MSOMI WA DEGREE ALIYETAJIRIKA KWA KUFUGA MBWA HATARI, ANAO ZAIDI YA 300, MBWA HADI MILIONI 10

  Рет қаралды 26,642

Millard Ayo

Millard Ayo

3 ай бұрын

Пікірлер: 68
@unuc4100
@unuc4100 3 ай бұрын
Iyo hesabu ya wapi mtangazaji 16+8=30
@boscopeter6183
@boscopeter6183 3 ай бұрын
Hahaha ndugu mtangazaji kateleza tumsamehe bure
@hamismndeme9501
@hamismndeme9501 Ай бұрын
Napenda kuona watu wakiingia kwenye ufugaji bora wa mbwa. Safi ndugu yangu mringo
@johaivenemil2608
@johaivenemil2608 3 ай бұрын
Hivii Vipindii huwa ni vizurii sanaa kwenye hii channel ilaa napenda kutoa maoni yangu kwa haswa wanakuwa wanahoji they should atleast do some home work sababu apaa tukiangalia tunajaribu kutafta cha kujifunza wasiwe kama wanapiga story wawe na vitu crucial vya kuuliza iswe na wao wanashangaa they should atleast have something ili na watazamaji kupata madini ya kutoshaa
@mosespeter5618
@mosespeter5618 3 ай бұрын
Mimi nipo south Africa Pretoria hongera sana ndugu yangu nimkwel aina hii ya mbwa inabei sana nitatafuta mawasiliano yako kunakitu umeniongeza sana .
@mringoboerboel
@mringoboerboel 3 ай бұрын
Ahsante sana kaka karb sana
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 3 ай бұрын
MiMi niko jurbg ila nataka kuamia Pretoria wajina wangu mpaka jina la Baba yangu 🥰🥰🥰🇿🇦
@mringoboerboel
@mringoboerboel 3 ай бұрын
@@user-nb6yh2bn9y ooh aise naagiza sana mbwa hapo kak nikama second home
@Josephkisava
@Josephkisava 3 ай бұрын
Kaka naomba mawasiliano yakoo
@user-zu5ee3qe6u
@user-zu5ee3qe6u 3 ай бұрын
Haya na ww tafuta mbwa uje utuzie milioni3
@geofreymsofe4429
@geofreymsofe4429 3 ай бұрын
Hongera ndugu umejitahidi inabidi utafute na breeds nyingine
@nwntz
@nwntz 3 ай бұрын
Safi sana kijana mwenzangu ✊✊✊
@highlightboy255
@highlightboy255 3 ай бұрын
MSOMI WA DEGREE TATU ANAUZA NYANYA KARATU OYAA WANANGU TUPAMBANE TUJIAJIRI
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 3 ай бұрын
Ndiyo maana ya kusoma ili ujitambue.
@lefinhoAbubakary
@lefinhoAbubakary 3 ай бұрын
Boom Allah atuongezee kweny kaz ya mikono yetu
@KhalifaMustapha-lx7ni
@KhalifaMustapha-lx7ni 3 ай бұрын
Gongradulation 🎉 brother god stand with you on your business ❤❤
@aloycemathew3926
@aloycemathew3926 3 ай бұрын
Nakubari kakaaaa!!!!! Mringo hardweare
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 3 ай бұрын
Hao mbwa ni noma kabisa aisee, Wana hatari sana
@CharlesChizo-se2qt
@CharlesChizo-se2qt 3 ай бұрын
sio masihara hata me ndo kazi yangu hiii ukiona km dharau hv ila wanahela nzuri hao viumbe ooohoooo
@komboitembe9672
@komboitembe9672 3 ай бұрын
Ww uko wap mwana
@YogweMwakulola
@YogweMwakulola 2 ай бұрын
Yaani hamjui ata hesabu 8+16 ni 30 kweli ?
@dstar8454
@dstar8454 3 ай бұрын
goood sema mm nnamtafuta alabai dog nnaweza kumpataje?na shingapi hata kama ana miez 2 powaaa
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 3 ай бұрын
Rajab handsome
@user-zu5ee3qe6u
@user-zu5ee3qe6u 3 ай бұрын
Duh ni bora uweke cctv tu yaani milion2😂 akiugua ama kufa 😢
@RegobertoNyalu
@RegobertoNyalu 3 ай бұрын
Naomb namb yak
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 ай бұрын
NONDO WA ARUSHA Ndio Kiboko yao.
@eyezarc1239
@eyezarc1239 3 ай бұрын
Kuna mixer kook wengi pale
@dismasmtui729
@dismasmtui729 3 ай бұрын
Nondo aliniuzia mbwa mgonjwa nimehangaika naye mpaka amekufa juzi, nikanunua mbwa mwingine kumbe alicross na mbwa wa mtaani.Kwa hiyo ukideal naye unatakiwa uwe makini sana!. Huwa anachukua mbwa wa watu wengine halafu anasema ni wa kwake.
@benahdesigner
@benahdesigner 3 ай бұрын
@@dismasmtui729duuh jamaa sio kumbe
@SarahLyimo-wr3ed
@SarahLyimo-wr3ed 3 ай бұрын
Mimi nahitaji huyo mbwa nipe mawasiliano yakopls
@amrandonwayz3445
@amrandonwayz3445 3 ай бұрын
kaka pupy wako viwango sana ntarudi kuchukua wengine aisee
@mringoboerboel
@mringoboerboel 3 ай бұрын
Karb sana mkuu
@hmedoggftherljih199
@hmedoggftherljih199 3 ай бұрын
Bruh unahitaji elimu zaidi (dogshandler)
@mringoboerboel
@mringoboerboel 3 ай бұрын
Yes kk ni kweli bado najifunza
@jospehfabian7856
@jospehfabian7856 3 ай бұрын
16+8=30
@hellenmwemutsi841
@hellenmwemutsi841 3 ай бұрын
😅😅
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l 3 ай бұрын
Halooooo
@godlema6104
@godlema6104 3 ай бұрын
Kumbe mwenye degree nae nimsomi
@barakarobertmochungu
@barakarobertmochungu 3 ай бұрын
Sasa mbona mmeandika mbwa 300 badala ya 30
@abellymwambwiga
@abellymwambwiga 3 ай бұрын
Unapatikana wap
@mringoboerboel
@mringoboerboel 3 ай бұрын
Nipo dsm msongola
@allandavid870
@allandavid870 3 ай бұрын
Degree elimu ya kawaida siku hizi, huezi muita mwenye degree msomi
@Gamba81
@Gamba81 3 ай бұрын
Basi tumuite mvuvi
@IsaacMichael-fw4cx
@IsaacMichael-fw4cx 3 ай бұрын
Wewe unavyosema degree ndogo kwenu Kuna maprofesa wangapi?
@user-gy7mk8ur1f
@user-gy7mk8ur1f 3 ай бұрын
Ww sawa professor
@mosespeter5618
@mosespeter5618 3 ай бұрын
Yan duniani wenye wivu hawakosi nikuulize bongo kiwango cha awali kumuajili mtu Na kiwango cha mshahara cha level ya serikali nikipi upuhuzi Tu jamaa amepiga Tena economic salute kwake Sana 🎉
@IsaacMichael-fw4cx
@IsaacMichael-fw4cx 3 ай бұрын
@@mosespeter5618 kutokana na chuki na wivu wabongo wanapenda kukosoa Kila kitu ✓ ukinunua gari utasikia gari gani hili ✓ ukijenga utasikia nyumba gani ✓ ukioa utasikia mke gani huyo ✓ ukapata kazi utasikia kazi gani hyo Hawawezi kusifia wanaweza kukosoa tuu
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 3 ай бұрын
Congrats Rajab❤
@mringoboerboel
@mringoboerboel 3 ай бұрын
Thanks so much
@user-if8mb3xo8h
@user-if8mb3xo8h 3 ай бұрын
Mzee wa sotele
@mringoboerboel
@mringoboerboel 3 ай бұрын
Yes 😂
@dennisnyakilambo3992
@dennisnyakilambo3992 3 ай бұрын
wale wa mapema tujuane kwa likes
@samtechtanzania3252
@samtechtanzania3252 3 ай бұрын
bei gani namtaka mmoja
@mringoboerboel
@mringoboerboel 3 ай бұрын
2.5m
@kashuradiocles1068
@kashuradiocles1068 3 ай бұрын
Rajabu nakupataje aiseee
@tupacthedon7104
@tupacthedon7104 3 ай бұрын
16+8 =30 😂😂😂 Bado hamjasema😂😂
@himidiwekabuje8402
@himidiwekabuje8402 3 ай бұрын
😂😂😂
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 3 ай бұрын
Hawa huwa wanatimiza tu mashart ya waganga wao, ununue mbwa 5milion afu hio pesa utairudisha vip? Waongo sana hawa
@InnocentRichard-qs8ux
@InnocentRichard-qs8ux 3 ай бұрын
Sawa masikini ww
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 3 ай бұрын
Kiukweli kwenye hesabu sijamuelewa yaani bei yakununua kubwa kuliko yakuuza labda kama mbwa anazaa watoto 100
@AnziraniShirima
@AnziraniShirima 3 ай бұрын
@@sadikidaudi460 mbwa jike mmoja anagharim 5million faida kwake ni watoto watakao zaliwa na mbwa jike huyo mfno jike kazaa watoto sita kila mtoto 2million lazima apate faida
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 3 ай бұрын
Kama wewe si mfugaji utakuwa na mawazo hayo. Kwa sisi wafugaji kwa bei ya hao mbwa faida lazima upate. Hao mbwa wanapendwa sana na wafanyabiashara kuinda mali. Sasa amenunua miloni 5 na ni jike. Akizaa watotoo 10 awamu ya kwanza @2,500,000/= anapata milion 25/=. Na mbwa anazaa mara 3 kwa mwaka. Vipi hapo faida hakuna?
@Jiuspeack
@Jiuspeack 3 ай бұрын
nahitaji mbwa wa bure
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Nenda jalalani wako kibao
@user-jm8tr2ex4m
@user-jm8tr2ex4m 3 ай бұрын
😢😢😢😢
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 3 ай бұрын
Mbona wako wengi tu
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd 3 ай бұрын
😂😂​@@FahadAbubakari
MTANZANIA MWENYE NG'OMBE ANAYEUZWA MILIONI 12 'NAUZIA MBWA MAZIWA'
7:18
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
MFANYABAISHARA ARUSHA AJENGA HOTELI YA KULAZA MBWA WA WATU WENGINE
19:14
FAHAMU KUHUSU MBWA AINA YA BOERBOEL DOG
1:29
Mifugo Tanzania
Рет қаралды 147
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН