SEMAJI AHMED ALLY BAADA YA MCHEZO DHIDI YA FOUNTAIN GATE/"TUSIMCHUKIE CHASAMBI/TUNAJIPANGA UPYA"

  Рет қаралды 185,088

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC KZbin Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

Пікірлер: 874
@BlunoElias
@BlunoElias 5 күн бұрын
Daaah wanasimba tumsamehe kijana wetu na tumuombee aweze kulejea kwenye ubora wake kila mtu anakosea hakuna anae penda kukosea naipenda simba yangu chasambi usikate tamaa amini kwamba unapo kosea ndipo unapo jifunza zaidi pole sana kwa sisi wote wanasimba❤❤❤❤❤❤
@OmyCrez
@OmyCrez 5 күн бұрын
Unamuombea msamaha kama nan mbona yeye haombi msamaha
@paulzacharia5897
@paulzacharia5897 5 күн бұрын
🤳​@@OmyCrez
@JuliusKauki
@JuliusKauki 5 күн бұрын
kwa nini wachezaji wa simba awajifunz kulingana na makosa?...wanaongoza kurudisha mpira nyuma..kwa nn?...afai afai...kwanza asicheze yan uyo ni mchezaji kweli?..uipo mbali pekr yake anageika anapiga mpira golini..kweli..atoa pasi bali kashuti afai afai kabisaaaa...siyo mchezaji..uyoooo..kapiga makusud..
@IsaackKileo
@IsaackKileo 4 күн бұрын
Mmezoea kidhulu sana magoli na mmeonea sana wenzenu Sasa mungu kawaumbuaa, wasenge nyieee
@africanvoicetv9617
@africanvoicetv9617 4 күн бұрын
​@@IsaackKileomsengee mwenyewe
@DaniusDauson
@DaniusDauson 5 күн бұрын
Yote kwa yote Tunashukuru Mungu kwa Kila jambo ❤I love Simba God helps we trust you 🎉this is our year 💗
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 4 күн бұрын
Shida ni kamdomo
@moodymaker2127
@moodymaker2127 3 күн бұрын
Chasambi kumm
@Choro_Brand
@Choro_Brand 5 күн бұрын
Kusema ukwer Nimemtukana sana Ila mwenyezi mungu anisamee na mimi chasambi nimemsamee bule... Ila Daaah inaumiza
@cypriankikwembe1009
@cypriankikwembe1009 4 күн бұрын
Safiii hii
@MashakaRamso
@MashakaRamso 5 күн бұрын
Sijawahi kumchukia mchezaji wa simba, chasambi mdogoangu pambana, pambana usikate tamaa bado tunakuhitaji, wanasimba wenzangu pls pls pls umoja wetu ni ushindi wetu, simba nguvu moja
@MasaweMbisse
@MasaweMbisse 3 күн бұрын
chasambi Hana kosa ndo mpira ndo unafanikiwa
@JemssWcb-r8g
@JemssWcb-r8g 5 күн бұрын
Simba 🦁 nguv Moja 🦁🦁🦁🦁🦁
@JosephAdam-t1h
@JosephAdam-t1h 4 күн бұрын
Pole sana wanasimba wenzangu tusiyumbishwe na hili tugange yajayo , mazuri yanakuja
@innocenteliyaofficial7645
@innocenteliyaofficial7645 4 күн бұрын
Kama unamkubali CHASAMBI hebu nipe 😂😂 like nione maana CHASAMBI hajakosea anajifunza kufunga makipa wagumu kama CAMARA na amefanikiwa CHASAMBI OYEEE eeeee😢😢😢❤❤❤
@RashidMohammed-s1u
@RashidMohammed-s1u 4 күн бұрын
😂😂😂😂
@RamaAbdl
@RamaAbdl 4 күн бұрын
Nikweli nimfungaji mzuri tul
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 4 күн бұрын
Sagi sana chasambi
@dybreezy1696
@dybreezy1696 4 күн бұрын
Wewe ni Kuma tu
@PapyNgosha-t2u
@PapyNgosha-t2u 4 күн бұрын
Timu yetu inapenda sana kurudisha mipira nyuma sio maramoja na uwa tunafungwa kwa style iyo yakurudisha mipira nyuma athari yake ndio hii
@musampanda3643
@musampanda3643 4 күн бұрын
Kuna muda kocha fadru alishawaambia waache kucheza nyuma ila awakumckiza
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 4 күн бұрын
Kocha hajasema waache kucheza nyuma bana kocha mwenyewe ndio anaewaambia vile ungeona anabweka kama hataki
@AbdusidMohammed-hi5ib
@AbdusidMohammed-hi5ib 4 күн бұрын
Tuko pamoja
@Allenmlelwa
@Allenmlelwa 5 күн бұрын
Chasambi ni man of the match🎉🎉🎉🎉
@johnvedastus3079
@johnvedastus3079 4 күн бұрын
😂
@SophiaWanene
@SophiaWanene 5 күн бұрын
Tutapambana hadi mwisho kama kawaida ya simba mungu yupo pamoja na simba
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 4 күн бұрын
Yaani mungu aliyeumba mbingu na nchi aitambue simba au yupo mwingine😂😂😂😂😂
@SUNDAYKANIRE
@SUNDAYKANIRE 4 күн бұрын
Chasambi msenge tu
@michaelmisana650
@michaelmisana650 4 күн бұрын
Leo mmekua paka
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 4 күн бұрын
Acha matusi kaka
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 5 күн бұрын
Tunamshukur mungu kwa kilaa jambo tuliache lipite tusonge mbelee simba nguvu moja 🦁🦁🦁💪🏽💪🏽💪🏽♥️♥️♥️♥️
@MalakiJoseph
@MalakiJoseph 4 күн бұрын
Wachezaji waambiwe kazi ya kipa ni kudaka mipira ya mpinzani
@MalakiJoseph
@MalakiJoseph 4 күн бұрын
Wamezidi kucheza sana na kipa uo ni ujinga, wapeane pasi wao hiyo imezidi
@MalakiJoseph
@MalakiJoseph 4 күн бұрын
Kama kipa anafaidi, wachezaji waende kudaka
@MalakiJoseph
@MalakiJoseph 4 күн бұрын
Kosa sio chasambi timu nzima, inapenda kumpigia pasi kipa
@MalakiJoseph
@MalakiJoseph 4 күн бұрын
Amedial waambie hata kea sili wachezaji ,wasitoe pasi kwa kipa.
@Habaujr
@Habaujr 4 күн бұрын
Semaji kaongea we Nani, huelewi maana ya Familia moja, lazima kuungana.. Sawa Semaji 🙏
@AzizaMayemba-td8po
@AzizaMayemba-td8po 5 күн бұрын
Wanasimba tusidanganyike na maneno ya uchochezi ya wanaochochea kuhusu chasambi yatupasa tutambue simba inamaadui wengi sana tumuombee chasambi mungu amsimamie amtie nguvu
@BakaryOmally
@BakaryOmally 4 күн бұрын
Azizi kama sisi yanga tulivyo na maadui maana Simba hubebwa sana karibu mechi zao nyingi wanabebwa
@sospeterlaurent4428
@sospeterlaurent4428 4 күн бұрын
Yeee goli lenyewe la offside
@RamadhanMapunda-j8i
@RamadhanMapunda-j8i 4 күн бұрын
Aliekwambia Yanga Hawana Maadui wakubwa Nani? Kauli mbiu yenu Mliotengeneza Ni Ubaya Ubwela No way out. 😂
@FrankKwanama-lo6fj
@FrankKwanama-lo6fj 4 күн бұрын
Adui wetu wa kwanza ni kauli yetu ya ubaya ubwela ambayo inaonyesha tunashinda kwa dhuluma ndio maana tunapata majibu haya!
@michaelmisana650
@michaelmisana650 4 күн бұрын
Haooooo
@hassanmpande8215
@hassanmpande8215 5 күн бұрын
Ni bahati mbaya tu imetokea leo lakini wachezaji wetu wanatakiwa wasizarau mechi yoyote ile kwao waone ni fainal sisi mashabiki tunaumia sana mitaani tunapoishi makazini tunaenda kwa sababu tu hakuna jinsi lakini tungekuwa tumejiali tungejificha tu majumbani mwetu ila tunaumia sana 😭😭😭
@rahmakassanga9013
@rahmakassanga9013 5 күн бұрын
Tupo pamoja , hili limepita tugange yajayo💪💪
@AishaMohammedi-o4p
@AishaMohammedi-o4p 4 күн бұрын
Kweli tusiipende2 kwenye rahakwenye shidapia tuipende ubaya ubwela
@Dr.msigwa1
@Dr.msigwa1 4 күн бұрын
Ahmedyally umeongea vzr sana, Hakuna sababu ya Kuwa wanyonge nafasi bado tunayo... Hamna haja ya kumshutumu chasambi, Hakuna mtu anaefanya makosa kwa makusudi akiwa kwenye kazi yake inayomuingizia kipago... Simba Nguvu Moja❤
@MfaumeAbdallah-yz5ei
@MfaumeAbdallah-yz5ei 4 күн бұрын
2po pa1 (asiye na kosa aokote jiwe ampige Chasambi) Jua kosa kurudia kosa
@petermchome8469
@petermchome8469 4 күн бұрын
Mungu ni mwema kila wakati na tushukuru kwa kila jambo tutarudi tukiwa imara#simba Nguvu moja#ubaya ubwela#
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 4 күн бұрын
Chasambi kaubonda mwingi sanaaa na mabao yote chanzo yeye gori la kuongoza alitoa assist msisahau hilo na goli la kusawazisha kafunga yeye, Ni sehemu ya matokeo ya Mchezo simama kuwa Imara tena Chasambi.❤❤❤
@davidwatson6821
@davidwatson6821 4 күн бұрын
Ni kweli kabisa semaji, hayo makosa anaweza kufanywa na mchezaji yeyote yule duniani
@ManenoPeter-np4rl
@ManenoPeter-np4rl 5 күн бұрын
Yanga bingwaaa 😂😂😂😂
@Rahma-h3x6w
@Rahma-h3x6w 8 сағат бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@AliceKyenkungu
@AliceKyenkungu 4 күн бұрын
Naipenda simbaaaaaa 💓 ilo halinitoi kwenye Raman yangu kaka angu chasambi kumbuka sisi ni ubaya ubwera tuko pamoja ✍️ Simba nguvu moja 💪🙉🙉mungu atupe nguvu
@VedastusLumumba
@VedastusLumumba 4 күн бұрын
❤ Simba tumusamehe kijana wetu ikibidi mchango upite tumupatie ajiskie tupo pamojanae tambueni yeye anaumia sana kuzid ss❤chaasambi
@hamzaamry6251
@hamzaamry6251 4 күн бұрын
Nilikuwa mtu wa mwisho kutoka ukumbini nimefika ndani nimewasha tv kucheki move ila kila nikikumbuka goli la chasambi maumivu makali yanakuja nikazima tv nikaingia mtandaoni kufatilia vichekesho ila goli la chasambi linakuja nabaki na maumivu naamua kutoka online naenda bafuni kuoga nafungulia maji ila kila nikikumbuka najiuliza alifikilia nini kurejesha mpira nyuma nabaki kusonya😢😢
@AdamKamposo-x9g
@AdamKamposo-x9g 5 күн бұрын
Ila mungu atatusimamia ukwl tunamaadui wengi ila no way out tutapaambana n tutafika kileleni inshaallah🙏
@MassaiIsaacs
@MassaiIsaacs 5 күн бұрын
Kwa jina la yesu
@melissa_garden
@melissa_garden 5 күн бұрын
Amina
@phanymusic9900
@phanymusic9900 5 күн бұрын
Kilele gani mjomba 😂
@AdamKamposo-x9g
@AdamKamposo-x9g 5 күн бұрын
@@MassaiIsaacs milele amina
@abrahamsalim5167
@abrahamsalim5167 4 күн бұрын
Mna maadui wengi wapi wakati mechi zenu ushindi wa kubebwa mechi imechezwa kwa dakika 104 kuwapa favour
@Nshimiriman
@Nshimiriman 5 күн бұрын
Mwenyez mungu amujariy atajifunza tuuu
@SuleimanimohamadiSuleimanimoha
@SuleimanimohamadiSuleimanimoha 5 күн бұрын
Tumtie moyo chasambi makosa walisha fanya wengi sana najua amesha jifunza pamoja nawenzake Simba nguvu moja
@AlcherausMalinzi
@AlcherausMalinzi 5 күн бұрын
Kwa lipi?Mpumbavu yule
@Mariah-r1o
@Mariah-r1o 5 күн бұрын
@@AlcherausMalinzi CHASAMBI ana dharau Sana
@EmaleftDejong
@EmaleftDejong 5 күн бұрын
✊✊✊ nguvu moja
@EmanuelBahati-vv8gx
@EmanuelBahati-vv8gx 5 күн бұрын
Simba nguvu moja
@jabirkibwana1568
@jabirkibwana1568 4 күн бұрын
Jamani tumsamehe chasambi nibinadam hatakwenye familia makosayapot naipenda simba kindakindaki nawapenda wachezaji wote kwaumoja tumsamehe kipenzichetu niwakwet ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤simba nguvumoja 9:57
@dinyaboy_tz8628
@dinyaboy_tz8628 5 күн бұрын
Tumemsamehe chasambii 😢 ila inauma sana lakini hatuna budi
@kimkell6922
@kimkell6922 4 күн бұрын
I doubted hii logistic ya kutoka Tabora then kupumzika Dodoma na kwenda Bungeni .... I guess tungeenda bungeni baada ya kupata ubingwa Kupumzika Dodoma na kwenda bungeni nahisi inapunguza concentration towards main target (ubingwa). Na hii pia inawachanganya wachezaji wa kigeni hasa wapya na kuwafanya wabonyeze button ya "kuridhika". Na pia nahisi ingekuwa vyema tungefika Babati na tukawa na siku nzima au mbili za kuwepo Babati Safari ya Dodoma kwenda Babati ni ndefu kwani ni saa kama nne hivi ... hii si kwamba inaleta uchovu wa mwili pia inaleta uchovu wa kifikra. Hivi baada ya kutoka Dodoma wachezaji wangefika Babati siku moja na siku inayofuata wangetakiwa kuwa na siku nzima ya maandalizi tu na kupumzika. Kwangu mimi kushinda mechi kunahusisha pia kuwa na mwili na fikra zilizo na furaha na pia kuwa na furaha ya mazingira.
