Jamani wewe kaka Anko Jay niwe wa kwanza,kwa kujengewa bomba la maziwa...
@qaltumsaid30957 ай бұрын
Ubarikiwe Kwa story nzuri ankoJay
@sarahuwimana6448 Жыл бұрын
Asanta sawa simurizi fupi tunawapenda💖👌👌👌👍
@maryaabimyk6360 Жыл бұрын
Nzuri keep doing it 🔥🔥💪💪nawapenda smix
@yusufuheri65249 ай бұрын
Asante sana my brother from another mother
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Asante mr anko jay kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo amakweli kikulacho kinguoni mwako
@elizabethobege1789 Жыл бұрын
Mashaa-Alaah Uncle J Hongera kwa Simulizi motomoto kwani mimi ni shabik mkuu wa Simulizi zako, nakusikiliza toka Nairobi Kenya kisha Sauti yako na Kiswahili chako ni sanifu.
@ndihokubwayobrigitte6757 Жыл бұрын
God bless you 🙏 thank ❤❤🎉
@emmanuelmwatujobe8450 Жыл бұрын
Iko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fatumamatano8216 Жыл бұрын
Kitu kipyaaa Anko j mwenyewe shukran kw kutuletea kitu kipyaa
@eca-mlondanyiabokyo4416 Жыл бұрын
Shukrani kwa SMIX GROUP ENTERTAINMENT
@matesomoci6376 Жыл бұрын
Asante sana kwa simulizi zuri 🙏🙏🙏
@queenlee2701 Жыл бұрын
leo naskiliza kitu kipya kutoka kwa anko jay wacha nienjoy ntarudi ku comment One love 💜❤🧡
@chantalmavandu4950 Жыл бұрын
Mambo moto moto
@giftfrances9083 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰my mwenyew
@hellenodhiambo4342 Жыл бұрын
🤣🤣🤣bado kuna nafasi @anko jay join the army this guy with grabbing 😂😂😂waah I salute you
@paschalwanjala7600 Жыл бұрын
Safi sana
@Adonai810 Жыл бұрын
AMAZING ANKO JAY 🔥🔥🔥
@fahmimohd261 Жыл бұрын
Msukuma nilikua wapi jamani
@bashirushabani6726 Жыл бұрын
Anko jay mwenyew unafany yako, hiii simuliz moto kweli kweli
@juliennealimasi6378 Жыл бұрын
Mimi nakupenda,kwanza sauti
@shukranimbeleci4477 Жыл бұрын
Nilichewa sana leo😂😂😂😂❤
@ghanimajongo7817 Жыл бұрын
Hua nazisikiliz Kila mara lkn ss mshaaza kuchok simuliz mbay
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Yan sijuwi niseme aye nafika mapema dunguzangu naomba link Zen 🤲🙌🙏❣️
@arafatikaisi9637 Жыл бұрын
Wiaxebyet❤❤❤😢
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
💃💃🔥
@groveyagroya1280 Жыл бұрын
Yani nakupenda Sana aunko j yani kunawakat na comments hata mara 3 3
@asiamodriq2933 Жыл бұрын
Asante
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Ha ha haaaa! Anko jay 🤣
@cimpayeriziki6680 Жыл бұрын
Na Sisi tunakukubali Burundi Ako je wetu penda wewesana kipyaa wooo
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Anko jay mwenyewe tunainjoi jamani MSITU unanini tunasikiliza ilitujuwe like zenu 🥰🥰🥰🥰🥰
@bashirushabani6726 Жыл бұрын
Huku smix ap mambo ni moto balaa
@HuaweiY-wx7we Жыл бұрын
Jamn ndy wa mwish mmi mbna cjaona hii simulizi tangia iyo jana
@ummusulaish5586 Жыл бұрын
Unko J nitafute inbox nkununulie soda sio kwa Majigambo hayo
@mwanajumamwazizi5432 Жыл бұрын
Plz anko j ulisema utatuletea kosa season two mbna kimya
@banajuliana758 Жыл бұрын
Anazingua tu😀😂😂
@salmahaji5832 Жыл бұрын
Sijachelewa leo
@khadija725 Жыл бұрын
Team hammam mkuje hukuu🚴🚴
@magdalenemutindi Жыл бұрын
Kumbe siyuko peke yangu🥰
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Tukooooo
@Pretty22750 Жыл бұрын
Tupo ndani na hatupoi
@timesaleh6756 Жыл бұрын
🥰🥰🥰
@rizmwMwriz-mf2cu9 ай бұрын
Hahaha aowe buraaa😂😂😂😂
@JuliusMalunde Жыл бұрын
Kitu kipya hicho
@sabramalik2427 Жыл бұрын
Nawakubli hatari
@halimahaji3856 Жыл бұрын
Jamani hapa anko jay ndo ninapompendaga hajitupi kabisa
@maryamanalisi197 Жыл бұрын
❤❤🎉
@sahhgdsag4949 Жыл бұрын
Acha bas..😅😅😅😅
@GULF444 Жыл бұрын
Eti tutakunywa maziwa.aya babu pigania urahis nitakupigia kura .anko jay😂😂😂