No video

Mshukiwa Collins Khalisia amedai kuwauwa watu 42

  Рет қаралды 55,456

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Maafisa wa polisi wanamzuilia mshukiwa mmoja wa mauaji katika timbo la kwake eneo la Pipeline hapa Nairobi. Mshukiwa Collins Khalisia amekiri kuhusika na mauaji ya watu 42 akiwaeleza maafisa wa usalama namna alivyowauawa walengwa wake wa kike

Пікірлер: 267
@dewanikaur19
@dewanikaur19 Ай бұрын
Government trying to cover up ....mbona kutoka kitamboa wajawai uliwa tangu tu maandamano😢😢
@joycenasambu2658
@joycenasambu2658 Ай бұрын
Amelipwa ngapi??
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Ай бұрын
@@joycenasambu2658 kabisa 💔
@ZamzamGetacho
@ZamzamGetacho Ай бұрын
Hiyo ni mpango wa serikali kudaganya wanainchi
@RobbyMukonjero-rp5gt
@RobbyMukonjero-rp5gt Ай бұрын
It is not true,police and Ruto stop laying to us.
@ishaanizkeah8814
@ishaanizkeah8814 Ай бұрын
Mbona haraka hivi Kuna kitu hakiko sawa
@boazwambua387
@boazwambua387 Ай бұрын
Exactly
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau Ай бұрын
Duh haraka sana
@sarafinawanja8549
@sarafinawanja8549 Ай бұрын
I feel the same SI ukweli
@sarafinawanja8549
@sarafinawanja8549 Ай бұрын
Àta venye huyu anaelezea haibambi😂😂
@jameskarani8182
@jameskarani8182 Ай бұрын
Trying to think out how he was good at hiding then immediately the bodies are found boom the suspect here😂😂
@remiomar7154
@remiomar7154 Ай бұрын
Aaah mm siamini serikali ya ruto kabsa kwani alikuwa anaishi porini pekeyake hakuwana majirani ni ngumu kuamini
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 Ай бұрын
Ambia ruto wakadanganye wajinga wengine sio sisi kumbavu
@davidwainaina1266
@davidwainaina1266 Ай бұрын
Kwanini na sense tumepangwa😂😂
@emmanuelmutuku3456
@emmanuelmutuku3456 Ай бұрын
Bro hii ni uogo mtupuuu.
@karutyericscomedies2783
@karutyericscomedies2783 Ай бұрын
This doesn't make sense Mambo bado Ruto must Go
@rosemarymwangi7349
@rosemarymwangi7349 Ай бұрын
2 years and bodies have not decomposed???????waache uongo
@terriewanjiru1318
@terriewanjiru1318 Ай бұрын
Story za Jaba
@amosbett3666
@amosbett3666 Ай бұрын
😂NO ONE IS BELIEVING THE DCI HERE AND WE ARE BUSY BELIEVING THE DREAM GIRL...WATU SIO WAJINGA DREAM GIRL
@annyleycoyney7622
@annyleycoyney7622 Ай бұрын
Kama sio dream girl hii story haingejitokeza Sametimes hata upumbavu husaidia now we won't be fooled with fake suspects
@user-yq2mm5gc3c
@user-yq2mm5gc3c Ай бұрын
Huyu Collins is innocent,,,,, please stop playing with our intelligent
@queenlilian5139
@queenlilian5139 Ай бұрын
GenZ sio Raila my friend kabla mtudanganye tusha jua mnapanga kutudanganya sasa jidanganyeni wenyewe Ruto must go must gooooo
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Ай бұрын
Hawa watu hawajauliwa 2022 urongo
@douglasomare147
@douglasomare147 Ай бұрын
We are not fools.
@WillisAli
@WillisAli Ай бұрын
Nikama unajua sana mbona usijipeleke kotini kumtetea
@Samuelmusyimi-zy1ts
@Samuelmusyimi-zy1ts Ай бұрын
..ww n mjinga ..haga
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Ай бұрын
Huu ni urongo huu ni urongo mnaamua kudanganywa na serikali hawa watu wameuliwa after maandamano yaani hizi wiki za maandamano tu baada ya watu wametulia ndomili zimeanza kufuata familia spirit zimeanza kufuata familia halafu hapo watu wanakuja kudanganywa eti ameua sijui baada ya miaka miwili urongo
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 Ай бұрын
We are not fools mbona Quarry iwekwe moto kama mshukiwa yuko ndni???na hio place ni crime scene it was supposed to be protected?? By who???dci n police...sisi sio wajinga bana
@Travelwithfred
@Travelwithfred Ай бұрын
Kwa NYUMBA Kwani haikunuka kwa KIJIJI ??uwongoo
@mokayamokaya3015
@mokayamokaya3015 Ай бұрын
Kweli tuna bebwa ufala
@LumonyeCatherine
@LumonyeCatherine Ай бұрын
Sijafurahia hii maneno mbona wanadanganyia mtoto wa mtu pili hawajaonyesha akionge surely huonguo kilo ngapi hii Hawa watu waende kuzimu
@wanzetselsalasya6369
@wanzetselsalasya6369 Ай бұрын
STOP! using this man as a scapegoat.Huyu amelipwa kujitwika msalaba usiokuwa wake.
@violetnyaramba4110
@violetnyaramba4110 Ай бұрын
Just a quick question...alikua anawaua anawakata ..anawaacha wakauke ndio awatupe?all that time harufu haikua inatoka kwa io nyumba ..coz i know one starts to smell as from three days...ama alikua na formalin pia?
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 Ай бұрын
Hapo sasa
@alicewangari7147
@alicewangari7147 Ай бұрын
Nani anaweza kujiweka kwa ngori kama hii this must be a serial killer, devil agent, Lord have mercy on us
@user-wr9kt8mz1m
@user-wr9kt8mz1m Ай бұрын
Sijai ona ujinga kenya kama huu.. Ruto must go
@LumonyeCatherine
@LumonyeCatherine Ай бұрын
Aki atoke mbona wazazi wa huyo bibi wake hawajatokea hata waseme kitu jamani
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 Ай бұрын
Sasa uchunguzi gani ya fanywa na wamepata evidence 😢😢😢auliwe n yeye
@osungasamsonosunga8771
@osungasamsonosunga8771 Ай бұрын
They are going to court tomorrow not to prosecute the killer, but to ask for more time to do investigation. Hahaaa Kenya!
@renmwenda8874
@renmwenda8874 Ай бұрын
Yaani bado mnatuchocha....
@dunna1663
@dunna1663 Ай бұрын
Uwongo tu wa polisi wa Ruto!!amelipwa huyu khalisa,condolences to the families of our fallen Heroes and Heroins ❤
@gamemaster5933
@gamemaster5933 Ай бұрын
Ata ingekuwa mm nigekubali kweli , tunabebwa aje bana surely
@_.Queen_Aiisha_ross
@_.Queen_Aiisha_ross Ай бұрын
How come reporters haven’t gone to talk to he’s neighbors and look for he’s family
@mouriceochieng9002
@mouriceochieng9002 Ай бұрын
Uwongooo mtupu😂😂😂😂😂
@annyleycoyney7622
@annyleycoyney7622 Ай бұрын
Citizen Khalisi Collins is dead since last year 😅😅😅Ruto should know lack of job has made us all Kenyans to be computer scientists bila kwenda shule details zinapatika zote za lies even for Rutos lies😂😂
@xetrahbooboo3492
@xetrahbooboo3492 Ай бұрын
Justice 😢
@lucymwai7645
@lucymwai7645 Ай бұрын
Huyo kijana apelekwee hosipitali kwanzaa b4 CID waonge wakiwa na police
@stephenthinguri3414
@stephenthinguri3414 Ай бұрын
'Citizen' lying out of fear is still lying... Stop this foolishness people have lost loved ones....
@martinkithome8540
@martinkithome8540 Ай бұрын
😂😂😂 These people actually think we are dumb and stupid trying to cover their tracks!
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 Ай бұрын
Hii story too kutokea Kwa wale waliona Kwa ndoto Ady haapa inakaa too script but ijachorwa poa ....how comes that 2022 aliuwa Bibi Yake na ata ajawai shikwa wala kuripotiwa mahali ...kwani anaishi dunia gani yenye unauwa then uko too free styles...Aaarg shit this nonsense away.....inakaa too script flani ijaenda shule..C muite too akina Butita na Abel Mtua waandikie script...Ubaya ya kupea Njugush awaandikie script
@user-wr9kt8mz1m
@user-wr9kt8mz1m Ай бұрын
Huyumtu hata afya hana. Alishika nani akau... Si niumaskini Ndio wamemtoa chambo
@boazwambua387
@boazwambua387 Ай бұрын
@@user-wr9kt8mz1m his face says it all. He is completely innocent. Kuna deal wanafanya hapa na yeye.
@NancyNgugi-hd8yr
@NancyNgugi-hd8yr Ай бұрын
Rotten government.police all are sick shindweee shindweee .kabisa
@dukenyaberi6968
@dukenyaberi6968 Ай бұрын
Cooked stories nkt
@neptuneplutonium86
@neptuneplutonium86 Ай бұрын
Serikali ni waongo sana,hizo vitu vyote sijui simu,vitambulisho n.k...ni polisi wamemuekelea tu,wakichunguza hivyo vitambulisho watapata ni zile zilizopotezwa na watu...serikali inauj7a mchezo huo na hiyo ni mbaya sanà...poor Kenyans being played kweupe mchana,so sad😢😢😢
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Ай бұрын
Namba za simu alitoa wapi safaricom pia inahusika ID hii kitu mumewekelea tu haka kajamaa lakini serikali inahusika na mauaji ya waandamanaji kama vile tulikuwa tunaona polisi anashoot live bullets watoto waliopigwa risasi nane na yule mtoto aliyepigwa raba bullets rex masai akiuliwa kwa hivyo haka kajamaa kamekelewa lakini haya ni mauaji ya polisi wale walikuwa wamecover nyuso zao
@anto-yh5bs
@anto-yh5bs Ай бұрын
Kweli tunabebwa ufala 😅😅...
@williammutiso4340
@williammutiso4340 Ай бұрын
😂hii kunyoa ni ya polisi tu ,hapa mnapangwa tu
@jamescharles3730
@jamescharles3730 Ай бұрын
Ndugu zangu miili hiyo mbn ni ya wanawake je mnataka kuamini kuwa serikali ililenga kuwaua wanawake? Ndugu zetu wakenya tulieni na muishi kwa amani tunaumia sana tunapoona hakuna amani kenya
@kingkevin442
@kingkevin442 Ай бұрын
Hujaelewa bro hao ni watu waliuliwa wakati wa maandmano wananchi wakapata hizo mwili Sasa serikali inajaribu kuficha ukweli Kwa kudanganya ati ilikuwa kazi ya muuaji not them.
@suz89ken
@suz89ken Ай бұрын
Trying to prove a narrative. DCI cover-up on it's best
@OmondiAira
@OmondiAira Ай бұрын
Governments wamepanga uwuongo
@elizabethmachuma1720
@elizabethmachuma1720 Ай бұрын
Heti ndiyo tusiandamane kesho😂😅😅
@joeukim2173
@joeukim2173 Ай бұрын
This is likely to be true kwa nini wote ni kina mama......this isnt maandamano ..but all in all ruto must go
@ongedoosungawanangayo3055
@ongedoosungawanangayo3055 Ай бұрын
Is it not strange that Rachel Ruto spoke on Sunday about abuse of women and the same day DCI comes up with a culprit what coincidence
@soniinyambu512
@soniinyambu512 Ай бұрын
Atutaki kuchezewa msitufunge macho 😢😢mbona Rita waeni aliuliwa kasarani na mbaka Sasa hivi amjawai jua ni nanii atutaki kuchezewa 😢😢
@bensonmbithi5754
@bensonmbithi5754 Ай бұрын
Story zingine wacheni kupigia wakenya juu tunahisi kubebwa ufala
@NancyMutindi
@NancyMutindi Ай бұрын
Apa kuna uwongo mkubwa sana sasa kma alianza kuua watu 2022 kufikia sai watu 40 hao watu wote amewauwa aje akiwa pekeyake???? lazima kuna wenye alikua nao
@nicksmambo8047
@nicksmambo8047 Ай бұрын
Huyu hata kuku hawezi kuua,Ruto you must go
@AntinetaOwino
@AntinetaOwino Ай бұрын
No trick will convince us Ruto must Go
@dantimnjugunqnjuguna4136
@dantimnjugunqnjuguna4136 Ай бұрын
yaani mnatuona wajinga io design...cant believe yaani hii government imeona ma fala...so apparently amepatikana after bodies were discovered ??kudos DCI...now tell us who murdered the innocent youths during maandamanos since you so quick in your investigations...kumbafu nyinyi..mafi ya kuku
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 Ай бұрын
Kama ninavyoona wengi wa Wakenya hawaamini serikali hata kidogo. Niliona jana vijana wakitafuta miili katika eneo la dampo bila msaada wowote wa polisi. Very strange indeed.
