No video

MR. RAHIM MWANGA AKIELEZEA UTT AMIS NA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA.

  Рет қаралды 766

UTT AMIS PLC

UTT AMIS PLC

Күн бұрын

Discover UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS), a leading company that manages collective investment schemes in Tanzania. Formerly known as the Unit Trust of Tanzania (UTT), UTT AMIS offers a range of unit trust funds designed for different risk profiles and investment goals. Explore their Umoja Fund, Wekeza Maisha Fund, Watoto Fund, Jikimu Fund, Liquid Fund, and Bond Fund. Stay informed about the latest net asset values, performance, and learn how to buy units through various channels. 🌟

Пікірлер: 15
@songweairport7602
@songweairport7602 Ай бұрын
AISEE MAELEZO MAZURI SANAAAAAAAAAA
@uttamiss
@uttamiss Ай бұрын
Karibu UTT AMIS.
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p Ай бұрын
Ni mfuko upi kati ya hiyo 6 una Compaund intetest ??????
@aishaomar3298
@aishaomar3298 16 күн бұрын
Tunasubiria uje zanzibar
@uttamiss
@uttamiss 15 күн бұрын
@@aishaomar3298 Habari, Zanzibar tunaofisi tayari.
@gaiadgets8913
@gaiadgets8913 Ай бұрын
@user-zc9uv6ri5b
@user-zc9uv6ri5b 15 күн бұрын
Je kama sina vitambulisho hivyo ulivyo vitaja swezi kufungua utt?
@uttamiss
@uttamiss 15 күн бұрын
@@user-zc9uv6ri5b unaweza kufungua akaunti bonyeza *150*82#
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l Ай бұрын
Naomba kuuliza kila siku napewa kiasi flani cha hela kwenye bond fund je na mwisho wa mwezi ntapewa gawio
@uttamiss
@uttamiss Ай бұрын
SIFA ZA MFUKO Habari, Mfuko wa Bond Fund unatoa machaguo matatu ya uwekezaji kama ifuatavyo; (a) TZS. 50,000 kwa mpango wa kukuza mtaji; (b) TZS. 10,000,000 kwa mpango wa gawio kila mwezi; na (c) TZS. 5,000,000 kwa mpango wa gawio kila baada ya miezi sita. Kiwango cha chini cha nyongeza katika uwekezaji ni TZS. 5,000 kwa mipango yote ya uwekezaji.
@uttamiss
@uttamiss Ай бұрын
ikiwa utachagua mpango wa kukuza mtaji mwisho wa mwezi gawio ulilotakiwa kupata litawekwa kwenye mtaji wako. Kumbuka: Gawio ni sehemu ya Faida
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l Ай бұрын
@@uttamiss nilikua wapi mimi jmn 🙏
@johnstonemwesiga236
@johnstonemwesiga236 Ай бұрын
@@uttamiss ni kiasi gani cha gawio kinachotolewa?
@uttamiss
@uttamiss 15 күн бұрын
@@johnstonemwesiga236 Ni asilimia 1% kwa mwezi lakini Hatutakupatia yote mfano; ikiwa utaweka 10M leo kwa mwezi utapokea 87,000 kila mwezi kwa muda wote mpaka utakapoongeza pesa lakini kiwango kingine kilichobaki kutimia 100,000 kitaenda kukuza mtaji.
UWEKEZAJI NA MANUFAA YAKE: UTT AMIS WANATOA UFAFANUZI ZAIDI
22:47
BUILDING WEALTH WITH REAL ESTATE by Larry Lyayuka
33:03
Edmund Munyagi
Рет қаралды 6 М.
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 37 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 14 МЛН
EPISODE 6 | Maswali na Majibu | Ijue UTT Amis | Mr. Rahim Mwanga
1:14:06
Mindsetting Initiative
Рет қаралды 327
TAKE CONTROL OF YOUR FINANCES - ZOOM TRAINING - Edmund Munyagi
1:27:30
Edmund Munyagi
Рет қаралды 1,4 М.
MFUKO WA UKWASI (LIQUID FUND)
11:59
UTT AMIS PLC
Рет қаралды 4,5 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 42 М.
Ruge Mutahaba 2 Years Memorial Documentary
10:29
Tanzania House Of Talent THT
Рет қаралды 3,3 М.
Kufungua Akaunti ya Uwekezaji ya UTT AMIS: Hatua kwa Hatua
6:56
Elimika Mtandaoni
Рет қаралды 19 М.
Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja
6:07
Happy Msale
Рет қаралды 931
IFAHAMU MIFUKO 6 YA UTT AMIS | PART 2
16:53
Bupe Kibiki
Рет қаралды 7 М.
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 37 МЛН