MR MWANYA AMCHAPA KOFI MOTOWN SANYA MIMI SIWEZ KUIBA LAKI MBILI

  Рет қаралды 79,127

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 167
@PaulTango-he8qo
@PaulTango-he8qo 2 ай бұрын
Then nmekuja kumjua mwanya ni mtu mstaarabu sana hapendi kero for real big up broo en Mungu abariki kazi ya mikono yako
@neyney1907
@neyney1907 2 ай бұрын
Kweli kabisa😊
@Nuru9568
@Nuru9568 2 ай бұрын
Wanao kubali Hivi ni Kweli ndo pindi pendwa tujuane 😊Mo town sanya n mmoja tz mzma❤
@edgarmandai
@edgarmandai 2 ай бұрын
Mamb mrembo
@VeronicaPasko
@VeronicaPasko Ай бұрын
Kweri shoo ya kijanja sana🫡👏
@ashahassan7414
@ashahassan7414 2 ай бұрын
Sema Mr mwanya mstarabu sana mtu wa Amani sana
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 2 ай бұрын
Mwanya mpole jmn hana tabu na mtu ,kumbe kule anatufokea shubamiti zake😂😂😂
@TracyKim-t6u
@TracyKim-t6u 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂sema we Sanya ni fala sana hata Mimi nilinasa kwenye hii nyimbo pamoja na kwamba najijua nikasarch ety na kujiuliza hii nyimbo kaimba shilole kweli😂😂😂😂😂
@mpenzisaidi
@mpenzisaidi Ай бұрын
huyu mwamba nmkubali sana yaani toka mwaka juzi ndonirianza kum fwatiria nikiwa bongo hadi mpaka savi naenderea mnoma sn❤❤❤❤
@Topcentclassic
@Topcentclassic 2 ай бұрын
kuanzia leoi wasanii watakuwa wanaangalia hicho kipindi ila wasijae mamake dah ....hahahahahha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila huyo mbwa nae anaedai mpelekeni kwa lamata
@nancysixbert3752
@nancysixbert3752 2 ай бұрын
JAMAA MSTAARABU KINYAMAAA, ILA KWELI JAMAA COMEDY ET ANASEMA ME NNA MAHELA KIBAO AU MNATAKA NIWAONESHE😂😂😂 DAAH
@BakariKibauri-qh7gf
@BakariKibauri-qh7gf 2 ай бұрын
So unafikir hana au una mzarau😅
@kulyafx-c9h
@kulyafx-c9h Ай бұрын
Wasafi naikubali, miaka yote na hiki kipindi nimekiangalia zaid ya mara moja kiukwel kinakoelekea ni kuzalilishana mana ninamuonyesha mtu haiba yake ya ndani afu adharani yani tuseme ni kama uzalilishaji, nauona huyu sanya anafoc content me sijaipenda hii staili. Make inako elekea sijui
@YustaMfugale
@YustaMfugale 2 ай бұрын
Mwanya anahasira na misimamo ya kihehe😂😂
@Diyankurze
@Diyankurze 2 ай бұрын
ila muuwaji na kwakeee😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾 mwanya huku ana hasira huku anacheka huku anatembeza kofi nusu ya kifo kashaanzisha😅😅😅
@051Hasly
@051Hasly 2 ай бұрын
Shout out my boy Sanya u kill it 😂😂😂😂😂😂😂
@marblelonertz
@marblelonertz 2 ай бұрын
Mo town kamgusa mbavu za chini mdai kumbe ni michongo hahahah huyu mjuba ni creative
@mwarabuofficial5241
@mwarabuofficial5241 2 ай бұрын
Kumbe mr Mwanya kuna muda kuwa serious unaweza! 😂
@markovuruga86
@markovuruga86 2 ай бұрын
Mwanya alipanic 😂😂😂😂😂......"we unasemaje? Sifanyi interview😂😂😂😂😂
@EinsteinFromEastern-vh6lo
@EinsteinFromEastern-vh6lo 2 ай бұрын
Siku zingine mnaweka polisi kama bosheni tu 😂
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Mr mwanya umepatikana sana...alafu uyo jamaa anajua sana kuekti nimempenda sana safi
@SudyMkali
@SudyMkali 2 ай бұрын
Ume mpenda nn acha uzinzi
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Kwani hii huwa inarushwa kila jumangapi Wasafi tv???
