Msodoki Young Killer - A New Girlfriend Story (Official Video)

  Рет қаралды 2,145,671

Msodoki Young Killer

Msodoki Young Killer

Күн бұрын

#MsodokiYoungKiller #ANewGirlFriendStory
MSODOKI YOUNG KILLER SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.to/msodoki...
Follow Msodoki Young Killer On Social Media:
/ youngkillermsodokii
/ ymsodokii
Channel Administered by Slide Digital
/ slidedigitaltz

Пікірлер: 3 500
@crytonjimmy9412
@crytonjimmy9412 4 жыл бұрын
"NA ULIVYO MWEPESI KAMA TEBO YA PILI...." huyo ndo Young mwenye Killer zake🔥
@MunahKessy
@MunahKessy Жыл бұрын
Hii ngoma kwenye flesh yangu lazima uikute tuleik 2024
@youngchella4322
@youngchella4322 Жыл бұрын
This song anayesikiliza till now aweke like❤️
@ramadhansudi9237
@ramadhansudi9237 4 жыл бұрын
Mzee naElewA toka unaanza music Kama una mkubali Kiler Zaidii ya dondosha like hapo mzee
@lilianraymond3496
@lilianraymond3496 4 жыл бұрын
Duuuuu hufai broooooo like hata 3 jamani.nimemkabidh ngombe anilindie majaniiiii....
@dangotimosses6180
@dangotimosses6180 3 жыл бұрын
Big killer🚳🚷🚷🚷🚷
@salimduma3166
@salimduma3166 3 жыл бұрын
unajisema Lilian tumewakabidhi mtulindie majani nyie
@nicolenenickson6812
@nicolenenickson6812 10 ай бұрын
Bonge la ngoma miaka na miaka 🔥🔥🔥🚀🚀🚀
@samtz1399
@samtz1399 4 жыл бұрын
Budaaa... Ngoma kali kabla sijaangaria we mtu mbaya msodok,, like zenu kwa uy msukuma mazee
@mdbaru4443
@mdbaru4443 4 жыл бұрын
Young killer best rapper of all time.. Kama unakubali nipe like zifike hadi buku kwa ajili ya mkali huyu..
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 4 жыл бұрын
Fid Q anaimba taarabu au sio
@bonifacemtauka4327
@bonifacemtauka4327 4 жыл бұрын
Bonge ngoma bro this real hip hop in tz kwa sas on trendng 1
@jutoomaachurauklourownandy9175
@jutoomaachurauklourownandy9175 3 жыл бұрын
Yap am like every day
@nicolenenickson6812
@nicolenenickson6812 Жыл бұрын
Noma sana....!!!
@richardemmanuel598
@richardemmanuel598 4 жыл бұрын
Hii ngoma najua ina dis Kama zote Kwa wanaojilinganishanae😁😁😁 #my favorite rapper in East Africa
@iconskytz
@iconskytz 4 жыл бұрын
Young killer..... Like Kama unaelewa mambo yake 🇹🇿🇺🇬🇰🇪
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 4 жыл бұрын
Tunasubiria hii video ifikishe 1M gongeni like hapa
@2116-n
@2116-n 4 жыл бұрын
Msodoki Mdogo angu eeee, l'm older than you, lkn nasema hivi, "SHIKAMO YOUNG KILLER (MSODOKI)
@ramaccr7525
@ramaccr7525 4 жыл бұрын
John Mwandu 😂😂
@jayfourjofrey7129
@jayfourjofrey7129 4 жыл бұрын
Huy jamaa ni hatar Yan hii ngom kaandika kinomaaa du🔥🔥🔥
@goodluckmassawe1033
@goodluckmassawe1033 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ukubwa pesaa
@CaperAfrica
@CaperAfrica 4 жыл бұрын
"Aina za wanawake na tabia zao"pita na link hii kujua ... kzbin.info/www/bejne/eaayYpqYfrKXqdU
@utaliiwandani9267
@utaliiwandani9267 4 жыл бұрын
🤔🤣🤣
@leonardbugomba8548
@leonardbugomba8548 4 жыл бұрын
Mdogo wangu YangKila Umeaua sanaa hii Ngoma Lyrics-100%✅
@Mf-papchullo
@Mf-papchullo 4 жыл бұрын
I still listen to this Killer's song mpaka wa leo💙 Young killer is always gonna get respect from Kenya👊
@kakaisaack4014
@kakaisaack4014 4 жыл бұрын
Young Killer Msodooooki 👌👌, I'm watching from Kenya, ndugu zangu wa Bongo nipen likes aisee 💪💪
@jacquelinejohn5415
@jacquelinejohn5415 4 жыл бұрын
Aiseee bonge la song Umeuwa xana nimei❤️
@jutoomaachurauklourownandy9175
@jutoomaachurauklourownandy9175 3 жыл бұрын
Uakika 🇹🇿
@yasrumusa8804
@yasrumusa8804 3 жыл бұрын
@@jacquelinejohn5415 yakila
@gratianjoseph1375
@gratianjoseph1375 2 жыл бұрын
@@jutoomaachurauklourownandy9175 C,mu bp.b 🥰😋🥳🥳
@zainabmikidadi3753
@zainabmikidadi3753 2 жыл бұрын
Worry out bro👎👎
@edwingwesso6818
@edwingwesso6818 4 жыл бұрын
Jaman na mm naomba like hata 10 kwa kaka msodoki
@agustinoalex132
@agustinoalex132 4 жыл бұрын
Edwin gwesso nomaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaàaà godo anajua
@CaperAfrica
@CaperAfrica 4 жыл бұрын
"Aina za wanawake na tabia zao" pita na link hii kujua .. kzbin.info/www/bejne/eaayYpqYfrKXqdU
@hellenurio5096
@hellenurio5096 4 жыл бұрын
Kubali sana young killer u kill it broh respect....!!!
@jumaally5855
@jumaally5855 4 жыл бұрын
Nice
@joharijackson2672
@joharijackson2672 4 жыл бұрын
Og
@shaibumandova6108
@shaibumandova6108 4 жыл бұрын
Dogo ungekuwa mbele kwa nyimbo kali kama hizi ungekuwa billionaire lakini vijana wa bongo wanapenda bana pua. Ujumbe kuntu sana na hongera.
@AidanNyaumba
@AidanNyaumba Ай бұрын
Kabxaa
@zabronsimfukwe
@zabronsimfukwe 4 жыл бұрын
Tujuaneeeee mashabiki wa Killer gonga likeeeeeee
@chumatyres7586
@chumatyres7586 4 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma la hisia linalofaa kuchambuliwa kila mstari kama unakbaliana na mm nipe like
@lawiwagosho3231
@lawiwagosho3231 4 жыл бұрын
Most complete Swahili rapper...more love from 🇰🇪🇰🇪
@TheSwahiliDaily
@TheSwahiliDaily 4 жыл бұрын
Naam Young killer msodoki...Tupiteni huku jamani na malikes
@revoorevoo1198
@revoorevoo1198 4 жыл бұрын
Shikqmoo big killer
@evara_vevo7927
@evara_vevo7927 4 жыл бұрын
"Sio kila YOUNG ni Killer"....💥💥💥💥💥
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 жыл бұрын
Hhhh uwezo unajieleza au sio, Lunya aukalie mbal sn uwu 🔥, kwnz amuweze maarifa kwnz nd aje afkirie level izi....
@abdulrahimsufinakupendasan7539
@abdulrahimsufinakupendasan7539 4 жыл бұрын
Hii ngoma nimekuangalia mara mbili mbili sana. Kama. Wewe pia. Umefanya ivyo. Coment. Reply. Na gonga like twende sote.
@ibbyflavour5605
@ibbyflavour5605 4 жыл бұрын
🙌 hata jina lina stahili kuwa lako wewe Ni KILLER💥💥💣
@latiphibrahim
@latiphibrahim 4 жыл бұрын
Naiona hit song hapa, who else sees? Press 👍
@januarypaulo1914
@januarypaulo1914 3 жыл бұрын
hiyo ngoma kali sanana we nomaa sanaa
@juliusjulianho7254
@juliusjulianho7254 4 жыл бұрын
Kama kweli anamkubali Y,killer kwa michano,,, gonga like twende xawa guys,,.
@kelvinmasha2360
@kelvinmasha2360 4 жыл бұрын
Msodoki...creativity miakwa mia...yaaani apa this song inathamani ya taji👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ++🇸🇸🇸🇸🇸🇸....tunakubali saanaa like zishuke
@josephmuya3596
@josephmuya3596 4 жыл бұрын
Great rapping style. Nice Beat. Nice video. Great production. I love the song from deepest part of my heart. Young Killer you did the best brother. Keep it up.
@saadkallembe3825
@saadkallembe3825 4 жыл бұрын
Young mweke killer zake, mitaa imetulelea kipaji, maudhui, dhamira, wahusika bila kusahau msimamo wa mwandishi, japo umtokea puani! Hili ndio tawi la fasihi(sanaa), lenye kulenga hadhira kulingana na muktadha wa jamii lengwa..!!
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Killer umeuwa sana kwenye hii🔥🌹. Mafans wa youngkiller kujen hapa🙌💔
@rayantiger1727
@rayantiger1727 4 жыл бұрын
Yan ww unapenda like Kama chakula vile
@aleekay4536
@aleekay4536 4 жыл бұрын
Killer 💯🔥
@pandalyrics6617
@pandalyrics6617 4 жыл бұрын
He's the best for sure
@miriamkimwaga7180
@miriamkimwaga7180 4 жыл бұрын
unapend like kwa ibra na konde boy umeomba like uku pia upo
@zashamloli1233
@zashamloli1233 4 жыл бұрын
Me nkomet kbxx kaz mzr
@ahmedsalehe9489
@ahmedsalehe9489 7 ай бұрын
Msodoki popote ulipo bro, Tunahitaji hit song kama hili
@geelblessedone6071
@geelblessedone6071 4 жыл бұрын
Since wayback Dear Gambe mpaka leo my New Girlfriend story is not easyy..Killer dem bro Your magnificent super dupa fan ever👑
@thadeiglorims8775
@thadeiglorims8775 4 жыл бұрын
Dogo umeua.
@gabosmoke5404
@gabosmoke5404 4 жыл бұрын
kwa ma young ote killer ndo baba lao kama unaamini hilo gonga like twende sawa 🇰🇪
@sundaykomba1327
@sundaykomba1327 4 жыл бұрын
Kabisaaaaaaaaa
@mariammapande6556
@mariammapande6556 4 жыл бұрын
Haipingwiii yan
@CaperAfrica
@CaperAfrica 4 жыл бұрын
"Aina za wanawake na k zao" pita na link hii kujua .. kzbin.info/www/bejne/eaayYpqYfrKXqdU
@khalifayahaya1491
@khalifayahaya1491 4 жыл бұрын
Bonge ra ngoma Hadi nimetowa machoz Yasha wahi kunitokea wakenya mpoo kimya
@Blvckberii
@Blvckberii 4 жыл бұрын
More love from Kenya Young Killer Msodoki this is lit
@msafirijumanne5606
@msafirijumanne5606 4 жыл бұрын
G
@Yessjamal
@Yessjamal 4 жыл бұрын
DAH NIMEFUNGA LAKINI NIMEANGALIA NIPE LIKE YANGU 🔥
@utaliiwandani9267
@utaliiwandani9267 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mendempoletv7579
@mendempoletv7579 4 жыл бұрын
Daah Aisee young killer nahisi umenipatia kile nilichokua nakiwaza I like Song like kama na ww umeikubali kama mm
@Yussuf3145
@Yussuf3145 4 жыл бұрын
Yaani mistari ziko Sana kwako kaka, Chana Kabisa bro.. 🇰🇪
@DirHassan
@DirHassan 4 жыл бұрын
Nani amefeel line za #Blue #Mapozi,,gonga like tutambae pamoja! Umerudi killer, boom sana hii💥💥💯
@lein4165
@lein4165 4 жыл бұрын
Yoh killer... I cant count times ive watched this. THIS IS MORE THAN A HIT SONG, SALUTE MSODOKI
@pascalmbilinyi1190
@pascalmbilinyi1190 4 жыл бұрын
Nasikia juzi..... Na selee. Jamaa mkali sana wewe
@DekelvaSoujaboy-mb8ps
@DekelvaSoujaboy-mb8ps Жыл бұрын
ngoma kali sana hongera sana kijana wetu Never dissapoint Love from Drc Congo Lubumbashi
@viensthebarber6862
@viensthebarber6862 4 жыл бұрын
Killer yhu never dissapoint me since day one until now, besides that yhu talked really story I'm going thru with. watatokezea mayoung ila akuta kuwepo kama (Msodoki) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@muhamedialiy5469
@muhamedialiy5469 4 жыл бұрын
I see weedogo nishida
@MzeeKobe_254
@MzeeKobe_254 2 жыл бұрын
@@muhamedialiy5469 freshy
@clementsimon5291
@clementsimon5291 2 жыл бұрын
Dayoniz masoga mlembeza
@daddyboyz537
@daddyboyz537 2 жыл бұрын
Huyu kijana n fireeeeyaaaa moto manze
@ndamayapejr7725
@ndamayapejr7725 4 жыл бұрын
Hyuu Msukuma Mwenzangu xx hizi sifa mbona hii ngoma cyo ya inchi hii kaka Nakuona kama umezaliwa ulaya umejifunza tu kiswahili Daaah ngoma kali xna Hii hata J.Z akisikiliza anakupa Corabo 💪💪💪👏👏👏
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
Killer utaniua🔥🔥🔥🇰🇪
@edsonjumbe879
@edsonjumbe879 4 жыл бұрын
The best HIP HOP artist in Tz ukimtoa fid q na Joh makini kwa sasa
@mkemia_magege5816
@mkemia_magege5816 4 жыл бұрын
Hii ngoma Ni kali kinyama. Ameanza kumwambia mshikaji wake jinsi demu wake alivyo mzuri na anavyo mkubali. Baadae kageuka fasta na kumueleza mshikaji jinsi alivtobadilika na vituko anavyomfanyi mnyamwezi. Baadae aliamua kushusha pumzi na kushauriwa aongee na demu wake, Jamaa kapiga simu demu kapokea kwa mbwe mbwe utadhani yupo sahihi kwamba hana kosa. Jamaa alipoanza kumueleza ujinga wake demu anaonesha kweli kamfanyia ujinga mshikaji, demu akaendelea kuka kimya kusikiliza akichanywa ujinga wake Mnyamwezi amemaliza kumwambia kwa uchungu kinyama, eti demu anaomba msamaa. Dah! Mshikaji akauna huo Ni ujinga, hakujibu kitu, akabidi awashe gari na kusepa zake. Good song, good creativity, good Idea, good video and audio in all.
@cyriloluoch1543
@cyriloluoch1543 4 жыл бұрын
From 254 feeling the vibe...izo views infaa iwe zaidi!!! Grown killer msodoki
@iamemma5860
@iamemma5860 4 жыл бұрын
Aiseee brouh sijawahi ona idea na ngoma kali kama hiii....your the HIPHOP KING❤️
@Mtkpol
@Mtkpol 4 жыл бұрын
My Tz rapa napendaga Floww michano nomaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@samtheboytz.1234
@samtheboytz.1234 4 жыл бұрын
Nakubali msodok umetisha sanaaaaaaa
@sialoson4066
@sialoson4066 4 жыл бұрын
Young Killa tunajua Ni fundi was miamba haujawahi kuangusha🔥🔥 new
@godfreymahavile4688
@godfreymahavile4688 4 жыл бұрын
kama unaamini killer ndo young king gonga like twende sawa 👍
@summerboy9285
@summerboy9285 4 жыл бұрын
The story is really amazing....hahaa hiii Kali eeeh bwana eeeh
@japhetyanania8589
@japhetyanania8589 4 жыл бұрын
Safi, dogo ngoma Kali mwana big up"""
@edwingwesso6818
@edwingwesso6818 4 жыл бұрын
Kama unaamin nyimbo iko kimambele achia like
@manvex2214
@manvex2214 4 жыл бұрын
Duuu!!! Hay bana!!!!!!!!!but song# is🔥🔥🔥☄☄☄☄☄☄☄☄☄☄mzeee!!!!!
