I was born early in 2000s and I grew up listening to Mr Blue and I can assure you you can never get tired of listening to him his game always legit 🔥Wapi likes za Blue manze KENYA 🇰🇪
@elijahkenya60134 жыл бұрын
Prince blue Baba Lao
@mchizinoti73104 жыл бұрын
Enjoy brand new video#saba ft mr blue taarifa#yahabari#big song video on you tube#taarifa kubwa sana nomaaaa#kininja
@dj26number24 жыл бұрын
4 Real 🤝
@nasorospati30754 жыл бұрын
@ShutterDe DON nakubali kk
@maxwellsanga36624 жыл бұрын
hippop legend
@fadhilimcharo30224 жыл бұрын
'asubuhi supu, sio supu tu bali supu ya kuku, paka huyu kuku apigwe marufuku" the man is such legend
@nicodemushamso7239 Жыл бұрын
Huyu jamaa hana mpinzani✨
@stiefmastertalks37712 жыл бұрын
When Mr Blue said "Sifa zangu zipo hamtamzungumzia nitatulia,mwanaume hashindani na sidiria" he was basically giving himself flowers for what he done in the hip hop industry..long live Bysser!!
@husseinhajji69843 жыл бұрын
Nimekoment Leo Jamn Naomben Like Zenu
@DJZeZe2544 жыл бұрын
Asubuhi Supu Na Sio Supu tu ,Supu ya Kuku Mpaka huyu Kuku apigwe Marufuku...,🤣🤣🤣🤣🤣Kuku ka Kosea wapi Jamani... +254🇰🇪 tuko Ndani....
@josephstephen20474 жыл бұрын
Hahaha nimecheka na comment yak
@frorenceetoile30164 жыл бұрын
Hahaha ametisha balaaa
@isaachayes97834 жыл бұрын
Mr. Mistari kuntuu! Byser mchizi wanguu
@bonistylez4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@elizabethvicent29454 жыл бұрын
Hahaha
@salmadhahiri35254 жыл бұрын
Anakuambia sio tu supu supu na kuku hadi kuku wapigwe marufuku. Kama umekoshwa na mistari hii gonga like twende sambamba. The return of super man bizzy
@dulieynzomo1394 жыл бұрын
Blue wewe fundi bana hizi ndio vitu twataka we miss this kind of music sio kelele tu. your big fun from malindi kenya
@yirgayemyirgah78204 жыл бұрын
2:30 hii ndo favourite part yangu kwa video,,,,,sem bonge moja la ngoma plus video,,,blue hajawah kukosea,,,true talent never dies
@avbsalmin68424 жыл бұрын
The Return of TABASAMU legends u never disappoint "nachanganya na Mirungi"
@saidirashidi40324 жыл бұрын
Duuuu blue umeua mzee kam umekubal hii Ngoma dondosha like ogggggggggg
@octavianmushi9284 жыл бұрын
Blue kumuweka steve umenikosha sanaaaaaaa dah nakumbuka enz za Tabasam..... Like kwao hawa jamaa
@revocutusmayengo7144 жыл бұрын
Byser ni msanii asie tumia nguvu kuimba,mistar inaflow tyuu One of the best out there🔥
@fabianjulius52744 жыл бұрын
Fact
@donodumbe12404 жыл бұрын
True kamskiza tangu utotoni
@virusmastermbashy9314 жыл бұрын
Sanaaa yaan Byser hatumii nguv kabisa yaan anauendesha music jinsi anavyotaka yeye💪💪
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Kabisa
@moynesoimpya71384 жыл бұрын
Dr
@Boog_Apparel4 жыл бұрын
Nimeufuata muziki wa Mr. blue longtime! Huyu hutoa classics tupu!🔥🔥🔥
@godlovegeorge23344 жыл бұрын
Acha tuoneshane makali, tutaelewana tu Kidogo Kidogo
@ismailkatala47924 жыл бұрын
Hahahaha.. nomaa
@mbagejohn26804 жыл бұрын
Balaaaa sana tang zaman
@kimaronemes56892 жыл бұрын
Kubwa sana hii Bayser 🔥🔥🤯 🤯 asante sana kwa mziki mzuri 🙏🙏🙏
@tonykipobota42654 жыл бұрын
FLOWS MOTO SANAA 🔥🔥 nawaza tu kwa sauti, kwenye hili dundo angekaa pia NGWEA (RIP) NA NOORAH.. YESUUUUU!!
@p-whitetheicon1904 жыл бұрын
Yah true hii ngoma ngwea ilikuwa inamuhusu kwa izi floo
@andersonchibule47614 жыл бұрын
This is the real definition of a good music.... Babylon, komaa nao ata wasipo kupatia tuzo. Mashabiki ndio tunatambua uwepo wako.
@ramakiroba84544 жыл бұрын
Kama wewe shabiki wa byser Tangia kipindi cha blue blue song gonga like tujuane
@kirobaonlinetv41284 жыл бұрын
Acha ujibga
@ramakiroba84544 жыл бұрын
@@kirobaonlinetv4128 gonga like tujuane
@selemanmussa34594 жыл бұрын
Kabayser, you taught many guys to speak with swag...a legendary himself...
@caspermukalo63234 жыл бұрын
Hehehe fr real
@nuelmikes4 жыл бұрын
Wangapi wanakubali E-Sir, Ngwea na Mr.Blue kwa remix yaa hii ngoma ingekua mo fire.
@alikugula33504 жыл бұрын
Wengine Marehemu
@virusmastermbashy9314 жыл бұрын
daaaaah ingekua bonge la ngoma
@peterjohn84054 жыл бұрын
Song nzuri...legend blue hautumii nguvu muziki uko kwenye damu
@modrizo2544 жыл бұрын
Mr babylon moto sana toka class two bado anapiga muziki nakubali Sana respect blue wapi likes zake toka 254💯💯🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@davidjoakim7274 жыл бұрын
Kama hujasikia blue akitaja hizi ngoma, please replay.....! Matawi ya juu - langa Timua vumbi - Vany boy Zee la kukomesha - Country boy Acha waoane - Chege Hakunaga - Sumalee (nabaki na bukta naruka li-hakunaga) Nibebe - Aslay Zeze - TID Ninogeshe - Nandy
@dulieynzomo1394 жыл бұрын
Tulichokisubiri kimewasili blue umetupa dawa yetu hii dawa ya corona bro. Umemaliza Bigup byser
@petroerinest27444 жыл бұрын
Hapa nilipo nimeanza kucheza kibwege kaa vile nimekunywa mbege@bluebyser🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hamenyimanaaugustin24474 жыл бұрын
From 🇧🇮 kwao na Bantu-bwoy nyimbo kali my Legend Mr Blue
@johnsonoebah6195 Жыл бұрын
I love this guy's music ... He's always the star in any collabo. Keep on delivering the best Legend!🌹🌹🌹
@antifonamiles94834 жыл бұрын
Mr. Blue ever blazing Tangu enzi za Tabasamu.....well presented
@murutaaa91674 жыл бұрын
I don't know why this guy his doenst hv international collaboration no one lik this guy his killing them alwys lv frm 27
@ricoroyalthedjkenya9234 жыл бұрын
Hawataki kuoshwa kwa collabo
@ivanyydaniel24874 жыл бұрын
Kweli lakin mwisho wa siku mkwanja unasoma kweny account yake na legacy yake itabaki tu
@sadamramadhan27544 жыл бұрын
Mr blue is unstoppable since he is the best designer and the most attractive one.