@ZawadiStivin
@ZawadiStivin 5 күн бұрын
kwangu mm ntakuwa tofauti na anaye mlaum chasambi kwamba kauza siokweli kafanya makosa ya kawaida sana gem haikuwa yakwetu maana nafac tumepoteza nyingi tu kwanza fooball haina furaha yamilele ndio maana kuna kushinda kudroo nakufungwa haikuwa bahati ye2 tujipange kwa mechi nyingine kwanza ladack kacheza vizuri sana gem ya leo hakuna sababu ya kumlaum sana acjekupotea anakuja vizuri sana tunashinda pa1tunapoteza pa1 simba nguvu moja football ikohivyo ckuzote
@paulzacharia5897
@paulzacharia5897 5 күн бұрын
ila dogo kazingua lakin sema nn dogo anajua nimoja ya mchezo ajifunze ❤
@HASSANJUMAKIMARO
@HASSANJUMAKIMARO 4 күн бұрын
MUNGU IBARIKI TIMU YETU YA SIMBA....AMINA
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 4 күн бұрын
Asante sana semaji wetu
@IssaRamadhan-j3b
@IssaRamadhan-j3b 5 күн бұрын
Long live simba sc
@SamsonHezron-cx8nt
@SamsonHezron-cx8nt 5 күн бұрын
Huyu dogo napaswa kupigwa benchi kama manura haiwezekani arudishe shuti kama lile kwa kipa yule ni wa kupiga tuu benchi asote inaonekana Hana mapenz na simba
@YayayaJimmy-x8j
@YayayaJimmy-x8j 5 күн бұрын
Hivi ww kwenye kazi zako au biashara zako ujawai kufanya makosa?acha ushabiki maandazi
@Mariah-r1o
@Mariah-r1o 5 күн бұрын
Kweli kabisa 😂
@Dully_star
@Dully_star 4 күн бұрын
​@@YayayaJimmy-x8jhuna akili ww huo mfano wakisenge Yule dogo anadharau senge lile
@tumaini37
@tumaini37 4 күн бұрын
Akiendelea huyu Chasambi basi na kiijili wamrudishe
@halimamasai2234
@halimamasai2234 5 күн бұрын
Simba bado imara na tutasonga mbele hatujapoteza jamani ❤❤❤❤
@ayoubsanga315
@ayoubsanga315 4 күн бұрын
Kumsahau ni kitu cha kwanza, Sasa Mikeka ya watu Aliyochana ndo inawakeleketa . Watu wengi amewachania hela za kubet na ubora wa Simba walimpa ushindi. Ni maelfu ya vijana wanaobashiri mpira kwa kubet aliowaumiza kwa kupoteza Mikeka yao. Hawa hawawezi kumsamehe kamwe sio kitu rahisi kuwapotezea Bashir wakakosa na kupoteza walichoweka
@EdgaFurete-o7l
@EdgaFurete-o7l 4 күн бұрын
Huu ni wakati wa wana Simba kuungana tusiaze kulaumiana najua tumeunia sana Ila Bado mda upo mashabiki na wanachama wenzangu wa Simba huu ndo wakati sasa wawana Simba kuliishi neno letu linaro tufanya tuwe kitu kimoja Simba nguvu moja tukiwa kitu kimoja tutamushinda adui yetu Ila tukianza kulaumiana adui yetu hatutamushinda chasambi kweli amekosea Ila isitufanye tumlaumu tusimunyoshee vidole yeye mwenyewe alivo piga ule mpira hakutalajia ingekuwa vile sisi Simba ni nguvu moja mechi Bado zipo tumemaliza muzunguko wa 17 imebakia 13 mashabiki na wapenzi wote wa Simba popote ulipo ujipige pige kifuan afu useme Simba nguvu moja utengano ni uzaifu yaliyo pita yamepita tugange ya jayo Simba ubaya ubwera
@MuntariJr
@MuntariJr 5 күн бұрын
Nitaipenda simba hata mniuwee mimi simba na kizazi changu kitakua simba ishallah
@HusseinkwasaKwassa
@HusseinkwasaKwassa 4 күн бұрын
Bdo hujathema na utathema yani mpaka uthemeee yanga bingwa
@malietamaliet
@malietamaliet 4 күн бұрын
​@@HusseinkwasaKwassa😂😂😂kumbe ushaamka na wew na mm nipo hapa nawacheka kwa sauti makolo😂😂😂😊
@jumongjr5837
@jumongjr5837 4 күн бұрын
Umelogwa c bule😂😂😂
@kipupweFedede
@kipupweFedede 4 күн бұрын
​@@malietamalietMimi mwenyew nishaamka kuwa angalia UBAYA UBWELA 😂😂😂😂😂 ubaya umeanza kuwarudia Bado ubwela
@malietamaliet
@malietamaliet 4 күн бұрын
@kipupweFedede 🤣🤣🤣🤣🤣acha kwanza tuwacheke nao walitucheka wakaita na press Leo waite sasa walivyooota baada ya mechi ya tabora
@DanielKasiano
@DanielKasiano 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤Simba 💪💪💪💪
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 күн бұрын
Dah hii mechi imeniuma sana ila chasambi kama umeuza mechi mungu anakuona😢
@JAMESONMBIRO-mz7eb
@JAMESONMBIRO-mz7eb 5 күн бұрын
Kazingua sana chasambi imeniuma Sana mbwaaaa
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 5 күн бұрын
Mimi mpaka sasahivi saa saba kasoro usiku bado sijapata usingizi nimeumia sana
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 5 күн бұрын
sio chasambi tu.. bali imekuwa kama ni tabia sugu sana kwa beki Malone na hamza kurudisha rudisha sana pasi za nyuma Kwa kipa.. Sasa huyo dogo chasambi na kaingia kwenye nfumo wa tabia za mabeki..
@OmanAlkamil-nl2zw
@OmanAlkamil-nl2zw 5 күн бұрын
Jamani msiseme kauza ni bahati mbaya jamani 😢😢 tusimvunje moyo mchezaji wetu hata hivyo nafasi zilikuw nyingi lakini haikuwa upande wetu
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 5 күн бұрын
@@aginsagins-jf4vz ila na wewe hiyo saa yako sijui ni mbovu au? Maana Kwa Sasa ndio saa sita na robo.. wewe unadai eti saa Saba kasoro.. duhhhh au hujui kusoma saa ..
@peteromary8764
@peteromary8764 4 күн бұрын
Kweli haikuwa riziki yetu lkn mie naomba benchi la ufundi hasa kocha timu ipunguze back pasi yaaani zinaumiza timu sana.. angalia makosa ya chemaloni niwakati anapotaka rudsha nyuma pasi inanaswa then tunafungwa au tunajifunga...
@godfreymanento2810
@godfreymanento2810 4 күн бұрын
Kwa wanamichezo wa kweli hatujaona baya..ni hali ya kawaida kabisa kufanya makosa.. ❤❤Mnyamaaaa
@JumanneZengo
@JumanneZengo 4 күн бұрын
Oya wana Yanga njooni huku muone madunduka yanajifariji huku kiufupi hapa hakuna Tim bari ni chupi ya Simba ni mkia wake.mwacheni chasambi wetu bwana😂😂😂🔰🔰🔰
@NeemaManeno-w7c
@NeemaManeno-w7c 4 күн бұрын
Wanaomsema chasambi hawajui mpira tatizo la wabongo wanajua mpira wa Simba na yanga tu ebu watizame game za nje wajifunze wamuache mchezaji wetu hakuna mtu ambaye hakoseagi SIMBA NGUVU MOJA❤❤❤
@abdulatifunatto8976
@abdulatifunatto8976 4 күн бұрын
Wajinga , wameanza kushabikia mpira baada ya kufundishwa kubet
@AlcherausMalinzi
@AlcherausMalinzi 5 күн бұрын
Basi kama ujinga wa hivi unasimama kuutetea,naomba timu ifungwe na Tanzania prisons mtoke kwenye ramani kabisa.Alisema haoni mchezaji yeyote wa maana Simba.
@Gisakijamaduda
@Gisakijamaduda 5 күн бұрын
Ngogwe huna akili kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc 😅😅
@emmakabya263
@emmakabya263 4 күн бұрын
Mchezaji wangu bora wa muda wote chasambi namkubali sana maana ni mchezaji anajiamini saaaana 🫶🏼🫶🏼🫶🏼full confidence chasambi
@JuliusPuka
@JuliusPuka 4 күн бұрын
Mungu anisamehee sababu nimetukana matusi mengi sana kwa chasambi but yamepita tugange ya jajo SIMBA NGUVU 1
@LeoniaLyimo
@LeoniaLyimo 3 күн бұрын
Mi Bado inaniuma nikirudia mahojiano yake aliyofanya nahisi Kama hapendi kucheza na wachezaji wenzake anatamani kucheza na Max ndio furaha yake. Hiii mayo ni shida.
@abdallahshaibu6106
@abdallahshaibu6106 4 күн бұрын
Ni kweli Simba NI timu Bora Sana ikibanwa kisawasawa inaona ni Bora kujifunga ili kuepuka lawama. Safi Sana semaji
@navigatorchinduli2699
@navigatorchinduli2699 4 күн бұрын
Daah enewei nguvu moja❤❤❤❤
@PASCHALEDWARD-f6q
@PASCHALEDWARD-f6q 4 күн бұрын
Hapo semaji langu nimekuelewa japo tumepoteza lakini bado tunaimani na simba yetu
@idrismacheremo-qf8vp
@idrismacheremo-qf8vp 5 күн бұрын
Nguvu Moja tutarudi tukiwa imara zaidi inshaallah
@nasimomary7856
@nasimomary7856 4 күн бұрын
Tumshukur mungu yeye ndio mpangaj...ila tusimlau n kumpe moyo kutelez sio kuanguk ila tudhikamane n tutafik....simba nguv moja..🎉...
@godfreywilliam4470
@godfreywilliam4470 4 күн бұрын
Yes, Mwenyezi MUNGU anisamehe, nilikwazika nikamtusi mnoo chasambi,,, amen
@KikumbaPaul
@KikumbaPaul 5 күн бұрын
Vp semaji 🎉🎉🎉🎉 semba mkome
@Officialwizzosun
@Officialwizzosun 3 күн бұрын
Chasambi wewe ni Ronaldo ajae tuliza hofu wana Simba tupo nyuma yako kijana wetu wewe ni mkono wetu hatuwezi kuukata, ❤
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 күн бұрын
Makosa yanatokea nobody is perfect Simba imefanya vizuri for so many games draw moja isitutoe mchezoni. Ubaya Ubwela utaendelea kutawala. Na msiwashtue wale waliotushia namba moja maana kupoteza Simba alama mbili wanajiona wamejipata. 😂😂😂
@joelaly6244
@joelaly6244 4 күн бұрын
Chasambi tunakushukuru mnooooooooo😂🙏
@ChokyInternational
@ChokyInternational 3 күн бұрын
Hiyo imeisha tujipange na mechi inayofuata 🦁💪
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m 4 күн бұрын
Tukifungwa tunafungwa wote na tukisuluhu tumesuluh wote natukishinda tumushinda wote kwaio ALHMDHULILLAH
@wordoffaithministry
@wordoffaithministry 5 күн бұрын
Wew ndoo uriponza timu urisema munaenda kucheza na watoto wa shule ❤😂
@ashasimonkunga711
@ashasimonkunga711 4 күн бұрын
Tatizo kamdomoooo huyo anaebana pua😅😅😅😅
@EmmanuelDastani
@EmmanuelDastani 4 күн бұрын
Saivi wanapenda sana kirudisha mipila nyuma hii ni mbaya sana kipa wetu ni mzuri sana kucheza mipila ya mguun ila kwel hata kama unampa kipa ndio upige lile shuti binafsi siwezi kumsamehe akae bench mech4 ajutie kola lake la kipuuzi
@SuleimanNgware
@SuleimanNgware 4 күн бұрын
Ndio kweli kabisa sambusa nivteam bora sana duniani ndo maana wakafundishwa boli Bbt.. na badoooo..hongereni sanaaaaa@
@ChristopherMateru
@ChristopherMateru 5 күн бұрын
Inauma sana ila tugange yajayo,kukosea njia ndio kuijua njia,kijana wetu tunampenda tumsamehe maisha yasonge.
@peteromary8764
@peteromary8764 4 күн бұрын
Kocha abadilike back pasi zinagharimu timu sanaaaaa.. angalia kwenye dabi ni makosa yetu wenyewe ,tukajifunga baada ya kocha kuweka mabeki 5 kimataifa napo hvo hvo back pasi za chemalon kurudisha rudisha mpira nyuma mpira .unanaswa tunafungwa au tunajifunga...siliazi kocha awaambie wachezaji waachane na back pasi kabsa
@zuberimusamazari7003
@zuberimusamazari7003 4 күн бұрын
Shida ya mashabiki wa simba akijifunga chasambi wanaongea sana lakini akijifunga chemalon fondo kimya kwa sababu chasambi ni mzawa na fondo ni star 😊
@agnesswai7174
@agnesswai7174 4 күн бұрын
Ubaya Ubwela,,I love my team🦁
@janethelly4986
@janethelly4986 5 күн бұрын
Semaji sio pass ni li shutiiii 😢
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 4 күн бұрын
wanasimba tusikumbatie ujinga mwaka jana tumekosa ubingwa kwa ujinga huu tumemsamehee sawa akae bench aachie wengine wapambanie nafasi sio mchezaji peke yake simba matatizo yakujifuga yatakoma lini na haya ndo yatatukosesha ubingwa nawambia razima mchezaji apambanie timu hawezi atupishe kwani anacheza bure si analipwa kwanini afanye utoto mara asifie wachezaji watimu pinzani huyo bench inamhusu kijili alijifunga bench mpaka sasa nahuyu hivyo kazingua sana simba tungekua na wachezaji wa 3 kama mpanzu timu ingekua bora sana jama anajituma sana
@elisharaphael8680
@elisharaphael8680 4 күн бұрын
Yote kwa yote ni kweli hakuna mtu asiyekosea, lakini hiki kitu kocha anatakiwa akifanyie kazi ukiangalia kwenye michuano ya shirikisho na ligi kuu wachezaji wamekuwa wakifanya makosa yanayojirudia rudia sana Simba inaongoza kwa magoli ya kujifunga, lakini pia inatengeneza nafasi nyingi ambazo hazizalishi magoli
@RabsonOscar
@RabsonOscar 4 күн бұрын
Hivi viongozi hammuone mchome mka mkanya kuizihaki timmu yetuu?
@JosephAdam-t1h
@JosephAdam-t1h 4 күн бұрын
Asante Mungu kwakila jambo
@Breezynolly
@Breezynolly 5 күн бұрын
NGUVU MOJA ✊
@RevocatusLusolanya
@RevocatusLusolanya 5 күн бұрын
Mwambien kocha asiruhusu mipira ya kurudisha nyuma inamadhara
@chandegea-i4i
@chandegea-i4i 4 күн бұрын
Kama MUNGU alishindwa kuwasemehe ADAMU na HAWA basi na mimi CHASAMBI SITOMSAMEHE MAISHA Ety role model wake Max naanzeje kumsamehe msaliti mkubwaaaa
@ZenaMbilachi
@ZenaMbilachi 4 күн бұрын
Mashabiki tupunguze lawama tusimshushe vyeo chasambi ilikuwa sio bahati yetu SIMBA nguvu💪 moja
@NoahlobuluMollel
@NoahlobuluMollel 5 күн бұрын
Leo umeongea vizur kabsa kumbe unajizimaga data ti😂😂😂😂😂😂😂😂
@EdwinKabasa
@EdwinKabasa 5 күн бұрын
Simba Nguvu Moja
@SalomeLudovick
@SalomeLudovick 4 күн бұрын
Tusahau yaliyopita tugange yajayo. Simba nguvu moja❤
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 4 күн бұрын
Hapo hakuna cha kusahau ndio ushafeli wewe uchezaji wako huo goli la mpinzani huoni wachezaji wa simba kutwa wanawaza kucheza na camara kama wamerogwa
@NeemaMassawe-qg6kf
@NeemaMassawe-qg6kf 4 күн бұрын
Hakuna mtu AmBAR hakosei chasambi hakuteqemea hiyo niajali kama ajali nyinqe❤Bado tunakupenda🎉pole jipe moyo
@CyprianHatari-qy9yv
@CyprianHatari-qy9yv 4 күн бұрын
Simba nguvu moja 💪 chasambi ni kijana wetu na tumsamehe kakosa na kaomba radhi tusimpe upenyo mtani wetu kwa hili kosa lake
@HalimaAli-y8p
@HalimaAli-y8p 5 күн бұрын
Kosa like sio LA kumlaumu chasambi hatakama ndo lishatokezea lawama za nini muacheni chasambi kosa ni lakaeaida sana
@KINGNINETEEN-d7g
@KINGNINETEEN-d7g 5 күн бұрын
Kila atua dua, SIMBA NGUVU MOJA 🦁💪
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 4 күн бұрын
Tatizo timu inakosa nidhamu baada ya kushinda mechi moja kwenda nyingine,gap la pt.1 linaweza kuzidi.Wimbi la kujifunga linataka kuzidi sasa.
@MohamedSalum-d4t
@MohamedSalum-d4t 4 күн бұрын
Simba mmeonyesha mpira mzuri yaliotokea ni bahati mbaya shikamaneni Ahmed Al umeongea vizuri
@levigodi
@levigodi 3 күн бұрын
Kibaya Cha huyu dog nikwakuongea et hapo Simba hakuna role model kwake role model yupo yang ambaye Ni zingeli huyo dog asicheze kbsa Hana Akil
@MsosaPapaa
@MsosaPapaa 5 күн бұрын
Semaji leo umezungumza ball kumbe ukiumia unajua mpira ❤❤
@GhairiaRamadhan
@GhairiaRamadhan 5 күн бұрын
Chasambi umenilaza njaa leo 🙌
@melissa_garden
@melissa_garden 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂tumeumia wengi ila tunamsamehe kijana wetu
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 4 күн бұрын
Inaumiza sanaaa mm hata Kula,usingizi sijapata
@FatumaIbrahim-u5k
@FatumaIbrahim-u5k 4 күн бұрын
Pole sana
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 4 күн бұрын
@@FatumaIbrahim-u5k Acha tyuuuu nimeumia Sanaa
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 3 күн бұрын
@@FatumaIbrahim-u5k asante
@Kamakid
@Kamakid 4 күн бұрын
Asante chasambi💛🔰
@joachimfrancis9587
@joachimfrancis9587 4 күн бұрын
Simba ibadilike kiuchezaji.Pasi nyingi zinapigwa nyuma, pia kipa Hana plan B ya kuanzisha mashambulizi.Kila mara alianza mipira mifupi hata pale wapinzani walipovutika mbele.Hii staili ya kuanza mipira mifupi na back pasi Yanga atatufunga nyingi sana
@ErnestFaraji
@ErnestFaraji 4 күн бұрын
Nakushukuru sana msemaji wetu. Chasambi kuteleza si kuanguka. Jikaze uvumilie maneno mengi ila mitime nao walipitia magumu zaidi ila wakasimama tena.
@MwanahamisiFatehe
@MwanahamisiFatehe 4 күн бұрын
Uzaonga sana Tate hemedi ally penda sana sana Simba ❤❤❤
@LuqmanKawela-qf8ny
@LuqmanKawela-qf8ny 4 күн бұрын
Duu tanga hio
@ZenaMbilachi
@ZenaMbilachi 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂❤ umenichekesha
@LuqmanKawela-qf8ny
@LuqmanKawela-qf8ny 4 күн бұрын
@@ZenaMbilachi Tanga raha
@FeedyAlex
@FeedyAlex 5 күн бұрын
Aan io n introoo tyuu subr tar 8 😂😂😂😂😂😂😂
@ZulphaMsangi-s9g
@ZulphaMsangi-s9g 5 күн бұрын
Sawa mwanga na 💉 fc😏😏😏😏
@sarahkabuje3654
@sarahkabuje3654 4 күн бұрын
Ulisema mafuta yatajitenga na maji
@eusebisulle6767
@eusebisulle6767 4 күн бұрын
Simba ni yetu Wachezaji ni wetu Chasambi ni wetu Goli ni letu Tumefunga wenyewe Kelele za nini Mnaumizwa na nini? Simba nguvu mojaaaa!!!
@FadhilaMwalala
@FadhilaMwalala 5 күн бұрын
Simba mbovu kumamakeee 😂😂😂😂😂
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 4 күн бұрын
Ila me nimefurahi😂😂😂 kamdomo😂😂😂😂
@abdulhamisi3137
@abdulhamisi3137 4 күн бұрын
Hemedi alliy utapoona huu ujumbe mwambie chasambi sisi singida hatuna shidaenae tumemsahe ila mwàmbie kocha mechi ijayo chasambi aanzie 🎇🎆
@perepetuajohn
@perepetuajohn 5 күн бұрын
Asante Singidaa🎉🎉🎉💛💛💚💚💚💚🙏🙏
@MariaMnthax
@MariaMnthax 5 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅chasambi kawa Shuja leo😅😅😅
@ZulphaMsangi-s9g
@ZulphaMsangi-s9g 5 күн бұрын
Asante Tabora 😂😂😂😂😂😂😂 unajipa moyo nyooo🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸
@PauloJuma-h3l
@PauloJuma-h3l 5 күн бұрын
Mbna huna so gen dada angu naomba urafk na we by nicherk what saw no angu nd hy ahsant
@PauloJuma-h3l
@PauloJuma-h3l 5 күн бұрын
Mbn jna so gen nakua ka 2mesoma pamoja ety
哈莉奎因被吓到了#Cosplay
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 32 МЛН
Провальная Акция в Seven Eleven
00:51
Тимур Сидельников
Рет қаралды 2,7 МЛН
Кровавый лидер #сталин #китай #мао
00:55
Послезавтра
Рет қаралды 3,5 МЛН
TRAORE KUTOKUJA TANZANIA KUMBE HII NDIYO SABABU MWAMBA ANASEMA WAAFRIKA MNISAMEHE
11:20
EXCLUSIVE INTERVIEW NA KIBU DENIS AKIZUNGUMZIA SAFARI YAKE YA MAISHA YA SOKA
1:06:07
哈莉奎因被吓到了#Cosplay
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 32 МЛН