MREJESHO |ZAHIR AMKABIDHI LAKI 5 MAMA WA KANSA YA TITI |MAZITO YATOKEA |APORWA LAKI MOJA NA NDUGU

  Рет қаралды 4,259

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 46
@ZekaniS
@ZekaniS 5 ай бұрын
Allah atuzidishie zahir pole mama Brenda na brenda❤❤❤tunawapenda Allah atawapa kila kitu
@tato8979
@tato8979 5 ай бұрын
Mungu awabariki wote mliochangia family hii 😢😢😢
@vincej9275
@vincej9275 5 ай бұрын
Tutaendelea kukusaidia mama hata kama ni kidogo kidogo. God bless.
@MaryamAbass-z1x
@MaryamAbass-z1x 5 ай бұрын
Pole sn dada inauma Allah atakuponya Inshaallah usiyaweke rohoni maneno ya watu angalia maradhi Yako tu na utapona InshaAllah😢
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 5 ай бұрын
Mungu awajazie walipopunguza wote waliotoa ,,akubarik zahir akueke uzidi kuwapambania wenye shida moyo atupe moyo ya iman ya kutoa
@hildamakundi281
@hildamakundi281 5 ай бұрын
Asante sana Mungu Kwa kuwapa watu moyo wa utoaji. Mungu tunaomba Ukuu wako ukaonekane kwake. Mpe uponyaji na umrudishie Afya yake. Amina
@NoorNoor-ld8po
@NoorNoor-ld8po 5 ай бұрын
Allah awazidishie waliotoa mungu mkubwa
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 5 ай бұрын
Kwakweli umeongea zahir bora kuchangia wagonjwa kuliko kubebana na ndugu fadhila zao ndogo sana nimejiekea kiwango japo kidogo kila kwa mgonjwa kuchangia hata 1000 tujifunze kwa hili,dunia inatufunza mengi katika familia
@habasJafar
@habasJafar 5 ай бұрын
Mungu atawawaweka mbele na matatizo yataisha endeleeni kumuomba mungu naye atawashika mkono
@roselambert6700
@roselambert6700 5 ай бұрын
Mungu awabariki sana wote @kaka Zahir pia
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 5 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu mwenyez mungu yupo utapona tu
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 ай бұрын
Kwaujumala waliotoa michango mungu atawalipa
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 ай бұрын
Wallah nalia hapanilipo😢😢😢 zahiri mungu atakulipa Wallah unawapambania masikini
@maximumtvonline
@maximumtvonline 5 ай бұрын
Amiin
@AnnasteraElias
@AnnasteraElias 5 ай бұрын
Kaka Zahir,Mungu akubariki akupatie hitaji la moyo wako.
@asiasalim9323
@asiasalim9323 5 ай бұрын
Pole Sana ALLAH atakuponya aamiyn
@sirilaswai6206
@sirilaswai6206 5 ай бұрын
Jmn pole sana dd ila achana na maneno ya watu
@AalyahNassor
@AalyahNassor 5 ай бұрын
Tunakuombea Sana Urapona Mama 🇴🇲
@twix1404
@twix1404 5 ай бұрын
Allah awaziddishie watu wote mliomchangia huyu mama
@minahpangani9231
@minahpangani9231 5 ай бұрын
Dada mzuri huyu jamani mungu ampe hofu jamani
@evaswai240
@evaswai240 5 ай бұрын
Dada yangu watu wana maneno lakini Mungu ana neno usijali
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 5 ай бұрын
Pole sana Mungu akuponyeshe
@FatakiRaymond
@FatakiRaymond 5 ай бұрын
Pole ndugu yangu
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 5 ай бұрын
Poleni sana
@AshelyKantote
@AshelyKantote 5 ай бұрын
Walioo toa Mungu Awajariee kwakwer Mungu Atawaongezea pale mlipo toaaa
@gracekilacy512
@gracekilacy512 5 ай бұрын
Zahir Mungu akubariki
@hosianamatemu9110
@hosianamatemu9110 5 ай бұрын
Dada Yesu akuponye
@MamyZack
@MamyZack 5 ай бұрын
Mpeleke pia kwenye maombi mamy hakuna jambo la kumshinda mungu
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 5 ай бұрын
Mungu niwetu sote dada utapona
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 5 ай бұрын
Mungu amempenda huyu mama mungu ampe shifaa apone maskini
@AshaMwamba-v2o
@AshaMwamba-v2o 5 ай бұрын
😮mwezimu tunusuru ya allhaaaaaaaa
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 5 ай бұрын
Njo wanadamu hawo usisikilize watu tuombe tu Mungu atakusaidia zahiri mpeleke kwa Nabii kiboko ya wachawi Buza
@aishatest4451
@aishatest4451 5 ай бұрын
jamani dada pole😢😢😢😢
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Jaman ndug tushikan miko na ndugu zetuy wakiw wanaumwa am wakiw wazima
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 ай бұрын
Nalia kwauchungu zahiri sio tapeli jaman munapata dhambi munao sema zahiri tapeli usimudhani mtu inaniuma sana
@maximumtvonline
@maximumtvonline 5 ай бұрын
Kwakweli
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 5 ай бұрын
Huyo binti sio muhuni ni mpole binti mzuru mpole
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 ай бұрын
Wanao ongea hiyoo muna roho mbaya sana napesa anaitoa mbele ya camera jaman
@Bashitetako
@Bashitetako 5 ай бұрын
Huu sio muda wa kuskiliza nani kasema nini ni time ya ku focus na maisha yenu na watoto
@Bashitetako
@Bashitetako 5 ай бұрын
Mama mbrenda alivyoutoa huo mkono kwa zahir yaani umetoka moyoni
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 5 ай бұрын
Baadhi ya wachaga wanaabudu mali na pesa na sio dini dini wao lama fashioni
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 5 ай бұрын
Wana roho mbaya sana wamemnyanyasa mama wa watu
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 5 ай бұрын
Zahir,wasionyeshe hela hivyo. Tangaza tu kilichopatikana watafuatwa na vibaka
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Asemwe tuy kuna mtuy alisemwa akafa am na yy hajitambui asiogope banna kusemwa ni kawaida tuy
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Tz yetuy imepotea et ni matapeli duuh
@SaidFaki-sd5ex
@SaidFaki-sd5ex 5 ай бұрын
MUNGU.YUP0.
HUJAFA HUJAUMBIKA
8:02
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 58 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,8 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 9 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
HAPA NDIPO ANAPOISHI MUNIRA KWASASA
5:28
FABIAN KISAKA
Рет қаралды 21 М.
TAZAMA MGONJWA WA KANSA YA TITI AKIOSHWA TITI LAKE NA DAKTARI
11:13
Maximum Tv Online
Рет қаралды 3,8 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,8 МЛН