tulishazoea hizo kelele feki.basi na tuone hatua itakayochukuliwa.pia tuwe tunasomewa majibu ya hizo tuhuma kila.bunge.
@allymaumba9421
@allymaumba9421 Жыл бұрын
Wezi hao wafukuzwe
@merikebukasayo3714
@merikebukasayo3714 Жыл бұрын
Mpina uwe makini wasiojulikana wataanza zoezi lao hao mawaziri ni kipenzi Cha mkuu wa nchi baba tena waliteuliwa kwa kimagumashi kumbuka mkuu wa nchi na hao mawaziri lao moja
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Washindwe na walegee watatuona wanasimiyu mpina yupo na mizimwi yote ya kisukuma inamxunguka amguse mtu afe yeye na ukoo wk wote
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Huyu Mwigulu atakufa usingizini..atalala asiamke tena..
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Mbinguni umesikika lakini duniani Tanzania haujasikika
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Baada ya hapo hatua gani zimechukuliwa ?au ndio ngonjera tu 😂
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Жыл бұрын
Sasa kelele zenu zinasaidia nini mbona ni kusema tu kila siku bila mabadiliko yoyote nikusema tuuu na kulipwa pesa na wizi upo palepale
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Жыл бұрын
Mh, MPINA wewe ni mzalendo wa kweli huwezi endelea kuyapitishia majizi yale najua Mungu yuko na wewe mzalendo na tuna kuombea sana tunaomba Rais asikubari watu wachache wabomoe nchi.
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 Жыл бұрын
Rais mwenyewe ndio kawarudisha wote wezi na anawajua na kanyamaza unategemea nini lao ni moja!
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Kyiv and Lviv Under Siege / The Kremlin’s Plan Revealed
12:52
NEXTA Live
Рет қаралды 674 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:52:00
القران الكريم مباشر Holy Quran live
Рет қаралды 1,4 МЛН
Putin Starts a New War / Secret Documents Caught on Video
12:31
NEXTA Live
Рет қаралды 855 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН