MREMBO wa Burundi Anayekipiga SIMBA QUEENS, Ataja Mwanaume Anayemtaka!

  Рет қаралды 863,124

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MREMBO wa Burundi Anayekipiga SIMBA QUEENS Ataja Mwanaume Anayemuhitaji
Mchezaji raia Burundi ambaye anakipiga katika klabu ya Simba Queens, Mariam Bukulu amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka mambo mengi ikiwemo Mwanaume ambaye anamuhitaji endapo ataingia katika ndoa huku akieleza athari za wachezaji kukaa mapumziko ya siku 30 kutokana na maambukizi ya Ugonjwa wa Corona.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY:
bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_y...
GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globa...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusiv...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 854
@blackpanther4825
@blackpanther4825 4 жыл бұрын
Aisee mtoto mzuri sanaaaa 😍😍😍😍. Nimeona watoto wa kirundi wazuri jamani daah. Nimekupenda sana
@itangishakafatma6610
@itangishakafatma6610 4 жыл бұрын
😀😀😀kalibu
@tawfiqsaid4918
@tawfiqsaid4918 Жыл бұрын
@@itangishakafatma6610 hello
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 жыл бұрын
Anajua kujieleza, Such a young girl but very confident.
@kamishnaamadi9115
@kamishnaamadi9115 4 жыл бұрын
Alie skia jibu la Joel kuwa hawezi badili ichii kwasababu anapenda ichii yake Burundi🇧🇮🇧🇮We proud of you wewe ni mzalendo waukweli was🇧🇮🇧🇮🇧🇮usiwe kama wakina Q Boy wamekana ichiii zao kisa maslahi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Huyo ni mwafrica akiwa mtanzania sawa na akiwa mkenya ni sawa tu
@rizbfighter8574
@rizbfighter8574 2 жыл бұрын
All in all wote Ni waafrika bado Ni ndugu iwe Burundi iwe Kenya , iwe Tanzania
@heromejasenghor8602
@heromejasenghor8602 4 жыл бұрын
Big up sana mtoto wanyumba wakilisha nchi yetu mungu akubaliki 🇨🇦🇧🇮💥🇨🇦💥
@ramafundi2730
@ramafundi2730 3 жыл бұрын
Ww
@ramafundi2730
@ramafundi2730 3 жыл бұрын
Nambie
@georgeleonard4579
@georgeleonard4579 3 жыл бұрын
Wapi Canada tujuane... Tanzanian hapa
@abachajackson2032
@abachajackson2032 4 жыл бұрын
I appreciate the interview aiseee unajua kuuhuliza maswali nimekubali
@abeidsaid9635
@abeidsaid9635 4 жыл бұрын
Jamaa unajua kuuliza maswali vizuri unapangilia sana
@kgdaprince8379
@kgdaprince8379 4 жыл бұрын
Super women from burundi big up sana, welcome tz
@dunstangeorge3263
@dunstangeorge3263 4 жыл бұрын
Meanadada mrembo, anajua kujieleza ana aibu ila mjanja wa mambo!! Nice welcome Tz
@felisilohay2379
@felisilohay2379 4 жыл бұрын
safi sana mtangazaji. Kazi nzuri kutuletea habari za soka la wanawake. Kama hujaoa fanya application kwa huyo mrembo wa Burundi.
@troubleboy2590
@troubleboy2590 4 жыл бұрын
I’m Burundian to I was born in Tanzania I never visit that country Burundi but Tanzania ni home Burundi ni home ❤️🇹🇿🇧🇮
@erza6832
@erza6832 4 жыл бұрын
U are welcom home bro.
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Safi Sana mrembo piga soka kwa nguvu, Karibu bongo jisikie uko kabisaaa home , nakutakia mafanikio mema
@koudrashabani9674
@koudrashabani9674 4 жыл бұрын
Très bien joel
@beyoncewaquebec8527
@beyoncewaquebec8527 4 жыл бұрын
Warundi muko wapi mje tumu pokeze mrundi mwezetu ❤️❤️❤️🇧🇮
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life 4 жыл бұрын
Beyonce wa Québec tupo mtu wetu kuto 257 🇧🇮
@beyoncewaquebec8527
@beyoncewaquebec8527 4 жыл бұрын
@@Bagenzi4life niku mupongeza tusi anze kumutusi kuna warundi wamesha anza kumutusi waache twambia mbaya
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life 4 жыл бұрын
Beyonce wa Québec kabisa mtoto wa nyumbani lazima tumupe pongezi hao nao wanao mutusi wana roho zakinyama hawapendi kuona mtoto kama anapiga hatua
@beyoncewaquebec8527
@beyoncewaquebec8527 4 жыл бұрын
@@Bagenzi4life ndomana inchi yetu haito fika popote watu wenyewe ni matusi tu
@dw.biwacuhezahouse1738
@dw.biwacuhezahouse1738 4 жыл бұрын
Tupo
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 4 жыл бұрын
🇹🇿🇰🇪🇧🇮 Mashariki pamoja daima.
@ndikumanapegbmashin1940
@ndikumanapegbmashin1940 4 жыл бұрын
Safi sana kabisa unajuwa kujibu maswali na uko mrembo sana
@bitangimanajoseph6467
@bitangimanajoseph6467 4 жыл бұрын
Unamtaji msani ambao anaongonza buja fleva big fariouz kama unamkubali nipe like hapa🖒
@shwaibunillan6025
@shwaibunillan6025 4 жыл бұрын
Kaza buti my blood Sister❤ Imbere niheza👌👌
@rajabuhamadi1222
@rajabuhamadi1222 4 жыл бұрын
pamoj my xsta
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 4 жыл бұрын
Good girl! Flying the Flag high ✊🏾🇧🇮
@lilym704
@lilym704 4 жыл бұрын
Binti wa ki burundi mashaallah mzuri usifikiriye bongo utapotewa endeleya na mpira pls
@semuganzabicusulaiman2353
@semuganzabicusulaiman2353 4 жыл бұрын
Hhhhhh warundi ni wazuri sana lakini ila na watanzania siyo wabaya
@NimuFx
@NimuFx 4 жыл бұрын
Love you my Beautiful Burundiano. Afu we mtangazaji, eti aje achezee Tanzania ache Burundi nchi yake. Weweeeee!
@blackpanther4825
@blackpanther4825 4 жыл бұрын
Bwana nyinyi dada zenu wazuri sana. Mimi nataka kumuoa huyu binti. Mzuri sana. Kuna mwingine jiran yangu mrundi kaolewa na mtanzania huku kwetu yaan mzur mpaka roho inaniuma sana.
@eilinli7846
@eilinli7846 4 жыл бұрын
Pole kk😂
@dw.biwacuhezahouse1738
@dw.biwacuhezahouse1738 4 жыл бұрын
black panther hahaha
@neylathnassoro8958
@neylathnassoro8958 4 жыл бұрын
@@blackpanther4825 🙄😂😂😂
@michaelmalimi4802
@michaelmalimi4802 4 жыл бұрын
Daa binti ni nzuri mpaka Basi naomba apambane sana
@farajajuddy3871
@farajajuddy3871 4 жыл бұрын
Mimi ni Tanzanian,naipenda nchi Yangu,napenda wa Africa tupende kwetu kwani sisi wote ni watoto wa mama mmoja "Africa"!ni sawa na watoto wa mama mmoja kila mmoja ana jina lake
@mgenimawazo3099
@mgenimawazo3099 Жыл бұрын
Rafiki yangu kipenzi Joël ambae tumesoma pamoja ku poroto Big up wangu afu umeingia kwenye timu ambayo ninaipenda tanzania nakumbuka ulinifunza kuceza mpira wakati tuko shule ila nikapuuzia Kevin nayeye hakuwa fan sana wa mpira nandomana akuendelea nafurahi sana kukuona umefikia uko 💋💋💋💋💃💃💃💃🔥🔥🔥🔥 Joël nimpole mcheshi na anarohonzuri sana ni mtu mzuri sana kwakweli
@kwamemchauru4141
@kwamemchauru4141 4 жыл бұрын
NI vizuri kwake kwani hajajiweka kiume ume kama wale engine.. Hongera
@kabilamukombozi4868
@kabilamukombozi4868 4 жыл бұрын
Binti wetu mzuli sana Big up mukobwa wetu💪💪💪
@hassannongwa6168
@hassannongwa6168 4 жыл бұрын
Mamb nitafute 0764393630
@hassannongwa6168
@hassannongwa6168 4 жыл бұрын
Undondele whatsapp jmn i namba ndaikuhaye
@shijabuluba6242
@shijabuluba6242 4 жыл бұрын
Daaa
@jandaboytzzjandaboytzz1197
@jandaboytzzjandaboytzz1197 4 жыл бұрын
Burundi 🇧🇮 ✊✊ Nawapenda Sana Wadada Wa Burundi 🇧🇮
@fatyqueen346
@fatyqueen346 4 жыл бұрын
😅😅😅😅 tuko vizur
@paulsamson335
@paulsamson335 3 жыл бұрын
DasewiunbtExzbcoiu
@paulsamson335
@paulsamson335 3 жыл бұрын
@@fatyqueen346 bhadutwomnb
@paulsamson335
@paulsamson335 3 жыл бұрын
Nasteriugkoinca
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 4 жыл бұрын
Nampenda sana huyu mdada anayechezea SIMBA Queen's
@evalistsonga1548
@evalistsonga1548 4 жыл бұрын
Wakomae maisha hayo simba tena bahati hiyo big up alakini she beautiful
@ramadhanyahaya5737
@ramadhanyahaya5737 4 жыл бұрын
Hata lafudh ya kirundi hana uyu mrembo. She's so beautiful
@babangidambonimpa464
@babangidambonimpa464 4 жыл бұрын
Kwani lafudh ya kirundi iko je? Lakini wa TZ mna mambo. Mimi ni Mrundi lakini nazungumza kiswahili zaidi yawaTz wengi
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
@@babangidambonimpa464 jamaa yupo sawa mimi nakaa na warundi kweli kila kabila wanarafudhi yao.
@semuganzabicusulaiman2353
@semuganzabicusulaiman2353 4 жыл бұрын
Huyo dada ni mrundi mzuri na mimi ni mrundi lakini wa dada zangu wanamzidi uzuri
@semuganzabicusulaiman2353
@semuganzabicusulaiman2353 4 жыл бұрын
Ramadhan Yahaya mbona una maneno mengi? Na mbona warundi wazuri kumzidi huyo ni wengi sana?
@jokhabaikhatib1849
@jokhabaikhatib1849 Жыл бұрын
@@semuganzabicusulaiman2353 hahaa kawaida Kila mtu husifia chake
@allyngoda761
@allyngoda761 4 жыл бұрын
Nimewpenda wote big up
@kozzomix120
@kozzomix120 4 жыл бұрын
Dadaangu nimekuelewa sana weye unapenda inchiyetu Burundi siyo kama Lyser classic au Q boy wamejikana inchi
@deuspetermnazi8809
@deuspetermnazi8809 4 жыл бұрын
Safi sana, wa kwetu Burundi endelea kupambana
@samirarsan2024
@samirarsan2024 4 жыл бұрын
it is natural beauty no makeup no wig na still unavutia dada , sasa kama ungepita salon jee? na makeup. wallah wee mtoto utantoa roo
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😅😅😅😅😅😅
@meshackjuma6112
@meshackjuma6112 4 жыл бұрын
As As
@meshackjuma6112
@meshackjuma6112 4 жыл бұрын
@@edwardsichilengwe2330 as As.
@fredrickbilaury7466
@fredrickbilaury7466 4 жыл бұрын
Yaani we acha kabisaa...!!!
@mohammedothuman30
@mohammedothuman30 4 жыл бұрын
Ana2mia jna gn Instagram
@TforAfrica
@TforAfrica 4 жыл бұрын
Wow !!! Bukuru Joelle mariamu hongera sana Mungu yuko na wewe tafadhali usije ukabadili nchii yako kama walivyofanya Q boy na laser . Mimi ni Burundian but Niko Kenya na siwezi kusaliti nchii yangu .... Msahau kwao mtumwa
@mwlraphaelsmaisha6957
@mwlraphaelsmaisha6957 4 жыл бұрын
Daaaah nimeipendaa hii interview!! Fantastic!!
@arnoldlucas6909
@arnoldlucas6909 4 жыл бұрын
Mtangazaji uko good kwakuuliza maswali😀
@nostressfreedom7431
@nostressfreedom7431 4 жыл бұрын
Dem anae jiamini nakusamini inchi yake🇧🇮 💪
@saderageorge5826
@saderageorge5826 4 жыл бұрын
A very confident lady
@mathewkawogo4509
@mathewkawogo4509 3 жыл бұрын
Very young beautiful and talented girl! Asante kwa kuwa Simba S.C
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
Awiii she is such a sweetheart ☺️☺️☺️ you could had mention her ig ♥️♥️♥️
@mackenzie8037
@mackenzie8037 4 жыл бұрын
joelle
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
MacKenzie I can’t find it
@jamesmapesa4881
@jamesmapesa4881 3 жыл бұрын
Xxxxcxxx
@jamesmapesa4881
@jamesmapesa4881 3 жыл бұрын
Hamnahz
@msongarichard1305
@msongarichard1305 4 жыл бұрын
Kizazi sana presenter angu..nimeikubali
@saidatyashraf5126
@saidatyashraf5126 4 жыл бұрын
Wabinti wa Burundi 🇧🇮 😍 😍 masha Allah aibu kila inci
@stephanogeorge9163
@stephanogeorge9163 4 жыл бұрын
Mbona huyu dada lafuzi yake kaa mubongo vile nimemkubali sana
@saidatyashraf5126
@saidatyashraf5126 4 жыл бұрын
Mburundi uyo dear
@kanezasheikha6426
@kanezasheikha6426 4 жыл бұрын
Manshallah asant mpenzi
@semuganzabicusulaiman2353
@semuganzabicusulaiman2353 4 жыл бұрын
@@stephanogeorge9163 lafuzi tu lakini vingine huyo dada ni mrundi na sula yake ni mrundi na aibu na adabu ni ya kirundi tu
@jameslaizir2161
@jameslaizir2161 4 жыл бұрын
Nimewapenda sana simba nguvu moja
@kajijames3924
@kajijames3924 4 жыл бұрын
Mtangazaji unauliza maswali mazuri big up....keep it up
@esperancendayishimiye2273
@esperancendayishimiye2273 4 жыл бұрын
Komera mwana wiwacu Burundi 🇧🇮 ♥ ❤
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 4 жыл бұрын
Pacha wake butoy nimwanaume😊🇧🇮🇧🇮
@fatwimabintathmanbinthawa8155
@fatwimabintathmanbinthawa8155 4 жыл бұрын
Ndio ni mwanauMmee😅😅😅
@patrickndayisaba5340
@patrickndayisaba5340 4 жыл бұрын
Asante kutupa habali ya dadayetu wa Burundi thx bro
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Nimurembo masha'allah MUNGU akulinde na waja wenye husda
@nasrashaban916
@nasrashaban916 4 жыл бұрын
Asante sana ma chr kwakosapoti inchi yako🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Nimewapenda na urafiki wenu udum mungu awaongoze
@magumeangelo7926
@magumeangelo7926 4 жыл бұрын
Tunajivunia kuwa WARUNDI big up 6ster
@keshenimagilo6551
@keshenimagilo6551 4 жыл бұрын
Mimi sio mpenzi wa mpila ila nmeangalia tu kwasababu nikarembo hatareee beautifully smile
@Splkevin8026
@Splkevin8026 4 жыл бұрын
Joele mzuri sana daah Anajua kongea
@choralecharite
@choralecharite 10 ай бұрын
Joëlle big up 🇧🇮 U are burundian Girl
@dullydullahsenior756
@dullydullahsenior756 4 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤝🔥💪🏾Joel Komera Komera mwene wacu
@sylviakaijage6620
@sylviakaijage6620 4 жыл бұрын
Mwene wacu ndabona ari mwiza pe
@magesamatiku7364
@magesamatiku7364 4 жыл бұрын
Ndagukunda Chane ulimwiza pe
@musahimapanda8863
@musahimapanda8863 4 жыл бұрын
Huyu jamaa amenitamanisha kujua kaandika nn kwa kiswahili Kama kuna mtu anajua naomba aniandikie kiswahili chake tafadhali
@magesamatiku7364
@magesamatiku7364 4 жыл бұрын
Yupi kati ya hao tukupe tafsiri
@magesamatiku7364
@magesamatiku7364 4 жыл бұрын
Kamera komera mwene wacu maana yake ni Kamaa Kamaa ndugu yangu
@nibitangaaugiste8664
@nibitangaaugiste8664 4 жыл бұрын
Hongela sana dada wetu wa rundi wenzako tuna ku support sana mupe salaam zangu dada huyo vaillet
@semuganzabicusulaiman2353
@semuganzabicusulaiman2353 Жыл бұрын
Wee mtangazaji wa habari nikwambie kitu kimoja hakuna Murundi Mtutsi yoyote anaweza akasaliti inchi yake eti anabadiri uaraiaa❤🇧🇮 hakuna mtu anaependa inchi yake kama Watutsi ❤
@sarahdamas6724
@sarahdamas6724 3 жыл бұрын
Kazur
@jumannemwakalinga2586
@jumannemwakalinga2586 Жыл бұрын
Hongera sana dada kwa welevu wako jinsi unavyojibu maswali.
@fatherjaytz
@fatherjaytz 4 жыл бұрын
Nimekapenda mashaallah
@ahmedjobs6453
@ahmedjobs6453 4 жыл бұрын
atamim bro
@adenmayala9298
@adenmayala9298 4 жыл бұрын
Karibu tz tutafrahi ukiamua kufanya maisha tz
@mdaberash266
@mdaberash266 4 жыл бұрын
Komera komera mwana wigihugu💪+257turakwishimiye kandi turi inyuma yawe😍😍😍
@ramadhanibakari9019
@ramadhanibakari9019 4 жыл бұрын
luga gani hi
@edgarmuyoboke2145
@edgarmuyoboke2145 4 жыл бұрын
@@ramadhanibakari9019 , ni Kirundi anaongea,nikijaribu kutafsiri, anasema hivi: Hongela sana Mwananchi💪,+257 tunakufulahia sana tuko Nyuma yako.
@jamilanimbona3692
@jamilanimbona3692 4 жыл бұрын
Natere imbere nkumuzinga wigisahira kabisa Imana imuje imbere
@nellaashrafniyokwizigira9595
@nellaashrafniyokwizigira9595 4 жыл бұрын
Mrundi wakwetu jmn kajuli💕🇧🇮
@twahangamba8570
@twahangamba8570 4 жыл бұрын
Ameitendea haki interview anajibu vzr hatoki nje ya mada kirahisi anajua ajibu vp ni km kafundishwa hongera yake
@matthiask2087
@matthiask2087 4 жыл бұрын
katoto kazuri.😍😍😍🥰
@charleslyuki8568
@charleslyuki8568 4 жыл бұрын
President hata wewe unamaacho
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Mzuri sana tena hatari usipime kazi kazi
@kisulaabas2614
@kisulaabas2614 4 жыл бұрын
Mtangazaji Shwaza kweli mburundi eti kwa kwenu Uganda linasaha mpaka nchi ya mhojiwa
@pigapesa2366
@pigapesa2366 4 жыл бұрын
Mtoto mzuri da! Beautifully girl..💞👆
@tanashakabeza9077
@tanashakabeza9077 4 жыл бұрын
Big up saana joel,Mungu Akujalie
@kingrado5883
@kingrado5883 4 жыл бұрын
I like her teeth wallah
@augustinomgonde1505
@augustinomgonde1505 4 жыл бұрын
Karibu simba mrembo. Hiyo ndiyo simba mamaaa.
@ahmedjobs6453
@ahmedjobs6453 4 жыл бұрын
ndio kbs
@gandavivy4891
@gandavivy4891 4 жыл бұрын
Big up sana kwa Joel nakutakia mafanyikio sana kbs uzidi kutangaza inch yetu Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunawezaaaaaa🗽🗽🗽 Buja to USA 🇺🇸
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 4 жыл бұрын
Ganda Vivy ILA DADA YENU ANATAKA MA hb Hatari kidogo amuulize ebitoke
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 4 жыл бұрын
dah mtoto mzur huyu jamn.YNWA
@mosesmichaelmichael6768
@mosesmichaelmichael6768 4 жыл бұрын
We love u 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥🔥🔥
@janethsule3618
@janethsule3618 3 жыл бұрын
Jaman sijui hata niseme nn nampenda huyu dada mpaka sijielewi nakupenda burundi japo sio nchi
@janethsule3618
@janethsule3618 3 жыл бұрын
Japo sio nchi yangu
@yakobochacha1178
@yakobochacha1178 4 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri
@mussayohana6057
@mussayohana6057 4 жыл бұрын
Mzury sana huyu dada 😍😍😍
@erastoshayo9382
@erastoshayo9382 4 жыл бұрын
Valet mbona umetinga ranging za Jangwani aisee
@honestkalist4929
@honestkalist4929 2 жыл бұрын
Nice
@mathiasanthony6512
@mathiasanthony6512 2 жыл бұрын
Mpo vizuri nawapenda
@kantizehubert4910
@kantizehubert4910 4 жыл бұрын
Joëlle ungera sana nakupenda sana
@boazsebastian358
@boazsebastian358 4 жыл бұрын
fantastic interview it's well known ,bukuru unajitambua nimekuelewa komaa sana ndakukunze chanechane .ndagushaka
@davidngwesa
@davidngwesa 4 жыл бұрын
Uramushaka? Ukunda abarundi? Ariko n'umukobwa mwiza cane. Ngirango uyu n'umutusikazi!!
@chrisniyomukiza1684
@chrisniyomukiza1684 4 жыл бұрын
Hhhhhhh.naona leo mmejifunza kirundi
@mgasathedon1579
@mgasathedon1579 4 жыл бұрын
@@davidngwesa watutsi wamebarikiwa am proud to be tutsi
@davidngwesa
@davidngwesa 4 жыл бұрын
@@mgasathedon1579 Wewe mtutsi Wa wapi? TZ, Uganda, Rwanda au Burundi??
@davidngwesa
@davidngwesa 4 жыл бұрын
@@chrisniyomukiza1684 Hehehe...Ulitakiwa utupe support kwa ku-comment Kirundi/Kinyarwanda/Kiha/Kihangaza...Jina lako linakutambulisha kuwa uko katika moja ya hayo makundi tajwa - we ni mwenewacu sha!
@rutakihama3523
@rutakihama3523 4 жыл бұрын
Daaaaah anajibu vizuri kwel
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 2 жыл бұрын
Mtangazaji anajitambua anae hojiwa anajitambua yani hadi hujutii MB zako watangazaji mjifunze kwa huyu jamaa anapangilia maswali yani yuko vzur keep it up brother utafika mbali
@goldshukri86
@goldshukri86 4 жыл бұрын
Big up DADA angu 😎❤✊
@BenMula36925
@BenMula36925 4 жыл бұрын
Mzuri ile mbayaaaa
@mayfinadary9848
@mayfinadary9848 4 жыл бұрын
MBNA anafanana na Ndemla au dadaake
@MOROTOWNTV
@MOROTOWNTV 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ramamamb6137
@ramamamb6137 4 жыл бұрын
Kweli ila huyu bint mzur wa xura maxhallah
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 4 жыл бұрын
Mayfina Dary 😂😂😂
@oscarismail6248
@oscarismail6248 4 жыл бұрын
Hahahaaaa yaani Wewe2😂😂😂
@josephlawrence1145
@josephlawrence1145 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mbarakaakida4842
@mbarakaakida4842 3 жыл бұрын
Nimefurahi Sana Leo nisalimiana na joele pale jk pack Simba Queens wamecheza mechi na vijana wa Sunderland academy bukulu joele your so beautiful nakukubali Sana ni mchezaji mzuri Leo ndio nimekuona live ukicheza pale jk pack
@meddynation4493
@meddynation4493 4 жыл бұрын
Cool
@sunrisetv7364
@sunrisetv7364 4 жыл бұрын
Binti huyu ni mrembo sana, natamani itokee siku nimuone tu live. Ila huyu jamaa alikokuwa anaelekea angeanza kumtongoza hapohapo.