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
*Young mwenye KILLER zake* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Madogo woote mkae kando huyu killer sio mdogo tena
@therealmboyog9846
@therealmboyog9846 4 жыл бұрын
Wote naomba tu like hapa show love to young killer
@kigomakid74
@kigomakid74 4 жыл бұрын
🙏🙏
@manbravofitnessempire7041
@manbravofitnessempire7041 4 жыл бұрын
Ku like kwako ndo kushare love Kwa Young killer🤔 Muachage kujipigia promo zisizokuwa na maana Sa kupata like katka comment yako inamhusu nn young killer Labda ungenambia "wote tulike wimbo coz wapo wanao view bila Ku like "
@salehejuma464
@salehejuma464 4 жыл бұрын
Wewe man acha uzeche wewe
@rahimsadath1137
@rahimsadath1137 4 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
@@manbravofitnessempire7041 punguza gubu bro kha
@mapenzigona-p6l
@mapenzigona-p6l 2 ай бұрын
moto hii killer is the star one persone born
@AhmedMumbo
@AhmedMumbo 8 ай бұрын
Bonge la vidaa mwenyetu umeweza
@faizaboubacar5064
@faizaboubacar5064 3 жыл бұрын
Haipiti siku bila kusikiliza hi song #💥💣
@dicksonabel7481
@dicksonabel7481 4 жыл бұрын
Mchaneeee tuuuuuuu uyooo demmm ni mbupuuu @ young killer
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 4 жыл бұрын
Mkali wa mda wote 🔥🔥🔥 Young Killer
@samsonjanja5929
@samsonjanja5929 4 жыл бұрын
Oya tunaipandisha namab mmoja like one💪🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@The_real_African
@The_real_African 4 жыл бұрын
💯💯💯💯💯 mwamba nakubali sana
@kizzobinzelemed6198
@kizzobinzelemed6198 4 жыл бұрын
Walio irudia kuangalia Mara 2 #gonga like tujuane
@husseinbakary1969
@husseinbakary1969 4 жыл бұрын
Kizzo Bin Ze lemed mi x11
@kizzobinzelemed6198
@kizzobinzelemed6198 4 жыл бұрын
@@husseinbakary1969 nakubal
@jamesyuda5073
@jamesyuda5073 4 жыл бұрын
kwaleo hii mala ya7 naocheki
@dbmediatz5835
@dbmediatz5835 4 жыл бұрын
Kizzo Bin Ze lemed oya fanya kusubscribe youtube channel yangu kzbin.info/www/bejne/b3iwiad_rNR3rck
@mulwakelvin7479
@mulwakelvin7479 4 жыл бұрын
Mara ya 10 sai
@hamisahussein7353
@hamisahussein7353 4 жыл бұрын
Bonge la ngomaaa📸. "Na ulivyokuwa mwepesi utasema table ya pili"
@medavardy2514
@medavardy2514 4 жыл бұрын
Unajuw mpkAaaa unakerA achanA na wanao sema umeishiWa we unajuWaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@geofreymagugi1819
@geofreymagugi1819 4 жыл бұрын
Msodoki ni mmoja wa wasanii wachache wa hiphop waliobaki ...huu ni muendelezo wa hiphop tunayoijua toka enzi za 2Proud,Balozi Proff j...BigUp chief
@DenyoReigns
@DenyoReigns 4 жыл бұрын
Mapozi ya Mr Blue ndani pia, bonge la Idea Msodoki 🧘‍♂️🙏🙌
@mohammedaqifbharde3152
@mohammedaqifbharde3152 4 жыл бұрын
Bado sana try your best young boy kuwachambua hao wanao kukondeshaa duu!!
@bizbiz5023
@bizbiz5023 4 жыл бұрын
Story ni kali sanaaa hiii Hivi wale wa gonga like hapa lengo linakua ni nn hasa
@taufiqkimpa1652
@taufiqkimpa1652 4 жыл бұрын
Mtuatariiiiii
@mohamedissa7646
@mohamedissa7646 4 жыл бұрын
This is another level. Big up Msodoki
@shabanimagogo502
@shabanimagogo502 4 жыл бұрын
Nimerudia zaidi ya Mara 5 ngoma Kali
@hagailema5366
@hagailema5366 2 жыл бұрын
Two years later, this song still hits hard like yesterday release......sometimes I wonder if YK is fairly rated, way above a lot of rappers. 🔥🔥🔥
@michaelljackson1652
@michaelljackson1652 2 жыл бұрын
I wonder why they don't give ashit about him
@nabilmessi6281
@nabilmessi6281 4 жыл бұрын
This s a hit song ...mwanagu killer umekill... professional kill tenaaaa..
@matatasaid733
@matatasaid733 4 жыл бұрын
Mamaeeee kill ujawai fanya ngoma kali kama hiiiii wakat nsikiliza nimeimba baadh ya mistar na kupiga kelele sanaaaa!! Salute
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer 4 жыл бұрын
New girl friend 🔥🔥🔥🔥 G, haezi rudia tena😂😂💯
@tommythomas7861
@tommythomas7861 4 жыл бұрын
Daaah blo killer we ni moto mwingin aiseeeeeeeee
@leilapatel7403
@leilapatel7403 4 жыл бұрын
Nakukubali Sana young killer like yo name you killed it man,👏👏👏
@JaxsonLukuwi-hi8pr
@JaxsonLukuwi-hi8pr 7 ай бұрын
Hii nyimbo Ni bora Sana katika nyimbo za young killer hii kali
@masagaalfred3018
@masagaalfred3018 4 жыл бұрын
Mnyabi we ni mbaya, balaa 2pu Gusa like ka unamkubal msodoooki!!
@BarakaJames-s1w
@BarakaJames-s1w 9 ай бұрын
Dhaa hatalii Sana bro
@Mayatimatv
@Mayatimatv 4 жыл бұрын
Umemkabidhi ng'ombe akulindie majani 😂😂😂😂😂🙌🙌🔥🔥🔥🔥
@ed3ezekiel388
@ed3ezekiel388 4 жыл бұрын
Mistari kwenzi big up killer mwanza mwanza
@hamzahussein7041
@hamzahussein7041 3 жыл бұрын
Kuanzia hii ngoma itoke xijawai kuacha kuxikiliza kilaxiku ngoma Kali xana✊✊✊✊✊👊👊👊👊
@farajajuddy3871
@farajajuddy3871 4 жыл бұрын
Mmmh!!nimekaelewa sana!!"unajuwa mi sinaga swaga kabisa"!
@Nuyama1
@Nuyama1 4 жыл бұрын
Young killer umemkabidhi ng'ombe akulindie majani duh...!! ni bora uwe kama mimi ngumu zaidi ya ugumu wenyewe..
@allyallymakius1133
@allyallymakius1133 Жыл бұрын
Ni hatari sana yani ni fire
@benjaminkimaro6361
@benjaminkimaro6361 4 жыл бұрын
Young killer Nouma sana 🙌🙌🙌🙌🙌 💥💥💥 Kim's B papa
@abrahamamu5456
@abrahamamu5456 4 жыл бұрын
This a great work of art... Flow, Style, word-play, metaphors na kila kitu kimekaa fresh. His best work on my opinion. Safi sana...
@mohammedmohammed4945
@mohammedmohammed4945 4 жыл бұрын
Hiii goma kali atari msodoki yaaani hii goma uneuwa kabisa show love from New york city usa
@teenbamazaga9973
@teenbamazaga9973 4 жыл бұрын
Dah bonge la Idea 🤝🤝
@furahaenock9893
@furahaenock9893 4 жыл бұрын
Yes yes that’s my bro 🔥🔥🔥👐🏽👐🏽👐🏽👐🏽👐🏽👐🏽👐🏽👐🏽
@uhurusamora860
@uhurusamora860 4 жыл бұрын
Young killer nilishakwambiaga kuwa we si #young tena bali ni #Bigkilla
@alexerneus4282
@alexerneus4282 4 жыл бұрын
Nyimbo nzur sana young killer 👏👏👏
@nasriahmad5715
@nasriahmad5715 4 жыл бұрын
Dah naombeni ata like 1
@amanramadhan7197
@amanramadhan7197 4 жыл бұрын
Chukua hyo
@jacklinebrighton4596
@jacklinebrighton4596 4 жыл бұрын
Nakubal mzee baba
@goldiansig8965
@goldiansig8965 4 жыл бұрын
Daah yaani umeandika si kitoto hongera xn young killer
@yohanamgeyekwa4783
@yohanamgeyekwa4783 4 жыл бұрын
Kama young killer ni moja ya wasani wako pendwaaaa shusha like hapaa👇👇. Mm nishashushaaaa wazeee
Msodoki Young Killer - Exclusive Interview (Official Video)
3:22
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 1,2 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
Msodoki Young Killer - RUDIA (Official Music Video)
3:39
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 1 МЛН
Roma Feat Chid Benz - Nasikia Harufu   ( Official Video)
3:44
VIVAROMA
Рет қаралды 1,9 МЛН
YOUNG KILLER MIX 2023.
1:04:40
DJ OSEL
Рет қаралды 27 М.
Maxaa Ka Badali Kartaa
12:39
Sharma Boy
Рет қаралды 225 М.
TOXIC FT KONTAWA - MWAKANI
4:10
Toxic Fuvu
Рет қаралды 563 М.
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 212 М.
Conboi Cannabino TILL I DIE Official Video
3:17
Conboi Cannabino
Рет қаралды 390 М.
Msodoki Young Killer - SINAGA SWAGGER (remix)
3:58
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 1,7 МЛН
Stamina Shorwebwenzi Feat Bushoke - Machozi (Official Music Video)
4:44
Stamina Shorwebwenzi
Рет қаралды 2,9 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН