MSAKO | EP 6 FINAL |

  Рет қаралды 28,944

KIM VEVO

KIM VEVO

Күн бұрын

#clamvevo #kimvevo #mbwela #tanu

Пікірлер: 113
@jumakeke8167
@jumakeke8167 3 ай бұрын
Bi migomba yuwaitaji pongezi kwa kusimama na vijana pamoja MashaAllah mungu akupe kila hitaji la moyo wako
@MoTalentTz
@MoTalentTz 3 ай бұрын
Kim hana baya lete vitu🙏🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻🖐️🖐️👏👏👏👏
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
Pamoja sana team kim,tunasubir mchezo mwengine
@user-dr3qu6ow5v
@user-dr3qu6ow5v 3 ай бұрын
Leo amekamatika sinaga tabia za umbeya amekamatika😢😢
@stevekasawala2315
@stevekasawala2315 3 ай бұрын
😃😃
@princengenda
@princengenda 3 ай бұрын
Nipeni like zangu kutoka Congo DRC🇨🇩
@user-dd9ti3vv6c
@user-dd9ti3vv6c 2 ай бұрын
🇨🇩✊️
@Gastopizzo-jg7bu
@Gastopizzo-jg7bu 3 ай бұрын
Wa kwanza kutoka kenya❤❤❤❤
@alvinbrightone3803
@alvinbrightone3803 3 ай бұрын
No.1 Kim beb umeweza❤❤❤
@BonnetJanvier-ep1or
@BonnetJanvier-ep1or 3 ай бұрын
Wa kwanza from Burundi
@GSira
@GSira 3 ай бұрын
Nyinyi wote mnamaliza michezo vibaya zote hizo tunazo angaliya
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 3 ай бұрын
Huyu mama anajisitiri hadi raha alafu anajua❤ huku kenya
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 3 ай бұрын
Mwasi bonge la pis aiseeee
@sweetbabymwangi8373
@sweetbabymwangi8373 3 ай бұрын
Team Kim Vevo hoyee....hongereni nyote kwa jitihada zanu. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪
@user-mu9ws3pk5l
@user-mu9ws3pk5l 3 ай бұрын
picha nzur sana big up Kim vevo
@MaindaJr-lv6qo
@MaindaJr-lv6qo 3 ай бұрын
Kweli mmetuchoka followers wenu ujinga Gani huu sasa
@stevekasawala2315
@stevekasawala2315 3 ай бұрын
Km rahisi nenda kaigize na ww
@MaindaJr-lv6qo
@MaindaJr-lv6qo 3 ай бұрын
@@stevekasawala2315 Amna cha mana hapo ubunifu zero
@user-it8in7bc5s
@user-it8in7bc5s 3 ай бұрын
Number one from Fiziz Baraka 🖐️nawafatata 10 kwa 10 kabisa ✌️
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 3 ай бұрын
Series nzur afu inakomea njian
@TinyaadamYusuf-oi5us
@TinyaadamYusuf-oi5us 3 ай бұрын
Kazi nzuri Kim Bravo ❤
@mariammariam5723
@mariammariam5723 3 ай бұрын
Hongeren washirika wote❤
@dantony-g2575
@dantony-g2575 3 ай бұрын
Like zangu Hapa kama Una Mpenda kim Vevo
@user-vi9yb1re1p
@user-vi9yb1re1p Ай бұрын
Nipe like zangu kutoka DRC,naipenda sana
@Ramadhan.999
@Ramadhan.999 3 ай бұрын
Mmeimaliza kishamba kweli ..
@user-wp2vs5gz6o
@user-wp2vs5gz6o 3 ай бұрын
Naipenda sana mi HAIRATI KUtoka Oman🥰🥰
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 3 ай бұрын
Mbwela movie umeimaliza kienyiji Sana imefikia Mahalia pazuri ndio wamalizia kweli?inasikitisha tupeni uhondo mitatu wamovie hiyo msako
@hajeemchenga6139
@hajeemchenga6139 3 ай бұрын
Kim umechemka mwisho yan mzuri wa kuzuia ila finishing hauko vizur 😅😅
@yusuphabinala4120
@yusuphabinala4120 3 ай бұрын
Kim another level🎉
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Viongozi kama hawa awafai kwenye jamii kabisa
@Roze-so4he
@Roze-so4he 3 ай бұрын
Kazi nzuri
@user-mk8yz4qu1z
@user-mk8yz4qu1z 3 ай бұрын
Msichelewa sana aki watching from Kenya
@azizahmohamed3495
@azizahmohamed3495 Ай бұрын
Mwenyekiti kwa kushinda ndani hodari tu
@Spagles
@Spagles 3 ай бұрын
Eeee mwisho mzuri knoma noma 😂😂😂😂
@achila254
@achila254 3 ай бұрын
Nilikuwa natizama yakenya😂kuona hii nikawai haraka
@ViolineOnsomu
@ViolineOnsomu 3 ай бұрын
Bwela nasema hivi Mimi hapa akupnda keep um with Kim vevo
@mamboV-wille
@mamboV-wille 3 ай бұрын
sjaridhika bado nasubilia mwendelezo mpaka kieleweke leo
@user-ck7fi3bh3i
@user-ck7fi3bh3i 3 ай бұрын
Nzur sanaaa lkn final imeenda chap chap sanaa 😢
@sailathsaidi
@sailathsaidi 3 ай бұрын
hamjaweza kumaliza
@user-vg9kf3ss3e
@user-vg9kf3ss3e 3 ай бұрын
Fupi sana bt ikopoa❤❤❤❤❤
@AshuraHamadi-kb7ne
@AshuraHamadi-kb7ne 2 ай бұрын
Nawapenda sana group Kim vevo naitwa anifa
@RahmaRajabu-sw7yr
@RahmaRajabu-sw7yr 3 ай бұрын
Mm leo wa 1❤
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 3 ай бұрын
❤ good job 👏 my sister kim 👏 ❤️
@halemamoon1782
@halemamoon1782 3 ай бұрын
Alosikia saut ya zumba km n afande tujuaneeee❤
@Rosemaryhamisi
@Rosemaryhamisi 3 ай бұрын
Mbona imeisha mapema hivi
@alibinfazilisaproniga7118
@alibinfazilisaproniga7118 3 ай бұрын
filamu imekatika mapema najuwa kuna ugonvi apo
@marygorethtemu4959
@marygorethtemu4959 3 ай бұрын
We kim Next time jipange vizuri ndo utuletee hizi hadithi zako za watoto wa darasa la pili hapa... Sasa ndo umemalizaje hivyo?? ...
@TamiRoney
@TamiRoney 3 ай бұрын
Kwakweli umeumeishia vibaya umeharibika wote naulikuwa mzuri atari
@MzimuKufa
@MzimuKufa 3 ай бұрын
Hapo sw move inaisha halaka tunaanza na mambo mengine
@user-rj8kn1mh1s
@user-rj8kn1mh1s 3 ай бұрын
Mmeweza so awesome 👌
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 3 ай бұрын
Ongeza ujuz zaid imeisha vby
@mrsabdul-mz8hh
@mrsabdul-mz8hh 3 ай бұрын
Ah!!!!!! The END kweli au mnatania tuuu😢😢
@OmarShevo
@OmarShevo 3 ай бұрын
Leo imkua fupi xna ,,,,pmoj team Kim vevo❤
@zedy_hope-pd8kn
@zedy_hope-pd8kn 3 ай бұрын
Kali sana ❤❤🎉
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 3 ай бұрын
Kim mbona fupi sana jaman 😮😮😮
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 3 ай бұрын
Mbwa wote mloandaa hiii series inaelekea vkuzur ndo inaishia 😮
@luckylucky7153
@luckylucky7153 3 ай бұрын
Mambo moto huku waaa nawakubali
@BonnetJanvier-ep1or
@BonnetJanvier-ep1or 3 ай бұрын
Nipeni mauwa yangu🎉🎉🎉
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Imeisha kienyeji sana
@MabrouksSingida
@MabrouksSingida 3 ай бұрын
Imeanza vizury 2 imemalizia vibaya
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Filamu nzr lkn jitahidini ktk umaliziaji
@user-st3wo7qi2v
@user-st3wo7qi2v 3 ай бұрын
Good job 👌
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 3 ай бұрын
Heeee😮mbona umeisha ivo
@Hamisi8465
@Hamisi8465 3 ай бұрын
Kim mimi ebu like comment yangu leo na mimi bc😂😂😂love you from 254 ❤
@kenogola3392
@kenogola3392 3 ай бұрын
Mbwela hii nayo imeboa na uo ndo ukweli
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 3 ай бұрын
App kwenye kumalizia sijapaelewa kabisa
@Anitacate-l7t
@Anitacate-l7t 3 ай бұрын
Sijacherewo sana good morning guys
@user-ig9mi5gb1w
@user-ig9mi5gb1w 3 ай бұрын
Venye mwasema imeisha ovyo ii ni mbinu ya kuwaletea season 2😂😂😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 ай бұрын
Wa Tano 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Uwezokudura-rz8eg
@Uwezokudura-rz8eg 3 ай бұрын
Umetisha kaka
@emmanuelisaya3172
@emmanuelisaya3172 3 ай бұрын
Wapili Leo naomben like 😅😅😅😅😅😅😅😅
@Safarikenga-tf3si
@Safarikenga-tf3si 3 ай бұрын
Acha ushamba comment kitu Cha maana acha kuomba likes
@graffinamisi
@graffinamisi 3 ай бұрын
Tumezisahau kwa nyumba😅
@chumchum1526
@chumchum1526 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂hizi likes huwa zasaidia nini hebu nitoeni ushamba
@PaulCecyl-jz4mr
@PaulCecyl-jz4mr 3 ай бұрын
Bakupe like ukule?