@EkronMasilu-d3j
@EkronMasilu-d3j 2 ай бұрын
Mr mwanya kaingia mwenye Mfumo😂😂😂😂😂
@faridakidoti6734
@faridakidoti6734 2 ай бұрын
Mr mwanya kapatikana kawa mpole 😂😂😂😂 siowi siowi
@arnaldo7319
@arnaldo7319 2 ай бұрын
Watu wanaosema mwanya kipindi akijui, hivi vipindi vinafanyika vyote nfo vinatolewa kwsio hapo mwanya ajui chochote😂😂😂
@DoubleD69114
@DoubleD69114 2 ай бұрын
Mwanya ana jiamini mno sana my boy shuba shuba
@HENRYSILUNGWE-i1j
@HENRYSILUNGWE-i1j 2 ай бұрын
Wapi ww jasho linemtoka apo
@DanielAgustin-v6c
@DanielAgustin-v6c 2 ай бұрын
Santanaa mpigie polisi wetu
@eliahinnocent9419
@eliahinnocent9419 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@bethajohn
@bethajohn 2 ай бұрын
Sema anamsimamo sana mwaya twende police au muamala
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 2 ай бұрын
Muamala ni nii
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 2 ай бұрын
😂😂😂 aliye pigwa KOF anahali gan😅😅😅
@consoponsiano97
@consoponsiano97 2 ай бұрын
😂😂😂😂etie ee we nae una kiherehere
@AishaHaji-h4d
@AishaHaji-h4d Ай бұрын
Nani huyo kapigwa kofi na mwanya 😂😂😂😂
@DjJjVitu
@DjJjVitu 2 ай бұрын
Kumbe Mwanya tajiri wa roho maskini yupo safi sana that’s my guy
@alberatuslinus9617
@alberatuslinus9617 2 ай бұрын
Kumbe MWANYA Ni expensive hiv
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 ай бұрын
Expensive life😂😂😂yupo vzr
@MiliamNeneka-us5ks
@MiliamNeneka-us5ks 2 ай бұрын
😂😂😂Huyu jamaa ni mpole alf Ana hasila
@elsabio11
@elsabio11 2 ай бұрын
Kumbe Tanzania imepata uhuru dah basi walimubwa history wali tudanganya😢 me nkadhani ni Tanganyika
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Heeee jamani nimekupenda bure Mr Mwanya una ukarimu sana jamani
@alphoncelaurent9454
@alphoncelaurent9454 2 ай бұрын
Mr mwanya kaingia kwenye taget😂😂😂😂😂
@Storyzaibrahim
@Storyzaibrahim 2 ай бұрын
Hii Kama mpetupanga
@hashimukiteleko2614
@hashimukiteleko2614 2 ай бұрын
😂😂😂😂.wanya kapatikana
@MahreenhassaniMwinjo
@MahreenhassaniMwinjo 2 ай бұрын
Au mnataka niwaonyeshe mahela yangu😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka mno
@vallencymacdonalds
@vallencymacdonalds 2 ай бұрын
Safi sana igizo zuri
@boazambokile2587
@boazambokile2587 2 ай бұрын
😂😂😂😂 Mshamba wakideo wewe mwanya
@ishrak3112
@ishrak3112 2 ай бұрын
Kwani Tanzania ilipata uhuru lini?
