MSEMAJI WA FONTAIN GATE AWAVAA YANGA MAPEMA "MECHI RAHISI HII" | ALLY KAMWE|SIKIA TAMBO ZAKE {MBUZI}

  Рет қаралды 2,518

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Пікірлер
@GiftHans
@GiftHans 3 күн бұрын
Marehemu alikuwa na mdomo sana
@Knamis
@Knamis 4 күн бұрын
Zai em endlea kujistiri, mbn unaachna na madili yko, nywle nje sasa, kinachonekn bdae hata huo mtandio itakua huvai ten, unanza kbdilik kdg kdg
@allysinge7096
@allysinge7096 4 күн бұрын
WE NAWE TUACHIE UKUMA, KWAIYO WW NDO UNAJISTILI SANA YAANI BAADA YAKUANGALIA INTERVIEW UNAANGALIA NYWELE ZAWATU, KAMA SIO UMAMA KITU GANI
@tumaini37
@tumaini37 4 күн бұрын
Jamani wewe dada mtangazaji ulikuwa wapi
@stanastana3199
@stanastana3199 4 күн бұрын
Mtafute baada ya mechi
@luqmanhaji7537
@luqmanhaji7537 4 күн бұрын
Zai kama wewe ni muislam kweli Linda madili ya dini Yako , kadri siku zinavyoenda unaanza kuacha maadili ya dini unafata ujana 😢
@SuleMuntalikilumbi
@SuleMuntalikilumbi 4 күн бұрын
We Mtoto shika adabu yako
@tumainielmremi7912
@tumainielmremi7912 4 күн бұрын
Sioni Mchambuzi hapa.
@lawlencekalenga4212
@lawlencekalenga4212 4 күн бұрын
Mmsamehe zai mana ndiyo anakuwa naona kalianza kutangaza kakiwa bado bado
@maulidhussein2022
@maulidhussein2022 4 күн бұрын
Hawa wasemaji wa timu zetu kwakweli wanaitaji kupelekwa darasan ili waelewe maaan ya usemaji wa timu
@jamaldinjuma7361
@jamaldinjuma7361 4 күн бұрын
mbuzi kama mbuzi
@sittandaki2135
@sittandaki2135 4 күн бұрын
Daaaaaaahhhhhh wasemaji wa Timu hizi inabidi wakasomee kwanza ndo waje wawe wasemaji maana anavyo lopoka hadi anakosesha hata radha ya interview
@DoryGeorge
@DoryGeorge 4 күн бұрын
Hovyoo
@DullakhalidSaid
@DullakhalidSaid 4 күн бұрын
Mdomo unapoza
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha 4 күн бұрын
Tunaomba tff kwa kuwa ndio wenye dhamana ya mpira na mpira na mambo ya furaha,basi kwa kuwa ndio wenye dhamana ya mpira wasimamie wasemaji kwani wanaaribu tawira ya mpira wetu,wengne matusi sana
@Yesuraha
@Yesuraha 4 күн бұрын
Kamdomo ,kamdogo
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha 4 күн бұрын
We mbuzi acha upuuzi mbona wasemaji wetu wamejaa ujinga,kama Kuna uwezekano wapelekwe darasani wafundishwe naadili heshima na wajue watu wengi wanafuatila habari zao,
@JosephChrisant
@JosephChrisant 4 күн бұрын
Philipo wewe hutaki watoto wazuri 😂😂😂😂
@robertchazya2351
@robertchazya2351 4 күн бұрын
Mdomo huo
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН