MPYA!2_USHUHUDA WA MUIMBAJI BEATRICE KITAULI ALIVYONUSULIKA KUTOLEWA KAFARA NA NABII WA UONGO

  Рет қаралды 6,736

PROMOVER TV

4 жыл бұрын

#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 20
@emeldahaluda3849
@emeldahaluda3849 Жыл бұрын
Pole sana hata NAMI yalinitendekea hivyo dada yangu tuendelee kumuomba mungu tutafunguliwa
@emeldahaluda3849
@emeldahaluda3849 Жыл бұрын
Asante sana mi niko Kenya hata NAMI ni.ekutana na Wachungaji kama hao ambao walinisumuma nikatoka kwangu lnikaenda kwa mwaka mmoja sa Babu tu ni vyenye mungu Alinitumia na wao hawakutaka hivyo so mungu wangu nimzuri kwa sababu hakuacha mambo Yao yatimie kwangu amenipigania bwana yesu sasa Niko kwangu mungu amenirejesha kwangu sijakufa vile walivyo taka nife hallelujah kwa bwana yesu anasitahili sifa nautukufu amen 🙏
@lilianachiengministries3386
@lilianachiengministries3386 3 жыл бұрын
Nakubaliana nawe,what makes a good Christian makes a good citizens,cha mungu now mungu cha kaisari mpe kaisari Asante.
@paulinadavid1539
@paulinadavid1539 3 жыл бұрын
dada tunamtukuza Mungu kwa ajili ya uponyaji wako....ila dada huo usiri wako ndo uliokucheleweshea uponyaji wako....huo usiri sio mzuri ungekupelekea umauti...kwa nini uwafiche waovu wa namna hiyo....hapo sijafurahishwa na wewe...hicho kipengele badilika...usimwogope mwanadamu ...Mungu wa mbingu na dunia ndo pekee wa kuogopa....namuomba Bwana Yesu akupe ujasiri wa wana wa Mungu katika Roho Mtakatifu...uweze kukaripia,kuonya,kurekebisha palipo na dosari bila kumtazama mwanadamu usoni kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo amen.
@Shalom2018
@Shalom2018 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema.Bwana Yesu Kristo atusaidie kuwatambua hao watu wanaojiita watumishi wa Mungu kumbe wa shetani
@Shalom2018
@Shalom2018 4 жыл бұрын
Ubarikiwe dada Beatrice Mungu azidi kukulinda na kukusimamia katika jina la Yesu Kristo
@antoniaemmanuel6754
@antoniaemmanuel6754 2 жыл бұрын
Pole sana Mtumishi na asante Kwa kunipa ufahamu
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
Pole sana dada, wapendwa tuendelee kusimama na Mungu kwa kumaanisha
@lucywilson5875
@lucywilson5875 3 жыл бұрын
Aisee Beatrice Majini yalikuwa yanakunyonya damu , Mungu nimwema ulitoroka nandio mwanzo wauponyaji wako
@kibetmiteiezekiel916
@kibetmiteiezekiel916 3 жыл бұрын
Pole sana.
@charlesmmasi9095
@charlesmmasi9095 4 жыл бұрын
Nakushauri nenda Arusha kwa mtumishi Hebron pale Moshono kwenye kanisa la Yesu ni Bwana na mwokozi wa mataifa yote. Tafadhali usidharau.
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
Hebron ni Nabii Mkuu asiye na makuu mtumishi wa Bwana kweli kweli! Hakika ndiye mlezi wangu kiroho bila kujali niko mbali nae kimwili.
@lucywilson5875
@lucywilson5875 3 жыл бұрын
Sijawahi muona Hebron, ila kila siku naponywa namahubiri yake kupitia youtube. Siku nikifika Arusha nitatembelea Kanisa lake.
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@lucywilson5875 karibu arusha sana!!
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 3 жыл бұрын
Kwa nn ulimficha?
@paulinadavid1539
@paulinadavid1539 3 жыл бұрын
beatrice siku zote uongozwe na Roho Mtakatifu....Muulize Roho kabla hujaambatana na mtu yeyote kwanzia sasa....ila Mungu ni mwema na bado ana mpango mkubwa bado na wewe....
@RIZIKISEMUNAOFFICIAL
@RIZIKISEMUNAOFFICIAL 4 жыл бұрын
Pole sana dada
@kalamajulius6107
@kalamajulius6107 4 жыл бұрын
Pole sana betrace
@georgesukari9075
@georgesukari9075 4 жыл бұрын
Pole sana Dada,Mungu azidi kukuimarisha ktk imani,Ushuhuda wako unafundisho kubwa Sana.Asante kwa ushuhuda.Mungu atakurejeshea vilivyopotea.Mti uliokatwa utachipuka tena.
@johnzacharia2308
@johnzacharia2308 4 жыл бұрын
Mchungaji mashimo yule waviboko vya upako? Au yupi dada uliyempigia simu akuombee
Зу-зу Күлпаш 2. Интернет мошенник
40:13
ASTANATV Movie
Рет қаралды 654 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,1 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 26 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Интернет мошенник
40:13
ASTANATV Movie
Рет қаралды 654 М.