Mt. Kizito Makuburi - Mwamba Yesu kafufuka (Official Music Video)

  Рет қаралды 326,066

KMK MAKUBURI

KMK MAKUBURI

Жыл бұрын

Kifo cha Msalaba ni adhabu ya aibu kwa wahalifu wakubwa katika enzi za utawala wa Kirumi.
Kwa upendo na msamaha wa Mungu, Yesu Kristo anakubali kuteswa hadi kufa msalabani kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.
Baada ya yote hayo bado alishinda vita kwa kufufuka siku ya tatu, ni Mwamba imara usiotikisika.
Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi inakuletea wimbo unaomuelezea Yesu jemedari wa vita, na Mwamba aliyeshinda mauti kwa kujitoa sadaka.
WIMBO: MWAMBA YESU KAFUFUKA
MTUNZI : JUSTIN SALISALI
WAIMBAJI : KMK MAKUBURI
ORGANIST : BARAKA THOMAS MASHIBE
AUDIO BY : HOLY TRINITY STUDIOS
VIDEO BY : DIVINE STUDIOS & KMK DIGITAL PRO
SCRIPT WRITER : HENDRY KIMARIO
DIRECTED BY : HENDRY KIMARIO
SUBTITLES BY: DICKSON NYAMWIHULA
Usisahau kusubscribe, like na kucomment.
MUSIC SCORES & LYRICS:
www.kmkmakuburi.co.tz/pdf/mwa...
You can support evangelism through
⭐MPESA TZ : +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐VODACOM LIPA NAMBA : 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ
#badokunaMwamba
#Mwambakafufuka
#kmkmakuburi
#pasaka
#Mwamba
#35thkizitoannivessary

Пікірлер: 251
@anastaciamuema
@anastaciamuema Жыл бұрын
Kazi safi sana!👏👏👏 Hakika Mwamba ni mzima🙏. Hongereni sana KMK🤗🥰🥰
@mwesigacredius9852
@mwesigacredius9852 9 ай бұрын
Mwamba Huyu Hapa na Amefufuka...Guys you are in your own league! Thanks
@mosesisura4350
@mosesisura4350 Жыл бұрын
Am not a catholic bt....i truly love ur songs
@kundaikyliengwerume3001
@kundaikyliengwerume3001 Жыл бұрын
I'm not a Catholic neither do I understand your language but your songs always go straight to my heart. I will definitely visit this choir one day if God allows . You are the best 😊. sending love from Zimbabwe
@sisiniwazalendo6558
@sisiniwazalendo6558 Жыл бұрын
WIMBO WA KIZALENDO KWA MWAMBA YESU ALIYESHINDA VITA YA UMAUTI...GONGAAAAAA LIKEEEEEE
@vincentpaulomondi8403
@vincentpaulomondi8403 Жыл бұрын
Tanzanian choirs are just on another planetary level hawa wasee wako vizuri....
@bensongitongadavid6051
@bensongitongadavid6051 Жыл бұрын
Keep it up my favorite Choir lots of love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@januarius-js2xl
@januarius-js2xl Жыл бұрын
Hongereni sana waimbaji wa Mtakatifu kizito Makuburi...kama kawaida mko 🔥🔥🔥🔥...hii ndio kwaya yangu ya maisha... nawapenda mno ajabu..
@ManifredCharles-ur9ug
@ManifredCharles-ur9ug Жыл бұрын
Safi sana KMK uimbaji wenu unakonga mioyo ya watanzania wengi na kwaya nyingi zinajifunza kupitia utume wenu asante sana.
@kwekalucasferan
@kwekalucasferan Жыл бұрын
❤ Hongereni sanaaaaa..... Alooo🎉. Kweli Mwamba Kafufuka.
@bonymaina226
@bonymaina226 Жыл бұрын
Listening to this song when it is fresh in KZbin. Great and awesome song! Mungu awabariki
@adhiamboagatha8366
@adhiamboagatha8366 10 ай бұрын
St .Kizito makuburi choir the best in the world
@mikelazaro4479
@mikelazaro4479 Жыл бұрын
Salisali kwenye hizi ngoma huwa hukosei mzazi toka ile ngoma ya Simba wa Yuda na hii ya Mwamba aaah uko vzr hongera kwa utunzi mzuri.
