Mr Blue is a Legend kama kuna msanii alitesa Nje ya Tanzania basi si mwingine Ni MrBlue Nairobi,mombasa na sehem za pwani ya Kenya. ana mashabiki kibao sana Ndani ya Kenya na Uganda. Just like the Late Natedogg mrBlue can blend in with any artist he is working with. Respect to mrblue respect to micharazo crew a legend so true i knew the kid since 2003 2 decades in the game money cars and all the fame no scandals no shame Blue alitesa mazee !!!!!!!
@lameckjeremiah5597 Жыл бұрын
Kinachonifurahisha kwa brue akiwa anaojiwa huwa anaongea vitu halisia, uongo kwake haupo ila ukweli juu yamaisha na ustaa wake anaviweka bayana. Ongela sana kwa hilo brue
@giftkenga9382Ай бұрын
Mr blue bayser the legend ndani 254 hapa Kenya mombasani namkubali sana... Nampa respect...
@JumaShame-z5w6 ай бұрын
Blue utabakia ... Kua mkongwe daima alfu very humble ❤❤🎉🎉
@blackblue9729 Жыл бұрын
Mapozi ndio my favorite song of all time kutoka kwa Mr Blue 🔥🔥🔥
@francismheta5286 Жыл бұрын
The same to me....... in those days Niko 2nd year UDSM dogo anaperform hiyo ngoma pale MABIBO hostel...... Dah it was so excited...... big up sana Mr Blue
@mwanaishasaleh8327 Жыл бұрын
Aaaah mapozi mpaka 7th heaven daah naipenda Hadi leoooloo
@blackblue9729 Жыл бұрын
@@mwanaishasaleh8327 noma saana hile goma
@ushindisaravayi3804 Жыл бұрын
From Congo 🇨🇩 nakukubali sana bro blue daaaaaa wewe upewe hechima yako bro Tanzania ina faa kuku hechimu brother
@athumanimtamatale Жыл бұрын
Mwambie blue asihuzunike kukosa tuzo,sababu yeye mwenyewe ndio tuzo kwetu sisi watz
@GevanceBrighton Жыл бұрын
Huyu ndo msanii wangu bora wa muda wote ani
@LeeMchanaji Жыл бұрын
Njooni Kenya pia sisi tutoe maoni kuusu Mr Blue❤❤❤. One love
@omarikinyozi4506 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@EinsteinFromEastern-vh6lo Жыл бұрын
Ngoma yangu pendwa kipindi nakua ni blue blue aisee,fact,byser ni mmoja mwenye alibadilisha mitazamo kua mifamo kwani aliaminisha mziki auna size na kufanya vijana wengi kuamini kumbe ata sisi wadogo tunaweza kufanya na kutambulika katika huu mziki.
@simondotto8299 Жыл бұрын
Huyu Ni Legend Amekua na mziki " Amekua na mziki ameanza na bongo flavor, ulipofika katikati kiba akiwa anrun mziki alikuwepo na sasa bado yupo kwa kifupi ana aina ya mziki wake ambao atalala nao.
@bigjoe4957 Жыл бұрын
Pop
@Ram_1893 Жыл бұрын
Moja ya wasaniii nimewapenda tangu wanaanza muziki Hashima kubwa kwake 👊🇹🇿
@nelsonbilali3888 Жыл бұрын
Bizzy yu deserve the respect. Kenya 🇰🇪 loves yu
@TheMastertz6 ай бұрын
Nampenda mno Byser!!🎉Amazing Legend!!! Mungu ambariki zaidi!!
@mweroruwa6339 Жыл бұрын
Nakumbuka hiyo ngoma mapozi akipeform Club Brilliant Mariakani 254
@jeandedieukubwimana4882 Жыл бұрын
Blue akae akijua kama nampenda Sana, namupa maua yake, hatakama hanatuzo, heshima yake apewe. EA He's a Best rapper. From 🇧🇮🇧🇮
@emmamga5495 Жыл бұрын
Pumbavu mr blue toka lini akawa mrundi?
@jeandedieukubwimana4882 Жыл бұрын
@@emmamga5495 una uelewa mdogo sana. Think before yakuongea. From 🇧🇮🇧🇮
@Being_Hussein Жыл бұрын
@@jeandedieukubwimana4882ndivyo walivyo wabongo hawana akili hua ni masifa tu walipewa😂😂😂
@paulnyika5817 Жыл бұрын
@@Being_HusseinWacha chuki kaka
@seketawaissa1129 Жыл бұрын
@@emmamga5495acha ubabylon kijana shwain
@ibrahimnjohole1684 Жыл бұрын
Mr blue ni mtu mkalimu sana anaonekana.
@denisimaliyaweni9183 Жыл бұрын
Ndo leo najua kuwa sauti ilikuwa ni ya maua sama daaaaah,na kule kwa profesor jay zali la mentali kajala aliingiza sauti ❤❤
@KaidaCut254-vp9kc Жыл бұрын
Toka enzi za ukubwani blue hajawahi niangusha kwa mademu. Yani video queens noma sana
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
MrBlue ni mdogo kiumri lakini mapigo yake kama mtu mzimaaaa
@micmac7035 Жыл бұрын
Tabasam by Mr blue is my always favourite bongo flavour Nilianza kusikiliza hii track when I was 10 and now I’m old enough but still it sounds good on my ears Respect blue maana umesha maliza kila kituwengine kukae tu tu enjoy the best melody 🎵
@khalfanndenge52697 ай бұрын
Napenda pia uhalisia wake,jamaa mashallah kajitenga na uongo,amejiweka MTU wa kawaida,anamix na Wasee kama kawa,that's impress me very much
Mr blue hatari sana mwenye kumkataa ana bifu tu salute bro
@saidimkome3818 Жыл бұрын
Akuna Kama blue bongo hii nikipaji ambacho akijawai tokea🙌
@chinokillerdee Жыл бұрын
Kazii nilikuwa safii kishaa bado ni safii apa Chino killer musiq
@swahiliflava9151 Жыл бұрын
Wasafi mnajua sana, this segment is super beautiful 🔥 Namkubali bysar sana
@lucasmsogoti3435 Жыл бұрын
Babylon byser daah kama kuna wasanii inchi hii wanatakiwa wapewe heshimu kubwa sana kulingana na mabalaa yao waliyofanya basi mr blue ni mmoja wapo kati yao
@yahayashuta9608 Жыл бұрын
Mr blue 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 naamkubali sana baisa sana
@nanamuhammed-de6zf Жыл бұрын
❤❤❤mh enzi zangu izo my foreve Star ✌️✌️✌️
@omarikinyozi4506 Жыл бұрын
Yangu namwambia blue kaza kamba twakupenda Sana mombasa kenya
@oscaroscar2555 Жыл бұрын
Ilikua ni bonge la idea aliyoiona alikiba kuweka ile chorus ya Maua sama mau yako Mr blue🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@FurahaTitoAbrahamPallangyo Жыл бұрын
Can't forget 'Taabasam', listening while climbing mount Kilimanjaro in 2008 Dec if am not mistaken, it was a hit, congrats Mr Blue, honestly you are your own brand👊🏿
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
LEGEND🔥🔥🔥🎤🎤🔥🎼🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DouglasMassop Жыл бұрын
Ngoma yangu pendwa ya Mr Blue ni Tuko pamoja alishutia video south africa. Kile chuma noma sana
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Mboga saba the best xababu Ina mafundi wawili walioimba kiitikio King Kiba Na Dada langu Maua sama 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@shamte9musicofficial126 Жыл бұрын
Nampenda Sana maua sama i wish one dai niimbe nae
@melvinsweed4763 Жыл бұрын
The City look nice, congratulation to Mr Blue,I like his songs.
