ALLY KAMWE AMTAMBULISHA MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA/TIJANI MOHAMED/ATACHEZA DHIDI YA MAZEMBE

  Рет қаралды 69,483

Scope Bongo

Scope Bongo

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@JonasAthanas-m5n
@JonasAthanas-m5n 2 күн бұрын
Watu wengine mnajifanya km malaika maana mnaona hamkosei baka kafanya Mambo mengi mazuri kuliko mabaya ndani ya yanga kukosea ni jambo la kawaida kwa binadam mbona mema yake hamyasemi?
@yohanahuku3082
@yohanahuku3082 Күн бұрын
Yaani sijakuelewa kabisaaaa! Hakuna aliyemtukana bali watu wameimba awe makini kwani makosa yake yaliigharimu timu mechi zilizopita. Kosa liko wapi na unataka watu wasemeje. Kwa mfano tulivyokuwa tukiharibu tulipaswa kukaa kimya kwani walishafanya makubwa huko nyuma???? Wakifanya vzr wasifiwe na kupongezwa na wakikosea washauriwe na kutiwa moyo. Sioni kosa kwani hakutukanwa ila ni maoni yanayotamni kuona akiendelea kufanya vzr.
@CharlesMwashiuya-o4k
@CharlesMwashiuya-o4k 2 күн бұрын
yanga yetu tamu sana
@jankensail675
@jankensail675 2 күн бұрын
Yanga Africans itashinda dhidi ya TP M. Worry not mashakiki na wapenzi wa YASC. Viva Yanga ❤❤🎉.
@Allyhadiya
@Allyhadiya Күн бұрын
Inshaallah jmosi Allah awatangulie Amiin
@jabirmfinanga8980
@jabirmfinanga8980 2 күн бұрын
Bacca anatakiwa ajitathimini anafanya makosa ya hatari anahitaji ushauri anatoka kwenye njia
@AgustinoJohn-qk3us
@AgustinoJohn-qk3us Күн бұрын
Yanga iko vizuri na itashinda
@Habibu-hy9sk
@Habibu-hy9sk 2 күн бұрын
We mtu wa media acha uongo, mchezaji mpya mbona hajatajwa. Tutakupotezea na ki tv chako uchwara.
@samsoniandrew3104
@samsoniandrew3104 3 күн бұрын
Scop umeanza ujinga huyo mchezaji mbn hayupo Hajatajwa
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 2 күн бұрын
Ndowashaanza kutupa vichwa vya habari vya kishamba unaingia ndani ukuti hiyo habari
@GodwinMtungi
@GodwinMtungi 16 сағат бұрын
Kesho awe kipa afe beki kushinda kwanza nje uwanja watatutwambia vurugu walizofanya kwanza wape sapot wachezaji aucho day au diara
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 2 күн бұрын
Inatakiwa kua makini sana na hasa Bacca kama beki,anapaswa kua makini kwan ndie alietugharrim mechi zote tatu.yeye ndiye wa mwisho akafanya makosa lazima atiakosti timu.
@amanmwalyambi1416
@amanmwalyambi1416 2 күн бұрын
Ni kweli bacca siku hizi anazingua
@Dulajuma
@Dulajuma 2 күн бұрын
Baca apunguze ujuaj mech inataka umakin
@elikanamagambo765
@elikanamagambo765 2 күн бұрын
Usajili mpya mbona haueleweki
@georgemkunghuni
@georgemkunghuni 2 күн бұрын
tupo pamoja mambo yatakwenda vizuri tu tutmaliza na point 10
@Muhidinimuhondobanzi
@Muhidinimuhondobanzi Күн бұрын
Yanga tuachane na mwandishi huyu asiejitambua anasema yake si msemaji tusiangalie tena
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 3 күн бұрын
Wataduwa kuona maajabu young Africa inachykuwa ubingwa wa Africa
@abedysteven4930
@abedysteven4930 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂 acha nicheke
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 3 күн бұрын
@abedysteven4930 inawezekana kabisa
@VictorMapotijr
@VictorMapotijr 2 күн бұрын
Inshallah tuiombee timu yetu dar young Africans
@EmmanuelLucas-b4f
@EmmanuelLucas-b4f Күн бұрын
Kwa nn tuchanel twa hiv 2nahabar za ungo uongo tu
@SudyIrungu
@SudyIrungu 2 күн бұрын
Unaongea vizuli kamwe Nena babaa
@EvanAlpha
@EvanAlpha 2 күн бұрын
Kamwe unaupiga mwingi sana
@raphaelnkulamasala108
@raphaelnkulamasala108 Күн бұрын
Projo ni nyingi sana lipeni mazuwio ya usajili ili tuwaheshimu na kwanini hatukamilishi kila tunapo athanasius na Wachezaji? Tunaomba tupunguze porojo ndo tutafanikiwa Yanga
@PeterAfrica-e5x
@PeterAfrica-e5x Күн бұрын
wewe chiz et tuwaheshim nyau wewe
@stevensosipita
@stevensosipita Күн бұрын
WAANDISHI WA HABARI MJITAHIDI KUANDIKA KITU KILICHOZUNGUMZWA VINGINEVYO TUTAWAKACHA
@fredyguninita685
@fredyguninita685 3 күн бұрын
Vp kuhusu baleke
@azirajiabdallah7177
@azirajiabdallah7177 2 күн бұрын
yang wachezaji ambao twawasajil wap wap
@AgustinoJohn-qk3us
@AgustinoJohn-qk3us Күн бұрын
Tunaitakia heri timu yetu ishinde
@NassoroKhamisi-k5k
@NassoroKhamisi-k5k 2 күн бұрын
Acha papala utajulishwa muda ukifika sssio kama makolo
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 күн бұрын
mi nashauri Bacca awe sub aanze beki mwingine boRa hata Mkude
@Khajiadamseif
@Khajiadamseif 2 күн бұрын
Uwo usajili mpya kwan den lishalipwa.
@djgasthechallengermrko7274
@djgasthechallengermrko7274 2 күн бұрын
Baca Yuko vizuri tu tena sana ni kawaida binadamu yoyote kukusea na mtu hujifunza kutokana na makosa,
@SudyIrungu
@SudyIrungu 2 күн бұрын
Baleke kasha achwa
@EliaZaburoni-o7w
@EliaZaburoni-o7w Күн бұрын
😂 😅😢😢🎉❤
@aliysuleiman80
@aliysuleiman80 2 күн бұрын
Mnatafuta follos wajinga nyinyi kwa kutudanganya mchezaj yupi katajwa na badala yake tunawablock kbsa mafala nyinyi msiojielewa
@RichardMgasa
@RichardMgasa 2 күн бұрын
🇹🇿👀
@emanueljoel913
@emanueljoel913 3 күн бұрын
Pumbavu ww
@TheNewgoat-v9z
@TheNewgoat-v9z 2 күн бұрын
Ujinga mstumie uongo tuta unsubscribe channel yenu
@HajjimaulidHajjimaulid
@HajjimaulidHajjimaulid Күн бұрын
W vp sio lazima ww unsubscribe sisi tupo upunguzi kitu w vp
@EvanAlpha
@EvanAlpha 2 күн бұрын
Kamwe unaupiga mwingi sana
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41