@janibf31494 жыл бұрын
Poa sana mkali Wangu mim nakaa drc kongo umenifanya nimende mziki na ndoto yangu kubwa nikuone macho kwa macho pia nimeanza kukuiga👑👑👑👑👑🎶 nakukubali baba
@yosiammbumba44724 жыл бұрын
No cap!! Mr Blue you deserve to be the best of all time. U killed the song, I’m literally listening to the song 10 times in a role. This song is on fire 🔥. Much love Baba la Baba ❤️❤️❤️❤️
@yosiammbumba44724 жыл бұрын
You a killer Mr Blue
@sibiromallya58944 жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiii Tungi asubh supu nacyo supu tuu supuya kuku mpaka hawa kuku wapigwe marufuku ameeeeeeeeeeeeeeen ubarikiwe legendary wangu wa nguvuuuuuu
@Worldwidetv9014 жыл бұрын
Kazi hilisha fanyika tena Djamani My bloodbruh Mr Blue 🔥🔥🤞❤️
@emmanueleliasi97534 жыл бұрын
Hili Goma kila siku lazma niliangalie ni konyoooooooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌☝️☝️☝️☝️♥️kabaisaa we ni shiiiidaaaa
@davidmaingu65624 жыл бұрын
Tujuane wanao sema hii ngoma ni Kali sana
@muhiziallan55343 жыл бұрын
Love from Rwanda ...BLUE Apo Sawa kbsa! Hongera Sana brother.
@fogomedia8674 жыл бұрын
Kumamakeeeeeeeeeeeeeee blue unajua mpaka nmelia kwa furaha daaah 😭😭😭😂😂😂🎶🎶🎶🎤
@eliassospeter98114 жыл бұрын
haha acha nyege bro
@mmmpeter76174 жыл бұрын
bwAHAHAH
@ahmedameir20224 жыл бұрын
Kama wewe unamni kma Mimi kma Mr blue ni Rapper mwenye stlyl ya pkee Tanzania ngonga like za Mr blue tudhibishe hili Then Sema shooort
@emmanueledwardngasa25564 жыл бұрын
Moja mbili tatu Twendeeee!! Balaaa sana ..... This is the only best Blue Tangu enzi na enzi hit after hits 💉💉🎶
@chafumirro56174 жыл бұрын
Fundi wa huu mziki mr kabaisa....hujawai kukosea....sio supu tu supu ya kuku mpk huyu kuku apigwe marufuku......sitaki hata coment wala like ya mtu ..mm namkubali blue since day one
@erastdapimp4 жыл бұрын
"Waringa we!! Una demu?!" This entry skit line is off the chains!!! Much props to Steve RnB !!!
@cobrachristian36854 жыл бұрын
Blue nakubali kwenye video zako 🙏🙏na verses zako kweli wewe m laper original shabiki wako tangu zamani mimi wewe, mapozi nilikuwepo shabiki wako kutoka 🇷🇼
@haidatiyahaya67624 жыл бұрын
KAMA UNAPENDA BLUU ANAVOCHANA GONGA LIKE HAPA TWEENDE WOTE SAWA
@amiriramadhan77534 жыл бұрын
Noma sana flow hatari
@frorenceetoile30164 жыл бұрын
Saana tu
@zclassicfashionz4 жыл бұрын
Jamani mtu anasifia pombe afu nyie mnasaport
@haidatiyahaya67624 жыл бұрын
@@zclassicfashionz wewe unafata nini hapa kwenye yutube ya bluu saa hizi wenzio wanatowa mshubiri kwenye yutube ya mwamposa huko usiriaz wako kwenye vikao vyenu vya familia mfyuuuuz
@zclassicfashionz4 жыл бұрын
@@haidatiyahaya6762 Ww mdanganyedanganye tuu lkn ukweli uko palepale kubadrika ni lazima
@stevennjau18454 жыл бұрын
....asubuhi supu; sio supu tu ni supu ya kuku mpaka huyu kuku apigwe marufuku...🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@monicawangoi48973 жыл бұрын
The most underrated artist in Tanzania
@jdeoffspliny25944 жыл бұрын
Nanuka ma lager lager...🔥🔥🔥🔥🍻🍻🍻..buycer uwaga akoseiiii...nachanganya na mirungi na takiller shots .kono moja glass, kono moja nyasi vodole vinakazi sa nitawanawa vipi.🙌🏾🙌🏾🙌🏾. nikilewa mbege nacheza kama bwegeeeeee 🔥🔥🔥🔥hizi baraka za mama na mungu fedhuri kunjaaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾 #toka "tabasamu" mpaka "pombe na muziki" respect to our legends🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥lets meet again 2030....gonga like kama unakubali kuwa blue na steven rnb they always rock it to kill🔥🔥🔥🔥🔥
@frankliganga83274 жыл бұрын
I really don't miss watching your works so you can every day bring different things that you have in our hearts🇹🇿🕺🕺👏
@ajayboystax6173 Жыл бұрын
Muzikiii pombe na muziki, muziki pombe na kijiti, yes sir mr blue kanashika!
