Mungu awabaliki kwa kazi nzuli hii na staili ya wimbo huu kama harusi viree mungu awaongozee katikaa utumee wa usimbaji ...... Tumwimbiee bwana
@elfridathomas66124 жыл бұрын
Thanks to You Mr Steve for this good work! Mungu akupe pumziko la Amani huko mbinguni, Amina!
@philomenasjohn90835 жыл бұрын
Nainua mikono yangu nikiomba msamaha, Mwl Limila umetangulia ila kazi zako bado zitaishi milele, R.I.P my Brother
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@martinodhiambo16394 жыл бұрын
Steve ulituacha, Steve why? Kwa nini machungu haya yote? 😭 😭 😭. Mungu akupe msamaha.
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@martinodhiambo16394 жыл бұрын
Sing with the angels Steve. I love this song so much. Cheza piano kabisa huko binguni pamoja na Malaika na watakatifu wote.
@bujunebusanya39664 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sanaa. Hongera Wana BMM
@nyotaben64974 жыл бұрын
Jamani Naitwa SAIMON BURCHARLD CHELESTUSY naimba Kwaya my Francis wa asiz KIGANGO CHA NYANGWE Natamani sana japo nitangaze mpaka ulimwengu mzima kwauimbaji
@maryulrike74225 жыл бұрын
Woooow I'm blessed with song rest in peace Steve Limila you're always in my heart and thoughts
@LucasKKiio5 жыл бұрын
RIP Steve....I will always envy your good wok as concerns Catholic Music...
@bobbymwangi55894 жыл бұрын
I can't get over this song
@mercymacline6585 жыл бұрын
ni kweli ameacha alama ambayo haitafutika kamwe
@felistertesha51925 жыл бұрын
Kazi iko vzr sana, mungu akupe pumziko la milele
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@jacquelinemushi81455 жыл бұрын
Hakika umevipiga vita vilivyo vizuri imani umeilinda na mwendo umeumaliza.,Pumzika kwa amani
@dr.alexshayo69725 жыл бұрын
Mungu akujalie pumziko la milele Mwl. Steve Limillah.
@justinambrose35774 жыл бұрын
Nimefurahi kuona comment yako mwalimu wangu, Dr. Shayo, stay blessed
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@elizabethtarimo56165 жыл бұрын
Jamni mpaka nimelia kwa furaha nilipousikiliza huu ujumbe mzuri
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@georgenganga34265 жыл бұрын
Hongera sana Kwaya ya bikira maria Vituka....uimbaji mufti....naweza pata vipi kanda yenu.....nko Kenya
@stevelimila63275 жыл бұрын
+255 717 485 239
@georgenganga34265 жыл бұрын
Napenda uimbaji wenu sana
@philipinaaloyce54985 жыл бұрын
Nimeupenda sana huu wimbo
@josephineemmanuel60614 жыл бұрын
Mpo vzr sana
@faustinemlebya84515 жыл бұрын
Nawapenda wana vituka kwa staili mliyoibuni, niliwahi kuomba tufanye jambo kwa ajiri ya kutambua kazi ya Mwl P Mwarabu.
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@victorrweyongeza86345 жыл бұрын
Hongera sana BMM CHOIR VITUKA. Mungu aendelee kuwabariki kwa uinjilishaji.
@RiqsKobia5 жыл бұрын
Oooh My God. this song just gives me goosebumps all over. This is a thriller. May God receive steve's soul in heaven
@charlesjkyallo58355 жыл бұрын
;Msamaha ni kipimo cha Utu:....hio pekee makes me peel onions , ,Mungu Aipokee roho yake mbinguni..
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@francissilayo.34574 жыл бұрын
May your tender soul repose in paradise Steve
@andrewmsunga94255 жыл бұрын
Pumnzika kwa amani teacher Limila
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@kasalakasala74175 жыл бұрын
Rest in peace Stive. Our sorrow's are deep, our hearts are broken, but through FAITH we are strong again knowing that you're in eternal life.We 'll always remember u through u'r songs.
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@josephnshimba35385 жыл бұрын
Wimbo mzuri pia,steve ubarikiwe kwa utunzi wako mzuri pia uimbaji wa kwaya nao ni mzuri pia
@stevelimila63275 жыл бұрын
Asante
@lilianmachera5 жыл бұрын
Upumzike kwa Amani Mwalimu.
@gracebutiku98895 жыл бұрын
Mko vizur wanakwaya wa BMM
@barakajohn70435 жыл бұрын
Bonge moja ya kazi naielewa sana
@dianazambi24475 жыл бұрын
Rest in peace Steve,ulikua una utunzi mzuri sana,tunakuombea uko uliko
@felisterligwa5 жыл бұрын
Nawapenda,hongereni kwa wimbo mzuri
@jamesjamesh.58225 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@kibelamseja63995 жыл бұрын
Safi sana kazi nzuri
@fredywolfgang51214 жыл бұрын
Rip limillah
@paulmutunga5 жыл бұрын
wow,what a wonderful song, great song indeed....I feel blessed by this song, thanks for uploading
@Msemwa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo karibu ndugu usikilize Muziki mtakatifu kupitia link hii. Tafadhari Subscribe ili usipitwe na matoleo yajoyo. Asante
@vsbrichiee4375 жыл бұрын
hongereni sana kwa uimbaji mzuri,Hongera nyingi kwa mwl.Steve
@stevelimila63275 жыл бұрын
Amen
@claremumbua1894 жыл бұрын
Keep resting in peace Mwalimu Limila
@samwelamosmusambwa93025 жыл бұрын
Msamaha ni utu,nimeupenda wimbo
@avelinawella34724 жыл бұрын
Ipo nguvu kubwa ktk msamaha!!. Ni zaidi ya utu Tujifunze kuomba msamaha!!. Kuomba msamaha si ujinga na wala kusamehe si kushindwa... Rip mwl Steven Limila bado unaishi nasi kupitia kazi zako nzuri!!.
@kapugi5 жыл бұрын
We miss Steve. R.I.P.
@claremumbua1894 жыл бұрын
Keep resting in peace Steve
@happinesjohnhappinesjohn39355 жыл бұрын
🙏
@radiombiu3725 жыл бұрын
Hakika Msamaha ni Utu
@brendahetyang54305 жыл бұрын
Rest in peace Mr Limila
@pricillapaulo40124 жыл бұрын
May his soul R.I.P
@deogratiasfaustine50574 жыл бұрын
Rest in peace mwalimu limila
@peterwanjala36382 жыл бұрын
Let's learn to forgive so that God may forgive us🙏