KIJANA MDOGO BILIONEA, AJENGA JUMBA LA BILIONI 1, ANAUZA DAWA "NILIACHA KAZI SERIKALINI WAKANISEMA"

  Рет қаралды 167,142

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Anaitwa Amelye Mhagama kijana mwenye umri wa miaka 34 mfamasia aliyekuwa akifanyakazi serikalini kwa miaka saba tangu 2010 hadi 2017 na kuachana na kazi za serikalini
Mwaka 2017 alianza kujitafta kwa ufungua maduka ya dawa za binadamu na safari yake ilianzia mkoani Dar Es Salaam na sasa ni miongoni mwa vijana waliojipata anamiliki maduka makubwa ya Dawa Dar Es Salaam, Arusha na Dodoma ambako amejenga nyumba ya zaidi ya Bil.1 na ameiweka nje ya mji lakini sisi tumemtafta ili atupe ukweli kuhusu kumiliki nyumba hiyo ikiwemo safari yake ya maisha

Пікірлер: 377
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 6 ай бұрын
Kiufupi dawa zinalipa kuna jamaa yangu tuko naye hapa Kigoma alianza biashara hiyo 2001 leo yuko mbali Sana hakuwa mtu wa Serikali alimaliza Pharmacy akajitoa kwelikweli mtaji aliupata baada ya kulima nyanya na matikiti maji na biashara ndogo ya kulangua mzaao na kuuza.
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 6 ай бұрын
Haya jamani walio jenga nyumba tunaziona .mwijaku mdg wangu wanaume wenzako unawaona hao.hawana mambo mengi wala maziloooo.hongera sana sasaiv matajiri vijana wadogo sana mungu 🙏 akubariki🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nolascomugalula6098
@nolascomugalula6098 3 ай бұрын
Mamake nilifanya naye kazi, ila watu wa njombe wapo vzr sana kwenye nidhamu ya pesa
@benedictaustard5583
@benedictaustard5583 11 ай бұрын
Kuna kitu gani kimewasukuma kumhoji!. Kuna kitu kimejificha hapo!. Hiyo historia yake ni rahisi sana kuwa uhalisia!.
@user-ev8kp3lb8e
@user-ev8kp3lb8e 11 ай бұрын
Kabisa
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 11 ай бұрын
Kabisa
@mrpeeh8739
@mrpeeh8739 11 ай бұрын
Sure 😊
@grevinmgaya9237
@grevinmgaya9237 11 ай бұрын
Marketing
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 11 ай бұрын
Wavejaaaaa👏👏👏👏👏🎯🎯🎯🎯
@riddi676
@riddi676 7 ай бұрын
Jengo bilion, kufungua office mbagala dom arusha, kununua na kuuza for 3 years only??!! Jamani hata kama ni hard worker hebu mtupumzishe kidogo wote biashara tunafanya.
@juliuscharles2574
@juliuscharles2574 6 ай бұрын
😂😂
@dilliwa
@dilliwa 5 ай бұрын
Huyu jamaa haelezi huo mtaji umekuaje haraharaka hivyo..... Tumpe muda....
@jumayusuf2684
@jumayusuf2684 5 ай бұрын
Dawa labda za 💤
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-sr3eo8mv7c
@user-sr3eo8mv7c 5 ай бұрын
Wakinga hao hatushangai na Wala usipite pressure
@emanuelkisanga3429
@emanuelkisanga3429 11 ай бұрын
Nadhani angehojiwa na mwandishi mwingine tungepata content nzuri zaidi.
@ramadhanimwendapole8265
@ramadhanimwendapole8265 10 ай бұрын
Ahsante sana mengine yote huo sichunguzi mm huwa nasikiliza nn kinasema your so genius brooh thanks
@user-mt1ep9eu4e
@user-mt1ep9eu4e 11 ай бұрын
the way u speak abt ur brother shows hw much u appreciate his support, nevr leave him behind...huyo ndo CPU wako ktk mafanikio yako
@JamesWaweru-sj7lr
@JamesWaweru-sj7lr Ай бұрын
🔥🔥🔥
@JamesWaweru-sj7lr
@JamesWaweru-sj7lr Ай бұрын
🔥🔥
@kijanamwepec1456
@kijanamwepec1456 11 ай бұрын
Story mzuri, Ila iko hafifu Sana kuhamasisha Uma. It takes not less than 10yrs to do something big .
@daudimkuki8018
@daudimkuki8018 11 ай бұрын
Motivation speaker 😂😂 Kuna vitu havisemwi babu
@m404msigara7
@m404msigara7 11 ай бұрын
​@@daudimkuki8018😂😂ila ndio ukweli sasa
@salomemuza8509
@salomemuza8509 11 ай бұрын
Amelye hongera sanaaa,unyenyekevu,utii,bidii na kutokukata tamaaa vimekufikisha ulipo. Labda ningekuwa sikufahamu ila dah! Ulijinyima vingiii ili yako yaende. Mungu aendelee kukufanikisha🙏 MANENO HATA KWENYE KHANGA YAPO!....KAZI IENDELEEE......
@solomonadams6337
@solomonadams6337 7 ай бұрын
mimi niko Uk mwaka wa 21 wewe una akili za English man time is better then money...💯👌
@musicbilali
@musicbilali 10 ай бұрын
Hongera sana brother nzotta pharmacy, hii ni hatua kubwa na unatuhamasisha sana, mimi nimefanya biashara na wewe natambua bidii yako
@ezekielsaiyelelkereri4009
@ezekielsaiyelelkereri4009 11 ай бұрын
Namfahamu mpambanaji Nzota pharmacy. Kongole sana Mhangama
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 11 ай бұрын
Naufaham huu MJENGO ndo njiayangu sema mmiliki nlikuwa cmjui hongera sana braza INAWEZEKANA
@amelyemhagama3997
@amelyemhagama3997 11 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 tuonane soon
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 8 ай бұрын
@@amelyemhagama3997 pamoja sana bro
@Michoarbah
@Michoarbah 11 ай бұрын
Vijan awatak kabsa kusikia story kama izi ila kikubwa ni inspiration
@amelyemhagama3997
@amelyemhagama3997 11 ай бұрын
Its seriously wanaelewa its impossible,, 👍👍
@wilsonkihwele5766
@wilsonkihwele5766 11 ай бұрын
Mwongo sana huyu jamaaa mungu tusaidie kuwa wakweli
@liliansangali2156
@liliansangali2156 11 ай бұрын
UONGO WAKE NI NINI?
@ammylaza6699
@ammylaza6699 11 ай бұрын
Hapo kwenye shule katupigaa....... 2008-2010 clinical medicine...... kaajiliwa kama Medical Attendant. 2011 karudi diploma 2014 kamaliza akaongeza shuleee akafungua duka akawa yuko chuoo anaendelea na dukaaa . Anyway kainterview hapo angekarekebishaaa .. hongera sanaa lkn kwakwelii kwa kazi nzuri
@pauljohn1411
@pauljohn1411 10 ай бұрын
Hapo NDIPO kanichanganya kabisa.... Hiyo Clinical Medicine, imesomwa miaka mingapi..... Duuuuu
@pauljohn1411
@pauljohn1411 10 ай бұрын
Tukapanga tuifanye hotel then anaulizwa mko wangapi kwa huu mjengo, anasema tupo hati inaonyesha jina langu.... Ukiwa cloned utahangaika Sana.
@mariamsemwaiko8169
@mariamsemwaiko8169 6 ай бұрын
​@@pauljohn1411ndugu wa mtu serikalini
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 ай бұрын
Kwenye floor yake ya shule Mimi ndio sijamuelewa kabisa,ananichanganya haeleweki. kasoma CO at the end kaenda Fanya kazi as a Matt, why?
