This harmony on chorus is so fantastic hongera kwa mtunzi
@teddyvlogs229 ай бұрын
Wimbo mzuri sana. Mungu awabariki kwa utume huu.
@EstaBalume4 ай бұрын
Mimi nimekosa sana nikumbuke
@evansjuma98914 жыл бұрын
pumzika kwa Amani. ulituachia hata hivo utunzi mtamu
@dennisleonard8637 Жыл бұрын
baba mikoñoni mwako naiweka roho yangu sala nzuri sana uendapo na urudipo uingiapo na utokapo sali sana Mungu atakulinda na roho yako ataiweka mikononi mwake
@martinmhando83519 ай бұрын
Endelea kupumzika kwa amani Mwl Limila🙏🙏
@EmmanuelMarco-v1q9 ай бұрын
Nyimbo bora sana kipindi cha kwaresma
@joseekauki364 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kwa muziki huu hasa shairi la tatu
@happymoshiro37804 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima mwl Steven limila
@charlesjkyallo58355 жыл бұрын
this guy...mwalimu limila.....wooooow,,,
@juliusmuasya42494 жыл бұрын
cha ukweli steve limila aliweza.
@jamesjamesh.58225 жыл бұрын
Mwl. Steve Limila Pumzika kwa amani,,,
@sabinasogole17575 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake pema peponi,,,,daima atakumbukwa kwa utumishi wake na uimbajii wake,,hakika chema hakidumu
@willyshabani51905 жыл бұрын
Kazi ya bwana aina makosa na jina la bwana libarikiwe amina
@sofialinus82414 жыл бұрын
Mikononi mwako Bwana Yesu naiweka Roho yangu🙏🙏🙏🙏🙏
@oddondunguru28175 жыл бұрын
Ni bahati mbaya sana sikukufahamu mapema, nimekufahamu kwa legacy uliyoiacha huku nyuma. Go in peace brother, umetimiza wajibu wako na historia itakukumbuka wakati wote. You have left something in the world, your legacy will always live. May your lovely soul rest in everlasting peace brother Steven Limila. Bye Bye Steve,
@anesiamartin11074 жыл бұрын
Apumzike kwa Amani akika bado tunaishi naye kiroho.
@jacklinemutonyi47394 жыл бұрын
What a painful song God bless who arranged the song it makes me to go down my knees to repent Jesus died for my sins
@JofreySenga11 ай бұрын
asant kwa wimbo mzur
@FreddyMgum8 ай бұрын
Aminaaaaa
@patrickmohamed26964 жыл бұрын
Jamani yani huu wimbo hauchoxhi kusikiliza muda wote
@jacksonntimba62004 жыл бұрын
Ee Baba tunajikabidhi mbele yako
@petermlelwa92565 жыл бұрын
Kaz nzur sanaaa
@theresiajonas39855 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema awatie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwa familia na pia waimbaji wote na tansia yote ya muziki mtakatifu
@sultanrugome98735 жыл бұрын
Theresia Jonas apumzike kwa amani
@lauriansimon25665 жыл бұрын
Nakushauri steve limila nyimbo zako tupia swahili music watu tunazikubari
@latinusjones13635 жыл бұрын
Mbarikiwe wanakwaya kwa nyimbo nzuri zinazotafakarisha.
@francyljtv4 жыл бұрын
Hongereni kwakazi nzuru
@pedrokabwe52905 жыл бұрын
Un très beau chant pour le Vendredi Saint.
@Manchory5 жыл бұрын
Raha ya Milele Umpe Eee Bwana Mwl Steve Limila na mwanga wa milele umuangazie...
@chrispineouma85265 жыл бұрын
Steve has been immortalized through these songs. Condolence to his family and to the choir members of BMM Vituka. This was a great man. Rest in peace Steve
@josephnshimba35385 жыл бұрын
Kazi nzuri,albam hii nimependa,naipataje mimi mkaazi wa Morogoro mjini kigango cha Mt. Therezia wa mtoto Yesu TUNGI
@josephnshimba35385 жыл бұрын
@@angelssingers5509 OK barikiwa sana
@emmanuelmalenga4965 жыл бұрын
Aisee Hongera mbinguni mmeishaingia jamani
@josephichechi72515 жыл бұрын
Tutakukumbuka Sana mwalimu Stive, Pumzika kwa amani.
@happylazar85315 жыл бұрын
Nzuri sana
@sultanrugome98735 жыл бұрын
pumzika kwa aman steven limila
@kwayabikiramariamamawashau24484 жыл бұрын
HAKIKA NAYE ATAIPOKEA. PUMZIKA KWA AMANI MWALIMU LIMILLAH
@radiombiu3725 жыл бұрын
Hongereni sana kwa utunzi wa nyimbo nzuri Mbarikiwe..
@jakawere88355 жыл бұрын
Eternal rest grant to Steve oh Lord and my his soul rest in peace
@veronicarafael5945 жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri
@nyandaponsian40075 жыл бұрын
Rest in peace my teacher limila,we shall meet to heaven
@nelsonotieno20915 жыл бұрын
Good work,pongezini sana wanakwaya kwa kazi nzuri,Mungu mwenyezi awaondolee uchungu wa kupoteza mwalimu wenu.
@laliakiza73515 жыл бұрын
Mubarikiwe sana kwa kazi nzuri God bless you 🙏🙏
@josephmihayo20995 жыл бұрын
Nice songs God bless all BMMM choir members
@norahkamene79595 жыл бұрын
I always love your songs, very Consoling, Poleni Sana , may our dear Lord strengthen you, Mwalimu Steve, may heaven be your bed forever.
@januarius-js2xl Жыл бұрын
Rest in peace Mtiribu Limila
@Laur-z7p5 жыл бұрын
limila kaka ubarikiwe mno
@isaackgabrieltv55145 жыл бұрын
umetunga lakini wimbo wa moyo wangu ulitunga kwa kiwango kikubwa
@bernadettenyiva47075 жыл бұрын
Nic one be blessed
@TEACHER.CLEOPHAS4 жыл бұрын
Good sounds.
@yovithaobed55744 жыл бұрын
Niche song
@veronicamichael70175 жыл бұрын
Mungu awabariki
@robert.maganya10515 жыл бұрын
bwana awatie nguvu nasi sote tudumu ktk Pendo LA kristu
@Raphookash2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@st.gregorythegreatchoir8435 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa utume mzuri
@judykemunto32085 жыл бұрын
Great song, blessings
@veronicamichael70175 жыл бұрын
May God bless you all
@felisterligwa5 жыл бұрын
Amina
@moramwita56235 жыл бұрын
R.I .P dah
@barakajohn70435 жыл бұрын
Good job
@christopherkugesha87765 жыл бұрын
Hii melody ndiyo ulevi wangu, dah!, mbona sikukufahamu mapemaa?
@odoyothomas57665 жыл бұрын
May all of you be blessed and the composer.AMEN
@njerijeff34695 жыл бұрын
And now the composer is no more ,may he rest in peace