Hongera zake, anafaa kuwa msemaji. Amechangamsha mechi kwa kiasi kikubwa tu. Mungu akubariki
@angellomarcel56776 күн бұрын
Aende zake fyuuuu
@edwinechrizestom6 күн бұрын
Yeaah sure kaleta hamsha hamsha, kaleta tation kubwa, ndo maana watu wamejitokeza,
@kombojuma3126 күн бұрын
Hongera sana msemaji uko profinal wasemaji engine wanatakiwa wajifuze kitu kwa huyu msemaji wa tabora
@MATEOJOSEPH-nc8gf6 күн бұрын
Washabiki wa Ubaya Ubwela❤tujuane kwenye like wameshenyetwa Tabora lkn wamenuna Mwakakundi fc
@EliasMolell-xx5nz6 күн бұрын
Ety ilikua iwageukie Simba huyu mshangazi anumwa na mavi mwakani xo mbaki
@SalumMbongo6 күн бұрын
Unajitahidi sana mama kutetea kazi yako, Hongera kwa kuwa msemaji wa Tabora.
@Jumamaduka2406 күн бұрын
Christina Mwagala nampongeza sana. Huyu ndiyo chanzo cha kuujaza uwanja na kwa sasa Ukimtoa Ahamed Ally katika usemaji wa timu. Basi Christina Mwagala. 🎉🎉🎉🎉 yake. This is Simba Mama
@angellomarcel56776 күн бұрын
Hata asingeongea uwanja ungejaa Simba wana Mashabiki kila sehemu
@FahadAbubakari-y3f6 күн бұрын
Sahihi
@bahatimshali27316 күн бұрын
😂😂😂😂
@badendavid84566 күн бұрын
Vizuri kaipongeza Simba
@Jumamaduka2406 күн бұрын
@@angellomarcel5677 Amini nakwambia kujaa kwa uwanja kumechagizwa sana na huyo Dada. Maana kaifanya mechi izumgumuzwe sana
@PaulElias-w3w6 күн бұрын
Unajitahidi sana semaji uko vizuri sana mama🏅
@Ibrahim-ne3in6 күн бұрын
Kubishana na mwanamke n dhambi ndio maana tulikua tunakuangalia tu mamaaa...pole tunawapenda mama zetu
@CikeTanzania6 күн бұрын
Uko vizuri dada hongera sana.😂😂😂 umechangamsha mechi
@neemamwijage6 күн бұрын
Mnajiliwaza tu
@CikeTanzania6 күн бұрын
@@neemamwijage tunajiliwaza na nini
@sigfridchristian18906 күн бұрын
Hiyo kaz ya msemaj hakosi cha kuongea upo vzr😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@EdwardKatana-h7m6 күн бұрын
Hongera semaji wa Tabora
@RamadhanMwahingi6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂helaaa za watu ludisheni
@khanjosph72266 күн бұрын
Wewe mwenyewe umefurahi kufungwa na simba
@zuhuranasoro89235 күн бұрын
Umemuone ee😅
@khamismassoud85336 күн бұрын
Ety tabora tumefungwa lakini tumejaza uwanja😂😂😂😂😂
@NyasanaTv-ol4ix6 күн бұрын
ok uko sawa dada lakini juma mwiko wanakusubilia kulipa kisasi tena sio kisasi wanampango kukuzalilisha
@aminiunambwe77686 күн бұрын
Sema kanaongea kiprofessianal sanaaaa
@geoffreywilliam62256 күн бұрын
Hongera dada umeongea vizuri mno.
@habibuhabibu97286 күн бұрын
Hiv kaolewa huyo kama vip tuopoe maana alitujambisha dah😂😂
@CaptainFaudhiTz53836 күн бұрын
Msimbe tuuu
@DavidMbwilo-qk1bz6 күн бұрын
Huyu ukimchunguza vizuri ni shabiki WA Simba 😂😂😂😂
@elizeusrwilanga77866 күн бұрын
Hongera mama maana na wewe umefurahia kufungwa 😮
@peteromary87646 күн бұрын
Waoooooh hongera Christina sasa umeshakomaa kimpira
@HusnatShabani5 күн бұрын
Tumekufanyia ubaya ubwela 🦁 🦁❤❤❤
@benitx9946 күн бұрын
Christina Sasa unajua Mpira hongela Sana umekomaa
@hassanyassin-ny3qh6 күн бұрын
Ongera cristina. Kwanza kwa kukubali matokeo. Piya umefanikiwa kuujaza uwanja. Maana tunajuwa kererezote zile ilikuwa lengo uujaze uwanja. Nahilo umefanikiwaa. Hii ndio ubaya ubwela 😅😅😅😅
@OS-pf6op6 күн бұрын
Nyie mshukuruni Gamond!
@mayengochacha4836 күн бұрын
Hongera Nyiingi
@ziahdapox37296 күн бұрын
Shida ya kuwa na kizazi cha karibu!. Muda wote unawashwa
@saxannjo61735 күн бұрын
VIEWS Zaidi ya laki 1 kwa siku Moja. AISEE HUYU MWAGALA ANAWEZA KUWA MKUBWA KULIKO KAMWE NA AHMED,,, nimeamin kuwa wale wanabebwa na BRANDS.. Big Up sana TINA
@MacrinaKanyaruju6 күн бұрын
Dada msalimie afande wangu afande abwao mwambie nampenda sn ni kiongozi bora kwangu❤❤❤❤
@YonahLemaxhon6 күн бұрын
Hongera mama
@victuskimario55866 күн бұрын
Hongera sana umeikubali simba
@JoseHaule-tx7lu6 күн бұрын
Huna lolote rudisheni pesa za watu😂😂😂😂😂😂
@twahakachuru96486 күн бұрын
😂😂
@elizabethlukoo46626 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Joshuajohn-se1jb6 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@NICASMBORE6 күн бұрын
Hongera,wewe si kama ,,,unafaa kuwa msemaj
@IdrisamoAllyNado_246 күн бұрын
Dada upo good mi bianafsi yangu nime kuelewa👏👏👏
@edwinechrizestom6 күн бұрын
Yeaah kijitahida sana game imekuwa na amasa kubwa sana
@AllyMohamed-w5x6 күн бұрын
Hongeraaa saaaana mama unakomaaa
@Mumlion26246 күн бұрын
Hongera uwanja umejaa mama
@WilbrodClaud6 күн бұрын
Hongera mshangazi😢😂
@chedielimrutu69556 күн бұрын
Safi sana kweli unajua kusema na kutishia tuliogopa kweli. Wewe unastahili
@shangwefisima546 күн бұрын
😂😂😂😂
@edwinechrizestom6 күн бұрын
😂😂😂
@PulvatgidionlamekPulvatglamek6 күн бұрын
Simba laha jaman jaman❤❤
@DaudMakoyejr6 күн бұрын
Daaah haya bhana
@nasseralhatmi17626 күн бұрын
Pumbavuu huyo Sorokoto Utafungwa na Simba Ukitaka usitake Nyauuuuu Wewe
@antonyndinga88906 күн бұрын
Dada upo vzr
@eliasmsitapher4496 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 mwanamke unapambna
@SittajrAndrea6 күн бұрын
Yaan ww ndo ukamfunge simba kweli Simba yenye Camara golini kweli Hii simba ni nyingine sana
@jameskilasi51316 күн бұрын
Safi sana unafaa kuwa msemaji upo vzr
@ImmanuelMwakibinga6 күн бұрын
Alafu Leo umependeza sana 😊😊😊😊
@mayengochacha4836 күн бұрын
Safii saana Madame
@gibsonjosephat63526 күн бұрын
Mimi nawakubali sana Tabora United wanacheza kimbinu, kasi Kila timu ikipita kwake wanawatwanga😂😂😂😂
@KhusseinahmadKhamis6 күн бұрын
🎉 hongera dada
@AllenOsitin-i5w6 күн бұрын
Kamdomo wew
@RasMsimbazi6 күн бұрын
Ukifungwa una sauti nzuriii
@ManaseJubilate-kk2gz5 күн бұрын
Tunahifadhi maneno yako🙌
@AdamNdaki-n6q6 күн бұрын
Tabora mmejaza uwanja au mechi imejaza uwanja??? Dah kweli mwanamke mdomo unao
@peterkaombwe62516 күн бұрын
Umeanza kuongeza vizuri ila katikati umehalibu Simba nikubwa sio 🐸🐸🐸 Christina hii ndio simba usijifaliji
@gidionjohn30656 күн бұрын
Nbc standing
@ramadhanmahongole92936 күн бұрын
HUYU DADA ANAJUA KUCHANGAMSHA MECHI LEO UWANJA UMEJAA KWASABABU YAKE HONGERA MSEMAJI UNAJUA SANA KUHAMASISHA
@bahatimshali27316 күн бұрын
Mashabiki wa Simba ndio wamejazwa na huyu?
@ramadhanmahongole92936 күн бұрын
@bahatimshali2731 ndiyo ana akili sana huyu dada
@sethjohnson72666 күн бұрын
Mashabiki waliojaza uwanja siyonwa Tabora utd bali Simba sc
@furahachuma90396 күн бұрын
Ni wa yanga, waliamini Ubwela watapoteza dhidi ya Tabora.
@ImaniMogha6 күн бұрын
Pole sana sisi nyuki tunakumbati na tunawapiga busu
@JustinMwanawima6 күн бұрын
Nimecheka sana Kwa sauti
@rajabuhassan19326 күн бұрын
Kweliii unasitahiri kuwa maemaji umeongea vitu vya maana sana