MSAFIRI SAFARINI - MCHUNGAJI PAUL SEMBA

  Рет қаралды 1,931

ORIONe TV

ORIONe TV

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@mkarukabrella
@mkarukabrella 7 ай бұрын
Amen imenikumbusha mbali sana Henzi hizo ukisikia ngusero ni ngusero haswaaa #Simanjiro, Narakauo #TukutaneGalilaya ✊
@glorialaizer9450
@glorialaizer9450 7 ай бұрын
Pole sana pastor yesu amekutangulia
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AMINA
@ASHERILUGUSI
@ASHERILUGUSI 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana pr nabarikiwa kwa uweza wa Mungu aliokupaa
@amoskitiu3541
@amoskitiu3541 7 ай бұрын
Mbarikiwe safari ya maisha ni ngum
@rizikimanamaua9216
@rizikimanamaua9216 7 ай бұрын
Mtalipwa msipo zimia mioyo. Maranatha
@COMPASSIONMEDIA
@COMPASSIONMEDIA 7 ай бұрын
Pastor Semba,,,poleni kwa changamoto hiyo. BWANA yu pamoja nawe. Amina
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AMINA
@kibecate2495
@kibecate2495 7 ай бұрын
Changamoto kila mahali ...... Maisha bila changamoto simaisha
@martinkobia1272
@martinkobia1272 7 ай бұрын
Amina Mchungaji Semba.. tunatumai Mbinguni zile Barbara za dhahabu hawajazitumia sana zikawa hivi😊.. ila umenichanganya sana Mchungaji suala la maombi,, Sasa kama hatutamwambia Mungu haja na matamanio ya mioyo yatu, tutamwambia nani huyo. Sababu vile nimeelewa ni kwamba maombi yajae Sifa pekee. Asante
@theresearcheronlinetv3649
@theresearcheronlinetv3649 7 ай бұрын
Unamwambia; Lakini, zaidi sana SIFA na Shukurani pia Uwepo wa MUNGU moyoni kwa njia ya Roho wake Mtakatifu hutuliza moyo kwake! Mfano; Danieli alijua Simba wamewekwa tayari, Lakini; Anaomba kama kawaida yake kwa Baba yake wa mbinguni! Mtulivu kabisa… Paulo; amefungwa gerezani lakini, mwishoni anaaga kabisa nimevipiga vita vilivyo vizuri… Ayubu; amefiwa na watoto anasema Jina la Bwana libarikiwe… hakutenda dhambi kwa midomo yake! “ Sasa baadhi yetu; ukiomba kakitu hakajajibiwa ulivyotaka, Ndipo unaona Mungu kama hafai tena”. Mahusiano naye hutaki, Ni kama tunataka vitu kutoka kwake LAKINI HATUMTAKI MUNGU MWENYEWE!!!,,,
@danieldotto5896
@danieldotto5896 7 ай бұрын
Barikiwa Pr. Nimekuwa nikikufuatilia siku zote 10 za maombi. Barikiwa Kwa masomo yaliyojaa elimu ya mbingu
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AMINA
@wisdombarak8480
@wisdombarak8480 7 ай бұрын
Mungu mkubwa ashukuriwe mungu kwa hali yoyote
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AHSANTE
@biblianabibliapekee8113
@biblianabibliapekee8113 6 ай бұрын
Wangapi tulikua hatujui maana ya orione na tumejua kuwa ni heaven's light.” ??
@nishimwedanny4691
@nishimwedanny4691 6 ай бұрын
Amen
@SaitotiHinyura
@SaitotiHinyura 7 ай бұрын
Asante sana kwa ujumbe,Yesu ndiye udongo mkavu ,Nitaweka miguu yangu katikati ya utelezi njiani na milimani wala sitaanguka.Barikiwa.
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AMINA
@danielmbozi3204
@danielmbozi3204 5 ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU
@user-rq8rw5fd8b
@user-rq8rw5fd8b 7 ай бұрын
Wasafari na wapitaji duniani.Tumaini ni mji bwana ameutengeza mwenyewe kwa ajili yetu.barikiwa Nairobi Kenya
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AMINA
@josephathkerima7808
@josephathkerima7808 7 ай бұрын
Iwe ni wakati wa raha au shida jina la Bwana na litukuzwe , Mungu awabariki sana kwa kujitolea. Msipolegea mtavuna kwa wakati wake.
@cosmassamon9723
@cosmassamon9723 7 ай бұрын
Polen pastor
@stephanomuganga9872
@stephanomuganga9872 7 ай бұрын
Pole sana Pr. Paul Semba na waandishi wa Habari Oraione Tv, Mungu ni Mwema awafikishe Salama.
@eliasgeffi9718
@eliasgeffi9718 7 ай бұрын
Hahaha dereva anadonga du😂😂😂Pr Hongera napenda sana speech zako unakuwa na ujasiri mkubwa Sanaa unapokuwa unafanya kazi ya Mungu , Mungu mwenyewe akujalie mwisho mwema na aendelee kukutunza, ❤️
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AMINA
@vayaulashedrack5994
@vayaulashedrack5994 7 ай бұрын
😂😂😂 nakumbuka kuna siku tulitoka makambako asubuhi tukafika idete jion. Hapo unawexa kuwa na hela ukakosa pa kuitumia
@lenardmayuki8990
@lenardmayuki8990 7 ай бұрын
😅😅😅 atariii
@godfreymasondaabel1904
@godfreymasondaabel1904 7 ай бұрын
Hhahahahhahaha hatariii Sanaa, karibu Tena Pr😅😅
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AHSANTE
@ronaldhelmott8379
@ronaldhelmott8379 7 ай бұрын
Mungu awe pamoja nanyi Pr. Mfike salama Dodoma.
@doronibahendwa6451
@doronibahendwa6451 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji, Mungu awe pamoja nanyi safarini mfike salama. From Finland
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AMINA, TULIFIKA SALAMA. AHSANTE KWA MAOMBI YENU
@daud8785
@daud8785 7 ай бұрын
Poleni kwa changamoto. Mungu ni mwema hakika
@bamag-021
@bamag-021 7 ай бұрын
Poleni sana wasafiri wa mbinguni. Mungu awaongoze ,msikate tamaa. Hongereni sana pr.
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 7 ай бұрын
AMINA
@JIHUSISHE_GOSPEL_TV--Pr_James
@JIHUSISHE_GOSPEL_TV--Pr_James 7 ай бұрын
Shaloom Pr ! 😂😂.
@aminawillfred5313
@aminawillfred5313 7 ай бұрын
Pole sana Mungu akutangulie
@A_F_M_
@A_F_M_ 7 ай бұрын
Poleni sana watu wa Mungu
@user-du2ug1wd7s
@user-du2ug1wd7s 7 ай бұрын
Amina 2:13
@glorialaizer9450
@glorialaizer9450 7 ай бұрын
Pole sana pastor yesu amekutangulia
@prshitungurumaduka
@prshitungurumaduka 7 ай бұрын
Amen
KUWA NA SHUKRANI, DAY #8, SEH  I // MCHUNGAJI PAUL SEMBA
45:45
ORIONe TV
Рет қаралды 1,6 М.
MALIZA MWENDO SEHEMU YA PILI NA MCHUNGAJI PAUL SEMBA
33:49
ORIONe TV
Рет қаралды 17 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 34 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 62 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
NYAYO CHUMBANI,SEH 2 na (MCHUNGAJI PAUL SEMBA)
56:24
SAVP TV
Рет қаралды 4,9 М.
LIVE: Tony Kapola Akifungua Shajara Yake na Babbie Kabae
1:03:40
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 31 М.
Pr. Paul Semba,NDOA AU FAMILIA INAPOKUWA NA DHORUBA
34:53
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 13 М.
Palipo Imani hakuna Hofu || Pr Paul Semba
9:03
Mtaifahamu Kweli
Рет қаралды 1,5 М.
SERA YA UHARIRI YA MUNGU By PR. PAUL SEMBA @KIZOTA SDA-DODOMA
25:01
MSABATO BROADCASTING CHANNEL (MBC)
Рет қаралды 721
🔴#LIVE! UUNGU KATIKA MASHAMBULIZI _ Mch. PAUL SEMBA: JUMAMOSI
49:44
Dodoma Central SDA online TV
Рет қаралды 13 М.
IMANI: ANALOJIA AU DIJITALI, DAY #10 // MCHUNGAJI PAUL SEMBA
1:17:34
Wapiga mbio kwenda nyumbani. Pr. Paul Semba
52:31
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 4,3 М.