Mt. Kizito Makuburi - Mbinguni Furaha (Official Music Video)

  Рет қаралды 229,238

KMK MAKUBURI

KMK MAKUBURI

Күн бұрын

Пікірлер: 224
@kendrick9339
@kendrick9339 Жыл бұрын
Makuburi wana utofauti wao tukubaliane na hilo kwanza ❤🎉
@emmanuelshaibu6403
@emmanuelshaibu6403 Жыл бұрын
Hilo linaeleweka Dunia mpaka ROMA mbona wanajua kuwa kuna MAKUBURI hawa hata uwaweke Pale VATICAN misa itaenda tu, wako Extra mile sana tu they know
@AmedeusLasway-hk7vl
@AmedeusLasway-hk7vl Жыл бұрын
Kabisa 🎉
@tajirifundi
@tajirifundi 10 ай бұрын
Halipingiki
@geofreykalokola6046
@geofreykalokola6046 10 ай бұрын
Naunga mkono hoja
@mwariwanyingi5720
@mwariwanyingi5720 Ай бұрын
Tamuuuu🎉❤❤❤❤
@aloycendesimama
@aloycendesimama Жыл бұрын
Leo ni wa kwanza kwenye comment, hatimaye official # mbinguni raha.
@FBJosephineNyabonyi
@FBJosephineNyabonyi 18 күн бұрын
wow i❤❤❤❤❤❤❤❤ it
@diti4899
@diti4899 Жыл бұрын
Amina wakatoliki tumeanza improve kwenye video. Video zetu zilikua poor sana. Bravo
@joshuasarutwe4354
@joshuasarutwe4354 Жыл бұрын
MT.KIZITO MKO VZR MNOOOO ,NATAMANI MJE KIGOMA KUTANGAZA INJILI
@robertmburu204
@robertmburu204 Жыл бұрын
Sauti kama kinanda. Penda nyinyi sana.
@LiberiaMunishi
@LiberiaMunishi Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mnajua anajua mnajua saaaaana, talanta hii ufunikwe kwa Damu ya Yesu adui asiwasogelee muhubiri mpaka viziwi wasikie, I like what you do as your my fist choice in catholic church oooooh! God bless you all #bernardmukasakongolekaka🎉
@mercykhahukani5203
@mercykhahukani5203 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana... Mungu awabariki
@AsinthaGervase-nd7do
@AsinthaGervase-nd7do Жыл бұрын
Asante sana mbarikiwe
@claudekalimbirirontabaza7467
@claudekalimbirirontabaza7467 Жыл бұрын
Toka DRC, mji mkuu wa Kinshasa. Hakika nimebarikiwa mno. Mungu awazidishiye nguvu na vipaji télé. Aksanti sana kwa mtu zi bora barani Africa, Bernard MUKASA
@jemo5261
@jemo5261 Жыл бұрын
Amina
@godwinkashaga3433
@godwinkashaga3433 Жыл бұрын
Mt.Kizito mpewe maua yenu. Hamjawahi kupoa. This song is on repeat. From Mimina,Apewe Sifa,Nusu kwa Nusu now this. You are blessed.
@robertombogo8927
@robertombogo8927 Жыл бұрын
Hongera kwa wimbo bora zaidi.Ninatamani kufika mbinguni.
@kennethmuthini3250
@kennethmuthini3250 Жыл бұрын
Tukubaliane MAKUBURI wataongoza makundi ya Mziki tukifika mbinguni... tukubaliane mapema tu..
@GraceChelagat-hj9fz
@GraceChelagat-hj9fz 5 ай бұрын
Nakubqliana nawe asilinmia kwa mia Makuburi hoyee
@josephineluzango1463
@josephineluzango1463 Жыл бұрын
Naupenda huu wimbo ngoja niendelee kuukariri ili niwe naimba na nyie Kanisani🙌😅Hongereni Sana Kwa kazi nzuri👏👏👏
@thomasnduva9662
@thomasnduva9662 Жыл бұрын
First kenyan frm mks.wapi likes
@emmanuelkiio592
@emmanuelkiio592 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri 💯💯
@edwinndalila4477
@edwinndalila4477 Жыл бұрын
Dah,nyie wanamakuburi,kill kujao ni kibao cha nguvu,Wimbo huu ni wa baraka kweli,mkabarikiwe sana Kwak kuwabariki kanisa la mungu!!!
