MRISHO MPOTO ATUPA MAIKI AMKIMBILIA RAIS SAMIA - MA-BODYGUARD WATAKA KUMZUIA - APEWA 'MAOKOTO'...

  Рет қаралды 84,556

Global TV  Online

Global TV Online

5 ай бұрын

MRISHO MPOTO ATUPA MAIKI AMKIMBILIA RAIS SAMIA - MA-BODYGUARD WATAKA KUMZUIA - APEWA 'MAOKOTO'...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 81
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@Maroo6Official
@Maroo6Official 5 ай бұрын
Link yenu iyo Aifunguki ya wathsApp
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 5 ай бұрын
Mama Samia tunakupenda sana wewe ni Raisi bora duniani na kwa vile ni zaidi ya Maraisi wanaume Mungu Akupe maisha marefu na siha nzuri daima kura zote visiwani tunakupa you are the best ever we Love you soo Much
@manning979
@manning979 5 ай бұрын
Nimefurahia kumuona Mkuu wangu wa Mkoa Mh, Balozi Dt Batlida Salha Burian, Tunakupenda sana Tabora❤
@agnesclement6305
@agnesclement6305 5 ай бұрын
😊😊😊😊
@zuwenaabdala7609
@zuwenaabdala7609 19 күн бұрын
Mama ni msikivu sana Zaid sana hekima aliyonayo ,,Mungu amtunze vema rais wetu Samia ,,mjomba heshima Yako mpoto
@aud548
@aud548 5 ай бұрын
Mjomba mastered the art ya kula per diem ya hii nchi... kajitaftia ka angle anakula keki na yeye😂😂😂😂😂
@mvukiedavid4332
@mvukiedavid4332 5 ай бұрын
Na Kila kwenye function ya Taifa yupo Kila awamu yeye anakula per diem
@aud548
@aud548 5 ай бұрын
@@mvukiedavid4332 😂😂😂😂hatari mzeee
@monicamtei5397
@monicamtei5397 5 ай бұрын
Asante sana Rais Samia kwa kujenga Taifa la Tanzania. MUNGU IBARIKI TANZANIA
@Maroo6Official
@Maroo6Official 5 ай бұрын
Mr.Mpoto👑 🎉🎉 is your next inlevel❤ First 🥇 Comment All like me ❤.
@frankdaudi4444
@frankdaudi4444 5 ай бұрын
Baba yetu, Mzee wetu, Na Mpiganaji wetu, Nenda Upumzike kwa Amani, AMINA.
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 5 ай бұрын
Mama piga kaz nakupenda sana love more mumy
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 5 ай бұрын
Mpoto usitusifie lakini tutetee nasisi tusemee na hilo kapu likijazwa kwa kusifu tu usitusahau mana tuna njaa mno mwenzetu....!
@MwanahamisSaid-bt1xf
@MwanahamisSaid-bt1xf 5 ай бұрын
😂😂😂
@MariamJuma-pe4sy
@MariamJuma-pe4sy 2 ай бұрын
😂😂😂😅😅
@user-fy6ck9di1f
@user-fy6ck9di1f 5 ай бұрын
Hongera Sana brother mrisho mpoto
@banguha
@banguha 5 ай бұрын
Daaa ila mpoto ana akili kikapu chake kaja nacho msije kusingizia hatuna sehem ya kukutunza kamata flsa twende zetu akili ni nywele bongo bila akili utateseka
@XiuKaratu
@XiuKaratu 5 ай бұрын
Bora Mpoto! Ukisikia Msechu ujue kuna mtu amekata kamba
@mvukiedavid4332
@mvukiedavid4332 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 5 ай бұрын
Maisha ni akili
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 5 ай бұрын
Machawa hao
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 5 ай бұрын
Mjomba wa taifa🌹
@ReginaldAplonary
@ReginaldAplonary 5 ай бұрын
Love sana Rais wangu mpendwa🎉❤🎉🌹🥰🌲💯
@user-dc7kf7np3l
@user-dc7kf7np3l 5 ай бұрын
Maashaallah mama Samia hanabaya Apewe MAUA YAKE❤
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 5 ай бұрын
Mh Rais maji hatuna Dodoma yaan nimateso 2 umeme unakatika hovyo hovyo ukipiga simu wanakwambia maji hayatoshi.
@sophiamsangi9763
@sophiamsangi9763 5 ай бұрын
Hon hata na mimi mama ntilie niliyeko kijijini nafatilia sana mambo mema unayo yafanya mama mwenyezi mungu akubariki
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 5 ай бұрын
Umaskini inawatesa sana waafrika
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 5 ай бұрын
Hata wazungu nao ni masikini
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 5 ай бұрын
@@jumakapilima7295 jifaraji na hiyo akili yako nyeusi..unawajua wazungu wewe.
@johngordonwyland
@johngordonwyland 5 ай бұрын
Watching from New Orleans.
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 5 ай бұрын
Brother yanayoendelea uku na uko yapo?
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 5 ай бұрын
Ni Sahihi kabisa Mama Apewa Maua yake
@user-jc8es8ut1g
@user-jc8es8ut1g 5 ай бұрын
Basi tu mwanamke mimi sijapata fursa yakuonana nae kwa kweli ningemkimbilia naamini naamini
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 5 ай бұрын
Hongera unacheza na fusa
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 5 ай бұрын
TATUENI KERO YA UMEME TUMECHOKA.WENZENU TUNAUMIA WAFANYA BIASHARA WANAPATA TABU MAMBO HAYAENDI
@godwinmsumari8089
@godwinmsumari8089 5 ай бұрын
Mjomba nomaa
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 5 ай бұрын
Mpoto mii sikuelew bn
@peninashungu6633
@peninashungu6633 5 ай бұрын
Hilo vazi utasikia ni la Milion 30
@shamilaalhabsi909
@shamilaalhabsi909 5 ай бұрын
Nakupenda mama samia Allah akupe nguvu kwa kazı unayoifanya İla kuna watanzania wengine hawaoni umuhim wako Ila ww fanya kazi yako Alllah atakupa ushupavu na ulizi wake
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 5 ай бұрын
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 5 ай бұрын
Huyu Mrisho Mpoto aliwasimanga viongozi mbali😅emo
@andrewandrew1991
@andrewandrew1991 5 ай бұрын
Wanasiasa noma
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 5 ай бұрын
Huku kwetu kisasa ndio shida, juhudi zifanyijke watu wapate maji Dodoma ni Jiji
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 5 ай бұрын
sahihi Na umeme wakaukatika mara kwa mara
@daudysanga8492
@daudysanga8492 5 ай бұрын
Huweleweki
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 5 ай бұрын
Mbele yaasali tena mmnacho kifikisha siiualia wamaisha yawatanzania acheni hizo.
@hamadnassor-um2wy
@hamadnassor-um2wy 5 ай бұрын
Ila kma maofisa usalama walichelwa kwenye kumuwahi
@abubakarally3413
@abubakarally3413 5 ай бұрын
Ila viongozi wakubwa hawakimbiliwi ni hatari kwasababu wanalindwa kwa uangalifu sana
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 5 ай бұрын
Ivi mnacho kiimba ndouakisia wawatazania,au mmelambaasali.
@josegambi7149
@josegambi7149 5 ай бұрын
Mrisho unakaririshwa maneno 😂😂 zingatia maokoto
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 5 ай бұрын
Nakumbuka huyu Mrisho Mpoto alitumia maneno ya masimango dhidi ya Viongozi mbali mbali wakiwemo wa madhehebu ya dini wakati wa tukio la kutia sahihi ya kuuzwa Kwa Bandari ya DSM. Bila shaka analipwa Kwa kufanya hayo!
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 5 ай бұрын
MRISHO NAOMBA TUGAWANE HIZO HELA
@emmanuelnyakunga8320
@emmanuelnyakunga8320 5 ай бұрын
Iyo ni hutuba😂😂
@user-lm6wc8gw3z
@user-lm6wc8gw3z 5 ай бұрын
Usenge tu unawasumbua
@manchalijob9600
@manchalijob9600 5 ай бұрын
Ujinga huu jpm alikuwa haupendi masherehe kira siku vitendo hakuna UMEME SHIDA MAJI SHIDA KIRA SIKU MASHEREHE YA KIJINGA TU
@hoseakavubu2844
@hoseakavubu2844 5 ай бұрын
Mpoto. ....
@nelsonmgaya1490
@nelsonmgaya1490 5 ай бұрын
Hakuna uhalisia wa maneno yako!
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 5 ай бұрын
Mjomba mjanja Sana kaenda. Na kikapu kajiongeza..... maokoto kwanza mengine badae 😂😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 5 ай бұрын
Hahaha hahaha hahaha hahaha ametumwa pesa uyo
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 5 ай бұрын
@@HadijaZabroni-pu1lt Kwa kweli😂
@emm279
@emm279 5 ай бұрын
😂😂
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 5 ай бұрын
Mpoto mchumia tumbo tu huna lolote
@masilingimbilinyi5589
@masilingimbilinyi5589 5 ай бұрын
Huyu Rais samia suluhu Hasan nirais ambae anatumpenda anatujali hapend tugombane wala hapend tukwazane hakika mama samia ndio mana mana watanzania wote tunakuita mama hakika ww nizaid ya mzaz unatupenda sana nasi watanzania tunakupenda sana mungu akulinde uje uongoze zaid inchi imetulia inaumoja matusi yameisha chuki zimepungui ndio mana nakupenda Rais wangu pamoja na chama changu cha ccm
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 5 ай бұрын
Wewe peke yako
@georgekagwebe2461
@georgekagwebe2461 5 ай бұрын
Chawa mzee
@nelsonmgaya1490
@nelsonmgaya1490 5 ай бұрын
Kweli kabisa chawa kama chawa!
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 5 ай бұрын
Mama samia samahan sana nilikuwa natopoka tu mwanzo ulipo ingia kumbe upo tofauti na uwelewa wangu Ni mzuri mama na una hekima Ni mama mshllh samahan sana
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 5 ай бұрын
Kwa vile umemuelewa ucjali!!
@user-qy4gb1kn4z
@user-qy4gb1kn4z 5 ай бұрын
mpoto unazidi kupoteza umarufu tangu uwakejili maskofu wakati wa kusaini mkataba.wa bandari umetufanya kuchukia nyimbo zako hiso za kiluga tumejuwa ww mchumia tumbo tu
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 5 ай бұрын
Nimefurahishwa sana na umakini wa walinzi wa rais ningekuwa na Hela aiseee ningewapa
@highvoltages4169
@highvoltages4169 5 ай бұрын
Wasingepokea hela yako bali wangekuweka chini ya ulinzi
@atupelejohnmwakangale3226
@atupelejohnmwakangale3226 5 ай бұрын
Wamechelewa kidogo,katangulia kufija high table kabla yao😂
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 5 ай бұрын
​@@atupelejohnmwakangale3226na asingeweka chin maik alkuw ameshamalz kaz
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 5 ай бұрын
Kima wako naa
@fredymkongwa5557
@fredymkongwa5557 5 ай бұрын
Mama kiukweli unaupiga mwingi, siku naambiwa mama anakuwa Rais nikasema tumekwisha,kumbe ilikuwa ni Woga wangu tu,,mama hongera sana umeituliza nchi mama
@philipongenzatv
@philipongenzatv 5 ай бұрын
Huna lolote
@user-xq2tw5hq9z
@user-xq2tw5hq9z 5 ай бұрын
Mama unanitoa chadema ujue love u best president ever
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 5 ай бұрын
Hisa 40 mbona bado tumepigwa?
@user-tk2we7cp5w
@user-tk2we7cp5w 5 ай бұрын
Roma bhana eti wampe maua kumbe maua ya mama
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 5 ай бұрын
Mjinga amebeba kakikapu ka hela wala sio kamaua
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 49 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 9 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 87 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 9 МЛН