@AbuAli1724 жыл бұрын
Wapi likes ya wakenya jo 🇰🇪 mr blue 💙 nakubali jo 👍
@lifeofsidimswahili4 жыл бұрын
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Yaani ngoma kaliiii sana kisha aliyenigandisha macho hapa BARBIE MIA huyu binti amewakilishaaa mada freshi nampendaga hadi basi !!!!!!!
@TheRobdobdob4 жыл бұрын
Most underrated guy in the in the industry, we are enjoying your Music Blue
@lazarofrenk20804 жыл бұрын
nakupenda sana mst
@hawamohamudmohamud66524 жыл бұрын
why do you say underatted he is loved and superstar
@Dr.zaidi44 жыл бұрын
Who underrates who? This man has always bn a hero. And no shocking scandal anywhere
@justinekipkorir71564 жыл бұрын
Msanii yeyote anayeonesha kuvuta moshi huwa hanipendezi anaipotosha jamii ila ngoma kali..vutia bangi popote ila sio kwenye video bullshit
@jessicachivenda11284 жыл бұрын
From mapozi I love you blue always
@tchdygumbo35214 жыл бұрын
Blue we balaa dingi ujawai kukosea...HIZI BARAKA ZA MAMA NA MUNGU FEDHULI KUNJA🙌🙌🙌
@henry87064 жыл бұрын
Mr Blue this is so sick🤒🤒 they had to put the boy on a hospital bed... Shiii 👍👍👍👍👍👍
@synckenya86474 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/b6fWlWtug8-lrKc
@denniswagladys4 жыл бұрын
Did you revise for this comment cause it has a PHD!!!
@faucynkrctian66074 жыл бұрын
Hahahaaa
@phil.n.37354 жыл бұрын
Those flows my gosh! Mr Blue. Heshimu Kwako bro
@TforAfrica4 жыл бұрын
Baisa bhana duh!!! Umeniosha roho alafu ukamshirikisha Mr buda wa R&B Stive , asiependa hii hapa basi atakua na kinyongo , wivu , chuki zake mwenyewe
@mwahscune27174 жыл бұрын
Sio supu tu supu ya kuku kiburi kunja hizi baraka za bi mkubwa Asante broo blue
@sarahmrosso52754 жыл бұрын
Kama umeikubali hii ngomaaa ya Mr blue Gonga like More 🔥🔥🔥🔥🔥
@juliusmatalo22114 жыл бұрын
Dah blue kanirudisha kule napo pendaga waooooo ya fraha had I nimeriaaaah walahh
@tonysoi9644 жыл бұрын
🔥🔥🔥Who else will agree with me that the guy singing the chorus, really sounds like benpol
@rommiemontana17824 жыл бұрын
Exactly benpol
@10gb274 жыл бұрын
benpol ni dogo sana kwa huyu jamaa. kazaliwa kamkuta huyu jamaa anaimba. so labda useme benpol sounds like steve rnb
@ivanyydaniel24874 жыл бұрын
Mm mwenyew nilijua ni ben paul
@yusuframtu82344 жыл бұрын
@@10gb27 sure star⭐❤️
@ghosttalkvibe4 жыл бұрын
Ben Paul sounds like this nigga if that's the case. Steve rocks when Ben Paul sells scraper. Aye. #MivaroZone
@zikirination67694 жыл бұрын
Huu ndo ule unyama wako enzi izo hakuna msanii yyt bishoo tz nzima now you back kweny level za juu mnoo big up byser
@MunyweMunywe Жыл бұрын
Flowers for Mr Blue, he is a living legend!
