matatizo kumpenda anayependwa na wengi uhenda ukanywa sumu au ukajinyonga kwa kuwa moshi bado ni kijana kubembeleza ni kwaida yangu. I like more this line
@mysteryman4luv6 жыл бұрын
haswaa
@onesmomassawe62304 жыл бұрын
kabisaaaa
@myshem53416 жыл бұрын
Nasikiliza nyimbo zenu adii nalia mlio tangulia mungu awalazee maala pema peponi
@mohdchuma78 Жыл бұрын
Pole sn ndgu yng futa machozi
@emmymatumbo4068 Жыл бұрын
Amen pumziko la milele liwaangazie wote
@fadhilimnyambara34733 жыл бұрын
Tx moshi na wenzako pumziken kwa aman furaha mliyotuachia haitosahaulika kizaz na kizaz
@SelemaniKinyaga-jm3vx10 ай бұрын
Kwa kweli hawa jamaa walikuwa vzr hapa nasikiliza kibao Cha tuma
@yusuphnkondokaya68017 жыл бұрын
Msondo bn nyimbo zao zilkuw znatoa mafundsho walio tangulia mbele za haki R. I. P
@shaniasaid75 жыл бұрын
Hawa ndio wameenda muziki wao, ama kwa hakika kifo ni faradhi.
@ctssuppliespaynes55549 ай бұрын
Usinione nimekonda ewe Tuma, hakuna lingine mama ila ni wewe tumaa. RIP uncle TX Moshi na mwl Gurumo. Mungu awaondolee adhabu ya kaburi, muwe miongi mwa waja wa peponi.
@veronicanestroy95236 жыл бұрын
mungu awalaze mahalipema Wana msondo
@MasaweIsack24 күн бұрын
Nyimbo kali uchoki kusikiliza
@bellybray80258 жыл бұрын
TX ulikuaga juu kweli juu
@singanongovi2 ай бұрын
Huwezi kudhani, Hilo guitaa la Mzee Mabera no mwisho!
@aliissa66326 жыл бұрын
Allah awarehemu kila alietutangulia
@balukualikiringabakwe97497 жыл бұрын
miziki ya wzee hau yiko bei mpaka wa leo.nasikia vyema nikiiyicheza.
@fridafranco3154 ай бұрын
Old is good 2024 now
@fredysamwel94808 жыл бұрын
msondo mliotangulia tutawakumbuka daima
@jameskatitu44816 жыл бұрын
Fredy Samwe
@emmanueljudas4522Ай бұрын
kingwendu ndani ya nyumba
@DocSerengeti6 жыл бұрын
great memories of DAR! TX Moshi ya milele!
@sophiacasimcasim4394 жыл бұрын
Ralf Schuster zote kali
@nurdinhamidu75147 жыл бұрын
😍old is gold
@herinmanento89566 жыл бұрын
Best song from East Africa
@colinjames5706 жыл бұрын
Magician voices
@emanuelmley89978 жыл бұрын
one of my best song ever since I was young
@habiamohamed52712 жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo zinazoish achana na nyimbo za saiz hazina hata Radha
@saidimhina18292 жыл бұрын
qp 1ap
@erneuslugongo55679 жыл бұрын
TX,MBWEMBWE ARE TRUE LEGENDS
@khalidimarijani7678 жыл бұрын
Asante baba
@ibrahimsaid93506 жыл бұрын
r.I.p msondo
@rahelmsuya72712 жыл бұрын
Beyond legends
@saidishabani68025 жыл бұрын
Dah r.I.p Tx moshi .gurumo
@sarahAugustino-nx3iv5 ай бұрын
Usiku wote nalala nikikuwaza nakuita ww jina lako tumaa dah!!
@dadamwajuma51552 жыл бұрын
Nyimbo zenye mafunzo jamani,, tutawakumbuka daima pumzikeni kwa amani
@Elizabeth-mw4mo5 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@temmykisonga2812 Жыл бұрын
Huwa silali kama nina bando la kutosha
@patikindo736 жыл бұрын
Haki ya nani....wanimaliza
@magerhaule4707 жыл бұрын
Hakunaga tena kama hiyo tim
@farajiissa560 Жыл бұрын
Kitambo sana enzi za kwenda town na vipanya
@johnkuntner8146 Жыл бұрын
clothe maketh a man . the white suit took the song to another level
@SelemaniKinyaga-jm3vx10 ай бұрын
Tx anasema matatizo humpenda anayependwa na wengi ujumbe murua kabisa
@egnokinunda4539 Жыл бұрын
Mosondo baba ya music🙏🏼
@jumahilali23092 жыл бұрын
Good music legends 👏
@sarahmbwari97424 жыл бұрын
HII NYIMBO NAIPENDA BALAA
@onesmomassawe62304 жыл бұрын
tx moshi wonder voicee
@mahamudmgongolwa7566 жыл бұрын
Mlijaaliwa sana
@mgalaweyusuphmgalawe51466 жыл бұрын
inapendeza sana msondo ngoma baba ya mziki
@macherathomas64745 жыл бұрын
Tx moshi,suleman mbwembwe,joseph mahina,othuman momba,mhidin ngurumo,walikuwa ni watu muhimu sana katika nchi hii yapaswa kuwaombea huko waliko kwa kila mpenz wa mziki.
@millowamilonga Жыл бұрын
@@macherathomas6474 sasa mbona umsahau SAID MABELA ambae ndiyo mleta utamu wote huo?