@willymwema49443 ай бұрын
My bro Mr Blu 🎉🎉 nakukumbali sana kaka
@jacobmenganyi7830 Жыл бұрын
Blue he. Deserve hawajampendelea that man is the real goat
@jebellwallace3509 Жыл бұрын
Big up blue,pambana mpaka mwisho
@AlphablondieAlpha-dx1ql Жыл бұрын
I remember mapozi song🇰🇪🇺🇲
@mzeemselem1657 Жыл бұрын
Mtangazaji amepoa sana hii session angemuachia mo town sanya
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Yupo sawa unyama mwingi
@husseinbakary1969 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji yuko poa sana kuliko hata huyo unaemsema wewe
@MansurMtungo-ud7dz Жыл бұрын
Blue we Given Respect coz musician best
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Mapozi ngoma ya kwanza kabsa kipindi hko da 2004 kitambo sana
@ediekisangi4172 Жыл бұрын
namkubali blue , toka kenya
@AssumaniNahishakiye-vq9ft Жыл бұрын
King 👑👑 Blu ❤je t'aime beaucoup Mr Blu from France 🇨🇱🇨🇱🇨🇱🇧🇱 Bocha ochu mtoo wa kigogo nawakirisha from France apa Mayotte la France 🇨🇱🇧🇱❤❤❤❤
@diamesbreezy Жыл бұрын
One of my big Tanzania legends ✊🏾🐐
@chulirajabu5481 Жыл бұрын
Nimegundua Dully ni father of bongo flavour Stars
@saidiabilali1846 Жыл бұрын
Baisa wali kaka etu bana. Adadacha boy kitambo Sana kaliakoo
@IbrahimuOmary-l2j Жыл бұрын
😮ww mwenywe nitunzo tosha blue
@Jane-f3m Жыл бұрын
Kiswahili yako ni safi,sikama hao wa Tanzania wengine
@erickalone-v1v Жыл бұрын
Ni namba 1 ktk wasanii wangu
@ismaelsaed1158 Жыл бұрын
Byesr love from burundi
@frolencefwalo9195 Жыл бұрын
P1 sana bluu nakubar sana bro Mwenye nakukubar tusha kutana njombe hunaga dhalau kwanza
@khalfanndenge52697 ай бұрын
Mr Blue namukubali Sana. Kwanza nakumbuka Alikiba alikuwa introduced kwa music industry na Mr Blue Enzi hizo za akina Abby skills. Pia nakumbuka hata diamond akionekana kwa mara ya Kwanza kwa wimbo wa Alikiba,so huyu jamaa ni Music Guru
@JohnKimune-e8l Жыл бұрын
I like the way you speak your ...voice is waaaah
@fatumachilo1941 Жыл бұрын
Enzi izo Mr blue akitoka kimziki n nyimbo y mapause tulikuw tukidanganyana😅 et kwao n tajir wanamtambo wa kutengeneza biscuits 😅😅😅😅😅n uongo gani mwengne uliskia kumuhusu gonga like tujuwane😂😂😂😂😂
@Minzatz Жыл бұрын
Anaenda na gari shule ambalo walimu hawana wakamfukiza shule😂😂😂😂 nyieee
@Jamess_-500 Жыл бұрын
Kwao wana miliki gari la hammer 😂😂 daah
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Kumbe na wewe ulikuwepo kipindi cha penati ikipigwa unabana pumbu
@LutegoChangarawe-lf9yz Жыл бұрын
Mchizi mox na karapina wamepeleka posa Kwa mama baisa
@suratibrahim6417 Жыл бұрын
Ahaahaaaa 🙌 umenikumbusha mbali sana 😄 ngoja ninyamaze kwasbb kabaisa ni mwana sana..💯
@shamte9musicofficial126 Жыл бұрын
Mr blue ni msanii alietu inspire wasanii wengi kupenda music
@benjaminkijumbe7668 Жыл бұрын
Mr Blue tunamtambua sana huku mombasa kenya.. much love brother and keep up the good job
@LeeMchanaji Жыл бұрын
Blue ninamkubali Mia kwa Mia. Mnyama Yule..... More Life to you champion🎉🎉🎉🎉🎉
@HalimaNamri8 ай бұрын
Namkubalii Sanaa kz zakoo basaaaa
@BahatiJuma-m2i Жыл бұрын
Msanii wangu namkubali sanaaaa
@safaricharo9667 Жыл бұрын
Niskize me ft pig black..Kiwasaaii.noma sana.254 tupo wote
@kambiyusufu2776 Жыл бұрын
Dah mr Blue love you
@marcomushi-nd8ku Жыл бұрын
Ngoma zote za Blue hit song
