Tafuta kazi dogo KZbin ni app ya kupoteza muda Kwa watazamaji na ni ajira kwa wenye vipaji hizo habri za kuwa wa kwanza kwenye Kila clip unaelekea kuwa mwehu tafuta kazi
@Jaydannychawaboy.9 ай бұрын
@@tayk4745 Mimi Nina kipaji kama ulikua hujui ila Sina msaada kiufupu Sina maokoto mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣
@AsebaleylaDavid9 ай бұрын
@@Jaydannychawaboy. Km ahuna maokoto wakikupa like utapata maokoto? Yaan munakera sana
@fulahasayari471510 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza mwakatobe ana kimbia kazi😅😅😅
@KenNyongesa10 ай бұрын
Kazi fresh sana naikubali from kenya
@amanmushi10 ай бұрын
Me wa kwanza nakukubali sana mwakatobe nice job
@amanmushi10 ай бұрын
😂😂😂ngashtuka na machale gun desa icho kichaga mwakatobe nice sana uli undusha brasa
@kelvinfficial10 ай бұрын
Nakubali uwa pelekeye moto
@Seifbrown10 ай бұрын
Wallah ❤😂😂😂😂mganga ni fire mwaka uyu 😂😂😂 kazana na kazi bro 😊
@Barnizeboy10 ай бұрын
Poa sana 💥🔥👍
@AsmaAmeir10 ай бұрын
Mwakatobe kwenye best friend aina ile ya uwigizaji nzuri lazima ubadilike ili watu wazidi kukubali
@Muhsmart9 ай бұрын
Alikua dingi Miyeyusho sana
@danny_kym_254810 ай бұрын
mwakatobe nafagilia sana 🔥🔥🔥🔥
@Joyce-qf5px10 ай бұрын
Mwakatobe anavolia mama Mimi hoi😅😅😅
@KoreanDramaMoviesKiswahili8 ай бұрын
❤❤❤
@samyabahatialhiani4016 ай бұрын
Mwakatobe ushaona uci wapaka we muongo 😁😁😁😁😁🤣🇧🇮
@Godmaletz10 ай бұрын
Mwakatobe kiwangooo
@FazirIssa3 күн бұрын
❤😅😊 noma sana
@saidiligwile34457 ай бұрын
Ngasituka machale kumndesa
@freddyplaniddy457110 ай бұрын
Kali
@roggerssimon1229 ай бұрын
Mwakatobe ww anga zingnee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂yaan unakula zako mkaa unajamba giza totolo ni balaaa zitoo hil
@usumanezana177510 ай бұрын
Maganga mwakatobe uganga wako ni wa ovyoovyo Maganga mafutaaa 😂😂😂😂😂❤❤❤