@DelinathaSperatus-xg1bm
@DelinathaSperatus-xg1bm 4 ай бұрын
Najivunia sana kuwa mkatoliki
@ELEONORAKILAKA
@ELEONORAKILAKA 5 ай бұрын
Kwa Baba yetu ni raha tupu,Mungu awazidishie kumpenda❤❤❤❤
@josephmathendu3830
@josephmathendu3830 Жыл бұрын
Tr Zack nakucheki....much support from St Bakhita choir st Peter Claver....kwa kweli kusifu raha
@Travelwithlouu
@Travelwithlouu Ай бұрын
Mbarikiwe sana Wana makuburi
@ErzabethMbirinyi
@ErzabethMbirinyi Жыл бұрын
Mbingun Raha kweli ,mungu awbariki viongoz
@wesleyrogito8326
@wesleyrogito8326 Жыл бұрын
any catholic song i click its so nice may the composers of the song be blessed and may you never lack what asked from the lord its you who make the catholic church so lively and fully honoured by many
@martinpaul8680
@martinpaul8680 Жыл бұрын
Hongeren sana Wana kmkm Mungu azid kuwaongoza katika utume wenu HAKIKA tunapata yaliyo mazuri kutoka kwenu
@emmanuelshaibu6403
@emmanuelshaibu6403 Жыл бұрын
MAKAUBURI kwenye UBORA wao Since day One... Appreciate You
@ELEONORAKILAKA
@ELEONORAKILAKA 5 ай бұрын
Nawapa maua yenu makuburi ,mzidi kuwa kinanda kwa Bwana wa majeshi kwa sauti zenu nyororo
@eugenekeragori
@eugenekeragori 7 ай бұрын
Mbinguni raha..jameni wanamakuburi mko kiwango kingine..hakuna choir inawafikia tuseme tu ukweli..Niko Nairobi Kenya lakini sioni wa kufafanishwa nanyi..mola aendelee kuwazidishia 🙏🙏🙏
@silyvya2408
@silyvya2408 Жыл бұрын
Nyimbo zenu raha sana
@HappyDenisi-q5h
@HappyDenisi-q5h 3 ай бұрын
napendayimbozenu kilawakatinasiliza nawpenda
@SimionIro
@SimionIro Жыл бұрын
Nafurabishwa sana jinsi mnavyopanga miziki vipao ni baraka katika kila kiumbe .......Nakuru imezizimka kabisa
@EusebiusYichila
@EusebiusYichila 7 ай бұрын
video producer +director salute kwako. video content is awesome.
@davidnchoji
@davidnchoji Жыл бұрын
Mapenzi yangu kwenu niyakiwango cha juu zaidi. Mungu aendelee kuwadumisha...🙏🏾
@paulmarco5994
@paulmarco5994 Жыл бұрын
Mungu awe nanyi kwa nyakati zote hakika kizito mwatupa furaha maishani mwetu 👏
@otuke56
@otuke56 Жыл бұрын
Nyimbo zao zinawaka na zinachoma kama moto hapa kwetu kenya 🔥🔥🔥
@theresiajoseph1943
@theresiajoseph1943 Жыл бұрын
Jomon ❤️🥰❤️ Hatimaye wimbo niupendaoo... congratulations 🎉🎉
@hillary6762
@hillary6762 2 ай бұрын
The harmony in the vocals and the video just pleasing. Overall on point .Thank you KMK MAKUBURI for your ministry and God bless you ❤
@kiogoraduncan4
@kiogoraduncan4 Жыл бұрын
Wimbo mtamu. Keep it up 💪❤
@FAUSTINASABS
@FAUSTINASABS 4 ай бұрын
My favourite song....mbarikiwe Sana....loooov❤
@FabianeCostantine
@FabianeCostantine 5 ай бұрын
Hongereni kwa uinjilishaji kwa nyimbo,nimependa
@Patrick_Mndeme
@Patrick_Mndeme Жыл бұрын
Haina kufeli Empire Boyz
@RaphKE001
@RaphKE001 Жыл бұрын
Hakika mbinguni Raha Congratulations KMK, congratulations BM, Congratulations iris empire, Congratulations KMK digital kwa pamoja tuendelee kusunguka sunguka Na bwana Yesu🙏
@ELEONORAKILAKA
@ELEONORAKILAKA 5 ай бұрын
🎉🎉wow done
@mapendoglory16
@mapendoglory16 Жыл бұрын
This man Mukasa!!!!!!! Ohhhh live long kaka. Wakristu wenzangu kuleni Chuma hichoooooo. Asanteni wanakwaya, Kwa kuutendea haki Huu wimbo. My heart is thrilling with joy!!¡!!!