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@farajajuddy3871
@farajajuddy3871 4 жыл бұрын
Mpk ana jichanganya,baadala ya Burundi anasema Uganda!!
@semuganzabicusulaiman2353
@semuganzabicusulaiman2353 4 жыл бұрын
@@farajajuddy3871 lakini huyo dada ni murundi sio wa Uganda
@jamesmapesa4881
@jamesmapesa4881 3 жыл бұрын
Xxxxxx
@jamesmapesa4881
@jamesmapesa4881 3 жыл бұрын
Diamond
@mwandwanisafarichanel2541
@mwandwanisafarichanel2541 3 жыл бұрын
Big up
@nassoromsagati1393
@nassoromsagati1393 4 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri kwa maswali
@successmaker7630
@successmaker7630 4 жыл бұрын
Ana aibu lkn anajibu kwa ustadi mkubwa uwezo kichwani ni mkubwa. Mtangazaji pia upo safi namna yakuuliza
@ntorechanneltv7460
@ntorechanneltv7460 4 жыл бұрын
Bukuru Yuko wapii Butoyi? Karibu buja
@benjos-bofficial453
@benjos-bofficial453 4 жыл бұрын
Burundi oyeeeeee respect my country
@ahmedjobs6453
@ahmedjobs6453 4 жыл бұрын
we burundian are proud of you joel
@kalufunyangenyakinyungu5087
@kalufunyangenyakinyungu5087 4 жыл бұрын
Endapo dunia yote watu watateketezwa na corona watabakia Adamu na Hawa yaani Mm na huyu mrembo tutaianzisha upya dunia yetu . Mtoto mzuri mpaka nimejamba kigengsta,duh!😂😂😂
@eastmoves2277
@eastmoves2277 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@victorsimundwe2518
@victorsimundwe2518 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@brahimz7nance324
@brahimz7nance324 4 жыл бұрын
😉🤣🤣🤣🤣🤣
@victortemba8202
@victortemba8202 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@fatumawakitaa3990
@fatumawakitaa3990 4 жыл бұрын
😋😋 hahaa
@michaellimu2332
@michaellimu2332 4 жыл бұрын
Urembo nao.👌👌👌👌
@antonyjux6682
@antonyjux6682 4 жыл бұрын
like kwa simbaaaa
@boscolyimo4610
@boscolyimo4610 Жыл бұрын
Am not fans of Simba sport club but I love this player a lot.
@ramsomgumu976
@ramsomgumu976 4 жыл бұрын
Nice Dada wabongo wasikudanganye na vibadiya
@abdullally3733
@abdullally3733 4 жыл бұрын
Naipenda inchi yangu napenda kuitumikiya inchi yangu nice
@swalexizumarshibez8579
@swalexizumarshibez8579 2 жыл бұрын
Uyu mtoto mtoto mzuri kweli mashaallah watching from mombasa Kenya
@mohammadimiraji1197
@mohammadimiraji1197 2 жыл бұрын
Kwa kweli wezwe mzr
@mohammadimiraji1197
@mohammadimiraji1197 2 жыл бұрын
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeee mzr duu
@wahidabogoyo8909
@wahidabogoyo8909 4 жыл бұрын
Big up joely nimekupenda buleeee 💪💪💪
@moseskihongos2913
@moseskihongos2913 4 жыл бұрын
Duuuuuu pongezii kwakooo shemela
@emilymahayu1193
@emilymahayu1193 3 жыл бұрын
aise demu anajibu vizuri na mtangazaji yuko poa sana kuuliza maswali
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
She is shy and cute..l love her!!
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
labda bikra
@mochricy3946
@mochricy3946 3 жыл бұрын
Uko vzr
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 34 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
Angalia Simba ilivyoitungua Yanga 4-1 nusu fainali ya ASFC
24:06
Azam TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
MO DEWJ  UBAYA UBWELA
10:50
KARIAKOO CONGO TV
Рет қаралды 748