@gustaphkadio5144
@gustaphkadio5144 2 ай бұрын
Walio cheka mwanya alipo sema we chura nini like hap😂😂😂
@ibrahimjohnsonhenry6034
@ibrahimjohnsonhenry6034 Ай бұрын
Aise nimecheka saaanaa Kabis 😂😂😂😂
@RamadhaniAlphani-j6g
@RamadhaniAlphani-j6g 2 ай бұрын
😂😂😂😂sanya we Noma sana bro umetisha
@aminakazogolo2229
@aminakazogolo2229 2 ай бұрын
Hii noma ya leo comedy ndani😅😅😅😅
@anrelyltv3757
@anrelyltv3757 2 ай бұрын
Maigizo bro content zimeisha 😂
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 2 ай бұрын
Unakatwa
@Heiskmb
@Heiskmb 2 ай бұрын
Big up🎉🎉🎉
@cheff778
@cheff778 2 ай бұрын
Santana mpigie boss wetu aje kutuchukua😂😂😂
@PUGBFORBEGGINERS
@PUGBFORBEGGINERS Ай бұрын
TUKIACHANA NAUPUUZI WA SANYA.. MWANYA HAPO MWANZO KAUAA SANAAA
@Topcentclassic
@Topcentclassic 2 ай бұрын
sema nilichogundua mwanya ...mstaarabu sana mpaka atibuliwe ....jamaa alianza taratibu kiasi kwamba ishu ingeisha mapema tu ...nimemkubali mwanya sanaaaa
@BenjaminNickson
@BenjaminNickson 2 ай бұрын
Wangapi wameiona hii emoji 😎😎😎
@Herly-nika
@Herly-nika 2 ай бұрын
😊😊😊😊 sema mshkj anajua kubact😊
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 2 ай бұрын
😂😂😂😂shubamiti kajizuia mpaka kamuweka mtu makofi baada ya uvumilivu kuisha
@LuckyTemu
@LuckyTemu 2 ай бұрын
Nikivaa mi sio mwanya af dkk za mwsho kalegea mwanyuuuuuuuu😂😂😂
@tilderjoachim604
@tilderjoachim604 2 ай бұрын
Nimelia sanaaa💔💔😂😂😂😂
@lorenzomanju5870
@lorenzomanju5870 2 ай бұрын
Muigizaji kaigiziwa leo😂😂😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 ай бұрын
Mwanya umejaa kwenye mfumo wa Mo Town Sanya. 😂😂😂😂😂😂
@teclanembuka
@teclanembuka 2 ай бұрын
Kuimba sasa😂😂😂
@Mauwezotz578
@Mauwezotz578 2 ай бұрын
Ivi unajua Santa wemtoto nifala sana 🤣🤣🤣
@ibrahimsadick6137
@ibrahimsadick6137 2 ай бұрын
😂😂😂😂 nimecheka balaa
@DianamussaAlex
@DianamussaAlex 2 ай бұрын
Kumualibia tu mr mwanya
@AminaAminaa-ox7ft
@AminaAminaa-ox7ft 2 ай бұрын
Mwanya mstarabu sana
@IssaTayari
@IssaTayari Ай бұрын
Mwanya
@MagrethMagreth-x5v
@MagrethMagreth-x5v 2 ай бұрын
😂😂😂😂 nimecheka ety mpigie police aje anichkue 😆😆😆
@Dulla_kite
@Dulla_kite 2 ай бұрын
Uliisha wapi? kwenye kumpengeza sasa ww haukuwepo hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@IddahAbdull
@IddahAbdull 2 ай бұрын
Masikini Mr mwanya add nimemuurumia😢
@AndreyMalisa-qj3ds
@AndreyMalisa-qj3ds 2 ай бұрын
Anaonekana jamaa ni lastborn
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 ай бұрын
Kumpta mtu kamamawe😂😂😂
@faridakidoti6734
@faridakidoti6734 2 ай бұрын
Dunia ishachanganya hii 😂😂😂
@JohnUruban
@JohnUruban 2 ай бұрын
Mungu ingewatomba
@OmmyDseven
@OmmyDseven 2 ай бұрын
Wechura nn😂😂😂😂
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Uyo jamaa aliekuja kudai anajua sana kuekti safi..lamata ebu mtafute
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 2 ай бұрын
Mbon lamata 😂😂
@neaboy4032
@neaboy4032 2 ай бұрын
Fact
@marioo5856
@marioo5856 2 ай бұрын
Kizazi👊👊👊
@mbarakamambo915
@mbarakamambo915 2 ай бұрын
Nimemkubala San mr mwanya alikua ame focus na huy jamaa anaye dai ten kistalabu San nimeukubali ustabu wa mr mwanya