@Simonmollel-tb6lc
@Simonmollel-tb6lc Жыл бұрын
Safi sana
@kennoscar8319
@kennoscar8319 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤Tutazunguka kote koteeeeee
@MuganyiziJulian
@MuganyiziJulian Жыл бұрын
Wimbo mtamu saana huu❤🎉
@Zakayo-z1k
@Zakayo-z1k Жыл бұрын
tuna endelea kuxunguka na bwana yessu❤❤❤
@elizabethnada9062
@elizabethnada9062 9 ай бұрын
Nmevutiwa sana na wimbo hongereni mungu awabariki sanaaa❤
@uncertgosbertuncertgosbert8362
@uncertgosbertuncertgosbert8362 Жыл бұрын
Noma noma Sana ahsanteni Mungu azidi kuwapa sauti mfano wa sauti za amalaika wa Mbinguni!! Karibu Tabora nimewaandalia dumu la asali
@LucyMKyalo
@LucyMKyalo Жыл бұрын
At laaast. Been loving this song but it was nowhere to be found❤❤❤ si mnajua kuna zingine mob bado tunazihitaji.. Zitendeeni haki basii
@georgeowiti
@georgeowiti 8 ай бұрын
Salamu kwa the talented Benard Mukasa, Mungu azidi kuwabariki KMK
@fabianjuma6715
@fabianjuma6715 Жыл бұрын
Wimbo safi nmefurah kila kona dairekta katsha sana piah heko na kongole kwa mushoboz so kwa mipedo hyo kaka ametsha organist mkubwa Africa mwamba hy mipedo imekoma
@הבליךמיהן
@הבליךמיהן Жыл бұрын
Mbinguni ni raha 💯✅ Hakuna kupinga. 🔥🔥🔥🔥🔥
@calitosmulirosaiti6589
@calitosmulirosaiti6589 Жыл бұрын
Hongereni kwaya Ya Makuburi.. Kweli mbinguni Raha na Furaha.
@joycetillya1988
@joycetillya1988 Жыл бұрын
Sauti zilizobarikiwa... Asanten xana kwa nyimbo nzur
@WinnifridaRobert
@WinnifridaRobert Жыл бұрын
Hongereni sana kwa utume mwema, wimbo mzuri ❤❤
@victorodehe6160
@victorodehe6160 Жыл бұрын
Mbinguni ni furaha🔥🔥🔥🔥🔥👌
@mkapakalikene9042
@mkapakalikene9042 Жыл бұрын
Dah nyie watu🖐️🖐️
@macalphael8789
@macalphael8789 Жыл бұрын
Kazi safii,,,,Thanks for the honor to launch the album in Holy Trinity millimani parish Nakuru diocese
@brunongunga2436
@brunongunga2436 Жыл бұрын
Nzuri sanaaaa wapendwa 👏👏👏
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 Жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️🥰🥰🥰 nmechelewa wap leo tuuu Asanten kwa kuutendea moyo wangu haki 🙏🙏🙏Barikiwen tuu kila wakati, Nawapenda daima
@Kingdon8765
@Kingdon8765 Жыл бұрын
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya Utume
@rosekipeleka
@rosekipeleka Жыл бұрын
Hongereni sana KMK kwa kazi nzuri ya Uimbaji, nimefurahi zaidi kwa creativity za Studio Iris Pro. Mungu awatunze nyote. Tukutane Dodoma Mwezi wa 10 kwa Baraka zake Mungu ili tuendeleze kumuimbia kama tutakavyofanya huko Mbinguni kwenye Raha na Ngome ya Nguvu.