@DavidKibage Жыл бұрын
Dah! Nimekumbuka zamani
@mirroyjunior8348 Жыл бұрын
Unyama sana baisa 👑🔥
@halimama6314 Жыл бұрын
❤❤❤ ok good yes 👍👍👌👌👌😘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗😍😍
@kudramzee5769 Жыл бұрын
Bayser 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Nazipenda nyimbo hizo mpk Sasa ndiyo zangu namkubali sana TID
@mwanaishasaleh8327 Жыл бұрын
Ahhhj weeeeee Mr blue huyu
@furahamandai6628 Жыл бұрын
Hatariii sana blue yani nakumbuka mbali badeko beach bagamoyo tunazindua
@EnockBusungu-ky6rz Жыл бұрын
Pesa mboga saba blueblue and kiss kiss ndio ngoma zangu kali toka kwa mr blue
@cclaudeshilling957 Жыл бұрын
Eshima inaitajika kwa blue kwenye game kitambo
@TALLUBOY Жыл бұрын
JAMAN 26 NAMBA MUNAJUA MAANA YAKE AU MUNAZITUMIA TU MUMIWAI KUUWA WATU WAGUM ZAIDI MSIKILIZENI #KABINYAU Achen hizo namba namba jaman
@bigmzazee2961 Жыл бұрын
Kinohoods 26stores nyumban kwetu kuzuri bhanaa
@gboymrgreen6618 Жыл бұрын
Blue 🇿🇦🇿🇦kip up my brother
@MUJWAUORIGINAL Жыл бұрын
Iyo chombo yenye madini tofauti saaana#mujwauoriginal
@crownhancy3251 Жыл бұрын
Legend af Hajikuti wala nini 🔥
@damaschacha4157 Жыл бұрын
Da jamaa Yan ad namtan uy ndio mtanzania kwel maskin ad rah ajion ajisikii ajikut yupo kawaid ad lah wengine apo ingekua shida nimependa San Kak big u
@SaidihusseinAthumani-dy9kw Жыл бұрын
una bayaaa mwanangu mwenyewe heshima imekaa sehemu yake
@Babuu200 Жыл бұрын
Oii Nimesikia Vitumbua Mia tano #500 !! Duuuuh 😂😂😂
@jacksonmacha.8613 Жыл бұрын
tabasamuuuuu...ngoma la duniaaa
@rangiwizzy3813 Жыл бұрын
Huyo dada kwenye duka la nguo kamaliza kuhusu BLUE Hajawahi kuharibu
@zeroconscious1916 Жыл бұрын
Dada kaelezea kwa ufasaha sana, ni dhahiri anamfuatilia. Achana na yule bodaboda wa mboga saba tu
@RamadhaniAndambike-oq5on Жыл бұрын
Sasa bzeee adi alipokua uyo mwamba amepasahau atakumbuka ngoma zakijanja kwer uyo mwana awezi kukumbua😂😂
@saidimgeni9096 Жыл бұрын
Ete alikuwa chaka vikindu Mara gomz jamaa kanifurahisha😂😂😂😂😂
@Dekingalba Жыл бұрын
Blueeeeeeerr🎉🎉 mauwa yako hayo
@FelixOgola-gt5zi Жыл бұрын
Mm mwenyewe namkubali kishenzi nikiwa huku kenya
@jacksonhaggai6771 Жыл бұрын
Mtangazaji Ange Muachia mo town
@amanikudeli5297 Жыл бұрын
😂😂😂😂 dah mwanangu nilikuwaga chakaaa
@allyhamidoustarmboul10 ай бұрын
mboga saba bonge la Goma mzee💥💥💥
@simondotto8299 Жыл бұрын
2021 au 2001 mtangazaji umeteleza hapo
@edwinejumanne6323 Жыл бұрын
Sijapenda msanii mkubwa ivoo una mtembeza kitaa .....alafu nigependa uyu blue aeshimie f***
@mbarderonly5874 Жыл бұрын
Kwa ishu ya mtaani sanya anaiweza sana wew umepoa mno
@KhamisMabud-nz7km Жыл бұрын
yuko sawa mbro kabaisa
@hkmfurazuberiismael7952 Жыл бұрын
Aise hilo Goma ra Tabasabu limekwenda shure sana Aise naipenda sana nipo Kigali Rwanda
@bigletterletter3113 Жыл бұрын
Recordo nos tempos Mr Blue 🎉🎉❤❤❤
@iddikimia4951 Жыл бұрын
Mbizi Babylon Bayser Blue Heri Samir
@javanwatson6675 Жыл бұрын
10:18 media kubwa yenye kuitwa wasafi.. inaandika Choraus badala ya chorus..
@AugustinoMhewa Жыл бұрын
Namkubali sana mm huyu mwamba
@AsiaKadogo Жыл бұрын
Kama umeona jengo la vunja bei kama mm like ziwe nyingi
@Being_Hussein Жыл бұрын
Ila mtangazaji hiyo c kazi yake hii kazi apewe sanya ana vibe la kutosha anajua kwenda na camera