Binam yangu mie nilifikiri niutani kumbe ndoivyo nenda salama wangu bina Mungu akupumzishe kwaamani kweli 🙏📖🙏😭😭😭💔
@penueldjuma2845 Жыл бұрын
Papa Deville wa N1 amemaliza sasa
@callmeog4786 Жыл бұрын
Dah r i p bro kama utani vil umekua marehemu
@WilondjaBenjamin17-xp4hx Жыл бұрын
Yani binadamu awana wema kweli 😢😢😢
@Mr_moneyu Жыл бұрын
Umeongea vizuri sana kaka
@penueldjuma2845 Жыл бұрын
Mama davilage kasema neno
@penueldjuma2845 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭🤲
@user-dx7pn9zc5k Жыл бұрын
Mwalimu wangu nenda Salam mwendo umeumaliza 😭😭😭😭😭
@DirectorToto Жыл бұрын
Jonas mbona mapema
@alexshauri4899 Жыл бұрын
Kule mwisho mwisho wa utuba ya familia nimeshikia Umati apo wanasema UWONGO BWANA UWONGO UWONGOOOOO 😂😂😂.
@Amisikashindi. Жыл бұрын
😭😭
@rozascola-cy8qi Жыл бұрын
😭😭😭 nenda salama bina yangu mtatania nanani tena mimi 😭😭
@kakarichacomedy Жыл бұрын
Duuuh
@user-uj2bo9tm6i Жыл бұрын
Poleni sana
@kakozietho2303 Жыл бұрын
😭😭😭
@ChiraJustine Жыл бұрын
😭😭😭😭
@user-kq8ze5lw1i Жыл бұрын
Poleni sana kwel mungu hailaze Mahari pema peponi
@JayloAjay-rr5ki Жыл бұрын
Naona kiongozi wakijiji cha N1, halionea kama serekali kabisa, serekali haipashwi kuishiwa na mtu raia wa familia wala dini, wajibisha Devilage sasa wewe mnakaa mnahuwa afu mnatishia watu wasiseme mweeeeeeee !!!!!! 😀
@NgaboLundela-dy6zv Жыл бұрын
Power sn kk
@niahussein5387 Жыл бұрын
Kaka wamie jmn siamin mm😭😭
@nyotakashindi-bs9jp Жыл бұрын
Poleni sana jaman
@Godelivanana Жыл бұрын
Wabembe akuna kitu wanajuwa tofahuti na kuhuwana sasa mtu anamuhuwa mwenzake yeye ndo atahichi milele wbenu acheni hushawi wa bembe this is to much sasa amjuwiki mahendeleho Siyo wote but wabembe mkahe chini kwanza
@louisemsaka5829 Жыл бұрын
Poleni sn family
@meswakabika5666 Жыл бұрын
Bashimunyaka ni wachawi sana
@jenekazadi Жыл бұрын
Jamani binamu yangu sijaamini kweli sheri wangu mungu pokea roho yake mahali pema peponi mbele yetu nyuma yetu Jamani kipenzi changu mtani wangu neda salama wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