@emmanuelsina8007
@emmanuelsina8007 Жыл бұрын
Best RC choir
@janemumbua4683
@janemumbua4683 Жыл бұрын
Lovely song 💖🎉makuburi never disappoint 👏👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥
@neemavawa17
@neemavawa17 Жыл бұрын
❤❤ napenda bure MUNGU azidi kuwalinda muendelee kumwimbia milele
@AmosiDeogratius
@AmosiDeogratius Жыл бұрын
Baba mukasa🙌🙌🙌🔥
@KiruiKPeter
@KiruiKPeter Жыл бұрын
Hongera KMK
@AnethWiston
@AnethWiston Жыл бұрын
nafalijika sana na nyimbo zenu kazi zuli sana mungu awabaliki
@neemavawa17
@neemavawa17 Жыл бұрын
💃💃 kweli kabisa mbinguni raha
@janephasuguri5327
@janephasuguri5327 Жыл бұрын
KMK mnajua sanaa❤😊, Mungu azidi kuwatumia daima😊
@francismatsiri3437
@francismatsiri3437 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤Tutaenda kwa yesu kweli binguni ni Raha kweli
@dallydominick1673
@dallydominick1673 Жыл бұрын
Mungu asiwapungukie kwakweli nimeona kitu kipya cha kuiga kwenye video zingine
@patrickrukuba3314
@patrickrukuba3314 Жыл бұрын
Mnatisha na Mungu awabariki sana
@SimionIro
@SimionIro Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki
@richardkometa5939
@richardkometa5939 Жыл бұрын
KMK 🎉🔥🔥🔥🙌🙌🙌🇰🇪
@josephngambi9891
@josephngambi9891 Жыл бұрын
Mbinguni kuna Raha na Furaha ❤💯
@joshuasarutwe4354
@joshuasarutwe4354 Жыл бұрын
UZOEFUU PIA UNASAIDIA....HALAFU WATO WA JIJI KUUUU
@titusmaruti2555
@titusmaruti2555 Жыл бұрын
Mtindo wa kipekee Dunia nzima, very talented people.Brain work gospels
@Khisatitus
@Khisatitus Жыл бұрын
Touching song wanapa ngongore wana St kizito
@juliuswanganga5769
@juliuswanganga5769 Жыл бұрын
Hongera Kwaya ya Mtakatifu Kizito ❤🙏
@marychrisant2308
@marychrisant2308 Жыл бұрын
Proud of you
@paskaliakonaay01
@paskaliakonaay01 Жыл бұрын
Haijahi tokea kazi mbovu Mungu awabariki daima🎉🎉
@daniellytonmphwanyeke3232
@daniellytonmphwanyeke3232 Жыл бұрын
You never disappoint me always brings best and good sound, I love you all the way from south africa
@lilianscovia4819
@lilianscovia4819 Жыл бұрын
Great job... keep it up 💪
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Жыл бұрын
Hongereni! Kwa kutuinjilisha
@msokasgallery8323
@msokasgallery8323 Жыл бұрын
Woow! Bravo KMK, and kongole also to the composer himself, mwamba Ben (the son of Mukasa) 🔥🔥🔥 Hakika Mbinguni ni furaha,, Gonna get there soon 😊
@geopatwo2978
@geopatwo2978 Жыл бұрын
My best kwaya❤
@MichaelNzunda-b6q
@MichaelNzunda-b6q Жыл бұрын
Naunga mkono mbinguni raha❤
@mdl6463
@mdl6463 Жыл бұрын
Nimependa kazi nzuri uongozi wote wa kanisa mungu awabariki AMINA from mwanza ✊✊✊✊
@emmanuelabel2265
@emmanuelabel2265 Жыл бұрын
Undisputed 🎉🎉! Mungu ni mwema sana! Sifa ma utukufu ziende kwa Mungu kwa kuifanya hii kwaya iwe sehem ya burudani na vibe hatari! Mbalikiwe sana
@sarahnjeri7230
@sarahnjeri7230 Жыл бұрын
Smartness, vigorous Dance, smile's kwa kila mtu
@erasmusrichard3205
@erasmusrichard3205 3 ай бұрын
Raha
@cephineajwang8711
@cephineajwang8711 Жыл бұрын
You guys produce like the best catholic songs I have ever heard in my whole life God bless you guys Mungu awabarili❤❤❤
@xoamanda4349
@xoamanda4349 Жыл бұрын
Ni kweli
@OwinsFreight_ke
@OwinsFreight_ke Жыл бұрын
Great vocals 👏
@VeronicaRaphael-m1e
@VeronicaRaphael-m1e Жыл бұрын
Waoooh amazing sana🌹💐
@jepkemei
@jepkemei Жыл бұрын
This is your best work yet! ❤❤❤❤ @kmk is the best yet
@ThomasKibaru
@ThomasKibaru Жыл бұрын
Makuburi mpo vizuri sana
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Mbinguni furaha 🙏🙏🙏
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Mwamba Yesu kafufuka (Official Music Video)
7:01
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
WATU IMBENI (Official video). na Bernard Mukasa.
5:22
St Francisco of Asis Choir (SFAC UDSM-MCHAS)
Рет қаралды 106 М.
Mt. Kizito Makuburi - Nyakutununta (Official Music Video)
7:24
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 59 М.
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1,8 МЛН
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Alexander mumo
Рет қаралды 3,9 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Tunakuja Nairobi (Official Music Video)
8:16
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 719 М.
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Hamkujua? (Official Music Video)
7:57
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 819 М.
Mt. Kizito Makuburi - Nusu kwa nusu (Official Music Video)
5:53
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 1 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - 150(Official Music Video)
10:21
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 5 МЛН
UKWAKATA MAKUBURI - MAKUBURI 25 (Official Music Video)
10:01
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 124 М.
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН