Thank you Lord kwakunipenda jinzi nilivyo hi song inanibariki sana wapi like za 2023 kama 100 hivi 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SamirahMuddi3 ай бұрын
2:20 t😅klplpit😮😅 room other omlorlioo😊mfghjmv😅iuoouo oiitttttrttttttrirep😢😮😮
@leahnabwile34153 жыл бұрын
Hata Mimi nakuitaji yesu ..my life has been full of temptations but through listening this this song najua utanikumbatia baba
@kwayojosphat1002 ай бұрын
Don't lose hope dadangu, just remember the woman who bled for 12 good years
@victorngereza129110 ай бұрын
2024 still dis song touch me in deep lots of congrats to madam Martha long life to her it touches real
@Charosilas Жыл бұрын
Dadaa hiii nyimbo Yako imenitoa machozi hakika huu wimbo umebeba kitu kubwa sana nilipookoka kupitia huuu wimbo mungu akupee neema yake ubarikiwe sana
@berylatieno83812 ай бұрын
If I see Matha kwa hii video na vile ako saa hii naamini our God is the lifter of men...here 3 October 2024 someone like my comment i will come back to testify in Jesus name🙏🙏
@MercyNdegwa-wb7oeАй бұрын
Amen l believe too
@ellybernard5254 Жыл бұрын
Daaah huu wimbo jmn Mungu fanya wepesi
@edgarkenya34584 жыл бұрын
Still listening to this beautiful Gospel...2020 nipe LIKE tafathali 💞 Blessings
@samuut36592 жыл бұрын
I love this song uninjenga sana
@wajose35782 жыл бұрын
Naweza pata aje hii song as my skiza tune
@mayalakatema257611 ай бұрын
January 2024 I visited the song for more than 100 times support me with a like Burton💪
@emmanuelmaweu778820 күн бұрын
For sure I can testify that God is not a Man! On this Day 26th November 2024. I have played this song and the anointing still flows...
@ernestsamwel73894 жыл бұрын
Wenye mungu ametufikisha 2020 mikono juu
@georgenyambory97488 жыл бұрын
kweli umechaguliwa kati ya wengi kutuinua tukiwa chini.mungu azidi kukubariki.
@carolinekangai41103 ай бұрын
Team 2024💪we a still here with this hit👌🔥🔥
@ester16314 жыл бұрын
big love from 254 mungu akubariki
@damarism7578 ай бұрын
Bado Niko 2024 Asante mungu Kwa uhai
@titusmakau18045 жыл бұрын
Amen .amen .amen .....hii wimbo ilikuwa inanipea motisha nkiwa national youth service training at gilgil
@JacksonKahindura10 ай бұрын
Shukrani kwako dada Mwaipaja kwa hiyo Albam yote ya hizi nyimbo. Mimi ni Jackson Kahindura ni kiwa Congo Kinshasa Nord-Kivu ,Lubero Kasugho. Thank you !
@Lucysalamakahindi Жыл бұрын
Mungu akubariki Martha I like this song so much ❤❤
@damarismumbua843910 ай бұрын
2024,Wewe n Baba mwema kwangu 🙏 🙏
@rispathequeen3 жыл бұрын
Kweli mungu si mwanadamu kwa mapito yangu.🇰🇪
@annahsimiyu14017 ай бұрын
Be blessed dada Martha ilike this song since 2015 UpTo now Bado nakuskiza ni wimbo wa kutia moyo saana ,nikitafakari jinzi Mungu alitowa pagumu 😢😢😢🙏🙏🙏
@dianakamire6384 Жыл бұрын
i used to hear this song before i bought iphone..... .. be blessed sister
@peterkioko68166 жыл бұрын
Niko hapa 18.10.18 Nikitafakari jinsi Mungu alivyonipenda kupitia Nehema na Huruma zake za Ajabu alitoa kwa giza akanileta kwa Nuru kuu, Akanidhamini na wokovu wake na upendo wake wa ajabu ijapokuwa nilimuasi Yeye tu alinikumbatia tu nikiwa mjinga akanifunza Yeye ni Baba Yangu ....Huyu Mungu Mimi hushindwa vile alinipenda hivyo vyote
@lynnemelline1627 Жыл бұрын
Nani yu nami hapa 2023 tukitafakari jinsi Mungu alivyotupenda❤❤❤?
@breinahblessing2 жыл бұрын
Am happy kupata uu wimbo, hakika mungu anatenda ,stay blessed mtumishi popote ulipo
@ruthogaro4282 жыл бұрын
This song reminds me alot mummy be blessed and continue with that spirit
@susanmoraa-um8cl Жыл бұрын
I remember this song when I had a lot of problems but God intervine
@restitutamartin74558 жыл бұрын
don't crying a lord is be with u for every second
@metrinekhasandi6384 жыл бұрын
I like this song it reminds my past life be blessed sister Martha and if you real feel this song bless you gonga like tukisonga
@IsaacHabarugira Жыл бұрын
😂.
@janemburu79213 жыл бұрын
Hi my sister what a blessing nice song like this keep keep on like that god bless you with y family too I like this song lots and lots
@Scholarship_cafe9 ай бұрын
march 2024 still listening this inspirational song...huyu Martha Mwaipaja Mungu azidi kumbariki.. nikisikiliza huu wimbo huwa naona ukuu wa Mungu katika maisha yangu. Mungu awariki wote mnaozidi kubarikiwa na huu Wimbo. Tuzidi kumwombea Martha,tuzidi kumsupport na waimbaji wengine wote wa injili ambao wanaimba katika roho na kweli.
@rodgersasamba5517 Жыл бұрын
February 2023 and the song still tops my playlist. In my worst days I never had a hand to hold me.... for this far it's Lord's mercy
@namugemasylivia1611 Жыл бұрын
Am Ugandan but I keep on listening this song am really blessed
@goodluckmbise5807 Жыл бұрын
@@namugemasylivia1611k 7l898koo8llli89lklplo9m
@Nihorimberefaustin58799 ай бұрын
even 2024 I'm still in love with this song. wewe ni Babaaaa .❤ from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jeandedieumwumvaneza23874 жыл бұрын
Mungu asifiwe iyi nyimbo ninzuri sana kbx
@dontweve52593 жыл бұрын
Wimbo unanikushambusha mbali sana nilitendwa mimi na maisha hizi nyimbo za huyu dada zilikuwa faraja kwangu saiz kweli nimeuona mkono wako bwana nina kila kitu ninacho kitaka🤲🤝
@eunicejuma2344 Жыл бұрын
I used to shed tears everyday 😢 I went through difficult time I felt like the earth has turned against me and I didn't have any one on my side thank God you have done it in my life again you have turned my tears😢😢 to joy
@omindeshadraq528410 ай бұрын
2024 we stil here
@jonathanhaya65593 ай бұрын
Still right here....2024 and beyond! By our Lord's grace.
@EmeldahOminde-gc3nt3 ай бұрын
Emeldah Ominde also present 🥰🥰🙏
@joshuakeverenge69496 жыл бұрын
Nami pia natafakari na kumrejeshea mwenyezi mungu shukrani kila siku.
@susanmaina57719 жыл бұрын
iyo song uwa inanijenga sana...kweli Mungu sio kama binandamu,
@mykdimuermerr71144 жыл бұрын
Kweli nimejua mungu wangu yeye sio mwanadamu. . .😭😭😭🙏🙏🔉
@rogathpanga4 жыл бұрын
Hakika Nnafarijika Saana na nyimbo zako Mungu azidi kukupigania
@zablonsangura8686 жыл бұрын
Nice song my dear Cz barikiwa sana
@NeemaBaraka-l7l9 ай бұрын
Mungu ni wa watu wote kweli, Martha yaleo siyo ya Jana . Asifiwe sana yesu.
@NdayishimiyeJohn-z6b10 ай бұрын
this voice is magic i like it
@zalkahadams73394 жыл бұрын
Still watching October..Martha mungu amekuinua sana..nkikuona hapa na nirudi kwa album ya naiona kesho waah God has really changed you alot....umechange sana..May God continue blessing you...Amen..still here October 2020..gonga lyk .
@felisteramoss4845 жыл бұрын
Kwel anipenda bila yeye nisingekua hapa nlpo asant Mungu
Kweli Mungu si mwanadamu ,thanks Dada Martha ,your songs do motivates me
@dicksongeorge69813 жыл бұрын
Dada mung akubark
@mutonyipros12934 жыл бұрын
I love sister. Huwa unanibariki Sana.. mungu. God bless you so much.
@saintlawiz14445 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana dadangu ...na ubarikiwe 2020
@DevotherPaschal Жыл бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wa mungu wengine tunabalikiwa kupitia neema uliyopewa na mungu❤❤❤❤❤❤ 4:04 4:04
@levinathomas65262 жыл бұрын
Siku zote Mungu atabaki kuwa Mungu. Nakushukuru Mungu Kwa hili 🙏🙏🙏🙏
@monicamamati3135 Жыл бұрын
Ameeeen kweli mungu anekuinua dada unetoka mbali kwa Neema ya mungu nami pia sitakataa tama kuna mahali mungu ananipeleka nitajikaza saana mungu aniongize🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@juliusmbogoma8828 жыл бұрын
mungu akubariki!!! nyimbo zina mguso ktk maisha ya wengi
@mackacharlymackabeni63538 жыл бұрын
mungu ni mungu angekuwa mwanadamu tusingekuwa leo
@jacklizajack41648 жыл бұрын
Thanks sana dada mather huu wimbo uwa unanifariji tu sana am watching n listen nikiwa saudia unanitia moyo na nguvu za kuendelea bila hofu barikiwa
@isdorahtukiko40262 жыл бұрын
September 2022 still listening the message of this song. We glorifies His name oooo🙏🙏
@fredadick4604 жыл бұрын
Wale ambao wanafurahaia huu wimbo mwaka huu wa 2020, tuseme Amen
@samuut36592 жыл бұрын
Amen
@luizanabaru84562 жыл бұрын
Amen
@emeldapallangyo2 жыл бұрын
Amen
@Cathalin-yh4ir7 ай бұрын
Martha mungu akuinue saiti kuliko habo hata mm nko kipindi saii ila iko siku juu mungu nyuko
@lilliantengo41928 жыл бұрын
Hakika wewe ni baba mwema hakuna wa kulinganishwa nawe barikiwa dada
@leahsimiyu82695 жыл бұрын
Mungu akasema npo baba mwenye upendo , ,, Amen acha Mungu abaki kuwa mwema , listen in 2019
@janekibinza8377 жыл бұрын
Nafarijika sana nikisikiliza nyimbo za Martha barikiwa sana mungu akuinue
@eunicetanui99672 жыл бұрын
This song consoles me to date since I lost my loving dad in 2018.blessings sister
@jameskangwana30202 жыл бұрын
Pole
@yunesnyabonyi17285 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana dada, keep it up.
@abungulujacques460 Жыл бұрын
Martha mwaipaja chanteuse de mon choix Que Dieu récompense cette volonté qui est dans vous de sauver les âmes afin d'hériter la vie éternelle. Amen
@DanielPhiri-s5k11 ай бұрын
I❤ this song from Zambia
@agnessateko77618 жыл бұрын
Amen nimejazwa kabisa na hizo songs
@wasitiaevans26384 жыл бұрын
Thanks so much, maneno yangelikuwa yanaua, singelikuwepo Mimi.
@lukekirui28897 жыл бұрын
Wow a blessing song. Kwa hakika nikitafakari jinsi alivyo nipenda mimi.....so sweet
@kelvinshiaiyo37034 жыл бұрын
Nice song
@melvin4048 Жыл бұрын
Mungu wangu nakushukuru jina lako litukuzwe wakati huu ulimwengu mzima ....tazama kila mmoja wetu baba sema na mioyo zetu mungu usituwache tuhurumie na utupe neema ❤❤asante kwa wimbo huu wa matumaini dada wetu Martha twakupenda 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@metrinekhasandi6385 жыл бұрын
If you think this song still reminds you of the past in 2019 and forever u will still listen to it thumb up for dada Martha
@pendonjau76825 жыл бұрын
Mungu wangu akasema nipo baba mwenye upendo. ... 2019... tuendelee kubarikiwa sanaaaa wapendwa
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
Sichokagi kusikiliza nyimbo zako maana zinabeba uhalisia wako🙏🙏
@nelsonkweyah45375 жыл бұрын
Baba watu wote......wimbo wa kutia moyo.wafariji nyoyo za wako na shida...pongezi.
@evansmwatete92322 жыл бұрын
This song used to be played at my father's funeral when I hear it namkumbuka yeye ni "baba kwa wasio na baba " be blessed Jennifer
@franciscahmwende50235 жыл бұрын
Wewe ni baba mwema kwangu,,,, we si mwanadamu, angekua mwanadamu nisingefika leo.., barikiwa sana dada
@amoskiplagat56985 жыл бұрын
mmmh.....Mungu sio mwanadamu kwa hakika. Keep it up Mwaipaja. Never loose the focus for true Gosple.
@lydiahmokaya6598 Жыл бұрын
Wewe ni Baba aba mwema kwangu,wewe ni Baba a, uhimidiwe Mungu wangu, Wewe ni Baba.
@defencemrunde69755 жыл бұрын
Yani nabarikiwa sanaaa na hii nyimbo sanaaaB-)😭🙏😘😘
@monicanelisha12994 ай бұрын
I still listening to this song since 2015 to 2024
@henryagunda84394 ай бұрын
this song use to be my favorite back in 2016 and am still here in 2024 listening in repeat mode
@Catherine-p9p2s2 ай бұрын
I love this song!I listen to it every morning when I wake up at 5,I keep rewinding 5times!inatia nguvu sana ever since my dad left me last year!😭😭😭dad I miss you every minute!may your soul keep resting!
@sheillahmaganya Жыл бұрын
Is a song that i can listen hundred times and just feel it new, it's by God's grace. Mungu sio mwanadamu
@hylinekwamboka16078 жыл бұрын
wewe ni baba WA wote...upewe sifa na utukufu.. Ni kama dadangu Martha uliniona maishangu ndo ukautoa huu wimbo.nway big up naupenda
@AlphaBondo6 ай бұрын
Martha kwakweli umetumwa namungu ili utudjenge kiroho na nyimbo zako mungu akubariki dada
@juliusfred69035 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako sana Dada Mungu akubariki
@brilliannafula70902 жыл бұрын
Mimi nilikuwa nimedharauliwa but 2018 mungu Aliwanyamazisha Mdomo zao.. Na bado Wanaishi kushangaa......
@sharonwairimu28996 жыл бұрын
wewe ni baba mwema kwangu wow!!! great song pongezi dada
@ibrahimmakoga4358 Жыл бұрын
Hakika Mungu wetu ni WA Upendo sanaaa,,, wimbo unaleta ufariji wa kukujua yupo Mungu hata tukiachwa.
@shedrackmumo17392 жыл бұрын
Kazi safi dada mwaipaja na pia io piano...Deffa umeifanyia haki...kazi zako haziwezi saulika....God bless
@sonson66365 жыл бұрын
Tanzanian, May this God we Worship in Jesus Christ name sustain and moves with you
@georgechira83982 жыл бұрын
I dont know why this song has been so impactful to me this night. Im really reflecting and realizing the amazing hand of God. He's a good good father
@angedemon30532 жыл бұрын
Tu chante trop bien. Je ne comprends pas .kan j'écoute j'ai les larmes au yeux. Dieu te bénisse abondamment et te garde longtemps.
@judyondimu69317 жыл бұрын
nyimbo zako nipoa saan really thy touch my life nasikia nikiw Bahrain
@subiramwangaba91875 жыл бұрын
Huu wimbo unanukumbusha mbali Sana kuna mapito nlipita mwaka 2013 sikutegemea kuwa ntafika Leo, Asant Sana mung
@jacquelinemuganzi68883 жыл бұрын
The song reminds me me of having a heavenly father, even though I do not have an earthly father, I have one who is a Father to the father less. Be blessed my sister Martha, for the wonderful song.
@michaelkobia9694 Жыл бұрын
This song reminds me when I had no hope for living,,everyone loosed hope in me,,Jesus is my father
@barnabastiony14686 жыл бұрын
man kind may live to hate and despise you but GOD will always stand with you and fight for in all your endeavours. God bless you all.wherever you are and those listening to gospel song ..wewe ni baba by mwaipaja martha
@xhsjjdjd24602 жыл бұрын
may good God bless me and followers ✔️
@antonygitonga95536 ай бұрын
Amen
@elizabethmathew97905 жыл бұрын
This is the best song to me always ! I think she was singing on behalf of me! Be blessed Martha! July 2019.
@emmanuelkiptoo5966 жыл бұрын
THNK u dear mum uare realy the chosen one this song realy makes me shed my tears and I personally I upritite u my God toughch u in all u do
@VictorMatuu-ul2fq6 жыл бұрын
@mwaipaja you are a golden evergreen. kumbe 5yrs (2013 - 2018) is just a number. Remain blessed.
@sammyesinyen70077 жыл бұрын
God loves all but too to pure hearts purify your heart and all will be good thanks sister Martha mwaipaja kwa mafunzo yako mungu akusidishie nehema asante sana... nko qwa maombi mm kukuombea mungu azidi kukurehemu vile ww pia unaturehemu kupitia kwa nyimbo zako......