@fmizzojunior54124 жыл бұрын
Mpaka huyu kuku apigwe marufuku! Noma sn Blue! Bado unasepa na kijiji legend
@arunesaidesaide59994 жыл бұрын
Grande trabalho mr blue você é lenda viva de música tanzaniana ao lado de ali kiba diretamente de Moçambique
@philemonjonikenyato29194 жыл бұрын
Arune Saide Saide vou lhe passar a mensagem em suaili
@geraldexperius93454 жыл бұрын
Tuliokuwa tunaisubiri Ngoma ya huyu mwamba.... HAPPY BIRTHDAY Kwake SIMBAAAAAAAAA
@rose_Winchester864 жыл бұрын
Nisipofanya kazi ntakula jeuri buda😄mziki kwenye damu, kiburi vunga hizi baraka za mama na mungu🔥
@witneymatemu64154 жыл бұрын
Fedhuli ......🤣🤣🤣🤣🤣
@mashramadhani19894 жыл бұрын
Blue raper mkali sana nashangaa wabongo tunamficha raper ambae hajawahi kuchuja kila siku mkali.kumamake wabongo tunpe heshima huyu.
@gabhiphoper4334 жыл бұрын
One of my all time favorite artist.. Love yu blue u never disappoint ❤🙌🙏🤘
@samanthamumba364 жыл бұрын
Ukitaka kiuamin kua Diamond mchawi anawachawia wenzie ngoma km hii sio ya nchi ila haitafika popote labda angeimba yy Blue umeua kinoma ngoma kali sio ya level yakibongo.
@obrienjusto21924 жыл бұрын
This song is underated, banging with it when high and you'll get wat im saying
@abdallangare7387 Жыл бұрын
Can't agree more
@SuperBablii Жыл бұрын
Sio supu tu, supu ya kuku, mpaka huyu kuku apigwe marufuku
@Zaidiyanusumedia4 жыл бұрын
"asubui supu,.. Sio supu tu.. Supu ya kuku.. Mpaka huyu kuku apigwe marufuku" Punch line💥💥💥
@tuyizereghadi16194 жыл бұрын
Zaidiyanusu OJ you read his mind au sio?
@mkamilifusimba73224 жыл бұрын
Asubuh supu,.. siyo Supu tu.. Supu ya kuku mpaka huyu kuku Apigwe marufuku PUNCH LINE 💥💥
@isaachayes97834 жыл бұрын
Zaidiyanusu OJ 🤣🤣blue ni nyokooo!!
@bahatisalum35094 жыл бұрын
King blue Makini upo juu Bonge LA Ngoma yaaaaan.Twenzetu Tukai download Pombe na Muziki Now
@paulmwakilembe45734 жыл бұрын
Nakubali kaka ngoma kali sana umeimba kinyamwezi nomaaaaa
@azizamohamed6544 жыл бұрын
Kama umemuelewa Mr blue gonga like hapa
@flowakacha41314 жыл бұрын
My fav rnb budda kwenye jam moko na babilon....ni moto as usual.... #Hatari
@wybzokizzy44164 жыл бұрын
Mr blue has never disappointed me ever!!
@digital21.134 жыл бұрын
Asubuhi supu sio supo tuuu supu ya kuku mpaka....... Hahahahaaa unaua sana legendary...
@ademark99704 жыл бұрын
Hili jasho la Jana napiga matokeo .. Kama umeuewa huu mstari weka like twende sawa
@placideplacy77544 жыл бұрын
Hasubui supu, siyo supu tu! Supu ya kuku.....that one hit home...
