Dada endelea kunifundisha mapishi. Umenisaidia pakubwa kwenye mambo za jikoni. Hongera.
@MsBupe3 жыл бұрын
Asante sana my dear na ninakushukuru na wewe kwa support yako🙏🏾❤
@anandepallangyo41773 жыл бұрын
Your the best mom,umenisaidia pakubwa uwiiii yaani 🙏🙏🙏😍😍😍
@MsBupe3 жыл бұрын
Nashukuru sana na wewe kwa support yako dear🙏🏾❤
@lindamutenyo36202 жыл бұрын
Yummy 😋😋😋🥰💖 I. Love. it. Great. Cooking
@leoniapaulo7752 Жыл бұрын
Dada nashukuru sana, nilikuwa nahisi kukinai ninapokula maini lakini nikajaribu hii ya kuchemsha kwanza, ndio nikaange hakika nimeweza kula bila shida yeyote, Barikiwa sanaaaa.
@hopemungure50094 жыл бұрын
Nayakubali mapishi yako sana Dada I always subscribe ili nipate notification zako
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana my dear👏🏾 nakushukuru sana kwa support yako❤
@faridaiddi44274 жыл бұрын
Napenda sana mapishi yako,simple and clear!hongera sana mwaya!
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante my dear, nakushukuru sana kwa kuangalia mumy.... Karibu tena na tena pia usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
@mtungujamussa32064 жыл бұрын
A slya
@rehemamatemba62334 жыл бұрын
chakula km hiki lazima kiwe kitamu tuuuh, maana hakina maviungo meeengi, simple an yummy 😋😋😋😋😋😋😋
@genethshirima17874 жыл бұрын
Rosti tamu kweli .Naomba tuoneshe namna ya kutengeneza izo ndizi zisiwe na mafuta mengi
@MsBupe4 жыл бұрын
Aaaaawwww!!! Asante sana my dear, nakushukuru sana kwa kuangalia. Naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia nakukaribisha unifollow insta @bmagickitchen asante sana.
@MsBupe4 жыл бұрын
Hzo ni ndizi nimechoma kwenye jiko la mkaa my dear, asante sana kwa kuangalia my. Naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia nakukaribisha unifollow insta @bmagickitchen asante sana.
@elizakileo91254 жыл бұрын
Nimependa mapishi yapo simple and clear siyo maviungo debee..😊😋
@MsBupe4 жыл бұрын
😉 asante sana my dear pia ninashukuru kwa support yako👏🏾❤
@tatumohammed34724 жыл бұрын
Hongera mamiii....nimekupenda buure simple and clear
@MsBupe4 жыл бұрын
Aaaawww!!!🤗 asante my dear, nawe nakushukuru kwa support yako my dear na karibu tena👏🏾❤
@nanajr42612 жыл бұрын
Simple n clear....love it❤️❤️
@annajohnmayunga84774 жыл бұрын
Uko vizuri hongera
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante my dear na pia nashukuru kwa kuangalia na karibu tena❤
@ashabanza2964 жыл бұрын
Napend sana mapishi yako
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana my dear👏🏾❤
@maryamjuma95794 жыл бұрын
Niulize juu unaweza kuweka karipoda
@MsBupe4 жыл бұрын
Unaweza my dear, na hata ukitaka kuongeza kiungo kingine unaweza mumy. Asante sana kwa kuangalia na karibu tena👏🏾❤
@maryamjuma95794 жыл бұрын
Asante
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Naja na wali wa nazi mpenzi, rosti liko👌😋
@MsBupe4 жыл бұрын
Karibu mpz wangu, nakusubiri❤
@zainabibrahim46224 жыл бұрын
Nimependa sana
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana my dear😊 na ninashukuru sana kwa support yako👏🏾 Karibu tena my dear❤
@aminamohamed39164 жыл бұрын
Salàm alekum vp Hali yako madhaallh chakula kizuri sana
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana my dear👏🏾 nashukuru sana kwa support yako❤
@veronicacarol29792 жыл бұрын
My dear mungu azidi kukuweka ili uzidi kutuletea mambo mazuri nimefurahi sana na nimekupenda buuuure
@hiyamukilanga81254 жыл бұрын
Mambo ayooo nimependa kweli
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana dear👏🏾 karibu tena mpz❤ na ninakushukuru sana kwa support yako.