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 ай бұрын
Others wise atuambie kama alicheza disco akaangukia medical attendant
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 11 ай бұрын
Namfahamu, he is a nice and hardworking gentleman💪💪💪💪
@yousport7050
@yousport7050 11 ай бұрын
unamfahamu kumbe 😃
@amelyemhagama3997
@amelyemhagama3997 11 ай бұрын
Asante sana Dr pamoja sana ,,
@morganbrighton1552
@morganbrighton1552 10 ай бұрын
@@amelyemhagama3997congrats bro
@yordanyona1234
@yordanyona1234 7 ай бұрын
Siku zote ukijituma unafanikiwa ...huyu kama Mimi tu ...nitafika huko
@stephenmwakasonda892
@stephenmwakasonda892 6 ай бұрын
Bro alitimuliw chuo mwaka wa pil mm nkiw wa kwanza check Leo mungu nkampa kitu licha ya changamoto zote alizopitia
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 11 ай бұрын
Jamaa yupo vizr ofc yake naijua arusha❤
@Jackylmariam-qy6qe
@Jackylmariam-qy6qe 11 ай бұрын
Mnaosema ana undugu na Yule mama waziri sidhani Ila uyu Kaka alikuwa na Hali ya kawaida Tena alikuwa hana hata gari kipindi anafanya kazi kimara hospital juhudi iheshimiwe hongera sana
@amelyemhagama3997
@amelyemhagama3997 11 ай бұрын
Nashukuru sana kwa kunikumbuka tupo pamoja sana In God we trust
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 11 ай бұрын
​@@amelyemhagama3997hongera
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 9 ай бұрын
Swali moja, ni ndugu yake Jenister Mhagama au la?
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 11 ай бұрын
Dawa inalipa sana...location plus usimamizi= unatoboa
@oliveramani5629
@oliveramani5629 11 ай бұрын
Hongera muhagama nimekuona umejitahidi
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Ila katajirika mapema. Ila ukiwa na nidhamu na hela unaweza. Namkumbuka dada mmoja mume wake alikuwa dereva wa malory akawa anasema nitajenga gorofa. Watu wakawa wanacheka. Lakini alianza kujenga taatibu akafanikiwa floor ya chini. Sasa anaanza juu.
@ElisioVicenteMadimba
@ElisioVicenteMadimba 11 ай бұрын
Mwiaka kidogo sana umefeli kimaisabu brow, unadanganya.
@batonkabuka5039
@batonkabuka5039 10 ай бұрын
Kama humjui kaa kimya sio lazima u comment, kijana Hongera, its me kijana wako wa kaigo nakujua A mpk Z hadi mama ako kanifundisha😂😂😂😂😂
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 9 ай бұрын
Akii hela wewe!! Hongera sana kijana.
@happinesszuberi7364
@happinesszuberi7364 5 ай бұрын
Miaka 34 Mbona Mzee hvyo na mim na miaka hyo hyo na mwanamke na Zipo hvyo pamoja na kuzaa
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 11 ай бұрын
Congratulations brother,your commitment and dedication teach me something.... Well done brother I love you discipline and your humbleness 👌👌👌💪💪💪
@amelyemhagama3997
@amelyemhagama3997 11 ай бұрын
Pamoja sana mwanangu ,,,
@leandrymmassy9916
@leandrymmassy9916 11 ай бұрын
STORY haina uhalisia hata baadhi ya maswali ya mwandishi yanaonesha ana doubt kama niliyonayo. 2017 to 2023 now return zake serekalini zinasomaje.
@emmanuelsipendi5625
@emmanuelsipendi5625 11 ай бұрын
Jamaa anaongea lakini hayupo comfortable. Ni vigumu mno kufanikiwa kiasi hicho kwa muda mfupi bila kupata sapoti nyingine.
@anithanithaa2651
@anithanithaa2651 11 ай бұрын
Nmeona pia Hayuko comfortable ni kama anatafta Kuunganisha point
@mahadmohd9138
@mahadmohd9138 11 ай бұрын
Hapana huyu jamaa namjuwa Hadi mizigo ya dawa nilikuwa nampelekea
@petermsigala8187
@petermsigala8187 11 ай бұрын
Kuna tofauti kati ya professional speaker na business man , kama huyu . I know him very well , ni hustle zake kama alivosema
@limbisa891
@limbisa891 10 ай бұрын
wizi
@dannysengata2298
@dannysengata2298 6 ай бұрын
Wewe akili Yako umeifunga sana....pole
@user-wr2mx9mr3b
@user-wr2mx9mr3b 10 ай бұрын
Mungu akubaliki unapambana kijana
@eskalade486
@eskalade486 11 ай бұрын
Achane malala miko fanyen manavyo weza mpate ela sio nyoko nyoko mala nyoko welala mika mwenzako analala golofan
@floramlowe7078
@floramlowe7078 11 ай бұрын
Sisi watu weusi ni wapumbavu kwas tunaamini kila anayefanikiwa katumia ushirikina ila angekuwa mzungu wangekubali lkn tunaamini ukiwa na nidhamu ya pesa na malengo na hauna wanao kutegemea unaweza kufanikiwa tuache imani potofu tujifunze kwa wenzetu ili tufanikiwe
@emmanuelmkelehe366
@emmanuelmkelehe366 11 ай бұрын
humble man i appreciate you bro
@noelkivamba5526
@noelkivamba5526 10 ай бұрын
Leo nmepata something new kwa uyu mwamba mim CO nkiamua naweza kumbe😅😅
@saeedamour5483
@saeedamour5483 6 ай бұрын
Uza dawa
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅.....jichanganye.
