This is still blessing me in 2024,May God be glorified.
@sharonadeka01Ай бұрын
Niko hapa
@kanyinginjoroge Жыл бұрын
This is a very encouraging worship song. Everything is possible with GOD. GOD bless you Mr & Mrs. Goodluck Sandy from Arusha, Tanzania. I am watching from Nairobi, Kenya. May the whole world believe in the LORD JESUS Christ the Son of GOD.
@rogathemaarite1235 Жыл бұрын
Awesome God, nothing is impossible with you Lord👐 I love these singers it has been years listening but never felt old. May the Lord pour more blessings on your ministry as you serve His people
@josephezekiel58742 жыл бұрын
whenever im listen to this song i find myself crying. very touchful song. God bless us
@ceciliakatunge6009 Жыл бұрын
Pppp
@aaronswai3092 Жыл бұрын
Mr. & Mrs. Sandy are among very few worshippers that are praising God in Spirit and truth. May God Almighty bless these mighty man and woman of valor
@godsown551411 ай бұрын
Mr and Mrs Sandy and the entire worship, thanks for blessing us, you are going far in the ministry in Jesus name
@AlexEmmanuel-s1uАй бұрын
Hhhh
@jameskalugo45832 жыл бұрын
May God bless this team werever I listen this song I fil like it's always new to me,when I listen this song I fil like the power of God sounding me, for sure in this song, I can see the power of God,for the 1st time I listen this song I fil like to cry ND I take faith praying for my soulmate thanks God the pain surender
@achiengtabel4506 Жыл бұрын
This is the most underrated worshipper. They worship from their spirit. May God keep on increasing their Anointing. You can't listen to them and remain the same.
@LinetMmbiva Жыл бұрын
Hakika alipo bwana yote yanawezekana maana ameniponya❤🎉
@celestinechemutai84616 жыл бұрын
Amina Amina Amina. Let's continue worshipping God like never before. Time is over brethrens.
@beatricekhaguyia28417 ай бұрын
I praise God for such encouraging voice, listening these song now am in debts,i have no stock but i have faith that everything is possible through christ who empower s me amen.
@dinakyoma59776 жыл бұрын
Nabarikiwa mno mno , Yesu aendelee kuinua huduma hii
@nurusky5 жыл бұрын
Amen
@emmanuelezekiel16598 жыл бұрын
Ni kwelii eeehh bwana kwako yte yanawezekana mpaka kufika hapa nilipo nimuujiza mkubwa sana eeehh MUNGU cjui nisemeje kwa matendo makuu kwangu zaid na zaid asante sana bwana. .....
@nicholausjacob79359 жыл бұрын
nyimbo hii imebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa ...na kila ninapo isikia amani na ushindi huwa ndani yangu....nakujipa Moyo kuwa ninaye BABA anaye nihurumia kila iitwapo leo
@melisazwale2226 Жыл бұрын
God has gifted you with magic sound sauti ya upako 🙌🙌🙌
@jamesmwamba3156 ай бұрын
Mungu amejibakizia wanaomwabudu katika roho na kweli..Ukuu wako ni wa Milele..umetupendelea sana Bwana wa bwana kwa Matendo yako makuu hakika kwako yote yanawezekana
@zakayommele9068 жыл бұрын
nothing gonna run impossible unto our almighty God, in the authoritative name of Jesus I declare a breakthrough of my whole life!!! just stay in heavenly peace Mr & Mrs good luck
@samirafenianos86908 жыл бұрын
wow Amen I have been searching for your music finally I found it, God bless you and your wife your music really bless me.
@neemafrancis24874 ай бұрын
2012 nilikuwa ktk kipind kigumu sana ila huu wimbo ulinivusha nilijifunza kuomba kupitia huu wimbo. Hakika MUNGU ninayemtumaini alinionekania🙏
@felisterkokuberwa57837 жыл бұрын
nabarikiwa yaani I can't explain thank u God for Mr &Mrs goodluck
@ayoubkapoja69568 жыл бұрын
haleluya ,nazidi kuona upako yani kila siku nyimbo naiona mpya,mbarikiwe.
@Lucy-ze4oo2 жыл бұрын
I backslided but this song has just humbled me in 2022 God have mercy on me
@godsown5514 Жыл бұрын
Yote yanawezekana na wewe ee Mungu, for nothing is impossible with you Lord. God bless and lift you team.
@jephutabukwimba38145 жыл бұрын
kupitia wimbo huu nimebarikiwa, asante sana mtumishi wa Mungu
@lucasbaluhya37878 жыл бұрын
Kwa yeyote mwenye kuijua historia ya Mtumishi huyu Bwana Goodluck Sandy naomba anisaidie
@josphinewangeci33277 жыл бұрын
Alipo bwana yote yanawezekana.mungu tubariki sisi sote.
@mogutu23296 жыл бұрын
yote yanawezekana alipo Roho.Amen.
@annewagga357510 жыл бұрын
Yes palipo bwana yanawezekana God bless you all
@raphaelmagayane47337 ай бұрын
Mungu wabariki kwakwel,huu mwinbo unanikumbusha hakuna gumu ambalo Mungu ana/atalishindwa, ukiamini katika roho bac tutashinda.
@nabiinoelkengese8 жыл бұрын
Real this are highest worship and its appear in Heaven; God it's happy for what you doing my brother Goodluck. I declare and I decree this year God lift in new step.
@dismaschindongo44427 жыл бұрын
Ni kweli yote yanawezekana kwake aaminie, katika BWANA YESU,
@jblesssk660710 жыл бұрын
Asante kutunga wimbo huu kweli alipo roho na bwana kila jambo lawezekana kwaimani ya bwana.Mungu akubariki dada na ndugu.
@helenamasau47949 жыл бұрын
Wimbo uu unanibariki sana kwa sababu kila nikikumbuka magumu niliyoyapitia asingekuwa bwana isingewezekana kuyashnda
@lucasbaluhya37878 жыл бұрын
nabalikuwa sana na huu wimbo na Mungubaendelee kukubariki uzidi kulihudumia kusanyiko lake kila mahali!!!
@nancymidimmo92188 жыл бұрын
Kweli kabisa alipo Bwana yote yanawezekana! This song is very good and gives me strength when i feel low.
@chetichiwamba20208 жыл бұрын
halelujah
@veronicasadi38536 жыл бұрын
Mr and mrs goodluck, nawapenda mno, mbarikiweeeeee
@eliamtinda15756 жыл бұрын
Is true alipo Bwana yote yanawezekana,...hakuna Baja ya chumvi wala mafuta ya kupakwa wala kukanyaga...awepo yeye Roho...alitembea juu ya maji yore yakawa.be blessed kaka naomba wimbo wako wa Neema yako yanitosha wulioko kwenye Albam ya milima na mabonde.thanks be blessed.
@willysambali20056 жыл бұрын
nabarikiwaa sanaa na nyimboo hizii
@Dannywanjah Жыл бұрын
Very powerful man of God
@tajirinaftal543310 жыл бұрын
ooh haleluya! hakika alipo BWANA yote yanawezekana
@scrimissvoiguesthouse58879 жыл бұрын
this song real bles me keep up sister and bro Bwana awafunulie zaidi.
@johnkayanzali11897 жыл бұрын
Amen,,,alipo baba yetu wa mbinguni yote yanawezekana
@samsonpangani-by7oc27 күн бұрын
Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu
@emmanuelezekiel16598 жыл бұрын
nilikua nikilala na huu wimbo ucku wote na kuamka nao na ulikua ukinijia hata kwa interviews wakati wote nilinena maneno ya bwana asante sana nakumbuka mbali kila niuckiapo huu wimbo na hunipa nguvu na hali ya kupambana na kuuona badooo asante snaa yesu nakupenda sana bwana wangu
@hellenahmudagale94936 жыл бұрын
Yote yote yanawezekana kwake bwana wetu, Mtetezi wa wanyonge . You are blessed
@leocadiastanslaus472711 жыл бұрын
Kweli alipo Bwana yote yanawezekana, Mungu awabariki.
@paulkimuyu-z3q Жыл бұрын
Yanawezekana...what a blessed song.
@sayunisayuni59197 жыл бұрын
Mr&Mrs Barikiwa sana kwa kunifarij
@casineobote99897 жыл бұрын
yanawezekanaaaaaa alipo roho yanawezekana 🙋🙋🙋
@neemafrancis2487Ай бұрын
God is Good all the time❤
@josphinewangeci33277 жыл бұрын
Alipo bwana yote yanawezekana Alipo bwana yanawezekana
@abeliamugisha92366 жыл бұрын
wanawapenda saaanaaaa my Good luck choir
@mickmillyfranci91738 жыл бұрын
Safi sana watumishi wa Mungu.
@jaelcriss61508 жыл бұрын
Am so blessed with you dad, Mungu akubariki
@casineobote99897 жыл бұрын
Alipo mungu yooote yanawezekana 🙋🙋🙋alipomungu yanawezekana 🙋🙋🙋
@beckyashiono25867 жыл бұрын
Amen!!! Aliporoho yote yanawezekana
@mutenyoshadia60937 жыл бұрын
nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa Bwana Mungu akubariki sana katika jina la Yesu
@mosesshem74798 жыл бұрын
Indeed, Where There is holly spirit, *_Everything is Possible_* Good Song.
@bettymweri29537 жыл бұрын
wapendwa kwa hakika alipo roho yote yanawezekana nabarikiwa sana nahisi roho mutakatifu dani yangu
@ibrahimualfonce74068 жыл бұрын
amen; huwa nnabarikiwa sana nyimbo zako.May God bless you.
@mamatuishi-mamatuondoke88228 жыл бұрын
Ameeen
@phyllisongai37396 жыл бұрын
ganceloveyou
@phyllisongai37396 жыл бұрын
Mama tuishi- mama tuondoke alianamissyoulotsyouloveyou
@isackrichard47106 жыл бұрын
Amen
@samuelmwangi67836 ай бұрын
Hallelujah everyday 🙏
@Babyg201110 жыл бұрын
Ni lipi la kumshinda Yesu?yote yanawezekana.barikiwa sana
@scrimissvoiguesthouse58879 жыл бұрын
Nyimbo hii kweli yanibariki ndugu na dada Mungu awabariki sana.
@alleciusmissingo27999 жыл бұрын
Amina hakika yanawezekana
@andrewmomanyi24569 жыл бұрын
God bless you for the good worship
@bettyusagi37925 ай бұрын
Powerful worship
@casineobote99897 жыл бұрын
alipo mungu yooote yanawezekana alipomungu yanawezekana 💪💪💪
@puritymbaya25182 жыл бұрын
amazing voices.God bless you
@swidemashina87 Жыл бұрын
This song is pleasing me much.
@christinacrome16727 жыл бұрын
Hakika yanawezekana! Ameeen
@sawekimeli9 жыл бұрын
hard time for my wife and I. this words encourages us