Japo ni siku ya pili sikati tamaa ni muhimu kwa Afya yangu😂😂😂😂 ayaaa huyu ndo Amani Kigoye bhana👌👌👌👌💥💥 na msimuliaji wetu kaka Felix Mwenda💪💪💪💪
@mhabimina4023 Жыл бұрын
Benyewe abo Mr Mwenda and Kigoye ni 🔥🔥🔥👌
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
Ahsante my Felix, hakika unanipa burudani , ur voice is so swt
@halimahaji3856 Жыл бұрын
Weweee ,kaka felix yaani nainjoy kukusikiliza katika sector hizi, 🥰🥰🥰🥰
@fallymetoo191 Жыл бұрын
Tobhaaa!!!..haya twende!! kz thanks Smix pamoja sana
@Pretty22750 Жыл бұрын
Wow shukran Habibi Felix mwenda na Amani mwenyewe niko nyuma yenu nikitega sikio langu kujifunza na pia kujiburudisha na kupunguza stress ili niendelee kuishi maisha mema
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
💕💕💕👍💪
@rosemalekela875211 ай бұрын
Yan nlipockia ni felix tu mi kiroho kwatuuii😊
@fatematrtr4995 Жыл бұрын
Tumerud kwa bwana kigoyee swafiii xanaa twende Kaz ferix😍😍😍👌
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
mwaka mpya moto mpya
@mezeaally8545 Жыл бұрын
Kitu kipya japo nimechelewa 😊 iLa tupo pamoja
@lillykuiname69 Жыл бұрын
Kitu kipya ndani ya mjengo 🥰🥰🥰
@frankpablo8256 Жыл бұрын
Nina zaidi ya miaka Saba nafatlia na kuskiliza simulizi mix daah Asanteni saana
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
Big up sana bro
@husseinmassawa7186 Жыл бұрын
We're here again,lets go mr.felix🤝
@eca-mlondanyiabokyo4416 Жыл бұрын
First one
@ummusulaish5586 Жыл бұрын
Shukran sana kaka Felix kwa Simulizi mpya
@mayaashassan3918 Жыл бұрын
Hii nayo ni LAANA KWELI🔥🔥 SHUKRAN SANA SIMULIZI MIX
@michaellazaro7874 Жыл бұрын
Nipoooi
@thuleythasule7036 Жыл бұрын
Thuleytha mm nimekuwa wakwnza like zenu jemen
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
I salute u bro Kagoye
@dinahwafula2538 Жыл бұрын
Daah nilichelewa wapi Kumbe kuna kitu roho inapenda huku😂😂
@salmasalumu2024 Жыл бұрын
Wa mwisho mie like zenu
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
Felix na Kigoye😘😘😘😘
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
Wow Felix kumbe mpya hii? Bigup sana, Nakupenda Sana bro Kagoye, na ninaKusalute kwa utunzi wako .
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
shukran sana dada angu nami nakupenda pia
@sks.839 Жыл бұрын
Gusa link
@mwanahawayunus3653 Жыл бұрын
Kigoe noma..alafu msimulizi ni boss felex👍👍
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
shukran sana
@emmanuelmwatujobe8450 Жыл бұрын
Nilivyoona tu jina la simuzili nikajua uyu msimuliaji atakuwa mwenda maana anajua kuzitendea haki simulizi za kutisha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
😀😀😀💕💕💕
@bahaticlinton4581 Жыл бұрын
Nakubali sana felx
@diddahjay2185 Жыл бұрын
Napenda sana simulizi kma hizi.
@engmanyaki_charles9871 Жыл бұрын
Mtaaalamu kigoyee
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
🙏✊
@hasamsaid4578 Жыл бұрын
Duh nimechelewa lkn tupo pamoja bro
@salomewandya725729 күн бұрын
Duh Jida yupo humu mweee 😂😂😅🔥🔥🔥
@phariahkhamayi8145 Жыл бұрын
Tuko hapa Kwa mpigo Kaka Felix tulikuwa tumeboeka
@asiaoman2979 Жыл бұрын
Mdogo mdogo tunaanza
@rafiimohammed8446 Жыл бұрын
Rms sawaa
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Tunainjoi tuu na simulizi mix like zenu🥰🥰🥰🥰
@deezodebeytz Жыл бұрын
Mamb
@kibibikombe9203 Жыл бұрын
Safi Sana wana simulizi mix
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
Kagoye, bigup sana Bro, Ila usiache chombeza za kilomo , yule mlevi mjanja
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
soon nayeye anarudi kaa tayari kwa Kalomo
@bbrsssaad1282 Жыл бұрын
Safy kabsa
@linetmagozti6434 Жыл бұрын
Aki nimengoja hadi imefika asante Felix
@Winniequinepretty-wm7rr11 ай бұрын
Fantastic 😂😂😂😢😢❤❤
@fa7m7l10 Жыл бұрын
hapana kwa kweli kwan mnalalaga hum ndani
@hanifaomar7438 Жыл бұрын
Tunasonga nayo mdogo mdogo ✌️
@AishaOthumani-xq4ec5 ай бұрын
Mikono ya amani kigoye kazini tena kigongo kikaali❤
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
Wa mwisho🥺🥺
@faizajumwa4696 Жыл бұрын
Ahaaa!!ndonainza🎧🙄🇰🇪
@mwanamisikifogo869 Жыл бұрын
Hii simulizi iko poa san nilipenda san niko mkao wa kuisubir hap
@salomewandya725729 күн бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
Dah huyu mtawala pya wa Gondo hawaogopi laana jamani!!, How comes watu wafanye ukatiri kihivyo😟😟😟
@aminamhina9129 Жыл бұрын
Nice
@erinkweks9592 Жыл бұрын
Jmn tulikua tuna msubiri kwa ali n mali amani kigoye
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
sasa amerudi mwamba huyu hapa😃
@dannyrayson2785 Жыл бұрын
Nashauri stor inavoanza kuwe na kile kiitikio kama stor za nyuma ikiwemo mrembo kipofu namaanisha ile saut Kam mziki wa taratiib
@halimashaib9102 Жыл бұрын
Mambo ya Amani kigoye ndio hayo ya ardhi... Vijiji.... Misitu.... Twende Sasa kaka felix
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
😀😃😄😂
@nailamimi20 Жыл бұрын
Tulimisi haya mambo jmn ❤
@aishamukandanga6892 Жыл бұрын
Tumekutana tena huku KWa Amanj Kigoye
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
tumekutana na sizani kama tutapoa na kupoteana tena
@sheikhasaidsheikhasaid6752 Жыл бұрын
Wa 6
@MwarabuOnlineStreaming Жыл бұрын
r Felix Brother ulikua wapi, nlikua nakitafuta kitambo, nlikua sion ladha za simulizi bila kusikia chombezo zako, nmekua disappointed more than 3 months ! daaah ila nn Keep it up tuko nyuma yako...
@sashaqueentz3753 Жыл бұрын
Ooh mmeniwah sana
@jovinjulius9852 Жыл бұрын
Mr. Mulumbi Mathew inabidi atokee na humu 😂😂😂 alafu kuna mtu anaitwa Chilomo nimemmis sana aisee
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
😀😀😀 yaani hata mm nikiona mtunzi ni Kagoye huwa natamani Kalamo nimsikie
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
anakuja Kalomo msijali yuko njiani anajiandaa
@sheikhasaidsheikhasaid6752 Жыл бұрын
Jamani Edgar nae katukimbiaaa tumemmiss
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
Nadhani anajipanga, akiibuka atakuja na kitu matata
@ibraibra1761 Жыл бұрын
Nimewahi
@Adonai810 Жыл бұрын
OMG ANOTHER ONE, THIS GONNA BE GREAT. LET'S GO GET THE BOOK Y'ALL 😂😂😂🔥🔥🔥. MR FELIX
@sks.839 Жыл бұрын
Haya para simuliz mpya kutoka kwangu
@shidashida6060 Жыл бұрын
👌🏿👌🏿
@bonymigbo4526 Жыл бұрын
Unajua kusimulia kwakwwery ...biguuuup
@kibibikombe9203 Жыл бұрын
Tupeni nyengine ya kijasusi twataka moto juu ya moto
@paulinemutheu8165 Жыл бұрын
I think paniela inakuja kesho , Hiyo n ya kijasusi
@ashaswaleh7587 Жыл бұрын
Nimechelewa lkn nimefika asante sana felix na amani kigoye
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
asante na kwako pia kwa kuendelea kutufatilia
@mwanyemimohamed2191 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@salmahaji5832 Жыл бұрын
Tupoo
@mwajumamsengwa Жыл бұрын
👍👍👍
@maryamanalisi197 Жыл бұрын
Mashaallah ❤
@sks.839 Жыл бұрын
Gusa profile Moja kwa Moja kwa simuliz yang
@rafiimohammed8446 Жыл бұрын
😀😀😀😄😄😄😄💖💖💖💖💖💖💖
@LuluMiii-d2xАй бұрын
❤❤
@pilishazycounterog8200 Жыл бұрын
Mm siwaelew wasimuliaj wote Zaid ya kk felyx Mwenda tuu
@aminah9557 Жыл бұрын
Waaah kule kuna Black mamba na huku kuna Black women
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Ukasahau black mafia kule washakuwa weupe 🤣🤣🤣🤣
@lusajomwafilombe2046 Жыл бұрын
Apo saw nae kigoye alipoasan dah
@kigotymeentertainmentkigoy4858 Жыл бұрын
nimerudi sasa
@batuliahmed2113 Жыл бұрын
😂😂 aya kweli ujuzi sio makalio
@momzome4146 Жыл бұрын
Jmn natak kujua iv simuliz mix ipo kweli mjin ama maan siwaelew kwa nn mlitak tu download wakat hamna kaz nayo na Wala hampost tena kulikon
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
Hata mm nikiingia sioni kipya sometimes inaleta error, Maybe Kuna kitu wanaboresha hakijakaa sawa, nawaaminia Hawa simulizi mix. Ngoja siku kukicha vizuri ntawapa surprise ya lunch 😀