@graffinamisi
@graffinamisi 3 ай бұрын
@@chumchum1526 ukizila husikiangi njaa
@LatifaRashidi
@LatifaRashidi 3 ай бұрын
Good job kim❤❤
@ZawadiMnara
@ZawadiMnara Ай бұрын
Inaishaje kizembe
@madollarmadollar7097
@madollarmadollar7097 3 ай бұрын
Imeisha kindezi kweli
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 3 ай бұрын
Agh umeishia kw kukatwa 😢😢
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 3 ай бұрын
Safi kbs😂😂😂😂
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 3 ай бұрын
🎉🎉 doh
@nurukilelo
@nurukilelo 3 ай бұрын
Hebu mmalizie 😢Pete ya ajabu
@mkwendazako
@mkwendazako 3 ай бұрын
Mbweleku haujafanya poa mapemaje
@user-go4uc4oe4p
@user-go4uc4oe4p 3 ай бұрын
40 mau kwa waigizaji wote wa VEVO 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JenabuMwakanyamale
@JenabuMwakanyamale 3 ай бұрын
Dada Kim washawasha lini inatoka
@godfreyswai5594
@godfreyswai5594 3 ай бұрын
#Kim VEVO umezingua muvi ilistaili iendelee sema umeishiw mawazo
@user-ut5ns5nd7i
@user-ut5ns5nd7i 3 ай бұрын
Ooo kimu hongelazako kameisha tengeneza nyingine ila umeisha vibaya
@pascalselemani8132
@pascalselemani8132 3 ай бұрын
Kim unaweza
@RahmaRajabu-sw7yr
@RahmaRajabu-sw7yr 3 ай бұрын
Mbn mchezo umeishia vby
@florencekatunzi708
@florencekatunzi708 3 ай бұрын
Yaan me mwenyewe hata sijaelewa
@MashaMbwana
@MashaMbwana 3 ай бұрын
Wa 12 nigaiyeni na mie
@Masterstevemedia-kb5oc
@Masterstevemedia-kb5oc 3 ай бұрын
kali sana
@salomejames9639
@salomejames9639 3 ай бұрын
Mbona imeisha kibabe sana hat mapolis hatujawaona sura zao aisee
@emmanuelkibacho4364
@emmanuelkibacho4364 3 ай бұрын
Story imeisha kama maigizo ya darasani ya kwenye stadi za kazi....
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
😂😂😂
@Khadija-ne8ul
@Khadija-ne8ul 3 ай бұрын
😂😂😂
@ChoraleBmukungu
@ChoraleBmukungu 3 ай бұрын
Kwanini ishie kwenye utamu @Kim sjapenda aisee tutegemee episode two
@MushuRwega-qp4zm
@MushuRwega-qp4zm 3 ай бұрын
We Kim, mbona mwisho umekuwa mwepesi hivyo
@user-mu9ws3pk5l
@user-mu9ws3pk5l 3 ай бұрын
dada umewahi kuimaliza picha tatizo nini
@ShamsaGao-nn1ge
@ShamsaGao-nn1ge 3 ай бұрын
Imeisha vby
@user-ex2id7sw4x
@user-ex2id7sw4x 3 ай бұрын
Lkn hii ngoma imeisha vbya kwel hii
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 3 ай бұрын
Kazinzuri
@Zainabuabdalah-vw1xw
@Zainabuabdalah-vw1xw 3 ай бұрын
🎉🎉❤❤
@AmosSikuzani-mq7gb
@AmosSikuzani-mq7gb 3 ай бұрын
Kim una fail wap? Hata kufikisha ep 20 kl? Tupang sas
@user-ct6vd7ld7s
@user-ct6vd7ld7s 3 ай бұрын
❤❤❤
@ShaibumwadiniHassan-cq6yw
@ShaibumwadiniHassan-cq6yw 3 ай бұрын
Kim shogagu
@marynyota6146
@marynyota6146 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@yuui1878
@yuui1878 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 3 ай бұрын
😁😁😁😁😁🤣❤️🌹🇧🇮
@sailathsaidi
@sailathsaidi 3 ай бұрын
hamjaweza kumaliza
@sailathsaidi
@sailathsaidi 3 ай бұрын
hamjaweza kumaliza
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /35/ #love
33:24
BabaJoan
Рет қаралды 133 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
MTUKATI FULL MOVIE  |  SENGO MK
34:27
SENGO MK
Рет қаралды 142 М.
PETE | Episode 7 |
11:47
KIM VEVO
Рет қаралды 27 М.
VILLAZA ''Sehemu ya Kwanza''
26:47
Madebe Lidai
Рет қаралды 163 М.
ARRIVAL KWA KINA BEBI - Oga Obinna & Dem wa Facebook
8:14
The Weekly Show KE
Рет қаралды 94 М.
CHOZI | EP 1 |
21:52
KIM VEVO
Рет қаралды 53 М.
CHAMDOMO |1|
9:11
KIM VEVO
Рет қаралды 91 М.
WASHA WASHA | Ep 1| SENGO MK
15:43
SENGO MK
Рет қаралды 130 М.