@mbaruksaid5775
@mbaruksaid5775 6 ай бұрын
Hongera sanaa tunajifunza kutokea kwenu
@HagaiRodrich
@HagaiRodrich 5 ай бұрын
Mimi sna elim ya engirish
@JumaHassan-ws6tv
@JumaHassan-ws6tv 5 ай бұрын
huyu jamaa namfahamu kabisa yani me ni fundi nishawai kumfanyia kazi zake sana yani
@leaherasto929
@leaherasto929 10 ай бұрын
Kila kitu kinawezekana vijana tupambane uku tukimtanguliza Mungu mbele kwenye kila jambo
@hekimaluvanda5391
@hekimaluvanda5391 10 ай бұрын
Huyo mtu wa Iringa. Kuna Mkinga mmoja alifungua Duka la kuuza Mifuko ya Visarufet rejareja kariakoo, wenzake walimcheka sana lakini baada ya mwaka, jamaa duka lake likakua , akaanza kuuza viroba kwa jumla jumla kutoka rejareja, na mzigo ulitoka china😂chezea watu kanda ya southern Highlands.
@Mrauto12679
@Mrauto12679 7 ай бұрын
Simulizi ya nje tofauti na uharisia wa maisha yake
@dottomarikatv780
@dottomarikatv780 5 ай бұрын
kweli
@MagrethMussa-hm3qm
@MagrethMussa-hm3qm 5 ай бұрын
Hongera sana brother
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 11 ай бұрын
Vijana tufanye kazi maana kuna vitu ukivitafuta sana unaweza kuona unakosea,ila sisi tuwekeze nguvu zetu katika kujiwekeza,sio kuchkua maisha ya wengine maana huwezi jua yaliyomo,mambo ni different kwa ground
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 11 ай бұрын
Facts man
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 6 ай бұрын
Wapo watu hapa hawana hata laki na wanajipa moyo watajenga nyumba kama hii 😅😅 msikilize Mwamba ANAPIGA KAZI acha uvivu
@samoomwashumbe653
@samoomwashumbe653 11 ай бұрын
<a href="#" class="seekto" data-time="243">4:03</a> humble boss that i know...Big up broo mhagama
@msungumwilapwa4234
@msungumwilapwa4234 11 ай бұрын
Yaah ni story flan ukiisikiliza haina uhalisia, kwa biashara kwa mda mfupi hivyo, ukiweka na investiments za kuanzisha biashara kwenye mikoa tofauti tena kila mwaka, na kama unayojua kila biashara ukifungua inahitaji mtaji, na wakati huo huo unakuwa unajenga na kama ujuavyo hela ya ujenzi hairudi, sawa kama unasema hatuwezi kubisha ila kukubali ndo tuachie sisi.
@josephineokama2200
@josephineokama2200 11 ай бұрын
mi mwenyewe nimebaki natumbua tu macho ni duka la dawa nimefungua mwaka 2017 mpka sasa mbona sijatoboa kama yeye jaman
@godfreymhagama-fp6yl
@godfreymhagama-fp6yl 10 ай бұрын
​@@josephineokama2200😂😂😂😂 Sasa mm sijakuelewa unajiringanisha kwa kipimo kipi duka lako liko wapi ulianza na mtaji wa kiasi gani. Usipaniki bhana
@josephineokama2200
@josephineokama2200 10 ай бұрын
@@godfreymhagama-fp6yl sasa hiyo mbinu aliyoifanya akatoboa sasa ndo naitamani hapo.kutoka medical attendant mpka duka la dawa atimaye mapharmacy jaman nyie
@Mwenyekiti1118
@Mwenyekiti1118 11 ай бұрын
Mbona siyo Mkweli yaani usome clinical officer halafu uajiriwe kama medical attendant
@kalmaarufuofficial74
@kalmaarufuofficial74 10 ай бұрын
Kaka mtu anaeza ajiriwa kwa mshahara mdogo lakini awe anaingiza Hela nyingi sana kutokana na biashara zake ndogo ndogo
@abdulhassan9760
@abdulhassan9760 9 ай бұрын
​@@kalmaarufuofficial74 hapo ishu sio kuajiriwa cheo kidogo. Hapo utata unaanza pale alipo sema amesomea clinical medicine ( ambayo ni diploma ya udaktari) halafu Awe anafanya kazi za usafi hospitalini wakati elimu yake halisi hatakiwi kufanya hicho kitu popote pale. Mimi nimesomea clinical medicine najua hapa jamaa katudanganya pakubwa sana
@irenecharles6111
@irenecharles6111 11 ай бұрын
Boss la maboss🔥🔥🔥
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 11 ай бұрын
😂 Ila After All of that Tayar anamiliki Mjengo Wa Maana na kibunda kipo Muim n Binadamu upate Mahitaji matatu muim ya Binadamu kila mtu atatafta kwa style ake na atapata kwa style ake Sio wote tutapata wengne tutaishia Kupanga wengine watapata mali kama mwamba apooooh Tuache makasiriko 😅
@dossmonster4084
@dossmonster4084 11 ай бұрын
Jamaa kaongea kitu muhimusana
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 11 ай бұрын
Na kuhusu umri katucheza
@amirishauur5795
@amirishauur5795 11 ай бұрын
Okoz ila U40
@user-ov6pb1nx8u
@user-ov6pb1nx8u 11 ай бұрын
Kabisa...
@FarhiyaThani-yc5et
@FarhiyaThani-yc5et 11 ай бұрын
Kwa kwel
@julianapeason6254
@julianapeason6254 2 ай бұрын
@@FarhiyaThani-yc5et acheni chuki, atakuwa mdogo sana huyu
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 11 ай бұрын
Kuna ulioacha kuzungumza iko nyuma ya pazia rudi mbele ya kamera uelezee vizuri bhanaa msema kweli ni mpenzi wa mungu kaka
@Michoarbah
@Michoarbah 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 11 ай бұрын
Hahahahahah Aki waja
@VictorHassan-nr2ef
@VictorHassan-nr2ef 11 ай бұрын
Hilo jengo lipo Kona yavitanda jirani shule yasantimely
@amelyemhagama3997
@amelyemhagama3997 11 ай бұрын
@@VictorHassan-nr2efits true tupo hapo karibu soon sana tutaanza matumizi
@EDGARBARAKA-fz8cz
@EDGARBARAKA-fz8cz 11 ай бұрын
Nothing is true here
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 11 ай бұрын
Matumizi umeelezea point Sana ✌️✌️
@trendtv3323
@trendtv3323 11 ай бұрын
JAMANI SEMA KWELI MOAKA NIMECHOKA SIAJELEWE CHOCHOTE ATA CONNECTION HAIENDANI KABISA SASA ACHA NITAFUTE PESA NIJUAVYO MWENYEW😅😂😂😂😂
@mcgabby
@mcgabby 11 ай бұрын
Yaani Bongo bana, Mnatupanga sisi tuwe na nizamu alafu mnaenda kutuzunguka mnapata pesa kwa njia nyingine😂😂😂