@cleo4782
@cleo4782 Ай бұрын
The way it usually takes DCI long to carry investigations ...howcome this one has happened so fast...everything so organised...kutucheza ufala😂😂😂😂
@soniinyambu512
@soniinyambu512 Ай бұрын
Akuna uyu ni mtu wa ugandatu ametafutwa 😢😢ndio tusijue ukweli ata izo majina wakaaji wa uko wazijui na wajawai skia izo majina
@Kipkemboi-vd9nf
@Kipkemboi-vd9nf Ай бұрын
Haiwezekani police officers ndio wali uwa hao watu DCI isitu bebe ufala
@markmbirithi4155
@markmbirithi4155 Ай бұрын
You could have shown us a video of him confessing to crimes..??
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Ай бұрын
How does it come everything kina happen mnasema Raisi ndiye kafanya true mna dhambi kubwa mtaangamia wote.
@oulasyano3855
@oulasyano3855 Ай бұрын
Feeling fooled with 50M others😂😂💔
@edwinsafi7016
@edwinsafi7016 Ай бұрын
It's very shameful for the media and police officers to give to the nation such report
@raphaeloloo9641
@raphaeloloo9641 Ай бұрын
Si yy waache story za danganya toto amelipwa tayari na mushatia moto apo mufute ushaidi kware
@moseslaizar843
@moseslaizar843 Ай бұрын
hapo mimi sisemi kitu inacho shangaza kabisa sawa alianza na mke wake kwani mke wake akua na familia kabisa amutafute😢
@duncanmusyoki5920
@duncanmusyoki5920 Ай бұрын
Ata huyu jamaa awezi uwa kuku 😂😂
@brettamulei
@brettamulei Ай бұрын
Walai kumbe umeona😂 serekari bana
@joycenyakundi3605
@joycenyakundi3605 Ай бұрын
PATHOLOGICAL LIES. RUTO MUST GO
@orianagaiko8971
@orianagaiko8971 Ай бұрын
😢😢😢😢can he talk for himself juu weeeeh ata mgondi hawajatoa maji lakini mshukiwa ameshikwa😂😂
@mikeyoung5847
@mikeyoung5847 Ай бұрын
Not making sense
@Ankaramaina95
@Ankaramaina95 Ай бұрын
Hakuna..huyu janguu amelipwa..Mimi sijai daganywa..hao washukiwa wanashikangwa tu baada ama..kadanganye wengine
@martoo539
@martoo539 Ай бұрын
Kjanaaaa😆😆😆hi serikali inadaganya kila kitu😂😂😂
@bonnymatheka352
@bonnymatheka352 Ай бұрын
Huo ni uongo,collo namjua hawezi ua hata kombamwiko.alafu kuna hizo chandarua zimetumika kufungia miili,collins atakuwa alizitoa wapi
@IbrahimAli-b4e
@IbrahimAli-b4e Ай бұрын
Government of Kenya trying to cover up,kwani huyu mtu mmoja atauwa watu almost 50 pekee yake,really? Are we kids? just come out clean
@luckyluchano1
@luckyluchano1 Ай бұрын
You mean nobody has ever seen him carrying the bodies from 2022 upto date? It doesn't add up😡
@Jane-vh1ep
@Jane-vh1ep Ай бұрын
Hawa wanaongea na kina nani...wana adress kina nani sasa juu haiezi kuwa ni Sisi jameni🚮
@user-mb3ww7wx5m
@user-mb3ww7wx5m Ай бұрын
Colling hapo amesain mkataba aseme yeye ndio muhusika kisha iishe hvyo Na afungwe miaka kadhaa akuje kutoka akakule mshahara wake au hata ataftiwe visa aende ulaya akaishi huko but sahy make mkijua jamaa alifungwa maisha yake yote
@kaibungarose
@kaibungarose Ай бұрын
We Gen Z are DCI graduate stop this stage managing
@pamelaopiyo5590
@pamelaopiyo5590 Ай бұрын
These people ain't tired of lying?💔😏
@paulmuasya6261
@paulmuasya6261 Ай бұрын
Huyo bibi yake ana jamaa nzake?
