Mulishaona uchaguzi waserikali za mitaa kule tanganyika mambo ya kuenguwa wapinzani katika huo uchaguzi yako vile vile na sheria hizo bado zipo na hazija badilishwa ,,,ccm ni wale wale hawabadiliki kwenye sanduku la kupiga kura ,,solution ni bila mabadiliko ya katiba mpya musishiriki uchaguzi kama wenzenu wa chadema wanavyosema NO REFORM NO ELECTION
@mozakhamis725313 күн бұрын
sote tunajuwa ccm haihitaji. kura ikifika siku. hujitangaza tu kwa lolote liwe hata watu kufa wao kwao ni. kutangazwa. ndio. muhimu.
@mozakhamis725313 күн бұрын
kilicho tokezaya kwani. hakikuonekana. watu wameoliwa na maisasi maji washa je mlitaka vipi
@mozakhamis725313 күн бұрын
ndiyo ila hayo. mara hii utaona. tutakchukuwa. hao. watakao. wajaribu waone. 😮😮😮😮😮
@mozakhamis725313 күн бұрын
huyu ni ccm au katumwa kuja kutujaribu basi mungu atuwekeye
@swahilivoice12 күн бұрын
Nani huyo?
@MaryamMasoud-s2b10 күн бұрын
Moral hamna saivi muamko mdogo saivi watu washakata tamaa
@mozakhamis725313 күн бұрын
serekal. ipi. hiyo. inayojali watu.
@MaryamMasoud-s2b10 күн бұрын
Kiukweli mimi kama Mzanzibar marehemu maalimu seif alituangusha sana 2010 alipowaambia watu warudi ilikuwa tayar tushaipata nchi yetu ccm walikuwa maji ya shingo
@khajumkhamis79104 күн бұрын
CCM NI 95% ya kura
@khamisjuma761612 күн бұрын
Profesa tumia elimu yako tuvuke hapa tulipo tuelekee mabadiliko nakufaham wewe ni mtaalam
@matukiotvonline636612 күн бұрын
Vijana mkaze jamaa wa ccm hawawahurumii hata kidogo