MRISHO MPOTO :ACHA KUTEMBEA PEKU MZIKI WAKO NI WAWAZEE

  Рет қаралды 89,995

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 181
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 3 жыл бұрын
Mrisho mpoto ameniinspire kwenye utunzi🤗🤗🤗 nmpenda sana
@EastCoasTGorilla90
@EastCoasTGorilla90 3 жыл бұрын
Salute Sana mpoto!! Wengi hawawez kumuelewa..lakin Kama unajua unajua tuh. Uncle ni spiritual teacher na lazima uwe open-Minded kuweza kumsoma vizur..wengi bado mental enslaved to see the real picture..they not ready for this know-ledge.
@akonchris6692
@akonchris6692 3 жыл бұрын
A prophetic thinker
@lelarubea6405
@lelarubea6405 3 жыл бұрын
Sanya unafanya kazi vizuri sana
@temboebeati5293
@temboebeati5293 3 жыл бұрын
Mo Unazingua sana Unapenda kutembeleea sehem zinajiludia wakat dar ni kubwa Sana achen upendele
@dopekillerchiwanda7574
@dopekillerchiwanda7574 3 жыл бұрын
Kama Ni mdau wa sanya like apa plz
@judithmmary4124
@judithmmary4124 3 жыл бұрын
Sanya juu tupoo
@dullahd336
@dullahd336 3 жыл бұрын
Uko juu mdau
@gerkombo6512
@gerkombo6512 3 жыл бұрын
Wabongo wanafiki sana
@johnteonas3144
@johnteonas3144 3 жыл бұрын
Mrisho Mpoto sio Mtu wakuchukiliya poa, mi napenda nyimbo zake sana
@martinsimba977
@martinsimba977 3 жыл бұрын
Sanya nembo ya mtaa 😁😁😁😁 ulinitisha mwanangu kutoka wcb 4life✊
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Walosema mo kahama wa Safi tyuwazomee kina mwijaku mm binafsi na kufatilia nikiwa omani
@lyrics_forum
@lyrics_forum 3 жыл бұрын
Huyo Ana Maisha Mazuri, Hafanyi kazi Ngumu, Sasa mchimba mikaa na Watu wa Mbugani igeni Msikilizie😁
@khamisbakar7637
@khamisbakar7637 3 жыл бұрын
Umekosa jibu katika dunia kila mmoja ana maisha style yake
@ab3ab313
@ab3ab313 3 жыл бұрын
Mrhisho mpoto nakupenda bure mungu akupe maisha marefu
@famitoissa5706
@famitoissa5706 3 жыл бұрын
Mor touwn sanya siku 1 utembelee, mji mkuu wa MOZAMBIQUE, hapa Maputo, kwa garama zangu Mr sanya.
@carlitacelestinopedro7127
@carlitacelestinopedro7127 3 жыл бұрын
Vamos contribuir para ele yaha
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 3 жыл бұрын
@@carlitacelestinopedro7127 muito obrigado
@carlitacelestinopedro7127
@carlitacelestinopedro7127 3 жыл бұрын
Não foi nada irmão 👌
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 3 жыл бұрын
@@carlitacelestinopedro7127 je ne comprends rien mon frère il faut parler français
@carlitacelestinopedro7127
@carlitacelestinopedro7127 3 жыл бұрын
@@emmanuelshayo4703 Je ne connais pas très bien le français
@Balogetv
@Balogetv 3 жыл бұрын
MoSanya Unafeli wap Sasaivi mbona Ile Gonga Beat! Hakuna Aah Acha Ivo Bas Gonga Beat Nisehem Yakutufanya Ku Batasam 🤣🤣🤣🙏🙏🔥🔥
@mathewdeus3036
@mathewdeus3036 3 жыл бұрын
Mrisho mpoto 💥💥💥
@mgallason...5686
@mgallason...5686 3 жыл бұрын
Wengi wanasema ni utamaduni na kudumisha mila, ukweli ni kwamba ukitembea pekupeku hasa Kwa kuikanyaga ardhi moja Kwa moja unakuwa unaongeza immunity Kwa kiwango cha juu sana, Kifupi unakuwa unaunganisha uumbaji wa mwenyezi #Mungu. Kuna faida kubwa sana kiafya kuikanyaga ardhi japo Hata Kwa Kutembea pekupeku Kwa muda wa nusu saa au zaidi Kwa siku na si tiles au cement.
@richardibrahim5609
@richardibrahim5609 3 жыл бұрын
Yes true unastimulate nerves from kisigino. Unashauriwa angarau kwa wiki tembea peku kwa cku moja. Ndo maana wazungu hucheza mpira peku kwny fukwe za bahari. So kukanyaga mchanga is very important than cement floor
@mgallason...5686
@mgallason...5686 3 жыл бұрын
@@richardibrahim5609 ndio maana Watoto na vichaa immunity zao Ziko juu sana because Watoto muda mwingi wanakuwa peku na vichaa muda wote wako peku.
@najugames8270
@najugames8270 3 жыл бұрын
Nice sanya
@comrademifajr8592
@comrademifajr8592 3 жыл бұрын
Unazngua sanya ....gonga beat hueki
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Hivi ni kweli Mrisho mpoto anatembea peku 😂😂
@fundirangi6453
@fundirangi6453 3 жыл бұрын
Nani kagundua sanya kasema Mpoto sogea huku wasije waka kugonga😂😂 akasema MPOTO SOGEA HUKU WASIJE WAKA akaishia hapo😂😂😂😂😂😂
@vituskabula4770
@vituskabula4770 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ismailbashirwa3077
@ismailbashirwa3077 3 жыл бұрын
Love from WE THE LOCALS TV 🇧🇮
@mackeyofficial2777
@mackeyofficial2777 3 жыл бұрын
Atembei peku muongo uyo...Kioo cha jamii lakn ndio mpotoshaji jamii....
@iamprincefelix
@iamprincefelix 3 жыл бұрын
Show yetu pendwa 👌🔥
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 3 жыл бұрын
Ebwana uyo muongeaji wa kwanza ana akili za kufikirika.. chap chap na anajua anacho kizungumza
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 3 жыл бұрын
Wazee ni hikma🤩🤩🤩🤩
@michaelabeli570
@michaelabeli570 3 жыл бұрын
Motown sanyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa makn sana mzey nikajuwa ndo umesepaaaaah
@Paplick9
@Paplick9 3 жыл бұрын
WCB for Life
@akonchris6692
@akonchris6692 3 жыл бұрын
Mrisho Mpoto yuko sawa.....anaconnect ardhi which is true
@nestoemanuel1768
@nestoemanuel1768 2 жыл бұрын
Tulio chelewa kuangalia kipindi kipindi Chetu tufahamiane hapa 🔥🔥🤞
@kilimanjaro9591
@kilimanjaro9591 3 жыл бұрын
He’s right ila mazingira ya zamani na leo siyo sawa👎🏿👎🏿😅 Plus unaposema mazingira ya zamani- tunasema ni ile mazingira ya countryside cyo miji wala industrial areas🤣
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 3 жыл бұрын
Kwelii kabisa sasa s salama kemikal kila mahalii
@simaiame3468
@simaiame3468 3 жыл бұрын
Perfect..hii ndio point.
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
Jamaa hana msimamo na point yke.
@boaziefraim5503
@boaziefraim5503 3 жыл бұрын
Kuna sababu ya yeye kuvaa hivyo, good
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 3 жыл бұрын
Yaaani ulijua kutupa muhaho jmni duuuh nimeturahi kukuon ten😀😀
@pretty_witney8124
@pretty_witney8124 3 жыл бұрын
Kiubinafsi namuelewa sana mrisho mpoto
@abdullahnassor9504
@abdullahnassor9504 3 жыл бұрын
Moo town Sanya fanya utuletee na tin white baba
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 3 жыл бұрын
Tayari
@abdullahnassor9504
@abdullahnassor9504 3 жыл бұрын
Tayari uyo tin white au
@abuu_town_tz7341
@abuu_town_tz7341 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nembo ya mtaa💪💪💪💪💪💪
@siriayubuismail1400
@siriayubuismail1400 2 жыл бұрын
Mimi kama Mimi nakupenda sans mrisho na mashairi yako
@Puxladen
@Puxladen 3 жыл бұрын
Show ya kibabee
@mr.chaula4943
@mr.chaula4943 3 жыл бұрын
TEAM WCB FOREVER #WCB4life
@salehekibusa6518
@salehekibusa6518 3 жыл бұрын
Wa bongp bwaaan yaani kaamua kumchan mpoto live bila kupepesa macho
@abdallahmsangy9892
@abdallahmsangy9892 3 жыл бұрын
Sanya fanya mikoani bac itakua nzuri zaidi dar es salaam kala siku fanya
@davido-scooper9471
@davido-scooper9471 3 жыл бұрын
Gonga beet mbn hamn unayumba mo town sanya
@boniphacekatunzi7865
@boniphacekatunzi7865 3 жыл бұрын
Naona mwamba Bashiri
@setinswila9499
@setinswila9499 3 жыл бұрын
Hivi ni kweliiii😄😄😄 noumaaa sana wejamaa
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 3 жыл бұрын
Kutembea peku manake "bila viatu" 😬🇰🇪
@suleimanhassan2348
@suleimanhassan2348 3 жыл бұрын
🤣😂😂wabongo mwapenda ushindani wa ki funny
@nabilsaid3521
@nabilsaid3521 3 жыл бұрын
Sanya mbona gonga beat hamuiweki cku hz???
@agnessnamwinga8643
@agnessnamwinga8643 3 жыл бұрын
Wasafi forever
@katobashiru5066
@katobashiru5066 2 жыл бұрын
sanya nakubal
@georgembilinyi2824
@georgembilinyi2824 3 жыл бұрын
Uy mpoto mwong cku ya mazish ya dkt John pomb magufur....camer zilimnasa akiw amevaa sendo leo yup peku mwong uyu.....
@yogwesaid7435
@yogwesaid7435 3 жыл бұрын
Jamaa ana muhaho kweli we wataka nyimbo za matusi ndipo uelewe pumbavu kijana gani ww
@maymbeyu5458
@maymbeyu5458 3 жыл бұрын
Aaaaah uyu mkaka jamani😂😂😂ati ngoma zako hazinivutii n sjui mbona hahahahaha
@philiporaiswawcbduniani1258
@philiporaiswawcbduniani1258 3 жыл бұрын
NEMBO YA MTAA 💥🔥
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Editing leo haipo sawa mmekatakata vipande vingi sana, watu hawamalizi kuongea, story fupi za wazeee wa mwishoni hao
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 жыл бұрын
Magonywa mengi Ya milipuko Mzee mrisho Vaa vihata bwana Zaman siyo kama Sasa iv matunda yooote Yanapandiwa daw ikiwemo embe Pala chichi nanasi Na siku ukiwa unaenda sokon Matunda mengi unakuta Yame mwagika mwagika Yale yaliyo oza oza Wew unavyo enda kuchukua matunda Yakula na familia yako inakuaje aukanyagi uwozo wamatunda Ayo Muda unaenda sokon!??
@shabaniadolph7367
@shabaniadolph7367 3 жыл бұрын
Ujue nilijua Sanya katuacha kaenda clouds kiukwel ingeniuma Sana, atutak kukupoteza mjanja
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Kabsa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Akienda kule hana jipya amuulize Mtiga Abdallah anaendelea huko EFM
@abuu_town_tz7341
@abuu_town_tz7341 3 жыл бұрын
Uyo mtu kwanza kwenye gonga Beat alikuwa anaimba au🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pamoja na Alie vaa tishert ya njano Ni noma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@melomusictz1079
@melomusictz1079 3 жыл бұрын
nyirenda gonga beat like nying
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
Huu ni wakati wakutubu. Siyo kujitoa fahamu. Hatukutupwa ktk ardhi.
@boaziefraim5503
@boaziefraim5503 3 жыл бұрын
Jamaa kichwa ,
@kulwajeremiah1576
@kulwajeremiah1576 3 жыл бұрын
u we si. umehamia clouds
@johntasinga1968
@johntasinga1968 3 жыл бұрын
Huyu jamaa wa kwanza kwenye hii interview tumuelewe vizur Mazingira ya sasa sio ya zaman Kwa issue ya mazingira sio sawa Ila for culture issue yuko sawa
@unclevirustv9772
@unclevirustv9772 3 жыл бұрын
Hyo jamaa wa kwanza mnafiki knoma😆😆😅 yan kamgeuka mtangazaj apo apo
@alhabibnachoaly3018
@alhabibnachoaly3018 3 жыл бұрын
Oya mchaga wapi hpo naona pisi kali za Kiswahili duh
@ivonmahenge
@ivonmahenge 3 жыл бұрын
Wangapi tuliohisi nembo ya mtaa kahamia Clouds?
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Mwenyewe sikuamini
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Uliskia wapi mtu atoke university na kurudi O level 😂😂
@famitoissa5706
@famitoissa5706 3 жыл бұрын
Jamaa kawa mkweli ngoma zako hazinívutii
@jonaspaul132
@jonaspaul132 3 жыл бұрын
Kwanin msije mkoani uku kila kitu ni daa tu mnayumba
@stanydizzy480
@stanydizzy480 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Jamaa kam ruka mbal sana hahaha
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 жыл бұрын
Mrisho mpoto sasa hivi amebakiwa asilimia 50 ya sehemu ya Rasta hadi mwakani 45 hivyohivyo hadi 0%.
@raphaelmfundo4139
@raphaelmfundo4139 2 жыл бұрын
😘😂😂😂😂
@emmanueldaud8371
@emmanueldaud8371 3 жыл бұрын
Nakukubal mo sanya una kazii mbovu
@simba_de_leo5042
@simba_de_leo5042 3 жыл бұрын
Nembo ya mtaaa 💥💥💥💥
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 3 жыл бұрын
Sio kweli kama ukitembea peku unapata magonjwa ni uongo.. labda kujichoma na miba
@salamasaid6905
@salamasaid6905 3 жыл бұрын
Mrisho yupo sahihi mbona bi kidude ilikwenda kwa malikia akuvaa viatu
@gatimwita6052
@gatimwita6052 3 жыл бұрын
Yaani huyu mpoto namkubali sana
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
Kwann mskini mnaingia bila viatu?
@boazambokile2587
@boazambokile2587 3 жыл бұрын
Yani enzi za babu zetu na leo ni tofauti leo ongezeko la watu limekuwa kubwa bna mazingira pia yanaongezeka kuwa na daka nyingi kwa nini utembee peku
@mcdanta6919
@mcdanta6919 3 жыл бұрын
Nembo yaa mtaa ukihama wasafi umeisha Yani utoke wasafi uwende kwenye utopolo
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Aulize Mtiga Abdallah
@KeKe-vp8nl
@KeKe-vp8nl 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@mcdanta6919
@mcdanta6919 3 жыл бұрын
Kitaa kina elewa
@riksonforever1169
@riksonforever1169 3 жыл бұрын
Gonga beat vp sasa
@generallylee1166
@generallylee1166 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@mrematvbabakoku8336
@mrematvbabakoku8336 3 жыл бұрын
Shimo la nungunungu
@boazambokile2587
@boazambokile2587 3 жыл бұрын
🤣 huyo mzee amesema ipo siku atauliza mpka atafika hapo waonane
@Chekanamimi_
@Chekanamimi_ 3 жыл бұрын
Watu wangejua umuhimu wakutembea Peku hata siku moja tu,kushinda peku basi kuna mambo mengi tungeepuke
@bennagemeestate820
@bennagemeestate820 3 жыл бұрын
Aliyeona gia ilipochange hewani tia like
@kawuguramadhani2441
@kawuguramadhani2441 2 жыл бұрын
👍👍👍💥💥💥💯💯💯💯
@michaelmsokwe1921
@michaelmsokwe1921 3 жыл бұрын
Gonga beat iko wap Sasa
@danieljefwa2071
@danieljefwa2071 3 жыл бұрын
Ukweli tuambiane nyayo za mrisho mpoto hatembei peku siku zote
@romakoko2292
@romakoko2292 3 жыл бұрын
Hawa watu wa gonga beat wakiekewa kizungu waimbe ama marafiki zao wafe si watatumaliza sote
@MoBunsen.001
@MoBunsen.001 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hamidujuma7263
@hamidujuma7263 3 жыл бұрын
Bongo la kipindi yaani mpaka raha
@waytvtz2549
@waytvtz2549 3 жыл бұрын
Huwez kuacha kuvaa viatu kwamba unadumisha utamaduni wakati unavaa suruali
@ErickMbinga-fy7tf
@ErickMbinga-fy7tf Жыл бұрын
Mrisho mpoto waite
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 3 жыл бұрын
Hahaaa ngoma zako hazinivutiii jamaa kakaza asee
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 3 жыл бұрын
Km kiyatu ni takbiri ya gari
@noahlameck1564
@noahlameck1564 3 жыл бұрын
Eti akiwa peku anakuwa hayupo sawa. 😂
@madamboss348
@madamboss348 3 жыл бұрын
Mpoto ile collabo na harmonize ilikuwa bie
@maumaulid1452
@maumaulid1452 3 жыл бұрын
Kutoka rufiji naenjoy sana pindi ili
@kassimramadhani3077
@kassimramadhani3077 3 жыл бұрын
Jamaa kabadilisha gia hewani,😂😂😂
@is-hakaali8202
@is-hakaali8202 3 жыл бұрын
Da hiki kipindi kikianza tu kinaanza nocoment mia sijui wanaambiwa na sanya leo tunatoa clip mkae tayari
@youngtaiz8359
@youngtaiz8359 3 жыл бұрын
🔥
@christinemangaza6303
@christinemangaza6303 3 жыл бұрын
Hi 👋
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,1 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Mrisho Mpoto X Harmonize - Nimwage Radhi (STUDIO SESSION)
18:00
Harmonize
Рет қаралды 754 М.
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 7 МЛН
NDARO NA MBONEKE UTACHEKA
8:52
Ndaro Tz
Рет қаралды 213 М.