Keep it u ngoma za asili na tamaduni zetu ni Moja ya utambulisho wetu ❤❤❤❤
@AmenaMm-r5tАй бұрын
Waooo nimefurai kuon wat wa nyumban jamon nishamis hom duu
@fatmasaid472111 ай бұрын
❤
@mariamSaffari11 ай бұрын
This is so entertaining.
@YussufBond11 ай бұрын
Safi
@fatmasaid976510 ай бұрын
Haya ni ngoma gani hii
@swahilivoice10 ай бұрын
Msewe kuna na kiluwa pia
@fatmasaid976510 ай бұрын
@@swahilivoice kumbe nilidhani basi ni pemba tu ngoma hio shukran kwa kunijulisha
@swahilivoice10 ай бұрын
@fatmasaid9765 inachezwa na magereza pia ambao wana watu kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo Pemba
@salimabbasiali682411 ай бұрын
Home sweet home
@sahidahamad3911 ай бұрын
Wanawake wote vichwa wazi
@swahilivoice11 ай бұрын
Wengine sio waislamu. Tuna watu wa dini mbali mbali
@KhairatAli-hx6xi4 ай бұрын
Jamn ndio wanawake wasifunike vichwa vyao kwa Allah twenda jibu nn subhana Allah
@swahilivoice4 ай бұрын
Bi Khairat shukran kwa comment. Ila sio kila mwanamke anafunika kichwa. Tuna dini na Mila na destiri tafauti hapa duniani. Kuna wanaofunika na wasiofunika. Tuwape nafasi zao kwa maamuzi yao. Shukran