@AfriKan-Nazi
@AfriKan-Nazi Ай бұрын
Mnalipa ngapi mniekelee pia @butcherofsugoi
@TradeIQ_Profits
@TradeIQ_Profits Ай бұрын
Headquarters of UNEP is NAIROBI...Maajabu
@dafinesmailo1984
@dafinesmailo1984 Ай бұрын
Huyu amejitoa mwanga kulipwa ili akubali mambo ya uwongo sijui amelipwa ngapi🤔🤔🤔
@steveogwenyo5615
@steveogwenyo5615 Ай бұрын
Uongo mtupu
@bonnymatheka352
@bonnymatheka352 Ай бұрын
Hapa ni kupakwa tunapakwa rangi jamaa,itabidi tumetii😂😂
@Middlechld_ke
@Middlechld_ke Ай бұрын
RUTO MUST BE PLOTTING THIS
@brayoist
@brayoist Ай бұрын
Pure lies
@lucywanja-ft2fx
@lucywanja-ft2fx Ай бұрын
Huyu amelipwa pesa ngapi
@halimaadan3412
@halimaadan3412 Ай бұрын
subhanallah huyu mnyama walai😢
@tpsybartender158
@tpsybartender158 Ай бұрын
Anyone from that area that knows this man?
@nancyhunja915
@nancyhunja915 Ай бұрын
There is God in heaven who knows all but I like the idea of Kenya having the freedom that you can take one to court if you know the truth of a crime against you. There is a lot of bitterness in this case with people claiming it is not true and all are lies. If they know the truth they should have taken the case to court to avoid being cheated. God is not happy with false witnesses so avoid too much noise and pray for God's judgement.
@lostboy2608
@lostboy2608 Ай бұрын
New mandamano is needed. Yani wanamushika one day after bodies zimepatikana? Why hajashikwa since 2022? Means some police officers wako na yeye. And i think this is not the killer. Yahi hiyo police station hapo iko na kazi gani? Kenyans stand up for your lives.
@user-mv9ql7yg5b
@user-mv9ql7yg5b Ай бұрын
Ruto na serikari Yako Mungu anawaona😮
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk Ай бұрын
Mbona hii DCI wamepata ushahidi ama suspect mapema but Shakahola massacre not yet 😅😅😅😅
@OmondiAira
@OmondiAira Ай бұрын
Uwuongo uwuongo
@musangige5
@musangige5 Ай бұрын
Hapo kwa ndoto ata kama nimeishi kupata E maths 😂 hapo apana
@MM-gh8wb
@MM-gh8wb Ай бұрын
How long does a body take to decompose ?. Dead body from 2022
@almasiactivateprinceofpeac6737
@almasiactivateprinceofpeac6737 Ай бұрын
Kwanza hio tong haijavaliwa😅😅 uongo hio tutaanguka na nyingi😢
@PatriciaMwinambo
@PatriciaMwinambo Ай бұрын
Stop misleading us, is it Khalisia or Khalusha, these are two different people
@juwatv1789
@juwatv1789 Ай бұрын
Kesho tunaanguka nayeye
@johnnderi4324
@johnnderi4324 Ай бұрын
Can someone start by telling us the who was present during the confession? Or is it only the dci thugs,was he forced or did he confess willingly? I am not asking this because i support that heinous act,but we need yo get to the root of it,i dont trust dci with any investigation
Businessman Jimi Wanjigi arrested after surrendering to DCI
4:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 67 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 44 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
Бутылка Air Up обмани мозг вкусом
01:00
Костя Павлов
Рет қаралды 2,7 МЛН
Imebainika kuwa Samuel Mutisya mkazi wa Kibra alipigwa risasi
5:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 31 М.
Washukiwa watatu wa ujambazi wauawa Kariobangi
1:48
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 8 М.
Wamiliki wa nyumba kwenye ghorofa kulipa ada
2:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 25 М.
Family says Kware murderer suspect disappeared from home many years ago
4:44
Kifo cha mwandamanaji | Sammy Cullin alipotea wakati wa maandamano
3:45
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 33 М.
Jamaa aliyetekwa nyara arejea nyumbani akiwa buheri wa afya
3:27
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
IPOA yachunguza kifo cha mwandamanaji Rex Masai
3:52
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 25 М.