@rukandizastephen1390
@rukandizastephen1390 11 ай бұрын
Na wewe si uzunguke mkuu😅
@mcgabby
@mcgabby 11 ай бұрын
@@rukandizastephen1390 Aaaaah wao wanatushauri vingine alafu wao wanaenda kufanya vingine 😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 ай бұрын
Hap inaitwa changany na zako
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 11 ай бұрын
Kila jitihada inalipa napia Anapewa uwezo na Mwenyez Mungu hakuna wakuzuia biashara yeyote ukifanya Kwa nidhamu kipato utapata kikubwa Rehema za Mwenyez ndio kila kitu hakuna jingine maana wengi wetu baadh tunatafir nyingi nk,
@amelyemhagama3997
@amelyemhagama3997 11 ай бұрын
Amen 🙏
@alristv3599
@alristv3599 4 ай бұрын
Daaah very interesting story
@itikamwasimanga4202
@itikamwasimanga4202 10 ай бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana kwako
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 11 ай бұрын
Mwenye pesa huwa haongei mitandaoni kujitangaza , wapo akina kishimba wanamiliki mipesa na vitu vikubwa kuliko hivyo ila hawajitangazi kwasababu mafanikio ni siri
@bossandingy412
@bossandingy412 11 ай бұрын
Umejuaje kama kishamba ana pesa ? Si alihojiwa na hawahawa Ayo Tv
@tobiasrocks2339
@tobiasrocks2339 11 ай бұрын
acheni kunungnika pgeni kazi ni matesii😄😄
@user-di5fw2cq7m
@user-di5fw2cq7m 10 ай бұрын
Mshkaji anapambana kweli tukubali
@Udindigwa
@Udindigwa 11 ай бұрын
Point Tupu Kabisa
@benkitwae6099
@benkitwae6099 11 ай бұрын
Kumbe ni mtu wa njombe imeisha iyo 😂😂😂😂
@user-ev8kp3lb8e
@user-ev8kp3lb8e 11 ай бұрын
Kwamb nin😅
@user-bd6kp6tq4b
@user-bd6kp6tq4b 11 ай бұрын
Njombe wana nin mkui...?
@judithwililo7727
@judithwililo7727 11 ай бұрын
Kwamba tukoje?
@geofreyndambo8635
@geofreyndambo8635 11 ай бұрын
Njombe Wana displine sana na pesa
@HidayaBomani
@HidayaBomani 2 ай бұрын
Great 👍👍👍👍👍
@pandecomputers2202
@pandecomputers2202 10 ай бұрын
Kumbe ndio huyu, aise amenunua Nyumba mbili mtaani kwetu sinza anataka kushusha apartment
@user-gw7fu9pu7d
@user-gw7fu9pu7d 11 ай бұрын
Sema Tanzania Bana.. Mimi Tanzania nchi yangu.. Hila mje Kampala mwuone watu wanavyojenga kuanzia gorofa 10..hila kwa tanzania ukijenga nyumba Kama hiyo watu wanakushangaa sana
@danielmwita2136
@danielmwita2136 11 ай бұрын
🤣🤣 Jenga wewe huku, kisha utupe mfano. Ulivyoandika mtu anaweza fikiri Uganda ni first au second world country. Hapa kinapofanyika ni kujenga motivation na kuonyesha inawezekana
@kondoatown8765
@kondoatown8765 11 ай бұрын
Huyo kijana ukisema wanaojenga maghorofa wapo , unamjua Bakhresa, MO, na wengine
@zakatumbuka8856
@zakatumbuka8856 6 ай бұрын
Story Ina scratch scratch haivutii! Kuna mahala white inafichwa!?😢
@user-bw9rt1cq3e
@user-bw9rt1cq3e 11 ай бұрын
Wabongongo tumejaa na wivu tupambane mbona hayo mafanikio yanawezekana tu
@amryayoub1194
@amryayoub1194 11 ай бұрын
Hawa ndo wanafanya vjana tunakuwa na depression ya maisha kumbe wanapita mishortcut
@daudimkuki8018
@daudimkuki8018 11 ай бұрын
😂😂
@eliasmbise4328
@eliasmbise4328 10 ай бұрын
😁😁😁
@Msafirimakini
@Msafirimakini 9 ай бұрын
Akina Mr vimbao
@alfredshemkai7696
@alfredshemkai7696 5 ай бұрын
Kwahiyo mkuu despensary iliishia wapi?
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 11 ай бұрын
Hongera!
@mwalimusalanga
@mwalimusalanga 11 ай бұрын
Caigo Boyz wandewa kigonsera 🎉
@kiungonazareno7080
@kiungonazareno7080 5 ай бұрын
Ni mkaigo huyo kumbe🎉
@oliveramani5629
@oliveramani5629 11 ай бұрын
Safi sana kaka by isaya
@user-jl1hh1lc8z
@user-jl1hh1lc8z 11 ай бұрын
hongera sana kaka na Mungu azidi kukuongezea maokoto kama yote
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 11 ай бұрын
MAELEZO YAKE HAYAINGII AKILINI KABISA UKIRINGANISHA NA ALICHONACHO HAPO NA UPATIKANAJI WAKE WA HELA HIZO!!HATA KUJIELEZA HAJUI !! TUNAOKUJUA WEWE NI MDOGO WAKE NA JENISTA MHAGAMA !!PESA ZIMETOKA SERIKALINI STRAIGHT!!NIMEMALIZA MM
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 11 ай бұрын
Okay baada ya kumaliza kuandika hiki umeingiza sh ngapi? Nawe kuwa mdogo wa Mhagama basi. People can't think positively rather than kukosoa kosoa tu😢
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 11 ай бұрын
​@mxofmfk8406 but I appreciate kusema mdogo wake kibosile obviously kasaidiwa. Hii inatufundisha usione majengo yamesimama ukafikiri ni rahisi. Wengine Wana mikono Mingi ya kuingiza pesa
@ipatemedia
@ipatemedia 11 ай бұрын
Yaan clinical medicine alafu ulikua unafanya kazi ya kufagia hospital 😂😢😢 hii umetupiga
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 11 ай бұрын
Amesema alifanya kazi hiyo akiwa medical attendant baada ya hapo ndio akaenda kuongeza ujuzi.
@allandavid752
@allandavid752 11 ай бұрын
Eti kasoma dipl
@allandavid752
@allandavid752 11 ай бұрын
Eti kasoma diploma alafu aajiriwe kama mfanya usafi?? Jamaa ni muongo muongo
@allandavid752
@allandavid752 11 ай бұрын
Tulijenga..tumeona tufanye iwe hotel..pia mbona ana mashaka
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 6 ай бұрын
Hata bilioni moja hapo nadhani wataalam wa ujenzi sidhani kama wanakubali yanaweza kua kama ya akina Mwijaku. Na Diploma MTU anaitwa Clinical Officer au Medical Assistant zamani na si attendant
@elinisaidiemlay2374
@elinisaidiemlay2374 10 ай бұрын
Bilioni moja
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 11 ай бұрын
Acha kutupoteza sisi watoto wa makapuru kila kitu umetafuniwa
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 11 ай бұрын
Nashikilia hapo Njombe hao watu wahuko kupata hela kwao kawaida tu mi naishia hapo hakika utafika mbali sana
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 11 ай бұрын
Wanapambana sana au wananguv za ziada
@neemataris3273
@neemataris3273 11 ай бұрын
​@@josephatjoseph1755 wanapambana sana na wanapeana michongo na biashara ya mbao inawatoa sana, Zaidi ni wapambanaji sana.
@ibrakanan
@ibrakanan 11 ай бұрын
Hii interview tumepigwa sana ukimsikiliza jamaa vizuri haelezi connection ya biashara yake ya dawa na yeye kujenge jumba lenye dhamani ya 1B+ yaani dawa tu hizi hizi ndo ujenge nyumba ya gharama kiasi iko??
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 11 ай бұрын
Endelea kubaki na denial😂
@wilsonkihwele5766
@wilsonkihwele5766 11 ай бұрын
True
@alexanderpallingo7960
@alexanderpallingo7960 11 ай бұрын
Huyu jamaa Dom nzima ndo anakimbiza kwa kuuza dawa yaani ukifika location ndo utaelewa kwann amejenga hyo nyumba yaani ukisimama kwa mda wa dakika kumi tu dukani kwake ukamhesabia pesa aloingiza sio less than 3 milioni
@Mubarak552
@Mubarak552 10 ай бұрын
Nimekuwa inspired na hadithi ya Mafanikio ya Mhagama, hongera Sana, nimependa unaporudia kila mara Kuhusu kuheshimu wateja na jinsi ya kuongea nao
@user-yy6wf7ve4k
@user-yy6wf7ve4k 11 ай бұрын
Bossi wa nzota pharmacies dodoma arusha daresalam ....
@dr.jaymesdamas2011
@dr.jaymesdamas2011 11 ай бұрын
Acha kaziiiiii
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 11 ай бұрын
Congratulations nyingi kwako
@samsonkibona4332
@samsonkibona4332 11 ай бұрын
Kama hii story ni ya kweli, basi maisha ni rahisi sana
@daudimkuki8018
@daudimkuki8018 11 ай бұрын
😂😂😂
@loddofficial
@loddofficial 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 ай бұрын
😂😂😂 Nimechek kwa saut sana
@bibibomba4515
@bibibomba4515 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mahadmohd9138
@mahadmohd9138 11 ай бұрын
Mm najuwa sana na namba yake ninayo jamaa anapambana sana
@neemamollel840
@neemamollel840 5 ай бұрын
Sema kuna kitu Millard ayo anazingua sasa wewe unatuletea watu ambao washasoma Hadi vyuo na wazazi wao walikuwa waajiriwa wa serikali tafuta watu ambao wametoka familia maskini na wametoboa maisha acha kutuletea watu wanaokuja kujiuzisha sura na kujisifia
@user-us8vp6nc2f
@user-us8vp6nc2f 11 ай бұрын
Jamaa hayuko comfotable anavyoongea nimejaribu kukaza kichwa nimsikilize kwa makini lakini wapi
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 6 ай бұрын
Jamaa ni muongo, hamna nyumba ya Bil 1 hapo Mara mia hata ingekua na furniture ndani labda tungesema furniture ndo zimeelevate muonekano. Nishaona nyumba zaidi ya moja kubwa na kali kuliko hiyo mpaka landscape ya nje mtu katumia mil 700, na hapo kahire wataalamu. Kumotivate watu sio mpaka kuongea uongo.
@pilichuli4449
@pilichuli4449 2 ай бұрын
Ningeshauri ungejalibu kujenga ungeweza kuona ghalama za nyumba
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Pharmacy zinalipa
@IvanElias-pv1bd
@IvanElias-pv1bd 11 ай бұрын
Watu wanatajirika kwa national cake uku wananchi jua kali 😢😢😢
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 11 ай бұрын
Medical attendant ?!! Okay amesema anaitwa mhagama ?! Kwahiyo anataka kusema yule waziri mhagama ni nani ? Nyie watu nyie haya
@avitusmichael5
@avitusmichael5 11 ай бұрын
Ni dada yake
@isaachakim31
@isaachakim31 11 ай бұрын
I have the same dream 🙌
@Sngpark
@Sngpark 10 ай бұрын
Wanyumbani kabisa yn👊🏾
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 11 ай бұрын
Nizamu😂😂...ni nidhamu
@user-qi6wy6kl4g
@user-qi6wy6kl4g 11 ай бұрын
Millard anapewa hela ili afanye interview za ajabu 😅😅
@jrsaid4270
@jrsaid4270 11 ай бұрын
Yaan hii Media yake Kwasasa inaelekea kuwa kama ndizi media
@samniza1763
@samniza1763 11 ай бұрын
Mambo ya bandari na maaskofu husikii wakiongelea, mimi hizi media za bongo ni bogus.
@Sedecbuilders
@Sedecbuilders 10 ай бұрын
Ukimsikiliza huyu mwamba unaweza ukaona maisha ya biashara ni rahisi sana🙌. Anyway Vijana tuendelee kupambana.
@felixally297
@felixally297 11 ай бұрын
Millard umeanza kiki
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 11 ай бұрын
Acheni maneno mengi huyo ni mpambanaji na anakili sana
@kilonzodistributorscompany9228
@kilonzodistributorscompany9228 11 ай бұрын
Tuliamua alafu hapo hapo anasema nyumba yake 😂
@evansherman9343
@evansherman9343 11 ай бұрын
Mtangazaji yupo shalow ingeitaji mtangazaji mwenye kuhoji kwa kuhamasisha. Milad tafuta watangazaji wenye mwamko
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 45 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 44 МЛН
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 64 М.
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 45 МЛН