@marthakibiti64764 жыл бұрын
Safi sana nimejifunza vya kutosha
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana my dear na ninashukuru sana kwa support yako mpz👏🏾❤
@paulinamasumbuko79634 жыл бұрын
Jamani so nice maini
@EvaJonas-g5m Жыл бұрын
Nimependa una mambo mengi ngoja nijalibu
@zainaswalo79764 жыл бұрын
Nimependa unaelekeza vizuri hadi raha
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana my dear, nashukuru sana kwa support yako kipenzi👏❤
@agnesmvulla28019 ай бұрын
Nimeipenda hiyo
@aminamohamed39164 жыл бұрын
Mm napeñda sàna maini wanitamanisha
@MsBupe4 жыл бұрын
Mi pia my dear...😀poleee
@mariamhussein76204 жыл бұрын
You got a new subscriber mapishi yako konki
@MsBupe4 жыл бұрын
Aaaawww!!!😊 thanx dear, nashukuru sana kwa support yako👏❤
@winfridamwigilwa21074 жыл бұрын
You are the best dear. Nimependa mnoo
@MsBupe4 жыл бұрын
Thank you so much my dear🤗 na ninakushukuru kwa support yako mpz👏🏾❤
@furahinijonathan44334 жыл бұрын
aww maini jamani😍😋 nimeenjoy throw this,hongera na asante kwa mafunzo mazuri chef.
@MsBupe4 жыл бұрын
Aaaawww!!! Asante sana jamani, nashukuru sana kwa kuangalia na ninaomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
@marthakibiti64764 жыл бұрын
Mapishi mazuri sana
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana my dear, nashukuru kwa kuangalia na karibu tena mumy👏🏾❤
@user-lq8vi8bb1n4 жыл бұрын
Tamu balaa .kukupenda kwani shs ngapi ❤❤
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana jamanii👏 Bure kabisaaa😀
@user-lq8vi8bb1n4 жыл бұрын
@@MsBupe Asante unatumia jina gani insta mana mm napenda sana kupika
@MsBupe4 жыл бұрын
@bmagickitchen asante sana kwa support yako👏
@OmarIbrahim-zf8rr Жыл бұрын
Wow uko vzur
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Rösti Tamu Sanaa 😋😋😋👌welcome back mpenzi
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante kipenzi changu😘🥰❤
@mrishomaligo87924 жыл бұрын
Nakuja my
@scolabwana36104 жыл бұрын
safi sana pishi zuri
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante my dear, nashukuru kwa kuangalia👏🏾❤
@EvaLivingstone-e7i10 ай бұрын
Saf nimependa hauna maviungo meeeng
@elsieabilaabilamusic9803 жыл бұрын
Naomba niulize Bado neza kuongeza maziwa mala kidogo kwa upishi wenyewe? Ya kunipa taste tu
@MsBupe3 жыл бұрын
Sijawahi kujaribu my dear lakini unaweza kujaribu uone itakuaje. Asante sana kwa support yako🙏🏾
@dottomatyani42553 жыл бұрын
Kitunguu saum hujakitumia?
@MsBupe3 жыл бұрын
Nimetumia my dear.
@Bintimrembo-y1v3 ай бұрын
I like this method
@armstrong_0074 жыл бұрын
Je unaweza kutumia GARLIC NA GINGER ZA PASTE TU ???
@MsBupe4 жыл бұрын
Unaweza mumy, asante kwa support yako👏🏾❤
@winfridamwigilwa21074 жыл бұрын
Hapo ulipokuwa unachemsha uliweka maji kidogo?
@MsBupe4 жыл бұрын
Hapana my dear, ni yale maji niliyooshea tu. Asante sana kwa support yako kipenzi👏🏾❤
@saidsuleiman73092 жыл бұрын
Nimepend sn mapishi yk
@modeemojombo56623 жыл бұрын
Barikiwa. Ukichemsha maini hayawi magumu??
@MsBupe3 жыл бұрын
Amina🙏🏾 Hapana, hayawi magumu. Nashukuru kwa support yako.
@alexandersumulia80262 жыл бұрын
Nimependa mapishi yak dada endelea kunifundisha
@puritymusyoka97244 жыл бұрын
Simple cooking nyc
@MsBupe4 жыл бұрын
Thanx dear👏
@ikamalle4 жыл бұрын
Yummy, Rosti Rosti 😋😋😋
@MsBupe4 жыл бұрын
Thanx kipenzi❤😘
@madelemalagabu77354 жыл бұрын
Uko vzr mpenzi najifunza kuptia ww
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana nashukuru kwa support👏🏾
@samirali39003 жыл бұрын
@@MsBupe naomba kuliza Kwa nn hupend kutia spice vyakula vyako😅
@MsBupe3 жыл бұрын
Sipendi spices sababu huwa zinaondoa ladha halic ya chakula kwa mtazamo wangu, kuna vyakula vya kuweka spices lakini sio vyote. Ni mapendekezo yangu lakini, asante kwa kuangalia🙏🏾
@daviesattu5928 Жыл бұрын
My ghetto life just got a whole lot better! 😏🔥
@lithmanchaza18653 жыл бұрын
Umeokoa ndo nyingi sana dada
@MsBupe3 жыл бұрын
Aaaawwww!!! Asante sana kwa ujumbe mzuri na pia nakushukuru kwa support yako🙏🏾
@anandepallangyo41773 жыл бұрын
Yaani 😍😍
@salamajuma54812 жыл бұрын
Thank you my dear
@neemamartin50484 жыл бұрын
Simple and clear
@MsBupe4 жыл бұрын
Thank you for watching, please don't forget to subscribe and click on the bell notification also please follow me on insta @bmagickitchen thank you very much👏
@kerrykerry6023 жыл бұрын
Love love it💋♥️❤️💕
@MsBupe3 жыл бұрын
And i love love your support dear🙏🏾❤❤❤
@safiaothman51752 жыл бұрын
Maa Shaa Allaah
@jonhwamaratv4 жыл бұрын
Je nyama na yenyewe unaweza kulost ikawa hivyo au lazima Maini na moyo tu
@MsBupe4 жыл бұрын
Hata nyama pia unaweza kufanya hivyo wala haina shida. Nashukuru sana kwa support yako👏🏾
@jonhwamaratv4 жыл бұрын
@@MsBupe saw ila samahani kwa kukusumbuwa je mwanzo unaanza kuichemsha tu kawaida bila kuiwekea maji au unaongeza maji maana kuna nyama zingine ngumu kuiva
@MsBupe4 жыл бұрын
Usijali wala hunisumbui, ichemshe na maji yake tu usiongeze maji mengine.
@MsBupe4 жыл бұрын
Inabidi uyaache mpaka yapungue dear.
@MsBupe4 жыл бұрын
Sio lazima mpz, unaweza kukatakata. Asante kwa support yako👏🏾 na karibu tena❤
@joselinebukobero4404 жыл бұрын
Kuna upishi mwingine wa maini yakipikwa yanakuwa na rangi nyekundu huwa wanaweka nini mpaka yanabalika rangi?
@MsBupe4 жыл бұрын
Mmmhh... Hata sijui my dear, labda viungo mumy. Nashukuru kwa kuangalia my dear👏🏾❤
@modeemojombo56623 жыл бұрын
Tomato paste
@rosadinahjoseph91373 жыл бұрын
Tomatopaste
@fadhilamunisi10613 жыл бұрын
I like it. Be blessed.
@MsBupe3 жыл бұрын
Thank you my dear, Be Blessed too dear🙏🏾❤
@veronicacarol24814 жыл бұрын
Waooh minakula na wali
@MsBupe4 жыл бұрын
Hata hivyo ni safi sana👌
@ShukraniWilson7 ай бұрын
Asant mamy
@devothaignatus59113 жыл бұрын
Jmn nilipika hiv watu walijilamba
@MsBupe3 жыл бұрын
Aaaawww!!!🤗🤗🤗 Hongera sana my dear na ninashukuru kwa support yako🙏🏾❤
@jemajovin31484 жыл бұрын
Asante
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante na wewe kwa support my dear👏🏾❤
@happinesslyimo86754 жыл бұрын
Kama kawaida yetu Receipt simple,chakula kitamu...nilikumic dear-😂😂😂
@MsBupe4 жыл бұрын
Aaaaawww!!! Asante mpz wangu, nimerudi sasa. Nashukuru sana kwa support yako❤
@happinesslyimo86754 жыл бұрын
B's Magic Kitchen Tupo pamoja love-❤️
@MsBupe4 жыл бұрын
❤😍😘
@simonmeitarini95973 жыл бұрын
Good
@MsBupe3 жыл бұрын
Thank you🙏🏾
@barakalaizer21872 жыл бұрын
Wakati unaanza kuchemsha unaongeza maji kidogo au unachemsha hivyohivyo nieleweshe hapl
@tumainilema83257 ай бұрын
Uongez majiii main yanatoaga maji yenyew
@RaniyahAnwar4 жыл бұрын
Yummy😋😋😋
@evalinejoseph64302 жыл бұрын
nimependa ako kawimbo dad'aa ameimba nani
@MsBupe2 жыл бұрын
Unaitwa Usiniache by Dallarz... Enjoy
@evalinejoseph64302 жыл бұрын
Asante dear Mungu akubarki utupe mafunzo mazri ya jikon really naenjoy kutazama videos zako
@jacklinegodwine29693 жыл бұрын
Ujatiaa chumvi 😂😂😂🙏🙏
@MsBupe3 жыл бұрын
Kwa hiyo umefurahi kuwa sijaweka chumvi au? Sijaelewa hizo emoji!
@chikumussa79834 жыл бұрын
Yum-yum❤️❤️
@MsBupe4 жыл бұрын
Thank you❤🙂
@InfiniteMashel11 ай бұрын
Huo mchuz umeongeza maji au ni mchuzi wa nyanya
@peaceblessing51134 жыл бұрын
Ur the best boss💥
@MsBupe4 жыл бұрын
Awwww!!!🤗🤗🤗 Thank you and thank you so much for your support👏🏾
@zaitunmakilagi39264 жыл бұрын
Naomba kuuliza wanasema ukiweka maini LIMAO yanakuwa hayana ladha kweli??
@MsBupe4 жыл бұрын
Mmmhhh... Mimi huwa naweka limao na yanakuwa matamu sana tu. Siwezi jibu kwenye kutokuweka limao sababu sijawahi kujaribu mumy. Nashukuru kwa support my dear👏🏾❤
@rehemaamdal34073 жыл бұрын
Mashaalwa
@MsBupe3 жыл бұрын
Asante sana dear🙏🏾❤
@e-tvnews9231 Жыл бұрын
I can smell it🔥
@belindashayo93394 жыл бұрын
😋
@MsBupe4 жыл бұрын
👏🏾❤
@fatmasalum71814 жыл бұрын
Nyc mom
@MsBupe4 жыл бұрын
Thanx dear👏🏾❤
@rashidhassan14822 жыл бұрын
Naskia harufu hadi huku
@MsBupe2 жыл бұрын
😂😂😂😂 asante kwa support yako🙏🏾
@queenjuma99344 жыл бұрын
Thank you
@MsBupe4 жыл бұрын
You're welcome and thank you for watching👏
@nurumika9654 жыл бұрын
Hii n rost but km makangee
@MsBupe4 жыл бұрын
Ndio my dear, nashukuru kwa support yako👏🏾❤
@dinasamweliikopoaunatumiak36814 жыл бұрын
Iko poa
@songweyetutv29364 жыл бұрын
Upo vizuli kaza buti
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana👏🏾
@jasminehamisi6010 Жыл бұрын
😜😜
@ayshaiddy472 Жыл бұрын
news about the next day and a week
@shadyakimaro32452 жыл бұрын
Nmekuja kuangalizia nataka nipike asa ivi
@MsBupe2 жыл бұрын
Nadhani yakikuwa matamu🙂 Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
@Villagelife2024-g3r4 жыл бұрын
Yummy ...
@MsBupe4 жыл бұрын
Thank you my dear❤😘
@mwantumhemed86254 жыл бұрын
mapish matam san jmn🙏
@MsBupe4 жыл бұрын
Asante sana my, naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen nashukuru sana👏