@bensongitongadavid6051
@bensongitongadavid6051 Жыл бұрын
Simba wa Yuda caught my eye
@henryoreo2283
@henryoreo2283 Жыл бұрын
Simba wa yuda was abig big thing
@lilymoshi7886
@lilymoshi7886 Жыл бұрын
Hongereni mno wimbo ni mzuri mno nimebarikiwa mnooooo kusikiliza huu wimbo asanteni wote mliotia mawazo yenu kwenye hii nyimbo
@chalejunior2614
@chalejunior2614 Жыл бұрын
Salisali JM hujawahi kosea kaka. Mwenyezi Mungu azidi kukutumia kwa namna inayompendeza zaidi. Nabarikiwa sana na tungo zako.
@Tuikong
@Tuikong Жыл бұрын
Mwamba ni Mzima na mshindi hakika. Hongereni wanaKMK. Baraka tele.
@gracewanjiku2534
@gracewanjiku2534 Жыл бұрын
Asante St makuburi Kwa wimbo safi kabisa , hapa Kenya tunasema mbarikiweni Sana.
@eliaskanyamaha6447
@eliaskanyamaha6447 Жыл бұрын
Very tishabo...neno Mwamba limetumika mda mwafaka...
@julianaseleman2839
@julianaseleman2839 3 ай бұрын
Bwana Yesu kweli kashinda mauti ❤💗🧡🧡
@user-lp3eb1ou5e
@user-lp3eb1ou5e Жыл бұрын
Nawapenda❤sana nina furaha kuwa mkatoliki
@gaspermunishi7610
@gaspermunishi7610 Жыл бұрын
Tuliisubiri sana
@user-hb7vi1cc4d
@user-hb7vi1cc4d 4 ай бұрын
Raha sana Tena najiona fahar sana kua mkristu ,,, Asante mungu wangu sio kwa raha izoo
@johndgurty9011
@johndgurty9011 3 ай бұрын
Mko vizuri sana jamani wana KMK wewe SaliSali wewe barikiwa sana pia utunzi wah!!!
@elizabethakinyi7223
@elizabethakinyi7223 6 ай бұрын
Amazing voices, Hongera sana Mwamba Yesu ni mzima..... Ameshinda mauti, ni hodari wa vita!!!!
@thomasnduva9662
@thomasnduva9662 Жыл бұрын
Furaha mlio nayo kabisa amefufuka yeye ni mwamba
@andrewmushi281
@andrewmushi281 Жыл бұрын
Safiii
@carolinemaina3362
@carolinemaina3362 Жыл бұрын
🎉yaani nimewazoea hadi nawatambua mmoja baada ya mwingine,,I love you darlings
@geofreychirwa2574
@geofreychirwa2574 Жыл бұрын
Hakika kmk itaendelea kuwa taasisi na chuo Cha muziki wa kanisa Tanzania. Mbarikiwe mno.
@rosentinyari6561
@rosentinyari6561 Жыл бұрын
Wimbo mzuri wenye kubariki roho za wengi...
@piussimon7062
@piussimon7062 Жыл бұрын
Hakika furaha yangu ni nyimbo za katoliki nafurahia sana kazi nzuri kwenu
@ThomasKwanja
@ThomasKwanja 4 ай бұрын
Haleluya Haleluya Bwana ni Mzima Hongereni kwa utume uliotukuka 👌🏿
@lazarusmulwa6128
@lazarusmulwa6128 Жыл бұрын
Kitu Kali kama Nini 🔥🎶
@kihiyoemmanuelpianist
@kihiyoemmanuelpianist Жыл бұрын
Maestro Salisali Mzee wa simba wa yuda ....nina njegere zako popote ulipoo
@revaniakataga8070
@revaniakataga8070 Жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya kwa kazi nzuri sana Mungu awabariki sana ,nawapenda sana
@paulkabazo
@paulkabazo Жыл бұрын
Hapa congo tunawapenda sana. Njooni Siku moja huku tuwaone in live. Paulo Prince Kabazo
@cleophasodoyo5743
@cleophasodoyo5743 3 ай бұрын
Amegeuza hofu ya kifo kuwa uzima....Ni hodari wa vita mwamba ni mzima kafufuka.....wow wow just wow!!!!!
@martinmurimi5240
@martinmurimi5240 Жыл бұрын
Wimbo mzuri, video Iko sawa sana, hasa mavazi ya tamaduni za Kiafrika. Maneno ya wimbo yamewazwa vyema. Hongera sana Salisali kwa utunzi wako mzuri. Hongereni Sana WanaKMK kwa uimbaji wenu mzuri na wa kujitolea. Kweli aliye hodari wa vita na Mwamba ni mzima!!! 🎉🎉 AMEFUFUKA KWELI!!!
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 Жыл бұрын
Hongera Prof salisali kwa utunzi mzuri sana Mungu azidi kukutumia na kukiinua kipaji hicho
@ayubuduke3436
@ayubuduke3436 Жыл бұрын
Wimbo wangu bora basi2 ngoja nikae kimya ila ni mzuri mno mno ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ KMK MAkuburi🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
@bonfacemutunga9671
@bonfacemutunga9671 Жыл бұрын
Ujumbe mtamu huo tumeupata congrants
@NestoryPaschal-jr3oj
@NestoryPaschal-jr3oj 4 ай бұрын
Nani kama mungu hakika mnaenda na wakati bigap sana mbalikiwe amina
@vumiliajoseph7788
@vumiliajoseph7788 4 ай бұрын
Nimebarikiwa na wimbo huu, mungu aendelee kuwaimarisha nyote na wito wenu kwa mungu
@user-fk7kh3ie6s
@user-fk7kh3ie6s Жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri
@poncegk5263
@poncegk5263 Жыл бұрын
Kwaya iliyo kamilika kila idara, Great work
@mercycherotich3737
@mercycherotich3737 Жыл бұрын
I love your songs sijasahau mlikuja st Joseph frenademetz kuja kuimba
@simonmlelwa440
@simonmlelwa440 Жыл бұрын
Finally here we are …. Asanteni sana Kwa huduma na Mwenyezi Mungu awabariki sana Kwa utume wenu
@thomasnduva9662
@thomasnduva9662 Жыл бұрын
Hongereni Sana .Jimbo kuu Machakos tuko ndani huku Kwa father kioko Mimi nilikua Na nyinyi live.nawapenda kweli
@beatricekitchen
@beatricekitchen Жыл бұрын
Mwamba wa vita🔥🔥🔥🔥🔥
@magreth1492
@magreth1492 Жыл бұрын
Bwan Yesu ni mzima,kashinda mauti mwamba ni mzima nihodari wa vita mwamba ni mzima kabisa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alckimuinde
@alckimuinde Жыл бұрын
I love you guys I'm coming next month guys
@edinamoses840
@edinamoses840 Жыл бұрын
Mt.kizito mnaimba vizuri aisee mbarikiwe sana ...tumemisi mazingira asilia, sijui kwann kwaya nyingi siku hizi wanapenda kufanya video shooting studio
@hananivan1188
@hananivan1188 4 ай бұрын
Ukisikia utukufu wa Mungu unatukuzwa ni kwenye kwaya ya mt.kizito.Mungu awabariki watumishi wa njia ya uimbaji.
@emmanueltemba3533
@emmanueltemba3533 Жыл бұрын
Hongeren sana mafundi
@martinoluoch1954
@martinoluoch1954 4 ай бұрын
Kwaya ya mtakatifu makuburi mwanibariki na nyimbo zenu Asante sana . Kaburini hayumo.
@despinae.mdende
@despinae.mdende Жыл бұрын
Hongeren sana watu Wa Mungu Kwa kazi nzuri.
@albinmassawe4005
@albinmassawe4005 Жыл бұрын
Shooting imekaa vizuri. Mmeimba vizuri sana. Mtunzi yupo vizuri. Hongereni sana
@ProsisterKashindye
@ProsisterKashindye 4 ай бұрын
Wimbo umetuliaa hakika mwamba amefufuka
@user-ln2cg9rg1g
@user-ln2cg9rg1g 4 ай бұрын
Mungu zaidi kuwabariki mnoo aweongee viwango na viwango
@janeturuka3934
@janeturuka3934 Жыл бұрын
Hongereni sana km Kwa Kaz nzuri
@thomasnduva9662
@thomasnduva9662 Жыл бұрын
Enyewe kuwa Na subira ni Jambo muhimu Sana .hongereni kmk
@johnmalibiche7454
@johnmalibiche7454 Жыл бұрын
Kazi nzuri Mungu awabariki sana
@anicetmrosso122
@anicetmrosso122 Жыл бұрын
hii sasa ndo kali kuliko ya kwanza na nilichagua box B mapema
@hurumadanda4205
@hurumadanda4205 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Mbarikiwe
@waltermasinde6648
@waltermasinde6648 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Hongera kwa wote waliohusika.
@germanandunguru6586
@germanandunguru6586 Жыл бұрын
Wimbo Mzuri 🥰🥰na video
@emilygatabi4425
@emilygatabi4425 Жыл бұрын
Wow....from Hamkujua fee days ago to this🎉 ❤ you KMK Makuburi you're the best ❤ have always loved your songs from kitaambo till to date. Congrats KMK mungu azidi kuwabariki. One day I will meet you. I love you my people ❤
@marymarcel3824
@marymarcel3824 Жыл бұрын
Waooo hongereni sana kwa wimbo mzuri kwaya ya kizito🔥🔥🔥💪
@Ndelegeorge
@Ndelegeorge Жыл бұрын
Asante kwa wimbo. Ni mzuri sana
@user-vh6fw7xf4z
@user-vh6fw7xf4z Жыл бұрын
Nice kwa kazi nzuriii mm hapo mwanzo mnavo anza pamenikosha
@Muziki_tamu_katoliki
@Muziki_tamu_katoliki Жыл бұрын
wanasema Justin Salisali akiamua kutunga ni baraka kweli
@andreayohane5800
@andreayohane5800 Жыл бұрын
Dah? Top top wimbo yaani nimeusikiliza na kuuimba yaani wimbo hauchoshi unakupa desire ya kusukiliza Kila mda yaani huu ni utunnzi wa Cuba kabisa hongereniiiiii
@andreayohane5800
@andreayohane5800 Жыл бұрын
Alocheza kinanda nani?
@frolajoseph8902
@frolajoseph8902 Жыл бұрын
Actuallly yeahs.. Hauchoshi
@freedolinemao7168
@freedolinemao7168 Жыл бұрын
Huwa nakosa Cha kucoment kwenu
@veronicalugola8790
@veronicalugola8790 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana hongereni kmk
@annmwende8339
@annmwende8339 Жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri. Mungu awabariki
@peterkilambo8844
@peterkilambo8844 Жыл бұрын
waoooohh very sweet !!!!!! hongereni sana
@sarahsemiyao7132
@sarahsemiyao7132 Жыл бұрын
Wimbo mzuri napenda Mwamba ilivotumika😂 Hongereni Sana Wana kizito kwa utume🎉🎉🎉
@juliustarimo1257
@juliustarimo1257 Жыл бұрын
Wimbo mtamu mno, wawezaunywea chai😀😀 Niliusubiri Sana Tangia Jana, nilijua tu lazma uwe unique. Mnsnikosha kweli, Hongereni kmkm
@japhetoctavian7287
@japhetoctavian7287 Жыл бұрын
Siku niliposhiriki Ibada na waumini wa makuburi niliona roho mtakatifu amenishukia kabisa maana kwaya iliimbwa Hadi nikaanza kutokwa na machozi ya furaha.Mungu endelea kuwajaza nguvu watu hawa kwa injili Safi 🙏🙏
@Delinathakahanantuki
@Delinathakahanantuki Ай бұрын
Big up guys
@antonymangi1325
@antonymangi1325 Жыл бұрын
Salisali🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@BONIFACEMPONZI-wu2du
@BONIFACEMPONZI-wu2du Жыл бұрын
Waleteee🔥🔥🔥🔥
@mainakariuki4033
@mainakariuki4033 2 ай бұрын
Imani yenu inavutia na pia kwaya zenu zimeweza.
@teoslasmbunda3936
@teoslasmbunda3936 Жыл бұрын
Super, 🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@vickyvictor406
@vickyvictor406 Жыл бұрын
wimbo mtam kweli much love from Kenya.NI UPENDO TU
@michaelwambua3911
@michaelwambua3911 Жыл бұрын
❤❤❤Wimbo mzuri sana. Napenda wanavyocheza. Hongera kikozi kizima cha kwaya ya makuburi.
@magdalenakulwa4802
@magdalenakulwa4802 Жыл бұрын
Sauti tamu sana... video concept tamu sana... utunzi mtamu sana.. injili ya Bwana na isonge mbele
@agatonngailo6632
@agatonngailo6632 Жыл бұрын
Kizito makuburi kongole kwenu hakika tunaburudika kwa nyimbo zenu salisali asante kwa wimbo wako ,organist baraka thomas mashibe 🙌
@jkinya5762
@jkinya5762 Жыл бұрын
Wonderful! Yesu kafufuka.
@cakebailey
@cakebailey 10 ай бұрын
Wow! My best choir like your songs , fantastic wish God allows me one day visit this choir, teachable, touchable songs ,be blessed always 🙏🙏
@baziliosasila5064
@baziliosasila5064 Жыл бұрын
Hakuna mtunzi asiyetamani wimbo wake usiimbwe na kurekodiwa na kwaya bora @KMK. Wanatisha hawa jamaaa.
@pharm.kayombo
@pharm.kayombo Жыл бұрын
Good music
@lazarusmulwa6128
@lazarusmulwa6128 Жыл бұрын
First to comment 🎉❤
@theresiajoseph1943
@theresiajoseph1943 Жыл бұрын
Mtunzi umenikoshaaaa sanaaa🔥🔥🔥🔥 Hongereni kwa kazi nzurii
@ernestkashunja1514
@ernestkashunja1514 Жыл бұрын
Asanteni kazi tamu sana ,Mungu awabariki sana
@ImaraInternational
@ImaraInternational 3 ай бұрын
Napenda nyimbo zenu zote.
@BonfriInsuranceAgency
@BonfriInsuranceAgency Жыл бұрын
Safi kabisa
@godfreyngoloka9017
@godfreyngoloka9017 Жыл бұрын
Hongereni Sana KAZI nzuri mno mbarikiwe
@emmanuelireri4734
@emmanuelireri4734 Жыл бұрын
Whaaat!yaani kazi saafi sana wakuu,❤
@user-xq6ji4fu5w
@user-xq6ji4fu5w Жыл бұрын
AWESOME! So ,,,,,,,.proud to be a catholic .Amen
@jepkemei
@jepkemei Жыл бұрын
As always, excellent work, Well done KMK ! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mt. Kizito Makuburi - Hamkujua? (Official Music Video)
7:57
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 673 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 37 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 204 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Ukuu wa Yesu (Official Music Video)
9:12
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 2,3 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Mbinguni Furaha (Official Music Video)
7:20
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 184 М.
Nyimbo za Pasaka - Sauti Tamu Melodies | Catholic Easter songs Mix
17:53
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 881 М.
TEMBEA NAMI (Official Video) - KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
10:41
Anastacia Muema- Wema Wako Wa Ajabu (Official Video)
4:32
Anastacia Muema
Рет қаралды 3,8 МЛН
MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha
7:53
Mt. Kizito Makuburi - 150(Official Music Video)
10:21
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 5 МЛН
Holy Trinity Studio - Nikushukuruje Bwana ( Official Music Video )
8:12
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 1,4 МЛН
KeshYou x Snoop Dogg - Forever Sunday (Official Music Video)
3:06
BM PRODUCTION
Рет қаралды 220 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,2 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 2,4 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
V $ X V PRiNCE, Shulamah - Jai Jatpaimyz (2024)
2:38
Студия СОЮЗ
Рет қаралды 149 М.