@AishaMasali-lw8pc
@AishaMasali-lw8pc 2 ай бұрын
Ila hiki kipindi 😂😂😂
@HWAYtz
@HWAYtz Ай бұрын
Weeeee uongo huo
@IbrahStaneliy
@IbrahStaneliy 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwisha mr mwanya
@Sulha-r7u
@Sulha-r7u 2 ай бұрын
Yaani hicho kipindi wote wanakuwa wanajua wala sio kusema eti baadae wanapaniki inakuwa ugomvi hamna msituzuge hicho kipindi.......sio kabisa
@OmmyDseven
@OmmyDseven 2 ай бұрын
MWANYA ALIKUA AJUI NENDA KAANGALIE HABA ILITOKEA NINI WE VP
@kulyafx-c9h
@kulyafx-c9h Ай бұрын
Aisee mwanja hana shida huyu jamaa sio mtu wa matukio
@angelkidoti9245
@angelkidoti9245 2 ай бұрын
😂😂😂dah
@PaulTango-he8qo
@PaulTango-he8qo 2 ай бұрын
Dah mwanya mm shabiki yako ila ujanja wote umeingiaje mtegoni na hii michezo huwa unaionaga sana broo
@ibrahimsadick6137
@ibrahimsadick6137 2 ай бұрын
11:25 😂😂😂😂
@Omary_juma
@Omary_juma 2 ай бұрын
Hii imeenda
@MuniraAbama
@MuniraAbama 2 ай бұрын
Nimechoka sana🤣🤣🤣🤣
@barakamnazareti5745
@barakamnazareti5745 Ай бұрын
Wanaigiza au kwenye katika matani
@zarafimnyamafitv
@zarafimnyamafitv 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@I-Nternational
@I-Nternational 2 ай бұрын
Shubamit🤡Kachanganyikiwa😂😂😂
@PaulinaMinja-pu3xo
@PaulinaMinja-pu3xo 2 ай бұрын
Mr mwanya ameshonwaaaaa kashonekaaa😂😂
@JohMbega
@JohMbega 2 ай бұрын
Mpigiye polisi wetu😂😂
@emmastraika
@emmastraika 2 ай бұрын
#SIFANYIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 2 ай бұрын
Content za kiboya sana
@Bobhov
@Bobhov 2 ай бұрын
Acha hasira tafta ela😂😂😂
@FrankMbaga-h1w
@FrankMbaga-h1w Ай бұрын
Mwanya tulia sindano ikuingie
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 2 ай бұрын
Kwani uyo mwanya ajui icho kipindi chako acheni uwong
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 2 ай бұрын
Andaa wew kipindi Cha ukweli
@adamoomwandeni3635
@adamoomwandeni3635 2 ай бұрын
😂😂😂Mr mwanya
@thebuu2876
@thebuu2876 2 ай бұрын
Ni maigizo tu
@RajabuNgore
@RajabuNgore 2 ай бұрын
Mwanya amekuwa mpore😢😢😢😢
@issampili
@issampili 2 ай бұрын
First one
@boazambokile2587
@boazambokile2587 2 ай бұрын
kumbe mwanya akifanya kipindi wasafi anbandika picha ukutani 😅😅😅😅😅
@buddahmakucha6848
@buddahmakucha6848 2 ай бұрын
Michezo😂
@RajabuNgore
@RajabuNgore 2 ай бұрын
Mr mwanya 😂😂😂😂😂
@WaynedullaDulla
@WaynedullaDulla 2 ай бұрын
Mwanya is typing.....
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 12 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 17 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 289 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 6 МЛН
Umekiona kifaa cha kunawia mikono cha TX Dulla?
3:34
Mtu ni Afya
Рет қаралды 16 М.
NDOA NDOTO YA KILA MWANAMKE 🌝❤️
15:30
MrMwanya TV
Рет қаралды 41 М.
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 186 М.
PENZI LA MWANAMKE MALAYA 😢💔
20:32
MrMwanya TV
Рет қаралды 324 М.
CHAWA WA BASATA & MBOSSO - USWEGE MURDERER
10:25
Uswege Murderer
Рет қаралды 96 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 12 МЛН