@billyosunga9634 жыл бұрын
Steve rnb na benpaul wanasound similar..Kabaysaaa💯🤘🤙
@maximusalnono64254 жыл бұрын
Babylon byser mtu mbaya ngoma kali video kali watoto wakali hatari 🔥🔥
@nickalreadyknows4 жыл бұрын
Me: Nje kuna demu Ndani kuna demu kweny gari kuna demu najigawa vipi 😊 Ukimwi: 🔥😍😁👌
@juliusmateru30404 жыл бұрын
😂😂😂
@zenaamani42834 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂
@News254Kenya4 жыл бұрын
😂
@davisalphonce70014 жыл бұрын
ni wivu tu🤣🤣🤣
@richienzomo91804 жыл бұрын
Hater..... Tunawapa macho tu
@Alwatan_moh4 жыл бұрын
Blue, Byaser ,kaka mkubwa ...hajawahi fanya chini daily anakiamsha kinoma noma...Steve 🙌
@anldnkpl38104 жыл бұрын
2:44 Asubuhi supu ,sio supu tu ,supu ya Kuku mpaka huyu Kuku apigwe marufuku😀😀😀
@habazineah4 жыл бұрын
😂😂
@isaachayes97834 жыл бұрын
anld Nkpl 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 so supu tuu supu ya kuku!! Haha!!
@mahmoudaziz47174 жыл бұрын
Wow big up legend.mzigo tumeupokea kwa mikono miwil. Like nyingi kwa legend babilon.
@GedeonJamesGedythedon4 жыл бұрын
Wa kwanza hapa team Blue nipen like zenu
@samorazaqueone79064 жыл бұрын
Hii goma litaponya hata wagonjwa wa Cavid 19
@GedeonJamesGedythedon4 жыл бұрын
@@samorazaqueone7906 Haaaah kabisa
@frorenceetoile30164 жыл бұрын
@@samorazaqueone7906 😀😀😀
@njerrywachira2434 жыл бұрын
Baby Lao mr blue ur blues always weweeeeeeeeeee kila want unauwaaa noma saaaanah
@keis_Leis4 жыл бұрын
BLUE BYSER THE ONLY LEGEND WA AFRIKA MASHARIKI WENGINE WAMEISHA AU KU RETIRE. BIG UP BRO FROM 254...
@bigboyuntamed27304 жыл бұрын
You never struggle to make it happen...this is great job bro 🤜🤛
@thekillertz12904 жыл бұрын
Welcome back brodaaa stive rnb mess wa muzk wa tz nakumbuka Jambo Jambo mama ni hatar na nuxu
@Winstonfying4 жыл бұрын
Classic, Mr.Blue and you know that, homie
@marcosaleh65394 жыл бұрын
Hawa jamaa wakikutana hakiaribi kitu hata kidogo salute brothers.......
@shabanlengesia57924 жыл бұрын
kama umerudia kusikiza zaidi ya mara tatu achia like tujuane
@lifeofsidimswahili4 жыл бұрын
nimeangalia mara saba
@jorampeter20964 жыл бұрын
Daaah respect bro sjui nlichelewa wap kuwa wa kwanza kuchek ngoma hii
@paulmwakilembe45734 жыл бұрын
Sijawi pata like namba leo
@stevietellem7 ай бұрын
Blue your flow sick with punchlines am loving the swahili urban vibes ❤❤ hit you never miss
@abdul-azizurassa23074 жыл бұрын
"Mkono mmoja glass, mkono mmoja nyasi, vidole vinakazi, nawanawa vipi"?😂😂
@LUPPER.4 жыл бұрын
Blue nyoko
@mwatumathmani5864 жыл бұрын
Hahahahaaaa big up
@sambayametikana86824 жыл бұрын
Byser mnyama upo vzr dadeq sio kwa mchano huo babakee 🙌🙌
@gralmyli57844 жыл бұрын
Sick flows sick punchlines sick hook by Steve. Mad shit king shit. Salute Sameer
@aliyussufshabashaba95883 жыл бұрын
Asubuhi supu sio supu tu supu ya kuku, mpaka huyu kuku apigwe marufuku 🤣 mr blue unajua kucheza na mistari. The most underrated Artist in Africa. I love Diamond and his all crew WCB and also Harmonize bt for real Mr blue is better than all of them combined. Mr blue is on another level and he deserves better, his songs should be atleast more than 10 million viewers