Mbunge wa viti maalum (Chadema) Halima Mdee akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma leo.
Пікірлер: 91
@evelina962114 күн бұрын
Safi.sana
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
Mboe fanya maliziano na hawa wabunge haraka ukiwatoa bungeni utaua chama
@mako331 Жыл бұрын
Yani tunawabunge wenye akili sana, ila michango yao ingesikilizwa tu
@elishajailosy4916 Жыл бұрын
Dah uyu mdee Yuko vzr
@gililwise Жыл бұрын
Halima oyeeee mama Samia mpe wizara ya kilimo anafaa sana.
Huyu halimadee bulaya matiko bunge nk bunge linanoga malizen tofauti sna jaman
@NaphySky-oq5sy
Halima oyeeeh my voice 🎉❤
@TajweedKachila-qb9eq Жыл бұрын
Yaaah big up to you 😁😁😁 if we get representative like you .....we successful our plan
@benny4345 Жыл бұрын
Halima is spot on! She is making a lot of sense!
@kimanimain9239 Жыл бұрын
Halima anakuwang mzuri can but ni hoja yake ndy wanaikataa 2 jmn 🎉🎉
@salmamakweta1198 Жыл бұрын
Point sana
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Kuna mashamba wamemilikishwa wageni tunayaona tuuuu afu baadae yakifikiwa na mji ukikua wanafungua viwanda. Alafu kwann sijaona taarifa ye yote kwenye kuchangia kwake huyu binti yenu?
@liverpoolfootballclub9985
Halima mdee breathing fire but oozing some wisdom. 🇰🇪
@genarahaswile2990 Жыл бұрын
halima kunywa pepsi kwa mangi nitalipia
@emanuelcosmas395 Жыл бұрын
Bashe anataka kuhawa ardhi yote alafu wajukuu zetu watalima wapi?
@Piscesblair14 күн бұрын
The problem is lack of a national strategic planning benchmarked to guide our leaders to pursue our national vision.
@kimanimain9239 Жыл бұрын
Yes madam hali congratulations 🎉🎉🎉
@makupejafar1771 Жыл бұрын
Leo mdee safi skuelewagi ila Leo nakupa Mauwa yangu